HAJATEKWA AMEJIPOTEZA MWENYEWE/TUSHAKAMATA GARI LAKE/ ATAKUJA KUELEZA MWENYEWE HADHARANI HIVI KARIBU

  Рет қаралды 2,779

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@Expedito2512
@Expedito2512 4 сағат бұрын
Hayo mambo ndiyo tunayoyataka. Jambo likitokea wananchi tupate maelezo ya kinachoendelea
@AlfredMuhina
@AlfredMuhina Сағат бұрын
Mungu awasaidie wachungaji wamegeuza makanisa kuwa sehemu za siasa ,tunaumia sana wanavyomtia aibu YESU,kanisa la TANZANIA kwa sasa ni uwanja wa siasa
@kiluiWanguvu
@kiluiWanguvu 4 сағат бұрын
watu wanafanya uhalifu alafu wanalisingizia jeshi la police 🚨. wengine wanasingizia wametekwa na police kumbe wamejipoteza.
@dizzboss7526
@dizzboss7526 4 сағат бұрын
Huyu jamaa bhana daaaa
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 сағат бұрын
DRAMA HIZO ALIKUWA NYUMBA NDOGO 😢😢😢😢😢😢
@ngotosilasi2099
@ngotosilasi2099 4 сағат бұрын
Sijasikia eti amejipoteza mwenyewe au amesemaje huyu jamaa
@SamsonMalisa
@SamsonMalisa 3 сағат бұрын
Majibu ya kisiasa
@oam14l
@oam14l 3 сағат бұрын
Hivi gari inauzika kirahisi namna hiyo?
@josephferdinandy9823
@josephferdinandy9823 4 сағат бұрын
Vipi kuhusu kina soka 😢
@gastonjohn537
@gastonjohn537 4 сағат бұрын
Mwehu
@MmohamediSaidi
@MmohamediSaidi 4 сағат бұрын
Yahani kumsikiliza chalamila ni sawa na muangalia kinyesi kwani hajawai kuongea kitu cha maana toka nimeaza kumsikiliza miaka yote alafu mpaka nashangaa ivi hawa viongozi wanapatikanaje
@pauloropian2367
@pauloropian2367 4 сағат бұрын
Kwa kweli tz kuna wajinga wengi sana eti amejiteka mungu awalaaani wote wanao husika juu ya utekaji
@erastomapunda1444
@erastomapunda1444 Сағат бұрын
Sijawahi mkubali huyu
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 4 сағат бұрын
Kwakua wanaowateka watu ni polisi bhasi Kuna watu wanatumia huo mwanya kujiteka....huenda kutoka na madeni akajiteka Kwakauli Yako kwamba dar es salaam IPO salam. Mh! Kweli .? Mfano soka au kibao Ambae mchana kweupe au Roma alitetekwa au satika mwakabela dah Kuna muda hivi vitu vinaumizaaa kuona kubwa jinga anaongea ujinga
@TufaniMcharo
@TufaniMcharo 4 сағат бұрын
Mungu yupo
Sudden assault near Kursk / Putin's statement
13:04
NEXTA Live
Рет қаралды 907 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 10 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 152 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 21 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 48 МЛН
Зурабишвили: "Мой мандат продолжается"
1:01
Euronews по-русски
Рет қаралды 17 М.
BULLY Picks on Manny Pacquiao…INSTANTLY Regrets IT
14:58
The Match That Made Zinedine Zidane Retire
14:37
BR7 Football
Рет қаралды 5 МЛН
LISTEN TO WHAT GACHAGUA SAID ABOUT RAILA AND HIS AUC SEAT!!
27:33
KILICHOMTOKEA MAMA TAJIRI ALIYE KATAA MWANAE ASIOLEWE NA KIJANA MASIKINI
5:17
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 10 МЛН