Wallahi sheikh mm sina la ziada ila nakuombea kwa Allah akuzidishie umri na akujaalie maisha marefu uzidi kutuelimisha na uzidi kuitangaza dini ya ALLAH.Allahu bareek.
@allyshomari7417 Жыл бұрын
Maashallah taabaraka Allah!! Mwenyezi mungu akupe nuur!! Na mwisho mwema kwa kuutangaza dini mwenyezi mungu Mmoja!! Allah!! Subhana llah nahuu wat'aala!!
@bintkijangwa43054 жыл бұрын
Allahu akbru Allah akupe umri mrefu furaha na amani akuondolee hasadi za waja wake
@jumakiyogo50334 жыл бұрын
mungu akulipe kila la kheir
@IbrahimShaban-b6g10 ай бұрын
Nakup❤ pia
@abdallahzuwena62922 жыл бұрын
Allah azidi kumpa afya na umri mrefu sheikh wetu MAZINGE
@SociedadeSust1234 Жыл бұрын
Sheikh Mazinge nakupenda kwajili ya Allah 🙏
@amoury14813 жыл бұрын
Allah Akupe Maisha Marefu Na nguvu Shekhe Wetu Mazinge.Tunakupenda Waislamu
@yusufmahdi8921 Жыл бұрын
May Allah sw bless our sheekh and grant him janaa firdows Amiin
@cabylake23202 жыл бұрын
Mashaallah 💓❤️ mazinge Allah akuzidishie umuri
@yasinamiri76494 жыл бұрын
MASHAALLAH ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ MASHAALLAH 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 AFRICA FATHER INSHAAALLAH ALLAH AKUPE MWISHO WEMA NA KAULI SABIT SHEH OTHMAN MAZINGE
@alfaqeera54984 жыл бұрын
amiin
@lulusadiki34993 жыл бұрын
Mashallah Allah akuhifadhi duniani na akhera
@user-to6up4hg2w3 жыл бұрын
Amin
@azizawadh59734 жыл бұрын
Sheik mazinge Allah akupe umri na kila cha kheri unachokitaka na kuelewa sana inshaa allah
@hanifaamani33633 жыл бұрын
Nakupenda kwa ajili ya Allah.Allah akupe mwisho mwema.
@mrashisuweid9404 жыл бұрын
Mungu akupe umri mrefu akulinde na kila hasad akupe ujira usiokoma duniani na akhera
@Abdishukriolat3 ай бұрын
Nani asiyempenda sheikh Mazinge Mashallah May Allah give you good health inshallah and Jannatul firdaus .Ameen
@nooor11204 жыл бұрын
MaashaaAllah Allah akuzidishie ilm yenye manufaa Allah akupe afya kamil Allah akupe umr tawil uzidi kuelimisha umma Allah akujaalie husn lkhatimah
@Arishafa5472 жыл бұрын
Hakika mungu na kumpenda kwaajili ya Allah
@aishaburundi70582 жыл бұрын
MAsha Allah tabarakaallah Allah Azid kukuifadha 🤲 Ustadh Mazing
@yussuphsultan14004 жыл бұрын
Allah akujaalie kheri duniani na akhera!!!
@mwachidzopoposalimpopo88903 жыл бұрын
Am proud to be a Muslim
@mename60204 жыл бұрын
MashaAllah... Kipenz cha mtume Muhammad.. Mazinge Mazinge kipenz chetu umefanya kazi kubwa ktk dinn yetu ya Islamic... Allah akulipe ujira mwema..
@muhsinivattenda49934 жыл бұрын
Aamiyn
@omanomy17574 жыл бұрын
AMIIN AMIIN AMIIN
@JuniormemberJuniormember9 ай бұрын
Masha Allah
@AA-yr7sr4 жыл бұрын
Mazinge ni moja tu hawezi akatokea mwengine yani ww ni kibogo kichwa chako kiliko Google mtu akiaza swali ww ushajua mjibu vipi MashaAllah
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Subhanallah!!!kuamini hivyo unavyosena, maana yake ni kuamini ukomo katika uwezo wa Mungu, kitu ambacho si kweli!!
@jumakapilima56744 жыл бұрын
@@AA-yr7sr acha ujinga kaka, kudai kuwa hatatokea mwingine ni kuamini katika ukomo wa uwezo wa Mungu kitu ambacho sio sahihi, sasa kama unaendelea kupinga, sikukatazi,,,,ila nashuhudia kwa Allah kuwa nimekufikishia!!
@adanali30744 жыл бұрын
Mimi ni sheik naniko Nairobi
@adanali30744 жыл бұрын
Mimi ninataka kufaya muhadaraa
@khadijaiddi48874 жыл бұрын
Allahu Akbar sheikh mazinge Allah akujaalie umri mrefu yaa Rabbi
@husseinbwakame37854 жыл бұрын
Mashalaa mungu akupe maisha marefu
@sadauwimana95504 жыл бұрын
Allah akupe maisha marefu akulinde na kila baya..
@naimamunishi12414 жыл бұрын
Masha Allah penda sana sheikh mazinge jmn,Allah akuweke ww na akupe afya njema .
@hadijasaid94633 жыл бұрын
Yaa Allah mpe shekh wetu mazinge maisha marefu na afya njema ameen yaarab
@aishakinia49574 жыл бұрын
Sheikh mazinge Allah azidi kukulinda na akupe umri mrefu uzidi kuulingania dini ya kweli Al Islam
@fatmahassan47904 жыл бұрын
MaSha Allah TabarakaLlah Mungu Akuhifadh,i Akubariki, Akupe Afya, Akulipe Kila Khatua unayoitukua. Dua twakuombea kwa wingi. Akulipe JANNATAL AL FIRDAUS
@ishakafaki35014 жыл бұрын
Allaah humma amina yarbby
@alfaqeera54984 жыл бұрын
amiin
@zuenawhite47773 жыл бұрын
MashaAllah Allah akupe umri uzidi kufaidisha umma sheikh wetu..
@bendobidhaa3018 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi Sheikh malipo yako kwa Allah yazamishe mizani kwa mema matupu..
@mizolion9234 жыл бұрын
Mashallah mungu akupe umri mrefu na wenye manufaa
@zahramurangara25083 жыл бұрын
Ameen
@naomi.j.maombi65643 жыл бұрын
Balakaallha.fiqh
@ibrahimchelangat17104 жыл бұрын
You are most respected sheikh in the world I respect you ustath mazinge may ALLAH bless you
@rashidkalimbo24514 жыл бұрын
MashaAllah Sheikhe Mazinge Allah Akupe umri mrefu In Shaa Allah...
@mwanaimaabdallah78254 жыл бұрын
Allah akuhifadh kipenzi changu Sheikh Habibu Mazinge
@shakilaabdallaherio56174 жыл бұрын
Mashaallah shekhe wetu mzinge hakika ukionoka katika hii dunia hakuna atezba pengo lako
@fatumahamisi70644 жыл бұрын
Allah akulipe khery dunia fil _ Akhera .ust mzinge na maisha marefu uvune khery nying ( Jazaq llah khery
@nadhifasalum16624 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu kipenz kabisa mungu awape umri wenye mafanikio wahadhiri wote wanaotetea dini ya Allah sw mungu akulipe shekh wetu aaaamin
@mnyongehome50134 жыл бұрын
Allah akupe maisha marefu shekh mazinge inshaallah
@HassanAli-eq8ko3 жыл бұрын
Mashaallaah mola tuhifadh..nakuepush na madui na mahasidi..amiin yarab tujalie tukaigie pepon kwa rehema zako 💜❤🇹🇿🇹🇿🤲🤲🤲
@AishaAmar-g7m18 күн бұрын
Thakbirrr❤mungu akulipe ujra mwema sheikh mazinge
@hadiadaoman19814 жыл бұрын
Allah akuweke mazinge asante kwa daawa 🤲🤲🙏🙏
@shom12294 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu
@jamilajamila45724 жыл бұрын
Masha allaah shekh Mazinge Allah azidi kukupa umri mrefu shkhe🙏🙏
@yussuffamau35713 жыл бұрын
Mashallah mungu akufanyie wepesi ktk maishayako pamoja nawaisilamu wote
Allah nijalie watoto wema wasimame kutangaza dini kama mazinge
@maherzain6153 жыл бұрын
Ameen sote
@Abdishukriolat3 ай бұрын
Amiin
@shixeoshxs72764 жыл бұрын
Takbiiiir Allahu akbar mashaallah mungu akuengezee umri na afya njema inshaallah uzidi kupambana nao makafiri
@saudaumar33545 ай бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah shukrani Allahu Akbar Allah akubariki akulinde
@yusuphamani724 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuongezee umri wa kuishi Inshaallah
@alfaqeera54984 жыл бұрын
amiin na afya njema pia
@jamilamanariyojamila14874 жыл бұрын
Mazing tunakupend Kwaajil ya Allah❤🙏🙏
@slaartistproduction69373 жыл бұрын
Shekhe wangu mazinge pamoja na kishki hawa ni binaadam wasiwaumize vichwa hao wanaowalaumu matusi haya hawakuyasikia au wanajitoa ufahamu kumbuka kwenye msururu wa mamba hata kenge wapo mungu atawakinga endeleen kutoa daawa mungu awaweke ihshaala,
@minahadi21904 жыл бұрын
MashaAllah Allah akuifadh shekh wetu
@سلطانسليمانبنجمعة4 жыл бұрын
Wallahi sheikh mazinge waeza kumskiliza siku nzima
@rehemahamisi31983 жыл бұрын
Mashaallah,,mungu akupe umri mrefu naomba uje mpaka Arusha kwa morombo
@hamisimaliseri88724 жыл бұрын
Inshallah n/mungu akulinde ili uutangaze uislam ulimwengu mzima" tuombeane uzima nitakutafuta sheikh nikupe zawadi yako
@cholomsury15484 жыл бұрын
Shekh kila mjuzi ana mjuzi zaid... Usiseme hamna huku unakula kiapo ... Yote kwa yote Allah akulipe kwa amali zako na akudumishe kweny njia ya sawasawa na sote kwa ujumla...
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Kwa ujumla hapo ameteleza,,,,kwani kuamini kuwa hakuna mwingine akiondoka yeye, ni kuamini katika ukomo wa uwezo wa Mungu kitu ambacho sikweli!!
@saidasaidjuma35053 жыл бұрын
Mm naona kasem hivo kwa sababu mm binafsi sjaona ambay anaweza kuwa kam yeye labda kwa baadae
@arqamibnarqam.71854 жыл бұрын
Laailaaha illa llah Muhammadur'rasuulullah
@shabanimbenu21634 жыл бұрын
ALLAH AKUPE SIA NJEMA NA UMRI MREFU SHEKH WETU Amiin
@abdulkinana67744 жыл бұрын
Nashahadia kuwa hakuna Mungu apasaekuabudiwa kwa haki ispokua Alla na hakika Muhammad ni mtume wa haki wa Mwenyezi Mungu. In sha Allah Mungu akinijalia mtoto wa kiume nitamuita Mazinge
@mohamedomary8704 жыл бұрын
Allah aendelelee kukupa afya njema na uendelee kukupambania uislam
@yunaithamzahran71994 жыл бұрын
amiiiin
@al-bahraynionlinetv66703 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gmS9f3mCedFgnJI usisahau kusubscribe kushare pamoya ktk njia sahihi
@TausiEme4 ай бұрын
mwenyezi akuweke hai uislamu uzidi kughaaaaaaa❤
@sofialion49254 жыл бұрын
Allah akbar mazinge Allah akuhifadhi na akukinge na hasda na husda
@yusraomary73883 жыл бұрын
Masha Allah shekh mungu akuongeze na akupe maisha marefu ili tupate elimu ya manufaa
@fatumjumaa55634 жыл бұрын
Mungu akupe afya na umri mrefu wewe na wenzako munaotufahamisha
@officialsaddmfalme53814 жыл бұрын
Mazinge eeee njooo malindi basiiiii nikuone live shekh wangu Penda wewe bure tu
@abelimathiasi75093 жыл бұрын
WATO WATOKE WAKAPIGANIE DINI YA ALLAH .... HUYO ALLAH YEYE VIPI ANASHINDWA.... NINI ... KWENDA KUTETEA DINI YAKE... SOMA KURAN 8:2
@sakinamohamed551810 ай бұрын
Allah akupe umri sheikh mazinge
@fatmahassan64974 жыл бұрын
mashaAllah sheikh Allah akupe umri mrefuameen insha'Allah
@frdmedia62354 жыл бұрын
Allah akuwekee sheikh wetu mazinge🤲🙏🙏
@hafsaali79764 жыл бұрын
""Mashaallah Allah akueke shekh wetu mazinge"
@yunaithamzahran71994 жыл бұрын
amiiin
@smileboy61994 жыл бұрын
Mungu akuweke shehe inshaalha
@salehsuleiman85193 жыл бұрын
Allah akujaalie umri mrefu wenye manufaa zaid
@saikkyiddy81293 жыл бұрын
Alhamdullillah subhanaAllah lailaha illa Allah Muhammad Rasulu Allah
@jumakarim25043 жыл бұрын
mashaallha Allah akupe umri mrefu
@hemediomari21873 жыл бұрын
Ishallah mungu akufanyie wepesi shekh mazinge uwo na moyo uwo uwo wa kusilimishisha ..
@mrashisuweid9404 жыл бұрын
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@dgee23724 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu🙏🙏 uwutumiy vzr kweny mambo yakheri 🥰🥰🥰🥰🥰
@abdulqareem51393 жыл бұрын
Mungu akuongoze katika kila jambo la gheri
@mhinatitus25474 жыл бұрын
Allah akupe mwisho mwema sheikh wetu na umri mrefu
allah akujalishe umri mrefu na uzidi kutufunza inshallah
@rehemasalim45904 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah mie nilikua sijulikan kama takueko dunian
@AkbarKhan-wu8ct4 жыл бұрын
Masha Allah mwenyenzi mungu akupe afiya na umri.
@lalaslove78313 жыл бұрын
We loved you sheikh
@RahmaNusraАй бұрын
Allah akubariki Fil dunia wal Akhera
@rashidjumamohamed34372 жыл бұрын
Maa Shaa Allah. Allah akulipe pepo Amin
@ramangadu64514 жыл бұрын
ILLAH KARIM Akupe Umri Twawili.
@halimasaid49774 жыл бұрын
Allahu AKBAR allah akulipe mazuri duniani na akhera
@tumash39364 жыл бұрын
Mola akupe umri mrefu
@mussatibenderana5723 жыл бұрын
Mungu atupe sisi wa dct wadini wetu Islam.Abdul'Madjid na Mazingi
@allymahaba55844 жыл бұрын
May Allah (SWT) Bless you Sheikh Mazinge. AMINA.
@ameirsalmini62534 жыл бұрын
Mungu anaumwa subhanallah
@Hot_rod-liesАй бұрын
Hakuna mungu mtu mungu ni mungu. Wachinia kukufuru
@allyniyonkuru17614 жыл бұрын
Thx Mazinge
@allyniyonkuru17614 жыл бұрын
Hakuna wakumuweza Sheikh wetu
@shukriolati46334 жыл бұрын
MashaAllah Sheikh Allah (SW) AKULINDE. AMEEN
@nassoraliy38714 жыл бұрын
Mungu akulide
@leilaathumani36112 жыл бұрын
Allah akuhifadhi 😭😭😭🤲
@rbagha52802 жыл бұрын
This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA
@bibieahmedseif5022 Жыл бұрын
Allah akubarik
@naimasaid77634 жыл бұрын
Maa sha Allah
@sadammatsawili75584 жыл бұрын
Mchango wangu kidogo hapo alipomalizia ndugu yangu, Sheikh Othman Mazinge kuhusu Wakristo Kutakiwa Kuoga Janaba - Ukweli ni kwamba Wakristo wengi huwa hawaogi Janaba, na wengi wao huenda kanisani kusali wakiwa na Janaba. Kwa maana kuoga Janaba kuna utaratibu wake maalaum ambao sisi Waislamu tumefundishwa na Mtume Muhammad (S.A.W) na siyo kuoga tu kama ilivyo kawaida. Ukisoma Biblia - Agano la Kale, imeandikwa hivi - “Kama mwanamume yeyote akitokwa na shahawa yake, ni lazima aoge mwili mzima kwa maji, naye atakuwa najisi mpaka jioni. Vazi lolote lililodondokewa shahawa au ngozi yoyote iliyoguswa na shahawa hiyo ni lazima ioshwe kwa maji, na itakuwa najisi mpaka jioni. Kama mwanamume akilala na mwanamke, akatokwa na shahawa, basi, ni lazima wote wawili waoge kwa maji, nao watakuwa najisi mpaka jioni." (Walawi 15:16-18). Hatahivyo, ukimwambia Mkiristo kuhusu mstari huu atasema hayo ni mambo ya Sheria na Manabii, wao wanafuata Agano Jipya - hapo msaidie kwa kumuwambia kuwa Yesu hakuja kutangua Mafundisho ya Manabii wala Torati kama ilivyo andikwa katika Biblia, Agano Jipya - “Msidhani kuwa nimekuja kutangua sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha. Kweli nawaambieni, mpaka hapo mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata nukta moja au sehemu ndogo kabisa ya sheria itakayoondolewa, mpaka yote yametimia. Basi, yeyote atakayevunja hata amri moja ndogo kuliko zote, na kuwafundisha wengine wafanye hivyo, huyo atakuwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni. Lakini yule atakayezishika na kuwafundisha wengine, huyo atakuwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. Ndio maana nawaambieni, wema wenu usipozidi ule wa waalimu wa sheria na wa Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni." (Mathayo, 5:17-20).