Nakupenda Sana Diana Mimi ni fan wako since upo bongo movies nimeanza kukucheki nikiwa kabinti Greece movies zako nimezitazama km mara 60 I love u umekua kiakili na kilakitu...big up
@siriyangu47242 ай бұрын
Mashallah Diana na lulu awa mabint wanajitambuwa kujibu kuonge kujiamini hawayubishwi na maneno ya wtu ❤
@jrm94483 ай бұрын
Huyu binti nilivyokuwa namchukulia na baada ya kumsikiliza ni vitu viwili tofauti. Huyu ni very smart, real and humble
@julianajeremiah43532 ай бұрын
Yahaa kapo vzr
@oiiii38982 ай бұрын
Nchi za nje zitakuweka humble hasa nchi za kizungu
@orupayoeli76592 ай бұрын
Vidoo... si umuoe huyo binti, mtapendeza sana km umetulia. Anaonyesha ana akili sana I love her.
@experymassawe35212 ай бұрын
Alikua advanced country lazima abadilike
@theresiajames75743 ай бұрын
Yooooooooo😍😍😍😍😍😍😍…. She is braveeee… yaani huyu mtoto angeenda shule cjui ingekuwaje.. ana akili sana… ungekuwa mwanasheria mzuri sana.
@doriceprosper65883 ай бұрын
Aisee Diana uko smart sana kwenye muonekano, kuongea, kujb maswali na uko honest..unasimamia ukwel..nadhañ n Moja ya sifa ya watu wenye majina ya D..may God Bless you Beautiful Lady❤❤
@dianaprojest3203 ай бұрын
Ma Diana ndo tulivyo
@amdee993 ай бұрын
@@dianaprojest320Umeona ee wajina❤
@TeddylameckTeddy-q5o2 ай бұрын
@@dianaprojest320waongo mno alafu wanafik
@lewinaemmanuel2678Ай бұрын
mmh Doree😅
@DeborahVerianАй бұрын
Kwa mara ya kwanza nasikiriza mahojiano ya muigizaj had mwisho nimependa sana na❤❤❤
@AzaAzamhmod3 ай бұрын
TUSIMUHUKUMU KWA YALOPITA TUGANGE YAJAYO MIE NMEMPENDA YUKO REAL AFU SHE SO 😍 CUTE
@uiptv3653 ай бұрын
Nakupenda bure Diana. You’re very humble and talented 🙌🏽🙌🏽❤️❤️💯
@magrethjohn86389 күн бұрын
Mara ya kwanza kusikiliza msanii nikamwelewa .she is very bright i love her
waooo very nice umeokaka, kabisa Mungu atakubadilisha tuu nakuona Umeamua Mungu akusaidie
@kekiplus1andonly3 ай бұрын
Maisha ni safari. Kila kinachotokea ni part of the process..as long as you stay alive through it all...all is well,
@jeanpierrekwizera64003 ай бұрын
Napenda sana Majibu yako Diana, Love you from 🇨🇦🇨🇦🇨🇦
@HellenBarbara4023 ай бұрын
Hi dear
@MwanaishaMande3 ай бұрын
Jamani naombeni msaada nije kupambana
@MwanaishaMande3 ай бұрын
Jamani naombeni msaada nije kupambana
@adventinaedward79932 ай бұрын
Hello tunaomba connection jmn
@AzaAzamhmod3 ай бұрын
Kazuri❤❤❤❤ sana Kako matured
@maryamsuleiman63402 ай бұрын
Hongera mwanangu ulijitahid ,tafaut naulivokua unaonekana Enzi zile ,namama ako alikua vizuri kiushauri kwako
@NOELAMUSHI-qb1nb2 ай бұрын
Upo vizuri vido. You have technical questions.
@DANINYAKWELA3 ай бұрын
One of the best interviews❤
@saudalilingani92643 ай бұрын
Hongera sana Diana kwa kubadilika. Pia nimekupenda kuwa mkweli hv vitu
@MiriamKomba-l6u27 күн бұрын
Umebadilika umekuwa sana nimekupenda sana umesafiri umetanuka kiakili sana kusafiri kumekufanya ukuwe kiakili ❤
@iskawarioba6823Ай бұрын
Umenigusa sana mdada na umenipa moyo wa kupambana zaidi...shukran 😊
@SarMse2 ай бұрын
Bonge la interview Vido big up❤❤
@AminaJuma-r4y3 ай бұрын
Diana yupo chamingi 😂😂❤❤ we nimkweli ongera 🎉🎉
@recholwillison3 ай бұрын
Mm nilishidwa kujisomesha nikaamua kuacha Shule ili nisomeshe wadg zangu hakika nilipitia maumivu makali Sana lkn Huwa Sjali kabsa kwa sababu Mungu hakunitupa mbali
@GeraldElias-s7j3 ай бұрын
Moja kati ya interview bola nimeipenda pia nandoto zakwenda marekan one day yes
@Shazna_mwasi2 ай бұрын
Naomba namba zako tujichange tuondk
@shadiasaid-wm8wr2 ай бұрын
Kabisa,tutafutane tuondoke@@Shazna_mwasi
@shadiasaid-wm8wr2 ай бұрын
Tutafutane tujichange tuondoke
@Shazna_mwasi2 ай бұрын
@@shadiasaid-wm8wr namba yako
@lindacharles9982 ай бұрын
Hahaaha shida siyo kujichanga jamani shida ni kuvuka pale ubalozi wa marekani hahaha ilikupata viza siyo simple ivyoo jamni katika nchi ngumu kupata viza ya kwenda ni marekani
@TinahDaud3 ай бұрын
An we mdada nakupendaa sana ad kweny daftar Lang la shulen niliandka jna lako jmn
@neemakullaya72213 ай бұрын
Nimefurahi kusikia kutoka kwake kuliko kusikia mtaani ❤
Kweli Diana umekuwa mentality safi sana mwanangu, Itapendeza uwabadilishe rafiki/jamii waliotayari kubadilika waelekeze kuwa na hofu ya mungu
@gloriouskweka66302 ай бұрын
Mpenda kula mwenzangu 🥂🥂
@khadjamhozya2 ай бұрын
Fundi sana wa kuigiza tena sana💕💕💕💕
@ZainabuMshasi3 ай бұрын
Danija mov nzuri sana
@nasradaud62122 ай бұрын
Na akili mno tofaut na ukimtizama mung akuongoz bby ,nmepnd statues yko umenyooka❤
@creativity8292Ай бұрын
Washkaji wamekutana kwenye interview, nimependa sanaa 😅😅😅😂
@judithsalvatory28923 ай бұрын
Nimekupenda sana❤❤❤❤
@aishakopose263 ай бұрын
Diana una jielewa sanaaaa❤❤❤🎉
@gloriamwanjali93713 ай бұрын
Be strong, you can and you will be where you want to be.
@khadjamhozya2 ай бұрын
Mzuri sana tena sanaa❤❤❤❤❤
@RosemaryKisenga-b8z2 ай бұрын
Uko vzri sana dada, naomba niunge kazi huko ata za ndani tu jamni😊
@sekelamwangomo54583 ай бұрын
Anafanana na riyama ally
@WallaceWaweru-ob7jz3 ай бұрын
🎉❤the best girl
@gentillembozi84332 ай бұрын
Iyo ni kweli kbs tn hata zaidi ya iyo mshahara uko bomba kbs Watu wanadharau kazi za uku ila mshahara uku juu mno
@fathma-wp1gt3 ай бұрын
Nampenda uyu dada nimkweli🥰🥰
@JacquelineJames-g3f2 ай бұрын
She's very smart 👌
@nalindwadanda2 ай бұрын
Hongera diana una ique kubwa sana
@deboramuhoja17773 ай бұрын
Nimependa mtangazaji kwa maswali, uko vzur sana🎉🎉🎉
@LatifaMatayo-sz2cb3 ай бұрын
Ayo tv ni balaa
@YudaGerard3 ай бұрын
Ni kweli kabisa nipo usa more than 12 yrs hizo kazi ndio haziishagi hapa usa na ziko flexible ni nguvu na mda wako tu na ni kweli zina pesa nzuri
@saeaaa85713 ай бұрын
Tupeane hizo issue jmn Bongo kubaya hakunogi kbs...
@zenarzchenga26313 ай бұрын
Naitaji kuja jaman nnandugu uko nifanyeje
@yusraally72643 ай бұрын
Habari yako je unaweza kunisaidia nawezaje kupata mm niko Dubai
@UstarJordan3 ай бұрын
Nami nahitaji jamani nitapataje hiyo kazi nipo dar
@محمدالبلوشي-ح9ل3 ай бұрын
Jaman tupeane mchongo tunataman kuja
@irenekomu7562 ай бұрын
So nice Nakupenda bure D
@judithkirenga99773 ай бұрын
Watanzania tupende nchi yetu, Tanzania kuna mapungufu ila mazuri ni mengi mno❤
@chinatanzaniabusiness12622 ай бұрын
That's why we look alike❤
@racheldm-eq7yz2 ай бұрын
Wow your so Amazing 🥰❤️
@restymeyshack88703 ай бұрын
Au mnigeria jamaa maana😅,, hongera mwaya nakupendaga
@salmabamba27513 ай бұрын
Atakua huyo huyo maana hao watu kwa matukio ni noma 😅😅
@restymeyshack88703 ай бұрын
@@salmabamba2751 sanaaa😂
@mackymatthew36212 ай бұрын
Kama sio mnigeria ni Ghana maana hawachelewagi😂😂
@restymeyshack88702 ай бұрын
@@mackymatthew3621 umeona ee😂🙌
@mackymatthew36212 ай бұрын
Yani ukiingia Europe or USA mzimamzima lazima hawa watu wakusogelee na wanavyojua kudanganya na kutembea na magari expensive ya kuazima kumbe hawana kitu fyuuuuuuuuuuu😂😂😂😂 wakishakuzalisha na mapenzi yanaisha. u@@restymeyshack8870
@raheemsaleh143 ай бұрын
Yuko really sana, I like it
@OstakiaCornely3 ай бұрын
Marafiki sio watu wazuri Bora kuishi bila rafiki
@rahimaaaaa56823 ай бұрын
Kbs😊
@elizabethlukoo46622 ай бұрын
Sanaaaa kbsaaa
@HamisiRashford2 ай бұрын
Thanks for interview
@zawadichalale40473 ай бұрын
Ni kweli huo mshahara wa 10M hajadanganya
@leesteragodfrey8283 ай бұрын
NAMP3NDA HUYU BINTI JMN ❤❤
@MillanHashimuMadenge-nu1ok3 ай бұрын
Nampendaga uyu dada yeye ndo alianzisha kusema no comment 🎉
@RestMdetele3 ай бұрын
Kumbe ni yeye 😂😂😂
@hildagabriel10033 ай бұрын
Kwenye umri nimempenda sana
@zaynabmwanjovu82773 ай бұрын
Hata asingesema huyu na Lulu, tunawajuwa kama tumewazaa
@bonamarlene2 ай бұрын
Iko na miaka ngapi
@saudalilingani92643 ай бұрын
Hongera
@jacklinejuma-bo7zj3 ай бұрын
Mungu abariki wadada wote tunaopambana nje na nchi yetu mjnyu atupe afysnjema na pumzi teleeee🎉🎉🎉🎉❤
@HaniphaKhalfaniАй бұрын
Mm napenda hizo kaz natamani nipate nikafanye
@anyangograce14652 ай бұрын
❤Binti mpambanaji sn nimempenda alafu anajua kukieleza sn
@BelindaUwase-q8y2 ай бұрын
Nakupenda sana Diana wangu🥰🥰
@mankalodi57963 ай бұрын
Uko vzr ,uko muwazi vzr sana
@fatmahussein21463 ай бұрын
Dayana amenipa tumaini sana la kulea mtt mwwnyewe ingawa baba ake anatoa matumizi lkn kuja kumuona mtt ni ngumu ila kupitia dayana nimejifunza ukibeba mimba mtt ni wako mwenyewe
@milleniumkibasa87732 ай бұрын
Hongera bby uko kama mm
@JamilaJumanne-u7qАй бұрын
Huo ndo ukweli❤
@joslinchuwa12983 ай бұрын
Nakupenda love Diana
@sekelamwangomo54583 ай бұрын
Kumbe she's smart
@NadineNdagwaruka3 ай бұрын
True story 💪🙌🙌
@NasrahMsiagiАй бұрын
🎉🎉🎉🎉maua yake
@Nice-Conrad13 ай бұрын
Wooyiii
@bahatirngulika44932 ай бұрын
Kumbe huyu binti yuko smart kiasi hiki??? Kweli we should not judge a book by its cover
@RehemaSimoni-w5z2 ай бұрын
Nampenda automatically ❤
@elizabethwanjiku78313 ай бұрын
Ni ukweli. Kazi za care giving kwa wazee marekani zina hela saaana.
@LilianLilian-bx1ec3 ай бұрын
Nampenda Sana huyu mdada jmn
@NafisaHeradi-o1z2 ай бұрын
Binti nakupenda ❤
@AzaAzamhmod3 ай бұрын
Vido ungemuoa dayana INGEPENDEZA
@TynerGodfrey2 ай бұрын
Ila ww
@JamilaJumanne-u7qАй бұрын
😂wabongooooo manimer zetu
@DarleneMacMillan-lp9bsАй бұрын
Aniunganishe na mm jamani duuu
@NafisaHeradi-o1z2 ай бұрын
Naitaji namba ya mu dada 👏🇨🇩
@julianajeremiah43532 ай бұрын
Safi mdogo wangu nilipokuona juz nilifurah sana una akili sana
@AgnethaLugenge2 ай бұрын
Uko vizuri kwa kukijibu maswali Na anayeuliza yuko vizuri pia naona sasa unamkimbiza milled ayo
@hadijahemed78613 ай бұрын
She is so smart ❤
@coletamwalukasa34712 ай бұрын
Bravo Diana
@remiomar71543 ай бұрын
Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa ni al waheedul kahar
@saimonntani68313 ай бұрын
Bro unabahati sana ulisha wahi kumuona Mungu nini?
@halimamfaume19253 ай бұрын
Kabisa ❤
@Jifunzebure3 ай бұрын
Ulimuona wapi ukathibitisha hilo
@remiomar71543 ай бұрын
@@saimonntani6831 katika vitabu vyake vitukufu
@remiomar71543 ай бұрын
@@Jifunzebure Jina lakidunia lako Ni zuri ....haya kajifunze tena kwenye Qur'an
@HawaAbdu-gt3yz2 ай бұрын
Nipe conection guy napenda iyo kazi
@BERTHAThomas-e9t2 ай бұрын
Ilove you.sister ❤❤
@HafsaSalwa-f9h3 ай бұрын
Wangekua wangin tushachok na kutuchangia kizungu utasema tunakijua 😅
@beatricemassawe88832 ай бұрын
Dada ukiritudi nichukue nimechoka kuungua jua tz ila kingereza sijui
@happinesspascalnyambita84262 ай бұрын
Nakupenda dayana wangu
@MariaThomas-wm9iq3 ай бұрын
Sema vedo anajua kuhoji
@TeresiaMsaky3 ай бұрын
Nigeria kashamuachia mtoto
@FatmaHamad-g6s3 ай бұрын
Umejiachia Dayana unakula vya kinyumbani mwili umeongezeka kipenzi
@JoyceKalama-z5j2 ай бұрын
Nimependa hii...huyu Dada anajielewa
@violetmrema44273 ай бұрын
kama kuna aliesikia mtoto anamwacha kwa r.... and then daycare meaning kwa rafiki ndio jibu la kweli
@chinatanzaniabusiness12622 ай бұрын
This girl is so me
@Ms_kibenaАй бұрын
🥰😍
@benosilwani52083 ай бұрын
Apo kwenye BANGI vido ametoa macho
@DelightfulMacawBird-tl5hf3 ай бұрын
Manywele yako ya kiarabu ya nakukera dayana😂😂
@sugarthompson93693 ай бұрын
Nimekuoenda tena Diana kwa Mar nyingine yn muwazi sana hujikwezi which good kabisa