No video

Hakuna 'albadiri' Katika Uislamu | Sh Juma Amir | Dira Ya Mwanamke | HorizonTV Kenya

  Рет қаралды 5,878

HorizonTV Kenya

HorizonTV Kenya

Күн бұрын

Watch the livestream on
Facebook / horizontvkenya
Follow us on:
FaceBook: / horizontvkenya
Twitter: / horizontvkenya
Instagram: / horizontv.kenya
Horizon TV | Beacon For The Nation

Пікірлер: 23
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 3 жыл бұрын
MashaAllah sheikh umetufungua akili kuhusu Al badir
@binbarwan7401
@binbarwan7401 3 жыл бұрын
Hujafunguka bdo nenda kamskilze shkh izzuddin pia af uje uniambie
@furahamsabaha4238
@furahamsabaha4238 2 жыл бұрын
Mbabaifu huyu, mzee, mungu anasema ,: waman yaqtull fissabilli llah walla takullunna ammuwataal ball ahhayaau, hao ni mashahidi wahllalibadri, unaposema Hawana maana unatushangaza sana ,!!
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
Sheikh Juma nakuamini sana lakini hapa umeniangusha. Ungeshauri sio vizuri ningekukubali sio kusema haifai. Kuna njia 4 za kumuomba Mungu katika Uislam:- 1. Muombe Mungu mwenyewe 'directly'. 2. Muombe Mungu kupitia (Tawasul) Waja wake wema Ahlulbadri ni mfano wa hao. Hoja dhaifu kusema wao wamekufa watakuokoa wewe, sikutegemea kupata sentensi hiyo kwa Sheikh Juma. Mbona Mtume Muhammad SAW tunamuombea dua na kumsalia, sisi wasafi kuliko yeye? 3. Muombe Mungu kwa kutaja mema utayofanya au maovu utayoacha nk (Nadhiri). 4. Muombe Mungu kwa "UCHAWI" "Mungu atuepushe" njia hii Mungu yupo karibu kuliko njia zote LAKINI kasema mlango huu tusibishe hodi (tusimuombe) ni HARAMU na ataepita atampa kila kitu hapa duniani lakini hana toba mbele ya Mungu na kaangamia mtu huyo (Mungu atunusuru).
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 жыл бұрын
Sadakta,masheikh wengi nimesikia wao wakiipinga hii, lakini ikisomwa mbona yafanya kazi na walio tenda ubaya wakadhurika hasa
@nadirbolo6687
@nadirbolo6687 3 жыл бұрын
@@aairraahseif5648 uchawi pia inafanya KAZI.mtume asema "kathaba munajimuna walau sadaqo" meaning wachawi pia hupata. Albadiri ni uchawi na haina nafasi katika uislamu.
@genichenurdin409
@genichenurdin409 Жыл бұрын
Sheikh wangu nilikua nakukubali sana kumbe maarifa yako ni kidogo kiasi hiki...!🙆
@jesmirmohamed3467
@jesmirmohamed3467 3 жыл бұрын
Wanao soma hio ahlul badri si eti hawaombi mungu mungu ni yule mmoja anae ombwa. Na hawaombi ahlul badri. Tufahamishe vizuri bado hujaeleweka
@mwanaishamlima2047
@mwanaishamlima2047 3 жыл бұрын
Hahaha umezungumza vizuri shekhe Juma wanaficha uchawi wao kwenye Dini wachafizi wafanyao hayi
@jesmirmohamed3467
@jesmirmohamed3467 3 жыл бұрын
Shekh ukweli hapo huja leta hoja watu wafaidike
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
sheikh wangu hapo umeteleza (tawasul) haina maana unawaomba hao waliopgana vita bali unamuomba Mwenyezi Mungu kupitia watu hao kwahyo aina maana watakaotenda ni wao bali atakaetenda ni Mwenyezi Mungu Kupitia watu hao, Mwenyezi Mungu anajua zaidi
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 жыл бұрын
Sadakta,nahizo za somwa ni Du'a na sio uchawi, au wale watu walo kufa ndio huyafanyia nguvu haya bali ni Du'a kwa kumuomba Allah na mtume wake kama tufanyavyo Du'a zingineyo, mbona tukimtaja mtume wetu Katika Du'a tukiomba mtume wetu atufikishe misamaha na toba zetu kwa Allah mbona hilo lakubalika?na hili la Alalbadiri lisikubalike na zote ni Du'a na maombi kwa Allah?
@farhannurkey
@farhannurkey 3 жыл бұрын
wewe hiyo ushirikina unayoita tawasul achana nayo..kukaa motoni milele si mchezo.
@karamakiumbe4866
@karamakiumbe4866 2 жыл бұрын
Hawa mashekhe wa mitandao tuwe makini sana
@abubakarmustwafa8662
@abubakarmustwafa8662 2 жыл бұрын
Sheikh Ongelea mapenzi tuu mengine siyo Bahari yako
@abubakarmustwafa8662
@abubakarmustwafa8662 2 жыл бұрын
Kisha Sheikh haaata Istighatha umeshindwa kuelewa?
@munirahmed7753
@munirahmed7753 2 жыл бұрын
Huyo amiri hamna kitu
@doctersalmini9704
@doctersalmini9704 2 жыл бұрын
Huyu ni robo kulatani haikujaa vema shekh ban hhhhhh
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 3 жыл бұрын
Watu wengine hawatumii akili wanafata mkumbo tu
@doctersalmini9704
@doctersalmini9704 2 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
@jesmirmohamed3467
@jesmirmohamed3467 3 жыл бұрын
mboni huleti dalili kama izudini wasema tu bila andiko lete andiko kama izudini ndio nasisi tujaji bana wewe wafurahisha tu maskio ya watu baana
@rashidshela1826
@rashidshela1826 3 жыл бұрын
Shekh acha kupotosha watu sio kil unaloulizwa unajibu tu mambo usiyokuw na elimunayo nibora usijibu ukapotosha wtu kun mashek wakubwa hpo kenya wafate wakusomeshe nawakwambie maana ya hiyo duw?
@munirahmed7753
@munirahmed7753 2 жыл бұрын
Hana elimu ya kutosha huyu anachapia tu
MAISHA YA ALIYE SILIMU | RIPOTI HORIZON | ONLY ON HORIZONTV KENYA
18:27
JE NI IPI HUKMU YA KUSOMA ALBADIRI? //SHEIKH ZEINUL ABIDIN
4:48
Fauz Production
Рет қаралды 2,3 М.
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
"Step-by-Step Wudhu with Sheikh Jamaludin
6:44
HorizonTV Kenya
Рет қаралды 9 М.
TUMIA YA LATIF KWA IDADI HII UONE MAAJABU YAKE
6:54
Miraj Khan
Рет қаралды 48 М.
ALBADIRI NI HARAMU?
13:03
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 85 М.
Mume Msafi | Sheikh Juma Amir | Tunu Ya Ndoa
3:46
HorizonTV Kenya
Рет қаралды 19 М.
NDOA HIZI HAZIKUBALIKI
15:49
Kishki Online TV
Рет қаралды 194 М.
The Amazing MYSTERIES of CATS in Islam
13:33
Virtuous Islam
Рет қаралды 445 М.
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН