Wimbo huu umekuwa faraja kwangu killa ninapousikiliza..Mungu wetu yupo kazini hata sasa
@mosesgwamaka40692 жыл бұрын
Barikiwa naikubali sana nyimbo yako na voice yako pia.
@othnielepiphanus98304 жыл бұрын
We Lyanga, Tasnia umemuachia nani, hiki kiti bado kinakungoja,..tafadhari achilia na "OH YESU USINIACHE"
@lyangageorge28034 жыл бұрын
Nashukuru kwa kunikumbuka mkuu. Bado huduma ipo ndani yangu. Soon kazi mpya ntaiachia humu
@othnielepiphanus98304 жыл бұрын
@@lyangageorge2803 ameeni Lyanga
@lyangageorge28033 жыл бұрын
Mtumishi nipo. Ukimya ulikuwa na sababu. Niko kwenye kukamilisha album ya tatu. Na hzo nyingine zote naziweka soon
@happinessmtitu4485 Жыл бұрын
YESU usiniache😢
@christerrodgers65193 жыл бұрын
My best
@amazingkeph97824 жыл бұрын
Safi sana Lyanga mimi kimbulu hapa
@lyangageorge28033 жыл бұрын
Barikiwa mdogo wangu. Nasubiri kazi yako, naamini itakuwa yenye baraka sana
@ezekielmwadomba46753 жыл бұрын
GEORGE BARIKIWA SANA KWA UIMBAJI UNAO GUSA MOYO NA NAFSI!
@kennedylukwembe5774 жыл бұрын
Asante sana hii nyimbo niliitafutaga sana you tube sikuipata Ila Namshukuru MUNGU kupitia hii nyimbo Mungu alinisaidia sana kufaulu mtihani wangu wa for six 2013 Yesu oyee Mungu akutunze Mtumishi.
@lyangageorge28033 жыл бұрын
Awazavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo. Kwa kuwa umeamua kuwa mshindi, Neno la Mungu halijipingi. Naamini utafanya vizuri kwa utukufu wa Mungu Baba
@kissakyellu62732 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi wimbo unanitia moyo mnooo
@kennedylukwembe57710 ай бұрын
Amen @@lyangageorge2803
@JBB8754 жыл бұрын
Asante sana mtumishi, tunamshukuru MUNGU kwa ajili yako... nyimbo zako nzuri sana hakika zina ubaridi... naomba uweke na Zile Nyimbo zengine pamoja na ule wimbo wa “ANZA NAMI BWANA ANZA NAMI EE YESU, AKILI YANGU IMEFIKA MWISHO, ANZA NAMI EE BWANA
@lyangageorge28034 жыл бұрын
Sawa mkuu, ntaiweka soon
@lyangageorge28033 жыл бұрын
Amen man of God. Naziweka soon. Barikiwa sana mtumishi
@JBB8753 жыл бұрын
Typing error, nilimanisha HAKIKA ZINANIBARIKI, not Ubaridi... Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU .
@lyangageorge28033 жыл бұрын
@@JBB875 Nilijiongeza mkuu😊, usihofu. Leo nitaziweka nyingi zaidi, zile za zamani. Barikiwa sana
@hermangeofrey84504 жыл бұрын
Jamani wimbo wako mzuri sana napataje albam yako kwa gharama nimeipenda sana wimbo huu
@lyangageorge28033 жыл бұрын
Nafurahi kusikia, utukufu kwa Jehova. Tuwasiliane tu 0717903959
@jenifatesha72723 жыл бұрын
Nice
@renathageorge32364 жыл бұрын
🔥🔥Favorite song! Mungu akubariki sana! Waiting for other songs
@lyangageorge28034 жыл бұрын
Amen and amen
@hermangeofrey84504 жыл бұрын
@@lyangageorge2803 mkuu nauziwaje nyimbo zako nilisha wahi sikiliza kuna wimbo unaitwa usiniache