HAKIKA UNAHITAJI YOUTUBE CHANNEL | SABABU 5

  Рет қаралды 3,217

Success Path Network

Success Path Network

4 жыл бұрын

Sababu tano (5) kwanini unahitaji youtube channel:
Nilialikwa na bwana James Mwang'amba katika LIVE session kupitia instagram yake kuzungumzia umuhimu wa kuwa na youtube channel na nilielezea mambo matano hususani wale wanaotamani kukuza vipato vyao, basi hii ni fursa ya wazi kabisa ambayo inaweza kubadilisha maisha yako kama ukiwa makini na tayari kujifunza inawezaje kukusaidia.
Kama fursa yoyote nyingine inahitaji umakini na kujituma ili kuweza kupata kilicho bora zaidi, na uzuri wake ni vile kila kitu kinakuwa chini yako mwenyewe kwahiyo uwe na uwezo mzuri wa kujisismamia tu na kujifunza zaidi kila siku.
Sababu tano kwanini unahitaji youtube channel:
1. Ni rahisi zaidi kufikisha ujumbe kwa njia ya video kuliko nyingine yoyote ile.
2. Ni rahisi na haraka ufanikishaji wake, (It's quick and easy)
3. KZbin ndio platform kubwa ya pili katika serach engines baada ya google.
4. KZbin ni platform pendwa zaidi ya Facebook kwa sasa.
5. Utafurahia zaidi wakati wote wa kufanya kazi kwenye youtube huku ukiendelea kujifunza.
.
Channel ya DEEN EZDEN : / @deenezden114
.
Channel ya JAMES MWANG'AMBA: / @jamesmwangamba5124
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: / ezdenjumanne
TWITTER: / ezdenjumanne
FACEBOOK: / ezdenjumanne
LINKEDIN: / ezdenjumanne
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#KZbin #Channel #Muhimu

Пікірлер: 42
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Kama utahitaji msaada wangu ikiwa 1. Unataka kufungua channel 2. Unayo channel tayari (Unataka niipitie na kuirekebisha ikae kibiashara) . Wasiliana nami sasa kwa whatsapp kwa namba yangu (+255)759191076 . KZbin ni biashara nzuri sana kama ukiianza na kuifanya kwa usahihi. Karibu sana!
@inspectinglife4211
@inspectinglife4211 4 жыл бұрын
Yah I'll need that 👌
@danielsimfukwe305
@danielsimfukwe305 4 жыл бұрын
Thank u so much brother natamn kuwa competence zaid before sijaanza chochote but i need your help.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
@@danielsimfukwe305 This is the time. Karibu
@charocharles4589
@charocharles4589 4 жыл бұрын
Big up bro
@inspectinglife4211
@inspectinglife4211 4 жыл бұрын
@Effective TV mimi pia bro ☹..tuvumilie tuu
@ElimikaTz
@ElimikaTz 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa KZbin ina fursa kubwa kuliko watu wanavyoelewa. lakini kitu nilichojifunza kutoka kwenye channel yangu ya zamani kabla sijafungua channel hii ni kwamba, ukianza channel kwa malengo ya kupata pesa au umaarufu then utaishia kutaka mafanikio ya haraka, which ni kitu kisicho cha uhalisia kwenye platform hii, youtube takes so much work,time and effort, na kama hauna nia kubwa ya kuanzisha channel yako ukiacha pesa then utaishia kuchoka mapema sana. so kweli anzisha channel katika skill uliyonayo na for a greater cause na mafanikio yatakufata yenyewe.. big up kwa kumwanzishia Ezden junior channel yake! best investment ever👍😃
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Asante sana kwa compliments na mchango wa mawazo pia
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 жыл бұрын
Help yourself to help others. Hicho ndo ninachofanya. Nakumbuka zamani wakati nahangaika kutafuta kazi radioni Man nilisuffer sana. Ila once nilipogundua KZbin inaweza kuwa platform ambayo nitanisaidia kushape na kuboresha kipaji changu, then direct nikaanza. Nashukuru mungu now am living my dream, na kusaidia wengine kupitia uzoefu Wang na mapito yangu.
@rahmahussein6579
@rahmahussein6579 4 жыл бұрын
You're such a motivational speaker , thanks for your valuable video .
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Thank you...
@jayamora7954
@jayamora7954 4 жыл бұрын
Nice
@grandprime7677
@grandprime7677 4 жыл бұрын
Kweli hio
@itsfarhat1099
@itsfarhat1099 4 жыл бұрын
Kazi nzur sana kaka
@youthtalkstz2157
@youthtalkstz2157 4 жыл бұрын
Yah 😅✌
@inspectinglife4211
@inspectinglife4211 4 жыл бұрын
@abelbenedicto5392
@abelbenedicto5392 4 жыл бұрын
You are Doing Better Brother, Just go on.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Thank you
@lovelychemiachannel5527
@lovelychemiachannel5527 4 жыл бұрын
Keep it up bro. We still need your help
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Kama utahitaji msaada wangu ikiwa 1. Unataka kufungua channel 2. Unayo channel tayari (Unataka niipitie na kuirekebisha ikae kibiashara) . Wasiliana nami sasa kwa whatsapp kwa namba yangu (+255)759191076 . KZbin ni biashara nzuri sana kama ukiianza na kuifanya kwa usahihi. Karibu sana!
@eddyshembilu9886
@eddyshembilu9886 4 жыл бұрын
great work brother, bado tunahitaji audio ili tuweze kusikiliza ujumbe kuliko miziki sometimes,
@santosgirbert8522
@santosgirbert8522 4 жыл бұрын
I got u bro
@inocentantelini1976
@inocentantelini1976 4 жыл бұрын
Broo sasa nitaweza je kujiunga na mimi niwe na account yangu ya KZbin???
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Kama utahitaji msaada wangu ikiwa 1. Unataka kufungua channel 2. Unayo channel tayari (Unataka niipitie na kuirekebisha ikae kibiashara) . Wasiliana nami sasa kwa whatsapp kwa namba yangu (+255)759191076 . KZbin ni biashara nzuri sana kama ukiianza na kuifanya kwa usahihi. Karibu sana!
@mwalimubassu
@mwalimubassu 4 жыл бұрын
AHSANTE KAKA KWA UHAMASISHAJI HUU. MIMI nafundisha computer na computer programs kupitia KZbin kwa KISWAHILI (LUGHA YETU). Hakika imesaidia watu wengi na ninapenda sana kuwafikia wengi zaidi ndio maana nikaanzisha Channel yangu mwishoni mwa Mwaka 2016. Wengi wamekuwa wakinipigia simu na kushukuru kwa kila somo ninalo-upload. Hongera sana na Mungu akubariki sana. Tuko pamoja katika kupambana ili Taifa letu Pendwa LISONGE MBELE katika MWELEKEO SAHIHI KATIKA NYANJA MBALIMBALI.
@hassanjuma6544
@hassanjuma6544 4 жыл бұрын
Sana kaka nimekupata
@danielsimfukwe305
@danielsimfukwe305 4 жыл бұрын
Kaka Ezden naomba msaada wa majina ya vitabu vizur vya kusoma ili nivitafute please
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Tafuta HOW TO WIN FRIENDS AND TO INFLUENCE PEOPLE By Dale Carniege. MPENYO By James Mwang'amba, TIMIZA MALENGO By @JoelNanauka , BIASHARA NDANI YA AJIRA By Dr. Makirita Amani na MONEY FORMULA By @JoelNanauka
@simulizizakiswahili
@simulizizakiswahili 4 жыл бұрын
Hyo channel ya mwanao hujaitaja
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Fadhili angalia pale ninaposema click hapa.... angalia ninapoonesha...pia mwishoni ninapomaliza angalia ile video inayotokea unatakiwa kuclick. Pia nimeitaja kwenye description. NIMEITAJA SEHEMU 3 TOFAUTI. Hapo haukuwa makini...au hujatazama somo lote!
@santosgirbert8522
@santosgirbert8522 4 жыл бұрын
Ezden ni namna gani utafungua KZbin channel
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Nitumie swali hili kwenye whatsapp 0759191076
JE UNA FURAHA?
18:49
Success Path Network
Рет қаралды 12 М.
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 23 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 64 МЛН
HIVI AKILI NI SULUHISHO AU CHANZO CHA TATIZO?
24:40
Success Path Network
Рет қаралды 13 М.
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
ISHARA 5 KUWA UNASUMBULIWA NA MATATIZO YA ZAMANI
13:36
Success Path Network
Рет қаралды 8 М.
JIONGEZEE MAARIFA KUHUSU PTSD
9:53
Success Path Network
Рет қаралды 4,7 М.
BILL GATES ANASOMA VITABU 52 KWA MWAKA
16:42
Success Path Network
Рет қаралды 9 М.
FANYA HIVI PINDI UNAPOUMWA
19:05
Success Path Network
Рет қаралды 4,3 М.
Mabadiliko ya Hotel ya Kisasa na Kitalii Hyatt Regency DSM
6:22
Global TV Online
Рет қаралды 7 М.
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН