Huu wimbo nilikuwaga nausikiliza kwnye frash ya rafiki yngu...ila sikuwa najua jina la nyimbo wala muimbaji..ghafla nikautafuta karibu miaka miwili..aisee ni nyimbo inanibariki kila iitwapo leo..Mungu akubariki Lyanga..wengi waokolewe kupitia nyimbo hii. Barikiwa wote mnaobarikiwa na nyimbo hii
@miriamkarata74953 жыл бұрын
Barikiwa sana 👏 👏🙌
@twidikentwima5529 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana mwanangu yaani naurudia zaidi ya mara 100
@twilumbamlawa37116 ай бұрын
Mungu akubariki lyanga wimbo una uwepo sana,mama Joshua mdogo
@saidamapunda257510 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@happynesslyanga68568 ай бұрын
Wimbo huu kila ninapousikiliza,hupata nguvu mpya ya kumtumikia Mungu nikijua ipo siku nitamuona
@dorcaspeter17553 жыл бұрын
🙌🏻nyimbo za design hii zimepungua sana kipindi hiki. Yesu tusaidie
@rosemarymwakyusa16842 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaidi wimbo mzuri unanibariki sana
@hanskidd22903 жыл бұрын
Dah hii nyimbo inankumusha mbali sana mungu anitie nguvu asee asiniache na MM nisimuache 😭
@NeemaLyanga11 ай бұрын
Ee Mungu unikumbuke
@agliventures3 жыл бұрын
Wimbo wa sikuzote barikiwa Lyanga
@bernadomadati11242 жыл бұрын
Ni kweli tunaishi tukiifurahia dunia,lakini ipo siku tutaiacha.Mungu tusaidie.Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu,huwa nikisikiliza wimbo huu huwa natokwa na machozi.
@boniventuregerald-mu8yz Жыл бұрын
Good msg broo ...
@davidchengula27723 жыл бұрын
Huyu jamaa yupowapi maana kazi zake nzur sana
@lyangageorge28033 жыл бұрын
Yuko hapa Dar mkuu
@othnielepiphanus98303 жыл бұрын
Umenibariki sana Lyanga, nilipata tabasam na umenishika. Sasa leo umefanipa wimbo wangu... bless you my brother
@lyangageorge28033 жыл бұрын
Amen brother
@christerrodgers65193 жыл бұрын
kaka tuekeee ule wimbo wa shamaaaaaaaa tulipoanguka ulituinua
@lyangageorge28033 жыл бұрын
Sawa my sister, nauweka soon
@mreliezasalimu803 жыл бұрын
Broo ahsante kwa kutuletea nyimbo za taifa hapa sasa twaomba hii accounts iwe active