Tumshukuru nwenyezi mungu juu ya hii neema na pia watendaji na wasimamizi wa mradi huu wa watanzania.. ningependa kutoa wazo juu ya sehemu ya mageti na maeneo ya vituo kuwa waongeze mageti ili kuwepo na wepesi wa kushuka na kuchukua abiria bila kurundikana. Na pili maeneo ambayo train inapaki panahitaji mapaa makubwa au yaongezwe kwajili ya kumkinga abiria pale anapo shuka au kupanda kwenye vipindi vya jua na haswa mvua . Please trc angalieni hili train ni ndefu mno so huwa abiria anapata shida kushuka pale panapokuwa na hali ya hewa hizo. Please wekeni mapaa marefu na mageti mengi ili kuweza kufanya train yenu kuwa efficient ya mda na huduma kwa ujumla . Ni wazo pendekezi juu ya mradi wetu .
@patrickmashalla395414 сағат бұрын
Tungesikia na revenue za kipindi hiki taarifa ingetusaidia zaidi. Asante
@karafuunanazi170114 сағат бұрын
Kwenye hili la uhujumu wa miundombinu asichekewe mtu, adhabu iwe mfano kwa mwengine kutoiga.
@frankmushendwas3713 сағат бұрын
Weeee shika adabu yako kwa akili gani nyie kuzidi treni za ulaya hiyo treni sgr ulaya zimetumika miaka zaidi ya ishirini iliopita
@deohaule816114 сағат бұрын
Acha kampeni za kisiasa, wahuni wapo ndani na nje ya serikali. Sitetei ubadhilifu wa miundo mbinu. Ila ndani ya serikali kuna madudu mengi kuliko uraiyani. Viongozi wa kiiba wana nyamaziwa, ila raia akitenda dhambi hiyo hiyo anahukumiwa. Kwanini sheria ikate upande mmoja? Mimi naami kama haki ikatendeka pando zote mbili basi Tanzania itaweza kupiga hatua kubwa sana.
@dickchambilo913810 сағат бұрын
Maneno mazuri, viongozi wakipunguza ubadhirifu na mama yetu samia akasimamia kwa weredi mapato ya nch. Hakika siku chache zijazo Tanzania tutakuwa the best Africa mashariki. TATIZO LIPO HUKO JUU KWA VIONGOZI. MUNGU IBARIKI TANZANIA🇹🇿
@kambamazig020243 сағат бұрын
Hii inahusu nini anachokikemea kuhusu uharibifu w miundo mbinu, kama bile taa za solar barabarani na hiyo SGR. Tuache usahbiki wa kukimbilia siasa bali tukemee haya maovu kwa kishindo kikubwa. Manara hajakosea chochote, huu ni uzalendo na wala kila kitu siku zote si siasa.
@deohaule81613 сағат бұрын
@ inahusu ubadhilifu wa mali za umma
@frankmushendwas3713 сағат бұрын
Wahujumu hawawezi kukoma kwa sababu wizi wa kura kuandikisha watoto marehemu na kuhujumu reli wote sawa ni wahujumu sasa mnashangaa nn watu kuhujumu ikiwa wasimamizi wahujumu