ALBADIRI NI HARAMU?

  Рет қаралды 89,298

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

Күн бұрын

Пікірлер
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 4 ай бұрын
Allah akupe Kila Lakheri Sheikh Wangu, Akupe Umri Mrefu tuzidi kustafid kutoka kwako.
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 4 жыл бұрын
Tatizo ya huyu shekh huwa anaungaunga aya na kuzitafsiri kwa mtizamo wake bila kutumia mtizamo wa quran. Mtu yeyote atakaye amini na akasimamisha swala na akatoa miongoni mwa alivyo ruzuqiwa siri na dhahiri. MTU HUYO ALLAH AMEMPA DARAJA YA IBADII (tazama surati Ibrahim aya ya 31) Wala kushiriki vita vya badri si kigezo pekee cha kuwa ibadii
@abusalam7036
@abusalam7036 4 жыл бұрын
Niko na ww ndugu yangu huyu sijui ni kishehe alisomea wapi elimu yake ya dini kaipata anavosema yy anaharibu ummah kabsa hiyo ni shirk halafu anaitetea inawezekana
@omarykyutta6681
@omarykyutta6681 3 жыл бұрын
Ndo tatizo ilo mlionalo mamluki wap hamjaelewa Allah anaombwa mpaka kwa majina
@nadirbolo6687
@nadirbolo6687 3 жыл бұрын
@@omarykyutta6681 tatizo ni yako kaka.omba mungu,stop being lazy and wake up in the middle of the night just like prophet Muhammad ( saw).
@hassanyusuph9446
@hassanyusuph9446 8 ай бұрын
Na shekhe alisema kua ni kigezo pekee !!? Tuwe bas tunaelewa mbona shekhe kafafanua vizur n aneona waz kua hawez mshirikish mungu n ametoa mfano wa shirk ww unamlazimisha kua anawapoteza watu dhid y shirk wale waliofinikwa n jabali walivyoomba kupitia mena walio fanya walifanya shirk tena kuna mmoja aliomba kupitia wema alio ufanya kwa wazaz wake hyo n shirk ok ALLAHU AALAM
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Ай бұрын
Tattoo ni msingi aloinukia ,ilikua ya maulid na al Badr ​@@abusalam7036
@aliomar612
@aliomar612 4 жыл бұрын
Shukran sheikh jazaka Allah kulu kheyri
@abdulbabalao3160
@abdulbabalao3160 4 жыл бұрын
Mola akuweke alhabib wetu na angalia wakti tunaoishi sasa compared 80s 90s kulivyokuwa na wachaji mungu barka rahaa masikizano natuangalie saahii twaishi tu kumaliza umri..
@saidshariff9600
@saidshariff9600 4 жыл бұрын
Masha Allah sheikh langu mungu akupe umri mrefu tuzidi kunufaika na wewe
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 3 жыл бұрын
Amin ya Rabbi
@fatomhalogandy4045
@fatomhalogandy4045 4 жыл бұрын
MashaAllah shukran ya sheik for the elim
@jumahyusuf5524
@jumahyusuf5524 4 жыл бұрын
MaAshllh sheikh Allah akujaze...
@alimsemakweli1376
@alimsemakweli1376 4 жыл бұрын
Kafanya nini mpaka unamsifia?
@adamantmouscitty6146
@adamantmouscitty6146 4 жыл бұрын
Alhamdulillah umefafanua kiasi cha ufahamu wako. Ela maswali makuu yanayo tutatiza ni; 1) Kati ya Mitume na maswahaba ni gani wako naukaribu kwa Allah kutia nguvu kumuomba Allah kupitia kwao? Kuwa mbona tusitafute connections kwa allah kupitia kwa Mtume (SAW) 2) Nini maana ya matumizi ya ndimu, vijembe, sindano mbegu saba, chumvi katika usomaji wa albadri? 3) Maana ya kuchinzwa kwa mnyama wakati wa kusomwa albadri ni ipi? 4) Ipi dalili ya kuwa Mtume (SAW) alifanya hicho kisomo cha Albadri? *PLEASE EXPOUND ON THESE ISSUES*
@omarijuma854
@omarijuma854 4 жыл бұрын
Bd unaudhaifu wa ilmu kasome utjua
@adamantmouscitty6146
@adamantmouscitty6146 4 жыл бұрын
Ndo maana ya kuomba ufafanuzi. All the same, can I get a list of the relevant books I can refer
@FaaidaTVtz
@FaaidaTVtz 3 жыл бұрын
@@omarijuma854 Msomeshe sasa. Ameuliza kwa hoja mjibu kwa hoja.
@FaaidaTVtz
@FaaidaTVtz 3 жыл бұрын
@@omarijuma854 Ameuliza kwa hoja mjibu kwa hoja usilete ujanja ujanja.
@moddyhh
@moddyhh 2 жыл бұрын
@@omarijuma854 udhaifu wa elimu au swali gumu mzee
@زينببنتسعيد-د9ح
@زينببنتسعيد-د9ح 4 жыл бұрын
Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu Amiin ya Rabbil Allamin shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh kwa ilmu hii Mwenyezi Mgu akupe kila lililo la kheir
@Yussuf3145
@Yussuf3145 4 жыл бұрын
Amiiin yaa Allah
@زينببنتسعيد-د9ح
@زينببنتسعيد-د9ح 4 жыл бұрын
@@Yussuf3145 Amiin ya Rabbil Allamin
@isaamokoli9555
@isaamokoli9555 4 жыл бұрын
السلام عليكم شيخ عزالدين شكرا بسعة علمك نفعنا الله بعلمك يزيد الله علمك دائما آمين
@زينببنتسعيد-د9ح
@زينببنتسعيد-د9ح 4 жыл бұрын
@@isaamokoli9555 wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu amiin ya Rabbil Allamin
@aboudal-nabahany5338
@aboudal-nabahany5338 4 жыл бұрын
MashaAllah Mungu akuhifadhi sheikh izudin
@genuine1575
@genuine1575 2 жыл бұрын
Allah akusamehe sheikh wapoteza watu,ombeni Allah direct.
@karimdaud3993
@karimdaud3993 Жыл бұрын
Ameen kwa sote na wee ulokua na elimu chache
@maabadimakereta3686
@maabadimakereta3686 4 жыл бұрын
Mwenyezimungu ana majina mazuri MUOMBENI kwayo....
@a.856
@a.856 4 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@wskn9061
@wskn9061 4 жыл бұрын
Hao waja wema watatu walitawassul na matendo yao mema, kwa sheria yaruhusiwa
@saidyusuf4691
@saidyusuf4691 4 жыл бұрын
Subhaanallah hiyo ni fikra yako Shekhe mungu atuongoze hakuna kuomba kwa maiti je maswahaba waliomba kupitiya kwa ahlulbadr hawakuomba hiyo nishirk
@dulaseif5001
@dulaseif5001 Жыл бұрын
Kasome
@nduwimanayusuf7661
@nduwimanayusuf7661 Жыл бұрын
@@dulaseif5001 kasome wewe usiejua chochote
@amirkulanteni1725
@amirkulanteni1725 11 күн бұрын
QURAN 2:154
@amirkulanteni1725
@amirkulanteni1725 11 күн бұрын
Quran 3:169
@salimmohamed3603
@salimmohamed3603 2 жыл бұрын
Na vipi kuhusu hii Ayah وقال ربكم ادعوني أستجب لكم Jee hapo Rabbu ni wa watu fulani???
@nuurjumaan266
@nuurjumaan266 4 жыл бұрын
Shukran shekhe Allah bless u
@aboudal-nabahany5338
@aboudal-nabahany5338 4 жыл бұрын
MashaAllah. Shukran jazeela sheikh
@sergeramazani7027
@sergeramazani7027 4 жыл бұрын
Ibaadii piya ni hata Wale wanaokosa sheikh. soma Zumar 39:53. Siyo tu Wale Wale ambao shetani hawezi kuwapotosha.
@abuufauzan9775
@abuufauzan9775 4 жыл бұрын
Wewe hujamuelewa anamaanisha wale waja ambao wenyekujibiwa hapo hapo niwale wasiopotoshwa na ibilis ndomaana yahizo aya mbili alizozitoa
@yahyarwagasore8313
@yahyarwagasore8313 4 жыл бұрын
Shukrani jazila sheikh ila unakuwa mtu anakuja kwa Allah kupitia tawasulu saasa mara nyingine unakuwa japo hivo Marhaba mkubwa unakuwa kwa kitu mtu alico tawakali zaidi ya Allah japo hajaakiomba hivo Napo hiyo Allah atamcukulia aje
@ashuashu3843
@ashuashu3843 4 жыл бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh.
@fatimahhassan5904
@fatimahhassan5904 4 жыл бұрын
MashaAllah sheikh nime pata Elmu kubwa kupitiya wewe....Baraka Allah fee kumm
@abusalam7036
@abusalam7036 4 жыл бұрын
Sister plz utakosea ukimfuata huyo kishehe kweli usiombe kwa kumtia mjaa wowote kati halafu ndio iyende kwa Allah no ways like that usijaribu anakuwapotezeni bila yy kuifahamu dini vzri
@omarykyutta6681
@omarykyutta6681 3 жыл бұрын
@@abusalam7036 toa ujinga wako hapa
@nadirbolo6687
@nadirbolo6687 3 жыл бұрын
@@omarykyutta6681 ujinga Gani,mbona usimuombe mungu wewe? Salatul leyl ni ya nini?
@allolelille4936
@allolelille4936 4 жыл бұрын
0:50 - Ustadh Izudin hebu rudi nyuma na utafakari vipi utaomba kwa kupitia mja kama wewe ilhali maombi ni baina yako na Mola wako Ambaye ni mwingi wa rehma na kusamehe
@carolinetev2631
@carolinetev2631 4 жыл бұрын
Mashaallah Sheikh izudin kazi nzuri
@rukiasalim3376
@rukiasalim3376 3 жыл бұрын
Thanks 66776⅞66 to 76
@aburayhanaabdul5881
@aburayhanaabdul5881 4 жыл бұрын
Mtu Akiibiwa huwa amedhulumiwa na hadithi ya mtume sallahu allaihi wassalam yasema mwenye kudhulumiwa haina pazia.
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 4 жыл бұрын
Huyo Sahaba aliyeandika barua kwenda Makka anaitwa Khatib Ibn Abi Balta'a Wallah aalam
@AdilTwahir
@AdilTwahir 3 жыл бұрын
Barakallah feek
@AliOmar-bx2oz
@AliOmar-bx2oz 2 жыл бұрын
Kweli sheikh anatupoteza lakini simlaumu kwa sababu kila mtu ana upungufuwake. Unapomuomba Allah usitoe mashart kwa Allah. Unamwomba allah kupitia kwa watu waliopigana Badr. wao wana daraja lao kubwa peponi. Allah amesema niombeni ,mimi niko karibu kuliko mshipa wako wa damu.
@sabraham5308
@sabraham5308 2 жыл бұрын
Yahe muogope Allah ,msimtengenezee washirika haifai,omba msamaha na ulisahihishe hili,hayo unayoyatafsiri ni kupotosha,Allah anatosha,haelekezwi,huogopi kutengeneza Mshirika,hayo ndiyo yaliyowapoteza waliopita,stahafiru.
@yahyaibrahim2570
@yahyaibrahim2570 5 ай бұрын
YAHYA AHMED IBRAHiIM war na SOMALILAND TUGU TAFASHA WACHOKOZL AND MASHOGA.
@antv5590
@antv5590 3 жыл бұрын
Swadaqta Sheikh Izzudin...
@ashrafyyousuf6821
@ashrafyyousuf6821 Жыл бұрын
Wallahi badri nihistoria nzito sana, na wale waislamu wallahi wana Iman yaku beba Dunia nzima, nani,? Kama wao
@muhideennoor2458
@muhideennoor2458 4 жыл бұрын
Kitu kimoja nampendea sheikh izzudin hata kama ameikhtilafiana n mtu hamwiti majina ya kiajabu lakini kuna wengine utasikia huyo ni jahil n.k. mashaa Allah izzudin mungu akupe mazuri ya duniani n kesho akhera.
@abuuayubuassalafiyu3642
@abuuayubuassalafiyu3642 4 жыл бұрын
Kukhitalifiana sio sababu ya kumwita mtu jahili . Lkn ni haki mtu akiwa jahili kumwita jahili.
@alqaasim_a_tz2412
@alqaasim_a_tz2412 4 жыл бұрын
Atamuita nani Jahili wakati Yeye anaongea Ujahili hapa?? We waona atetea Shirik wazi wazi hapa
@muhideennoor2458
@muhideennoor2458 4 жыл бұрын
@@abuuayubuassalafiyu3642 hata kama mtu ana upungufu kwanini umtukane dini imeruhusu kutukanan na utajuaje mtu jahil kama wewe si jahil
@muhideennoor2458
@muhideennoor2458 4 жыл бұрын
@@alqaasim_a_tz2412 vile utakavyomuhukumu mwenzio ndivyo ulivyo si mtetei izzudin lakini muhsawahi kumfuata ukamrekwbish
@Habib_Swaleh
@Habib_Swaleh 4 жыл бұрын
Sheikh afwan tafseer ya ayah umeitafsir ki AMU !!!
@rilkabuya6519
@rilkabuya6519 4 жыл бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh, mashaallah tabarak allah mungu akuzidishie kila la kheir shekh wangu
@Yussuf3145
@Yussuf3145 4 жыл бұрын
Amiiin yaa Allah
@saadakhalfan945
@saadakhalfan945 4 жыл бұрын
hao wamekwisha fariki dunia wanahitaji kuombewa duaa ingekua bado wako hai hata mm ningewaomba waniombee dua
@khamisissa252
@khamisissa252 4 жыл бұрын
Allah akubaarik. kwa kuelewa. wangekua hai tungewaambia watuombee lakini hawapo sasa
@hajimohd7022
@hajimohd7022 4 жыл бұрын
upo sahihii dada
@AdilTwahir
@AdilTwahir 3 жыл бұрын
Wapo hai
@mammukaratu2084
@mammukaratu2084 Ай бұрын
Watu Wema hawafi wanaoumzika tu, wanaokufa ni wenye dhambi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
Hivi Waislam tumerogwa na nani, hatukubaliani kwa lolote! Mimi naamini mbele ya Mungu hatupo sawa wapo wenye daraja kuliko wengine. Dua ya Mtume Muhammad SAW na yangu sio sawa.
@nadirbolo6687
@nadirbolo6687 3 жыл бұрын
Weka mtume saw Kando,we wajua VP mtu amekushinda darasha? Wapima na nini haswa? Mtu anaweza kuwa muovu na akawa swala tano anaswalisha msikitini.
@mwinyimwashambi7175
@mwinyimwashambi7175 4 жыл бұрын
Ustadh salam alykum,,,, wakati wa jahilia watu wa makka walkua wakiabudu masanamu kwakisingizo cha kua masanamu hayo yanawaeka karibu na mungu ,,,je hio nayo ilkuaje haramu?
@abdul-fatahyussuf7439
@abdul-fatahyussuf7439 3 жыл бұрын
Maswali mengn lzm tuangalie tukiuliza hivi sanam limefany ibada gani kw Mungu atauseme namuomb Allah kw niaba ya Sanam hilo sio sahihi kw waja wem wamefny yanomridhi Allah nd unawez kufny hvy
@sheikhmuriditiba146
@sheikhmuriditiba146 Ай бұрын
مشاالله
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 4 жыл бұрын
Qur'an maneno ya Allah ni bora kuliko mtume sheikh hapo mimi sijaelewa hembu nieleweshe tafafhali
@mohammedwedding6530
@mohammedwedding6530 4 жыл бұрын
Kweli kabisa na jibril kamshushia mtume salah Allah aleyhi wasalam kwa sababu ni bora .
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
Mtume Muhammad SAW nae ni wa Allah pia.
@jumachivamba8811
@jumachivamba8811 4 жыл бұрын
Rejea nguzo za Imani kwa mtiririko wake utapata jibu.
@omarykyutta6681
@omarykyutta6681 3 жыл бұрын
Quran ilikuj kwa ajili ya mtume hapo unadhan kipi bora kati ya aliyofatwa na alieifata
@jumachivamba8811
@jumachivamba8811 3 жыл бұрын
Mrejee nguzo za Imani ndgu zangu!zmepangwa kwa mtiririko ndipo elewa.Hyo habari ya ubora no kpi inakujaje tna.emu rejeeni baada ya kuamini Allah inakuja nguzo ipi?
@zaitunimakiya7096
@zaitunimakiya7096 2 жыл бұрын
Maaashallah kwa ufafanuzi mzuri wa albadiri allah karrima
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
Hatujaelewa ahlil Badr isomwe au isisomwe, lakini si kwa kuibiwa chupi, kwa mambo ya maana kama mtu kukukosesha raha kwa nguvu za giza ambazo zinabainika kisha mkosaji akakataa, Naomba nijibiwe tafadhali.
@khamisissa252
@khamisissa252 4 жыл бұрын
nguvu za giza ni lugha ya shirk...... haifai kutumia nguvu za giza lasawa ni kumuomba Allah. alafu tusiwe wepesi kuwaombea laana wanaoiba vitu vyetu...... tumuombe Allah awaongoze katika njia salama
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
@@khamisissa252 nguvu za giza ni sawa sababu wanafanyia watu kwa kificho uadui, Na ziko sababu kubwa za kuomba laana zao ziwarudie mtu anakuandama tangu utotoni hujui mpaka umekwisha kwa tutasoma madua makali makali na wao yawarudie kama ni mazuri kama tudiin tudaan roho kwa roho nafkiri iko katika dini hii inajulikana, kama inavyosemwa tukitaka kitu kwa mungu, niombeni nitawajibu, hata tusipomumba anatupa Alhamdulillah.
@mzeeyahya2516
@mzeeyahya2516 4 жыл бұрын
Mimi najua familia inayodhulumiwa zaidi ya miaka 10 hawana raha kwa kuandwa na Majini yakutumwa na mchawi, na wakisomewa ruqya hao majini hujigamba kwamba kwamba twatoka na tutarudi paka tuisambaratishe Hii familia, na kweli kila wakisomewa hutoka na kuwarudia, Sasa hapo suluhisho ni nini kama sio albadiri tu,
@abuuayubuassalafiyu3642
@abuuayubuassalafiyu3642 4 жыл бұрын
Masufi huelewana wao kwa iweje utoe mada nyingine alaf unatoa aya hazina munasaba na mada yako huu ndio usufi .
@abdul-fatahyussuf7439
@abdul-fatahyussuf7439 3 жыл бұрын
Jibu lishatolew izo nyengn kw faid tu n upan wa kueleweshw watu km usuf unao ww
@salehally2744
@salehally2744 3 жыл бұрын
We salafi mbovu tu
@ahmedbadi5822
@ahmedbadi5822 4 жыл бұрын
Mashallah mashekhe wetu huogopa na ilhali ndio tuko kwa haki, wao misikiti ya kisunni hutoa darsa kina abu qatada hutoa darsa kaloleni marembo obo akatoa kishada Raashidina lakini ole wako Izzu ddin au ust Abudi luttah ama azhar, uthman maalim akitoa darsa Buxton lakini mmoja na uduktur wake kamkataa. Mashekhe wetu amkeni hakuna uzuri kwa watu hawa.
@muhammadmochenje1409
@muhammadmochenje1409 4 жыл бұрын
Hawa hawana kheri uvamia misikiti na kusema eti misikiti yote ni ya Mwenyezi mungu lakini yao ya Kiwahabi hawataki shirika za watu wajuwa kuzivamia
@abdallahsaid1968
@abdallahsaid1968 Жыл бұрын
Ifatwe hakki sio ushabiki wengine sio waislamu wanataka kuvuluga waislamu
@faridithomas4859
@faridithomas4859 3 жыл бұрын
Masheikh wa kisufi wako kinyume na tawheed! Masufi mtapotezwa sana na masheikh zenu
@faridithomas4859
@faridithomas4859 2 жыл бұрын
@Michelle Selenge jisufi
@muryd6999
@muryd6999 4 жыл бұрын
Shukran Sheykh
@masoudlikhan8722
@masoudlikhan8722 8 ай бұрын
Bangi mbaya...
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 4 жыл бұрын
Kwahivo kuna waja wake wasofanya dhambi? maana binadamu wote ni wakosa na mbora nimwenye kutubia, sasa asiepitiwa na shetani hawezi kufanya dhambi, washirikina wakuu.
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 4 жыл бұрын
Mashaallah somo zuri kwa wale wenye akili.
@allolelille4936
@allolelille4936 4 жыл бұрын
ustadh mbona wajichanganya, maneno yako yakowazi wacha kuyakunda maneno
@yahyaibrahim1165
@yahyaibrahim1165 Жыл бұрын
ALLAHU AKBRA ,MASHA ALLAH.
@catherinendagwe5312
@catherinendagwe5312 Жыл бұрын
Nataka kusomewa al badir nipeni connection pls.
@rahmahsaidomar9111
@rahmahsaidomar9111 3 жыл бұрын
Jamani na mimi nieleweshwe vyema. Yaani tuombe kupikia kwa watu wema. Haya tofauti na hao wanaoomba kupitia bwana yesu nasi tuombe kupitia wana albadiri ni ipi?
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 3 жыл бұрын
Tafauti ni kuwa sisi twa muomba yeye allah kupiya wajawake wema na wasio kua waislamu wanamuomba yeso mwenyewe hawapitii kwayeso namuomba yeso mwenyewe.
@AliOmar-bx2oz
@AliOmar-bx2oz 2 жыл бұрын
Waambie watu wamwombe Allah direct wasipitie kwa watu au kwa mashart fulani. Tuifuate kwanza Quran, tusipoelewa tuangalie kwenye Hadith.
@profs.a5412
@profs.a5412 4 жыл бұрын
Mtajuana tu kama mnafanya uchawi au la!! ........bishaneni vizuri .......@bwana mmoyaaa
@suuahmed71
@suuahmed71 10 ай бұрын
Wameelewa shekh. Hawataki tu kukubali. Tuachanae nao wasoikubali ahlul badr
@salehpandu2250
@salehpandu2250 3 жыл бұрын
Amin sasa huyu shekh Mtoto Bachu wapi hujafaham ndo shida ya kutafsiri neno kwa neno, ambayo wanayo vijana wengi wanaopenda kukurupuka na kutumia mitandao
@suleimanmohammad4141
@suleimanmohammad4141 4 жыл бұрын
ماشاءالله
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@muhidinzaidi4929
@muhidinzaidi4929 4 жыл бұрын
جزاك الله خيرا وبعد الخير جنة النعيم
@fahadtimimi9335
@fahadtimimi9335 4 жыл бұрын
Sheikh wale watu walitawasul Kwa mema Yao ..
@nasibuabasi4701
@nasibuabasi4701 2 жыл бұрын
Hiyo hadithi mbona kama umeiweka sehemu ambapo sipo mahala pake mtume amesema wale watu watatu walielezea matendo yao sasa wewe kuomba kwenye kaburi la shekh wako alikufa miaka iliopita sasa hapo kuna uhusiano gani?
@abubakarmuhajj3414
@abubakarmuhajj3414 4 жыл бұрын
Waja special ni masharifu na mamwenye😂😂😂😂
@AliOmar-bx2oz
@AliOmar-bx2oz 2 жыл бұрын
Maana ya neno ibadi ni mtu yeyote anaemtii Allah. Unapomtii Allah kikweli sheitani atakuchezea lakini hawezi kukupoteza kwasababu Allah anakulinda. Sasa Sheikh unatufanya tujione sisi sio ibadi wa Allah kwahiyo lazima tufanye tawasul. huu ni mtihani ndugu yangu katika imani. mimi nakupenda ndio maana nakutaka ujisafishe maana humu ndani waopenda mambo ya halbadiri wamefurahi washapewa ruhusa .
@rashadymuhamad6293
@rashadymuhamad6293 Жыл бұрын
Sheikh Ali kama nimemfaham sheikh hiyo hiyo asmaau Ahlulbadri ina nidham yake, Ufaham m_baya wa baadhi yetu huitumia vibaya kwa kuwasababishia madhara wengine badala ya kinga ya uadui. Watu huitumia kwa maangamizi, marogo nk.
@binmwerionlinetv1256
@binmwerionlinetv1256 4 жыл бұрын
shukran habib
@mariamuharubu6577
@mariamuharubu6577 2 жыл бұрын
Sheh nimekuelewa Sana Mimi nilisoma alali albadil Kwa mikono yangu mwenyewe na ikatiki niliweke kinga kwenye eneo Lang lipo Zanzibar imenisaidia Sana tena majangili watu wanao taka zukunizulumu walishindwa kunizulumu
@utaani1
@utaani1 Жыл бұрын
Naomba namba yako nataka huyo alokusomea maana kuna mwanamke anataka kunidhulumu nimechoka nae
@mdumbemalongo4518
@mdumbemalongo4518 2 жыл бұрын
Wacheni SHIRK ENYI MAKHURAFI....MUOGOPENI ALLAH.....SHIRK YAANGAMIZA JAMAAAAAA
@fawashamfawasham5245
@fawashamfawasham5245 3 жыл бұрын
Kutawasal kwa vitendo zako yafaa ..lkni haifai kutwasul kwa mtu
@9119-r4t
@9119-r4t 4 жыл бұрын
Wewe shekh hufai kusikizwa utapoteza watu.
@ashrafyyousuf6821
@ashrafyyousuf6821 Жыл бұрын
Hata nasikiaga kuwa mtu kama yupo kwenye kundi na watu wanao fanya mkutano wa Allah hata kama ame lala nayy ana pata thawabu... Na dambi vile vile
@binyamiinabubakar4325
@binyamiinabubakar4325 4 жыл бұрын
KISHA MASAALA YA عبادي UMETOA DALILI KUWA NIWATU AMBAO SHETWANI HAWEZI KUWAPOTEZA IKIWA WALE NI عبادي NA SISI NI NANI KWA MUNGU?
@ahmadshikely8581
@ahmadshikely8581 4 жыл бұрын
عبد
@alqaasim_a_tz2412
@alqaasim_a_tz2412 4 жыл бұрын
Labda Sisi tuano Chezewa na Shetan Tutaitwa A'duwwiy (subhaanallah) Huyu bwana Izudin ana vituko kweli
@mohammedhegdah
@mohammedhegdah Жыл бұрын
Wasiopotezwa na Iblis Ma'asumin peke yao nao ni Mitume. Je, hao ahlul badr ni Ma'asumin?
@omarissa7437
@omarissa7437 2 жыл бұрын
Hapo kuna mushkel
@farhannurkey
@farhannurkey 3 жыл бұрын
kaeni mbali saaana..huu ushirikina ukifa nao motoni milele
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 4 жыл бұрын
MashaAllah Shukran Jazakallahu kheir
@zaitunimakiya7096
@zaitunimakiya7096 2 жыл бұрын
Alhamdulillah rabbghalami darasa zuri sanaaa
@uthmanihimbawe5244
@uthmanihimbawe5244 4 жыл бұрын
Hiyo khabar ipo Kitabu gani shekh?hiyo ya barua ally alioichukua kwa huyo dada,nisaidie kwa faida zaidi🙏
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 4 жыл бұрын
(البخاري: كتاب الجهاد والسير، باب الجاسوس [2845]، ومسلم: كتاب فضائل الصحابة، باب من فضائل أهل بدر [2494]). [4]- (مسلم: كتاب صلاة المسافرين وقصرها، باب جامع صلاة الليل ومن نام عنه أو مرض، [746]، وأحمد [25341]، واللفظ له، وقال شعيب الأرناءوط: "إسناده صحيح على شرط الشيخين"، والبخاري في الأدب المفرد [308]). رابط المادة: iswy.co/e12hfr
@uthmanihimbawe5244
@uthmanihimbawe5244 4 жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin shukraan shekh
@sheriffshatterz
@sheriffshatterz 4 жыл бұрын
Nataka mumuulize izzudin, katika ya watu wa ahlul badri na mitume wa Allah nnani ni bora? Pili, manabii wa Allah wataingia motoni? Ikiwa jawabu lake la swali la kwanza na la pili ni: 1.manabii wa Allah na hawataingia motoni, kwa munasabaa je yafaa kutawassal na majina manabii wa Allah? Akisema yafaa, mwambie atunukulie dalili imma nass ya Qur'an ama hadith swahih kutoka kwa mtume صلى الله عليه وسلم Ikiwa hakuna basi jueni ya ikhwani kuwa haya ni katika mambo yaliozuliwa tena ni mambo ya hatari kwa sababu ni mas'ala ya aqeedah ambayo yanaweza kumtoa mtu katika mila ya kiislam.. اللهم ارنا الحق الحقا وارزقنا اتباع وارنا باطل باطل ورزقنا جتنابا
@بنتإبراهيم-ظ9م
@بنتإبراهيم-ظ9م 4 жыл бұрын
آمين
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
Nyei ndo bure
@alafasyprintingservices660
@alafasyprintingservices660 4 жыл бұрын
ALLAH ATUHIFADHI INSHALLAH
@abaafarhat9191
@abaafarhat9191 3 жыл бұрын
Kwanza hakuna amjuaye mja mwema utanijuaje kama afanya mema mchana usiku ni mwanga we usitunganye shehe Albadri ni haramu unavyozidi kuelezea na kushawishi tukubaliane na Albadiri ndo nazidi kukuona hufai kabisa unapotosha jamii
@AliOmar-bx2oz
@AliOmar-bx2oz 2 жыл бұрын
Mtu kakuibia kiatu Ukienda kwa Sheikh anakuuliza unataka Albadiri ya aina gani. tumtie kichaa ? au tumuuwe? Kuna albadiri za kuua kutia watu vichaa, kusafirisha watu kwa wapumbaza akili na kuna za kukinga aidha mwili nyumba eneo la biashara. Alafu Sheikh wangu unasema Halbadiri sio Shirk. ??????? Ndugu yangu jiondoe kwenye dhima hiyo, uwe msafi .
@abdulrahmanmohamed8651
@abdulrahmanmohamed8651 2 жыл бұрын
Aa vpi naomba number yako sheikh
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 2 жыл бұрын
+254772611120
@ashrafyyousuf6821
@ashrafyyousuf6821 Жыл бұрын
Swadaqta🎉🎉🎉🎉🎉
@greatiq7835
@greatiq7835 4 жыл бұрын
Kwa hivyo wanao omba kupitia Yesu wako sawa?
@salumsalim5515
@salumsalim5515 4 жыл бұрын
Lakini sheikh hao watu iblis hatowaweza sisi wote waislam wenye kutubu tumbo humo Wanaowezwa na iblis sio katika waislam Kama unaweza tufafanulie tena sheikh
@omarykyutta6681
@omarykyutta6681 3 жыл бұрын
Wale waisomayo Quran lakin hawaifatii
@fahadtimimi9335
@fahadtimimi9335 4 жыл бұрын
HAIFAI KUSOMA.ALBADIRI
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 4 жыл бұрын
Ahsante SHEIKH
@kadirmustafa9130
@kadirmustafa9130 4 жыл бұрын
mashaAllah
@mrsultanzimbwe6746
@mrsultanzimbwe6746 2 жыл бұрын
Tutajue Swahaba mmoja au Tabii alyethubutu kuomba kuptia Ahlu badri wacha upofu wa lazima
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 4 жыл бұрын
71:23 watu wa nabii nuh walikuwa wakitawasr kama nyny kwa watu wema kisha wakawaadubu kabisaa ww useme wap mtume (s.a.w)alifundisha hakuna na hautopata na maswahb wao walitawasal kwa nan iyo ni bidaa na shirk
@mwanaumejasiri3835
@mwanaumejasiri3835 4 жыл бұрын
Shukran
@binyamiinabubakar4325
@binyamiinabubakar4325 4 жыл бұрын
Hiyo ni shirki mungu Asema kwenye quraan ولله الأسماء الحسنى فاعوه بها kwa nini tuombe kwa watu wa Ahlul badri?
@saidibrahim1699
@saidibrahim1699 4 жыл бұрын
Amina
@deathrow8004
@deathrow8004 2 жыл бұрын
AlBADRI NI SHIRK na UCHAWI ULIOWAZI KABISA
@pekeetv
@pekeetv 3 жыл бұрын
Aslam alayku
@mohamedamiri4597
@mohamedamiri4597 4 жыл бұрын
Shidada nikwamba Sheikh izzu diin lugha ya kiarabu wengi yawatatiza
@TheAmadoni
@TheAmadoni 4 жыл бұрын
Ma Shuhadaa wa vita vua Badr, wahusiana vipi na mtu kuomba dua yakumdhuru mwenzake ! Sote twajua ukisema wenda soma Albadiri means wenda omba dua kumdhuru mwenzako. Nani alitaka pepo ama ne3ma akaenda soma Albadiri?!!!
@hamadrashid5140
@hamadrashid5140 4 жыл бұрын
Mashallah
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 3 жыл бұрын
acha kupotosha watu
@abuuzuberi9887
@abuuzuberi9887 3 жыл бұрын
Naam Mwalim ni kweli
@mariamuharubu6577
@mariamuharubu6577 2 жыл бұрын
Sasa hivi wananiita muchawi mkubwa Sana
@abdulhalimsadick2251
@abdulhalimsadick2251 4 жыл бұрын
albadiri n shirki huyu sheikh anapotosha watu tusomeni dini yetu waislam wenzangu... allah anasema tumuombe kwa majina yake 7:180. hyo ni sawa na shirki wanayoifanya wakristo kumuomba mungu kupitia issa sala na salam ziwe juu yake...
KUJILINDA NA MAMBO MATANO
54:00
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 2,3 М.
JE YAFAA KUMROGA ANAE KUHARIBIA NYUMBA YAKO
16:34
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 150 М.
Вопрос Ребром - Джиган
43:52
Gazgolder
Рет қаралды 3,8 МЛН
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН
KITABU TWAHARA N0 1
1:10:29
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1,3 М.
Epuka sana NZI kama wataka Ndoa yako idumu - Sheikh Izudin
18:01
MAJIBU YA ULIZA UJIBIWE (PART 08)
1:01:14
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 15 М.
DUA YA AHLUL BADR  | HABIB OMAR BIN HAFIDH | DAR UL MUSTAFA
34:24
Al Ihsaan TV
Рет қаралды 6 М.
CHUMVI NA MWANAMKE
16:57
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 195 М.
AINA YA DHULMA
59:33
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 2,1 М.
JE YAFAA KUTAWADHA UCHI (NAKED)
9:43
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 175 М.
NININI NDOA
48:06
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 48 М.
VIPI UTAOGA JANABA
17:27
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 297 М.
Вопрос Ребром - Джиган
43:52
Gazgolder
Рет қаралды 3,8 МЛН