Jamaa Hana mwema anapenda kusujudiwa badilika Kuna muda jishushe maisha yawe rahisi
@AhmedHussein-l3tАй бұрын
Kabisa ndugu huyu ni mbinafsi alafu anasau maneno yake alivyokuwa amefungiwa alikuwa anasema yanga walikuwa wanampambania leo anasema yanga hawajamsapoti
@pena_tzАй бұрын
ukiacha network ya kuwa karibu na matajiri na kipawa cha kuongea , kwa tabia za huyu jamaa mtu mwingine yeyote hawezi kuvumiliwa kwenye taasisi yoyote ile nyingine.
@faidhamyovela179Ай бұрын
@@AhmedHussein-l3t😂😂😂😂😂
@ZuwenamachelaАй бұрын
Haji Yuko sawa sema anachukiwa kwa mafanikio yake yanga walipaswa kumpa nafasi yake baada yakufunguliwa
@raymondclaud6026Ай бұрын
@@Zuwenamachela Tatizo ni uwezo wa Ally kamwe ndio umemfanya hivyo
@juliusmhilu9402Ай бұрын
No matter how good you are.A good dancer must know when to leave the stage.
@MgemaMpinaАй бұрын
Prof.Lumumba
@kwisa4899Ай бұрын
Sure
@RehemaSaid-ww1mmАй бұрын
Mungu bwana aliondoka Simba kw kiburi sn wamekunyoosha
@sadirally5007Ай бұрын
Huyu manara anazeeka vibaya sana hana shukran.
@thomaskiponda6079Ай бұрын
MANARA NI MMOJA TU❤❤❤❤
@benimlisa6056Ай бұрын
Manara is very bright...
@ahz6907Ай бұрын
😂
@abbyjma7355Ай бұрын
Tapel kama matapel wengine
@yonathanthomas3849Ай бұрын
Akili nyingii bro MANARA
@hafia.056Ай бұрын
Youngs Africans is most powerful Team in Africans yes it's
@JamalAbas-fe5djАй бұрын
Engineer ersi anaakili mno interview mzima anamsifia galib tu haya tusubiri cku maalum awavue nguo yanga
@stevekipepeo2134Ай бұрын
Full of Pride 😢 unajisifu sana mzee
@foroforoy2554Ай бұрын
Mental health is real. Brother Haji ana ugonjwa adimu wa akili; ni huo unaochochea hisia za kuonewa, kudhulumiwa, kuonewa wivu, kuchukiwa nk. Anahitaji mwanasaikolojia nguli kumsaidia.
@ponceanokilumbi8972Ай бұрын
Huyu jamaa lazima anashida,si bure huwezi ukagombana na kila mtu.
@halimamwingu4478Ай бұрын
Anapenda kubembelezwa na anataka kujipangia kaz na sio kupangiwa ba boss zake kisa yy anajiita ana brand. Atateseka sn alafu anapenda taarabu kila mda kuitaita waandishia.
@chamimdesa148Ай бұрын
Ukiwa na mtu mwenye kulaumu Kila mara, hafai hata kuwa rafiki yako.
@foroforoy2554Ай бұрын
@@chamimdesa148 Anachusha
@foroforoy2554Ай бұрын
@@halimamwingu4478 Ana shida
@emmanuelmalyeta8125Ай бұрын
Yanga inaweza potea muda si mrefu. Hii sio nzuri 🙆
@agapemwakisole537915 күн бұрын
Broo haji tunakuhitqji sana yanga hebu rudi
@DicksonKobeАй бұрын
Malizeni tofauti zenu mna nguvu kubwa mkiwa pamoja,daima mbele nyuma mwiko
@imoo_blackgoldАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Manata kapatikana
@OmaryMohamed-x1rАй бұрын
Huyu mzee yaan akili zake ndogo sana, au sijuw anaugonjwa wa akili, yaan hata hana mwema kabisa maishani mwake. Mtendee wema wowte kwa kumuonea huruma lkn yeye ipo siku atakuja kukusema Vijaya tuu. Daah aisee. Mwenyezi mungu nihepushe na roho mbovu kama hii 12:18
@hamzarumela1784Ай бұрын
Baado hujasema😂😂, na utasema tu😂😂
@salimhamad3878Ай бұрын
Haji anamaanisha analipwa vzr kuliko chama, pacome etc.
@famionlineapdates9371Ай бұрын
Manara wallahi acha unafiki wallahi
@halidimgonza5945Ай бұрын
Hongera manara kw kutimiza mpango wetu wanasimba kumtumia HAMISA MOBETO kumshusha kiwango AZIZI KEY, ubaya ubwela ❤️💯❤️ na surprise SIMBA NGUVU MOJA 💪💪💪
@salmawaziri139Ай бұрын
Sasa pacome wampe kajala😂😂😂
@regnaldishayo8718Ай бұрын
Anae caren simba@@salmawaziri139
@sesiliajoseph211Ай бұрын
😂😂
@kalumunakalumuna7403Ай бұрын
Manara is bright
@salimdiabyonlinetv4873Ай бұрын
KIZABI ZABINA BAINA YAO NDO WEWE HAJI MANARA, HALAFU JIFUNZE KUTUNZA TUNGO ZA NENO, HALAFU HUJUI KULINDA HESHIMA YAKO, (HATUNA URAFIKI WA ZAMANI !) USIPENDE KUONGEA ONGEA KILA KITU UNAJISHUSHA SANA.
@rukaya-jg7hjАй бұрын
Hee kazi kwelikweli
@elgringo8592Ай бұрын
Aisee hili jamaa linafiki balaa🤔🤔🤔🤔
@MeliusMnyagalaАй бұрын
Wew manara nan kwa yanga
@RajabuMdeeАй бұрын
❤mimi nakuamini sana
@erickmakundi5278Ай бұрын
Wanamgombea boss😅😅😅
@kisegeselokisegeselo3815Ай бұрын
Mbona ulisema wamekuongezea mshahara baada ya kufungiwa leo unasema huna kazi jamani njia ya mwongo ni fupi😢😢😢
@molenicharles9107Ай бұрын
Njaaa noooumaaa🤣
@JamalAbas-fe5djАй бұрын
Kila kukicha anaonewa yeye tu na manara ndio binadam asiyekosea hajawai kukosea wanaokosea mengine tu
@jumamarco-mh1hgАй бұрын
wew umepitwa wakati wakooo
@angellomarcel5677Ай бұрын
HAJI.. HAJI.. HAJI nimekuita Mara 3 Wewe Shetani wa mgùu mmoja
@FelixMdoeАй бұрын
Huyu jamaa ni mvugaji sana aisee
@kwisa4899Ай бұрын
Huyu jamaa kawa kama x wangu
@FrankKakungu-r6uАй бұрын
Ongea ukwel khaji
@JonasiMwamengoАй бұрын
Karibia Simba brother
@patrickkaite3822Ай бұрын
😂😂😂😂 bado ujasema
@isaacbywell7081Ай бұрын
Akili zisharuka hapa
@HasaniMakonoАй бұрын
😂😂😂 nabado kauze supu jangwan
@PASCHALMAGANGA-t5uАй бұрын
Manaraa hawakujui hao utopolo wamalize simba ni dudeee likubwaaaaaaaaa😂😂😅😅
@SepheyAgenАй бұрын
Manara sio yanga
@elardmassawe5513Ай бұрын
Mungu akiumba usisononeke kubali matokeo
@ahmeddzekoo7938Ай бұрын
Uyo boss wenu muongoi sana kwaiy analipwa milion 50 kwa mwezi bila kufnya kazi yoyote
@cosmasthomas9164Ай бұрын
Oooohhh,hizo ni zama za kaleee,.....zilipendwa!! ×2
@faidhamyovela179Ай бұрын
😂😂😂ndo maan GSM hakutaka awe karibu huy angemuharibia business😂😂
@AgnesJohn-f1rАй бұрын
😂😂😂
@NassoroSalum-f3hАй бұрын
Big up
@jumamarco-mh1hgАй бұрын
unaumarufu ganiii fara www
@MwajumaNgarumaАй бұрын
Uyu ndo manala baba😂😂😂😂 na Bado tutayasikia mengi
@mwikamwika4851Ай бұрын
Kichaa huyu,alidondoka Simba SC kwa nyodo Sana na sasa anavuna ujinga wake
@StephanoGumbo-k8bАй бұрын
Anatamani lkn maji kayamwaga kaanza moto unawaka
@AbrahamMohamed-o4qАй бұрын
Yani leo unamsema vibaya injinia
@FettyAbuu-k3dАй бұрын
Kwani ujui iyo ilikua mipango ya rais wa yanga ili ikubomoe na imefanikiwa ulikua hujuiii😂😂😂😂e
@othmanmalik6468Ай бұрын
Taratibu kunapambazuka anasema kuna siku atazungumza 😂😂😂
@selemanisabihi5994Ай бұрын
Ata manabii walikua nazama jua ivyo
@AnordAridinАй бұрын
Kwahiyo kama unalipya maana yake nn
@rajabumdoe3527Ай бұрын
NIMELIA VIBAYA MNO ALIVYOTAJA SUPU😢😢😢😢
@AsiaAthumani-ew1gvАй бұрын
😂😂😂 kinachokuliza mwenzetu 😅
@mqkqmbiАй бұрын
Haji manala ana baya
@BarakaKusalulaАй бұрын
Kuna kitu hakipo sawa ila najua hakuna mtu anahama timu ukubwani 😂😂😂😂
@othmanmalik6468Ай бұрын
😂😂😂
@Mkally88-fl2efАй бұрын
BUGATTI UMEPIGAJE APO 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@AbdallahMapilaАй бұрын
Kwaiy analipwa pesa mingi kuliko aziz ki
@augustinongabo6311Ай бұрын
Manara ana tatizo
@RajabuhamisiHassan-qv5wmАй бұрын
Jamaa kanza visa 😅😅😅
@simbascdailysimbasctanzani2835Ай бұрын
Ndiyo maana wazee wa zamani walikua hawa wataki hawa
@francisdavid001Ай бұрын
Huyu jamaa yeye ndyo huwa anaonewaga siku zote
@godlistengodlisten7552Ай бұрын
UNALAMIKA MNO KILA MTU UNAONA KAMA ANAKUONEA WEWE UMEKAA NA WANAWAKE WAMEKUSHINDA UMEKAA SIMBA IMEKUSHINDA SASA UMEGEUKIA YANGA TENA.
@MsevenSaudisaidiАй бұрын
Injinia mrudishe manala huyu mwamba kweri kweri Ari kamwe🎉❤
@HalimaMichael-x6xАй бұрын
😂😂 umeandika nini sasa
@AgnesJohn-f1rАй бұрын
@@HalimaMichael-x6x😂😂😂 Kuna watu wamevurugwa balaa
@Reyy2406Ай бұрын
Ebu nenda shule kwanza ma wewe
@davidmangilile3568Ай бұрын
Niliwai kuwambia huyu jamaa ni tatizo sana anapenda sana kusujudiwa amekimbia simba anataka kuwavuluga yanga
@HusseinBakar-k8nАй бұрын
tayari ukoooooooo😅😅😅😅😅😅
@godlistengodlisten7552Ай бұрын
KWA HIYO HAJI MANARA YANGA NDIO ILIKUTUMA UKAMTUKANE RAIS WA TFF KARIA?
@AllystorАй бұрын
Ulikosea Haji huwezi kwenda kusimama kijeuri kutaka kupigana na Rais . Cheo cha Urais ni kikubwa sheikh.
@SaidiRamadhan-i4eАй бұрын
Mungu awe nawe siku bado zipo.
@khamisikhatibu-f1rАй бұрын
Kaka pole sana ila mvumilivu hula mbivu
@FaridiSalimАй бұрын
Binafsi napenda urudi kweny Cheo chako yanga .. tangu utoke yanga tumekuwa tofauti saanaa
@neemaenock9595Ай бұрын
Sema manara una nyota sana
@JemesMwamwalaАй бұрын
Ulikuwa wapi siku zote yanga kufungwa umeita wandishi wew kada wa Simba
@Elibarikijigita-r4rАй бұрын
Achana na mpira kaka 😂
@godlistengodlisten7552Ай бұрын
MANARA KWELI ULIKUA MAARUFU TATIZO LAKO UNAROPOKA MNO ACHA MAMBO YA KITOTO UMESHAZEEKA.
@enockabumba7513Ай бұрын
Nakupenda bure bugati wetu
@ThomasMgwabati-cj1zhАй бұрын
Sasa hata usipoisapoti Yanga utaenda wapi ikiwa kule uliharibu vibaya nakuona km Yanga malaika hiyo zambininakutafuna mwenyewe hela zilimshinda Yuda vumilia naona unatia huruma sana
@asmasalumuАй бұрын
Daaa
@mahmoudhamisi673Ай бұрын
Ukuachwa achika 😂😂😂
@IgnasiaAllyKimbuАй бұрын
kaka uyo manara mnafiki sana
@desderyanatory6671Ай бұрын
Jamaa haeleweki na ni msahaulifu wa kile alichokiongea sekunde 10 nyuma
@jafaryngondo8199Ай бұрын
NIKWELI KABISAAA HAKIKA BROTHER UNAONGEA KABISAAA
@julianajeremiah4353Ай бұрын
Hakuna timu itakutaka una mdomo sana Sasahivi vijana wapo vzr
@innomafuru909Ай бұрын
Hivi Manara anajaribu kutushawishi kwamba anaisaidia timu kufika mbali 😂😂😂😂 Ukweli ni kwamba yeye ndio ananufaika kufanya kazi na Yanga. Timu ni kubwa sana ile ni mtaji tu kua msemaji jangwani Simba
@NicksonFelicianАй бұрын
Kazini hakuna urafiki Kuna utendaji
@rajabubwakila197726 күн бұрын
Anaemsema Haji vibaya ni mwehu kwani huyu jamaa ni tofauti na wooote kwenye mpira
@chalazaonetv4749Ай бұрын
Ukiwa msaliti utasalitiwa
@mahamedismail601Ай бұрын
Haji umarufu haupeleki binguni ila bidii Yako ndo ita kuweka mjini ndo mafanikio ilaa nakuona una ogopa kuongea na milady vizury towa ubuyu sherya Iko brother
@francisandrew5386Ай бұрын
tapeeeli tu
@prosperjuma905Ай бұрын
Huyu si alisema aliendelea kulipwa mshahara kipind akiwa kafungiwa? Tena kasema aliongezewa na mshahara. Leo anasema siku nyingi alishaacha kuwa mtumish wa Yanga.
@KosovoNaiiemАй бұрын
Hawakutaki hao Rudi nyumbani
@ahz6907Ай бұрын
Hatumtaki simba aende azam huyu malaya😂
@AgnesJohn-f1rАй бұрын
@@ahz6907😂😂😂
@AsiaAthumani-ew1gvАй бұрын
@@AgnesJohn-f1raende kengold t hata ss simba hatumtaki😂😂
@emmanuelzwallo3933Ай бұрын
Bro Haji ,Sizani kama maendeleo ya Yanga mpaka hapo ilipo kuwa umechangia chochote.Nilichokiona kwako ni kuifanya Yanga ichukiwe na uongozi wa TFF kwa sababu ya Over confidence zako Za kujibu kama wewe ni Alpha na Omega katika soka.Naamini kuwa hakuna mtu mwingine zaidi yako ambae ana mvuto katka ushawishi wa soka hapa Tz kwa upande wangu huwa nafikilia hivo.Lakini naamini hata ukiingia au kuiacha yanga au kuichafua yanga,sioni kama utaleta athari yyote maana Yanga ni Taasisi Kubwa kuliko wewe.
@braystuskibassa3842Ай бұрын
Binafsi ni kweli nimekuwa na maswali mengi lakini hebu tuache yote nadhani kwasasa kama utakuwa na uwezo wa kumiliki timu tengeneza mazingira ili uwe huru zaidi mengi yote achana nayo ni sehemu ya maisha 💪
@JoshuaDanielngendalikomaАй бұрын
Nakukubali hauna baya
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jmАй бұрын
Mwana kulitaka ndo hii sasaaa
@rajabubwakila197726 күн бұрын
Allah akuzidishie shekhe Haji
@hafia.056Ай бұрын
Kaka manara let's saying you and us Youngs Africans oyeee oyeee hayaa Twendeee kazi all eeeee