ANAPOISHI BI REHEMA MAJUTO ANA CHUMBA CHA KUFUNDIA WARI/MUME WAKE KAMKIMBIA MIAKA 8/KAFUNDA WARI 400

  Рет қаралды 45,996

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Пікірлер: 146
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 10 ай бұрын
Daah nimefurahi kumuona bi Rehema nimekumbuka akiigiza na marehemu mzee king majuto nilikuwa naburudika saaana ❤❤❤
@abduliwhryj4ftnassor233
@abduliwhryj4ftnassor233 10 ай бұрын
Nimefurahi sana leo kumuona bi rehema Allah ampe maisha marefu
@AshaMambo-u4o
@AshaMambo-u4o 10 ай бұрын
Nmekuwa wakwanza leo jmn naomben like zenu
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 10 ай бұрын
Tukishakupa uzipeleke wapi dear😁😁😁😁
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 10 ай бұрын
vzri kakangu kushukuru Allah kwa Rizki y chakula ❤
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 3 ай бұрын
Kitambo dada huyu na mzee majuto,halafu kweli duniani hakuna mwemba,huyu dada alikuwa mwembamba jaman.❤❤❤❤❤🎉🎉
@queenshibaskitchen9130
@queenshibaskitchen9130 9 ай бұрын
Ma sha allah this definitely I'm going to try,
@mohamedmwinjuma
@mohamedmwinjuma 9 ай бұрын
Mashaalah mama anaishi pazuri
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 10 ай бұрын
Mashallah bi Reema m/mungu azid kukupa afya njema
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 10 ай бұрын
Amiin
@LutfiaRashid
@LutfiaRashid 10 ай бұрын
Naona mwari mwenyew anaonekana fundi balaa kuliko ata kungwi sijui ndo somo...any way tunakupenda darey❤
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 10 ай бұрын
Mh huyo mwari mbona limama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 10 ай бұрын
Hata mm nashangaa mwari hilo limama😅😅😅😅
@mwejstar5678
@mwejstar5678 10 ай бұрын
Uyo mwali mbona anafanana na demu wangu wa zaman mwanahamis mmmh aya bhana
@FaridaAbushirMussa
@FaridaAbushirMussa 10 ай бұрын
Salehe nafuatilia sana kipindi chako natamani siku moja nikuone live inshaAllah
@ernestwilliam8628
@ernestwilliam8628 10 ай бұрын
Mmh bi harusi mtu jamani mzigo upo kwenye Juba lakini unaonekana😂😂❤❤
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 10 ай бұрын
Nampenda sana huyu mama mashallah 😊😊
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 3 ай бұрын
Pia mtangazaji siku Moja na wewe tupeleke kwako tupaone.❤❤❤🎉🎉
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 10 ай бұрын
Mashaallah nimefurahi sana kumuona bi rehema
@AishaAbdullah-qj1lt
@AishaAbdullah-qj1lt 10 ай бұрын
Mumekoseaaa sanaaaa sanaaa sanaaaa kumuonyesha Bi harusi wa watu
@kibabysaid6692
@kibabysaid6692 10 ай бұрын
Mi sijaona km wamekosea ila huyo bi harusi ndio naona kakosea ...coz yeye kaingia amefunika nikabu sasa kilicho mfanya aiweke juu hiyo nikaab ni nini ?...naameona hpo kuwa wanaume 😢
@RehemaSaid255
@RehemaSaid255 10 ай бұрын
Biharusi katoa nikab mwenyewe Amna hata alo mtuma
@aminakassim7486
@aminakassim7486 10 ай бұрын
​@@kibabysaid6692kwa kweli asingetoa nikab, au angeenda kukaa kule mbali
@salmahchivatsi791
@salmahchivatsi791 10 ай бұрын
Bi rehema nitakuja kutafut unifundee 🥰Mungu akuwekee
@selemanikabeya8020
@selemanikabeya8020 10 ай бұрын
Kazi nzuri kaka hila kwenye mambo ya kuingia chumba chamtu sijapenda chumba kinasiri kubwa kama takuwa nimekukosea nisamehe chumba cha mwanamke kinasiri kubwa broo nibora kwa mwanamme😢😢😢
@chimamilion
@chimamilion 10 ай бұрын
Si km utaki unamwambia kwan anakufos
@clovicemusobozi3891
@clovicemusobozi3891 10 ай бұрын
Nimefurah kumuona huyu mama ❤❤❤❤
@صالحالصوافي-غ5و
@صالحالصوافي-غ5و 10 ай бұрын
Salehe iyo sio tabia nzuri kirakitu unataka kujua mambo yasomo hayakuhusu angaria mwali umemuonesha tv
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 9 ай бұрын
Kosa la bb harusi Kwann alitoa ninja
@chimamilion
@chimamilion 10 ай бұрын
Xxa uyu mwali macho makubwa kwa camera ata ajifich tena kaenda mbele kbs tofaut nawenzake😅😅😅😅loh mwali kigego
@FatmaMwaita
@FatmaMwaita 10 ай бұрын
Mwali wa mwaliboko 😅
@abdulllyhussein3224
@abdulllyhussein3224 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂jmn
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 10 ай бұрын
Ntaandamana kwann wadada wakaz hawatambulishwi vzr ,ukisema mdg wangu ,mwanangu kunashida wengine husema hichi kidada changu ndokinatusaidia hapa nyumbn
@otavinamkongwa5936
@otavinamkongwa5936 10 ай бұрын
Serikali walisema marufuku kuwaita dada na kuwachukulia Kama ndugu kwasababu baadhi ya wengi wanakua hawawalipi kwa kigezo Cha ndugu
@aminaomary5567
@aminaomary5567 10 ай бұрын
Dada Rehema ongera sana umenenepa sana'zaman ulikuwa mwemba sana na gizo la Tarawehi lile
@SaraSara-i1l
@SaraSara-i1l 10 ай бұрын
Bi rehema❤❤❤❤❤❤❤
@mariamhassan1723
@mariamhassan1723 10 ай бұрын
Ila huyu alijua kuigiza na marehemu majuto😂
@aishasaif3993
@aishasaif3993 10 ай бұрын
❤❤Nataka Namba za bi rehema
@1czay
@1czay 10 ай бұрын
Ila amepoa sana na Rudi kwa germ
@MayarashidiMayarashidi
@MayarashidiMayarashidi 4 ай бұрын
Mungu awaweka wote
@KesheMedia
@KesheMedia 9 ай бұрын
Mm ningeomba kipengele cha chumban kwa mtu kisiwepo, nadhani wengine wanashindwa tu kukataa ila chumban n faragha ya mtu
@VeronicaPasko
@VeronicaPasko 4 ай бұрын
Hira sarehe macho peruperu kama paka mgeni kaah😂😂😂
@UpendoJohn-qr5ox
@UpendoJohn-qr5ox 4 ай бұрын
😅😅😅
@AsendeNyota
@AsendeNyota 10 ай бұрын
Bi. Rey❤️❤️
@samanthalyimo4598
@samanthalyimo4598 10 ай бұрын
Salehe anapenda kula kwa watu 😅😅
@AbdulOmar-b7r
@AbdulOmar-b7r 10 ай бұрын
Salehe tuletee na Ringo kwenye show bizz
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 10 ай бұрын
Mmhhh huyu mama nae kdg age ime go so.akil kdg salehe unataka kumueleleza
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 20 күн бұрын
Kwenye Sinia mmeona nn😂😂😂
@afrimage_decor
@afrimage_decor 10 ай бұрын
WA SABA kukoment naomben like zangu
@Tuu2019
@Tuu2019 10 ай бұрын
Zama tutee Nyota waziri
@Aiisha901
@Aiisha901 10 ай бұрын
bi harusi saleh kamtowa macho😅😂😂😂😂
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 10 ай бұрын
Hilo tango ni 😂😂😂😂😂
@selemanikungu8039
@selemanikungu8039 10 ай бұрын
Kungwi mwenyew kaa hika😂😂
@OfficialA83640
@OfficialA83640 10 ай бұрын
Jifunzeni kurusha vipindi kwa awamu sasa part 1 inaakuwa ya mwisho part 2 inakuwa ya mwanzo ndy nn sasa mmejifunza wapi kazi
@shamzone388
@shamzone388 10 ай бұрын
Swali langu haomakungwi au somo mbona woote hawana mume wameachwa naomba jawabu
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 10 ай бұрын
Sasa yuko kwenye interview kwanini kapokea simu
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 10 ай бұрын
Naona kungwi umemkatisha mapema eti kaolewa uyuuu😁😁😁
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 10 ай бұрын
Kumbe nyota waziri ni somo somo kweli jaman mashallah
@hamidawamba
@hamidawamba 10 ай бұрын
Sanaaa
@patriciaboniface9975
@patriciaboniface9975 6 ай бұрын
Tena some aswaaa ukipitia pale mambo swafiiuu
@deadcrush
@deadcrush 10 ай бұрын
Naitafuta sana movie ya FUKARA HATABIRIKI. Naipataje?
@MoudyMussa-fw8sz
@MoudyMussa-fw8sz 10 ай бұрын
Tango Tango Tango Lakazigani. ......
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 10 ай бұрын
Mwali aelewi somooo anaona macamera camera😅😅😅😅😅😅😅 acha nilud nije Kwa bi Rehema unifunde nimepata somo la mswaki hapo Ila sele ulitaka kufukua mambo😅
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 10 ай бұрын
Huku kwetu hukuti mtu kupiga msuwaki nje tng enzi za mabibi na babu....
@PreviousSamende
@PreviousSamende 10 ай бұрын
B rehema abdalah
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 10 ай бұрын
Wow
@didasdecor4208
@didasdecor4208 10 ай бұрын
😂😂😂Saleh nawe kwa maswali Yako ya kutupia na we si ufanye Uowe Ramdhan upikiwe futari
@Joliegal834
@Joliegal834 10 ай бұрын
Na mimi nataka kufundwa ila sina mpenz bado
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 10 ай бұрын
HAO WATU WA WALLPAPERS HUWA HAWAWASHAURI,,,WE KANNUNUE YE ANABANDIKA TU
@SubiraAlmasi-h7j
@SubiraAlmasi-h7j 10 ай бұрын
Naomba number zake ninamwali wang naitaji somo
@BalkissKassim
@BalkissKassim 10 ай бұрын
Tuma namba zako
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 10 ай бұрын
harusi hakujua kama kuna kamera kajifunua nikabu keshaanikwa
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 10 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤
@husna34562
@husna34562 10 ай бұрын
Bikharus upitwi😅
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 10 ай бұрын
@@husna34562 🧕😄🥺umefata nini huku🚵😃
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s 10 ай бұрын
Leo umekula mapema 😂😂 hujala kwa watu 😂😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 10 ай бұрын
Wewe mgomvi😂😂😂
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 10 ай бұрын
😂😂😂😂umeona ee huko ni kufunda sio kupika
@SomoeIssa-ft6ml
@SomoeIssa-ft6ml 10 ай бұрын
Mmemsema sn😂😂😂
@africa7479
@africa7479 10 ай бұрын
na hilo tango je?
@SubiraAlmasi-h7j
@SubiraAlmasi-h7j 10 ай бұрын
Naomba number zake nina mwali wangu
@MiddyTuesday-on8jp
@MiddyTuesday-on8jp 10 ай бұрын
Bora ule kabisa mana unavyopenda kula kwa watu
@hamidawamba
@hamidawamba 10 ай бұрын
Wew mchoy😂😂😂😂
@MiddyTuesday-on8jp
@MiddyTuesday-on8jp 10 ай бұрын
@@hamidawamba 😃😃😃
@ABDALLAHARUNABWIJO
@ABDALLAHARUNABWIJO 5 ай бұрын
Uko kuza Lili Shana jamani
@agustinoapolinar1623
@agustinoapolinar1623 10 ай бұрын
Bro wakati una introduce Kipindi uwe unatuambia na location kama ni mbezi,kimara,Goba, n.k
@tunkuh661
@tunkuh661 10 ай бұрын
Si nzuri kwa usalama wa mteja wake
@ummukulthummohd5403
@ummukulthummohd5403 10 ай бұрын
Mwari kuingia tu kafunua niqab wakati kashaona macamera
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@dayana5513story
@dayana5513story 10 ай бұрын
😍😍😍
@bennamush4616
@bennamush4616 10 ай бұрын
Mimi nipo bize na mwali tu
@AngelAndress-ph8bh
@AngelAndress-ph8bh 10 ай бұрын
We mpuuz mbn hujauliza ilo tango ni la nini😂😂😂😂
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 10 ай бұрын
Hata mm nimeona tango😅😅😅😅😅
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 10 ай бұрын
Hilo tango la nini hapo😅😅😅
@MwanaMtowa
@MwanaMtowa 10 ай бұрын
Hilo tango linamaana yake pia sio ya kusema hadharani
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 9 ай бұрын
​@@MwanaMtowaitabid ufafanue vzur mm pia sjui
@werehere2006
@werehere2006 8 ай бұрын
Sijawahi kuona kungwi kadumu kwa ndoa
@ZuberiHassan
@ZuberiHassan 4 ай бұрын
We mpumbavu mambo ya chumbani yanakuusu nini
@teedullah5708
@teedullah5708 10 ай бұрын
Kwani cujifinike ninja
@agnessmgaza3826
@agnessmgaza3826 10 ай бұрын
Salehe kujifanya mwenyew eti unapunguza sauti
@AllyKzg-z2h
@AllyKzg-z2h 10 ай бұрын
Hatamm nilizani mkewamajuto
@MariamuAnifa
@MariamuAnifa 10 ай бұрын
Salehe
@teedullah5708
@teedullah5708 10 ай бұрын
Bi rehema c umpuze huyo mtangazaji
@Zaitoon72
@Zaitoon72 10 ай бұрын
Kijana ana hangaika huyu 😅
@shuwenasamit3311
@shuwenasamit3311 10 ай бұрын
San Tena anafrhisha
@ManyemaCollection
@ManyemaCollection 10 ай бұрын
Nimeipend sebur yake
@KhadijaJuma-pb6fw
@KhadijaJuma-pb6fw 10 ай бұрын
Mbna kwa Asha boko hakuingia kma hutak haingii chmbn
@Zaitoon72
@Zaitoon72 10 ай бұрын
Ila salehe ana maswali ya ajabu 😅😅
@aminakazogolo2229
@aminakazogolo2229 10 ай бұрын
Yanachekesha😂😂😂😂😂
@MuniraAbdallah-f7n
@MuniraAbdallah-f7n 10 ай бұрын
Alinitapeli huyu mama sina hamu
@jesterfredrick9497
@jesterfredrick9497 10 ай бұрын
Polee😂😂ilikuaje??
@hijarashid594
@hijarashid594 10 ай бұрын
😭😭😭😭
@MwanaMtowa
@MwanaMtowa 10 ай бұрын
Samehe ndugu yangu
@MuniraAbdallah-f7n
@MuniraAbdallah-f7n 10 ай бұрын
Sio rahic km unavyothan nikitewe vitu vyangu ndo ntasamehe
@shamzone388
@shamzone388 10 ай бұрын
⁠@@MuniraAbdallah-f7nhawana maana yoyote ni kuchukua vitu na pesazawatu……lete chupa za chai vikombe vya chai glass sahani visu kanga shuka na pesa juu mkeka…… Wamefanya nibiashara siku hizi…. Kesho mtasikia na wengine …..biashara isiyo na kibali cha serekali😂😂😂
@gallusmbaga5522
@gallusmbaga5522 10 ай бұрын
Karibuni wageni. Anaonekana mgeni mmoja
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 10 ай бұрын
Turushie namba mi nataka kuolewa na Raia wakigeni nataka nimchanganye kimapenzi mpaka asijute kuoa Afrika hahaa
@batulialmass8914
@batulialmass8914 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@husnathabiti4114
@husnathabiti4114 10 ай бұрын
😂😂😂
@MayarashidiMayarashidi
@MayarashidiMayarashidi 4 ай бұрын
Ongera my tuwakilishe
@edukimaro3489
@edukimaro3489 10 ай бұрын
TUWEKEE NAMBA ZAKE WENGINE TUPELEKE WAKE ZETU
@SomoeIssa-ft6ml
@SomoeIssa-ft6ml 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@HusnaMuhidin
@HusnaMuhidin 10 ай бұрын
Kiboko😅
@jesterfredrick9497
@jesterfredrick9497 10 ай бұрын
Jamani🤣🤣🤣🤣🤣🙌
@nuruyusuph5562
@nuruyusuph5562 10 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@carynehassan8077
@carynehassan8077 10 ай бұрын
Dah😂😂😂😂
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 10 ай бұрын
Nyie watangazaji wa habari muwege mnatoa taarifa mnapoenda nyumbani kwa watu so mnaingia tu na camera 😢sasa ona anawageni wake labda hawapendi kuonekana mitandaoni
@jesterfredrick9497
@jesterfredrick9497 10 ай бұрын
Angekuwa hapendi asingetoa nikabu😂😂😂😂
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 10 ай бұрын
@@jesterfredrick9497 🤣🤣😂kumbe
@bennamush4616
@bennamush4616 10 ай бұрын
Ni umbea wake kutoa nikabu😂😂
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 10 ай бұрын
@@bennamush4616 😂😂
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 10 ай бұрын
@@bennamush4616 Labda Aliisi camera ni kwaajili yake kungwi wake ndo amemletea camera watengeneze sidii ya kumbukumbu ndio maana alijifunua nikab
@chimamilion
@chimamilion 10 ай бұрын
Mtangazaji tunatak maish yko
@patriciaboniface9975
@patriciaboniface9975 6 ай бұрын
😅😅😅😅😅salehe yeye anajua kwenda kwa watu tu
@tatuathmani883
@tatuathmani883 10 ай бұрын
Kaka wewe utaona mpaka chupi
@fawziagabriel3355
@fawziagabriel3355 10 ай бұрын
Ilo tango vipi hapo kachumbali ama?
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 10 ай бұрын
Tango analikatikia
@Mb0g0z
@Mb0g0z 10 ай бұрын
TANGOOOOOO mmeliona wakubwa tumeshaelewa mambo ya kwichi kwichi 🥒🍆🛌💏
MAISHA YA ASHA BARAKA NYUMBANI KWAKE/AMETUTEMBEZA NYUMBA NZIMA
38:21
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
TWISTED CAST MEMBERS QnA | JASINTA MAKWABE | HUN PLUS
4:10
Hun Plus
Рет қаралды 1,3 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН