Iko broo nishailinganisha iphone ya USA na INDIA camera quality very very different refubs 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
@daluckyFinancialServices2 жыл бұрын
Usiseme fake kabla hujaelewa huwezi fananisha iphone ya usa na africa ni vitu viwili tofauti usitegmee vifanane na hakuna fake ni kwamba soko lenu la africa liko chini kwaiyo wanatengeneza kulingana na kwamba hii simu inaenda kutumika nchi gani au bara gari Kwaiyo fuatilia hiyo kitu utaelewa
@sonnyr18992 жыл бұрын
@@daluckyFinancialServices Mbona kama mnajichanganya wenyewe Ya chini Ya vigezo ipo tu. Nilipokea mgeni kutoka Tanzania kuja Danmark na alipofika kwangu alikuwa na Iphone 10 huwezi amini alivyo fika hapa simu iligoma kufanya kazi kwa line Za hapa Alafu ilikua nyepesi mno. Ila mie nimeshuka Bongo na iphone yangu Yani inafanya kazi bila shida ndio utofauti huo.
@kevinwolfjames42202 жыл бұрын
Ogg sana sema trailer ya wakanda forever imetoka fanya kweli😁
@philbertmtweve2 жыл бұрын
💥💥 makin sana
@Nyamko-christmas2 жыл бұрын
Unaposema kuna iphone copy hakuna iPhone fake maana yake nini Ukisema iPhone copy maana yake ni iPhone fake acha kuzungusha maneneo iPhone fake zipo tena nyingi tuuu nazinakuja kwenye mabox kabisa na nyingi ukiifungua ndio unajua kuwa ni fake acha review za uongoo iPhone za magumashi zipo sana tena ni nyingi sana kuriko original
@imranhussein552 жыл бұрын
Zipo fabricated products, na iphone anayo, means parts ni kweli from iphone na other parts sio
@fabiananthony61688 ай бұрын
nakubaliana na wewe copy ni kitu sio chenyewe ni mfano wa mfanano na kile ambacho ni sahihi ukisema hakuna fake kuna copy hapo kidogo unatuchanganya au tusaidie tofauti ya fake na copy ndio nielewe
@aliganzel65122 жыл бұрын
Haina tofauti na ndege kila parts inatoka nchi yake then vinakuwa assembled even screw zinatoka kwenye kampuni tofauti
@jservantofgodgosplemusic69432 жыл бұрын
Nakubari sana Brother
@emmanuelmodest7457 Жыл бұрын
Zipo ww acha zako
@malosimuni7187 Жыл бұрын
Iko wacha uongo
@JosephMhecha2 жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri
@yohananyabu55562 жыл бұрын
Nimekuelewa sana👍
@samsoniraphael47232 жыл бұрын
Hapo umenena kaka
@Kacharich2 жыл бұрын
Unatisha sana Mzee baba
@kenethchihwalo52952 жыл бұрын
Tumemis review za movie, but big up kwa kazi unazofanya
@chibudangote81862 жыл бұрын
You are the Best
@fahimsungura775 Жыл бұрын
mbona leo kama unatufokea
@bwiganeuswege23662 жыл бұрын
Umetisha brother
@sebatech39512 жыл бұрын
Nimekusoma kiongoz thanks
@donmlevi2 жыл бұрын
Wewe una jua definition ya fake? Clone or first copy ni fake ya original.
@moseskizondo58882 жыл бұрын
Broh nilikuwa naomba cku ueleze kuhusu PPI density
@ChristopherChingande-mg4tf Жыл бұрын
broh snash me nashda hpa na i phone zangu
@elymollel2 жыл бұрын
Hizi ni blaa blaaa tu.. simu za bongo ni tofauti na za USA bishana hadi kesho huo ndio ukweli.
@nshimirimanablaise27632 жыл бұрын
Njoo Dubai utalewa
@kazikazini10422 жыл бұрын
Zipo tu. Zinauzwa 'kichinga' bei che .Zinafanya kazi siku mbili tatu kwishnei. Ishu si zilikotengenezwa ila fake ni fake tu.
@Patsonmnyama2 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌Kaka snatch nimekukubali sanaaa
@dyllassmj2 жыл бұрын
Kuna mtu alinunua iphone hapa tanzania akaja kupata safari kwenda poland lakini cha ajabu anadai alivofika kule ile simu ni kam ilizimwa au tusema ilikua restrictede ku function nchi ile akasema pengne aliuziwa fake… hebu nisaidie n hilo @snashtz
@anthonysindabaha75172 жыл бұрын
Respect kwako mzee ,umeeleza kila kitu from the beginning..ni kwamba apple hawatengenezi iPhone fake...ila usichojua ni kwamba crown iphones zipo tena nyingi broo IPhone yenye storage 512GB unakuta fake...je unahisi such kind of products (iPhone) zinakuwa made and assembled wapi?? Naomba jibu kwa hili na pia Products nying bongo ni fake... Mfano mzur mtu yupo states ameweka order ya iPhone 14 mpka sasa hajapata ila bongo waja wanazo 😂 what do you think????
@maujanjatv24h412 жыл бұрын
Unaonekana huna maarifa na tayari unamajibu yako Huna haja ya elimu toka kwa mtu mwingine
@aginesaemanuel4025 Жыл бұрын
Basiii ninanunua I phone 14 pro.
@saimonmaiko10542 жыл бұрын
Nakubali man
@greatest_of_africa2 жыл бұрын
💪💪namwamin kuliko Millard ayo
@BenLeeBl2 жыл бұрын
Uko sawa ils sisi wachina tunawajua vzuriiii...mm hiyo ya china hapana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwanz izo simu watu wanazitaman kwajili ya show off ...kwel unashowoff na made in china
@bakarapeche90432 жыл бұрын
Tunakubar snash.,,ila dah review za movie kitambo
@swalehpapic9048 Жыл бұрын
kuna mtyu aliniambia iphone za lain mbili ni feki nikamkatalia sasa mimi ndio nipo sahihi au yeye
@gynae84072 жыл бұрын
Mwamba unazingua kwanza ulipotelea wapi ulikua unatupa tec kwa urahisi
@vicenttumaini51662 жыл бұрын
made in california and assemble in china pia tueleweshe refubrished phone, copy iphone na original.......... but all in all umetisha kinoma noma
@iconentertainment10572 жыл бұрын
N hizi iphone 13 gb 513 za laki tatu zimetoka wap?
@anthonysindabaha75172 жыл бұрын
Hahaha...bro huyoo ameeleza vzur sana..ilaa iPhone crown zipo tena nyingi bei kitonga..haiwezekani mtu yupo States amaweka order ya iPhone 14 mpka leo hajaipata ilaa still bongo zipo kibaoo Na watu still wanaweza ku afford such a product..zenye 1TB storage...bro Africa is the worst continent..mostly products tunazotumia from abroad are fake ni wachache sana wanaoweza ku afford OG kama magar, simu laptops nk...
@faustinemakona-vj9gj Жыл бұрын
Tofauti ya copy na feki ni nn
@ilynpayne74912 жыл бұрын
Watu ndo wame elewa 🔥🔥
@philbertmtweve2 жыл бұрын
Brother tunaomba ufanye video ya kuelezea Esim yaan, inafanyaje fanyaje kazi,🙏
@amirabdallah69842 жыл бұрын
Ujakaaa kariakoo ww uwone i phone za mchongo
@miltoon48932 жыл бұрын
snash na hizi zimeandikwa remanufactured by asurion hizi zipoje
@jorammedard91592 жыл бұрын
Pa1
@romessjunior56432 жыл бұрын
Mzee tufanyie review ya range 2023
@karimhamisi4627 Жыл бұрын
Waulize wanao nunua iPhone Shenzhen na kuleta africa unatuambia Ni copy lakini sio fake
@abdulhamidabdallah89752 жыл бұрын
Umetshaaaa 🔥🔥🔥
@aronatv472 жыл бұрын
Mmmmh...! Jaamaaa Umezingua Copy na Fake Utofauti ni upi..?Haya mtaalam
@Whitegsm2 жыл бұрын
Snash big upo lakini tunataka review za movies ao wengine kavu tu
@vannybrezy95082 жыл бұрын
kaka dune taxi bmw wameachia
@tanzaniaunforgettable44012 жыл бұрын
Movies
@browngennestone59792 жыл бұрын
upovizuri ila achana na kubana poa
@lawrenceemmanuel33062 жыл бұрын
Ungeweka na subtitle za Kingereza ili ujibebee wengi
@salim02tv242 жыл бұрын
Kwell ila sio weng
@rahelkiteka2 жыл бұрын
Ombi langu hujajib had leo asee!!
@rumdeesonsoa18112 жыл бұрын
.
@noelyrajabu1052 жыл бұрын
First one✅
@nmasare93642 жыл бұрын
Naomba utufafanulie sasa hivi simu nyingi tunazouziwa used iphone unasikia NO FACE ID hicho ni kitu gani? kinasababishwa na nini? na je kinahusiana na ubovu wa camera?na je kinatengenezeka na kwa nini simu nyingi used kwa sasa zimekua na hiyo shida na bei zao ni kitonga naomba ufafanuzi
@kelvinlema85552 жыл бұрын
Ukiona simu unaambiwa NO FACE TIME ujue imetokea Dubai kwa sababu kule ni nchi ndo inaagiza na sio wafanyabiashara kwahiyo nchi ina vigezo inayovitaka na kuna vingine haivitaki kwahiyo kwao walisema simu za Iphone zinazoingia kwao zisiwe na hiyo feature ya Face Time wao wanachukua kutoka Marekani ila kuna nchi kama China wao waliomba wawe wanatengeneza kwao zisitoke Marekani kwasababu za kiusalama wa taifa hivyo Apple wakakubali ila makubaliano yakawa kuwa China watengeneze kwa viwango vile vya simu za Marekani.
@kelvinlema85552 жыл бұрын
Na kama ulishawahi kuona simu ya Iphone imetengenezwa Calfornia alf assembled in China
@geraldjohn54302 жыл бұрын
Fac3 Id ni mfumo wa ku unlock simu yako kupitia camera.mara nyingi kama mtu alibadilisha kioo cha iphone ndo inaua huo mfumo wa id..pia sometimes ni shida ya software.so ili kurekebisha iyo kitu ni lazima ununue kioo origina chenye face id
@maujanjatv24h412 жыл бұрын
@@geraldjohn5430 hakuna kioo chenye face id.Asante
@lyobathabit5352 жыл бұрын
@@maujanjatv24h41 FACE ID inatengenezeka kwa simu iliyokua na shida ya FACE ID, haina uhusiano wa ubovu wa camera.
@researcher79462 жыл бұрын
Iphone fake zipo ndugu tena nyingi sana nimeshamiliki iphone 4 fake pia kunasiku nilishawahi kutaka kuingizwa mkenge kuuziwa iphone 11 pro max fake baada ya kuikagua ndo nikagundua kuwa ni fake kwasabu ukilog in icloud inagoma haiingii na vitu vingine kama camera na display hazina ubora ule wa iphone og
@izkonka_movie_recap2 жыл бұрын
Mmh je zile iphone 12 za mchongo 🤣
@edlumala94282 жыл бұрын
More than 80% ya iPhones, iPad na Apple computers zinaundwa/ assembled in china. Foxconn ndiyo kampuni iliyopewa contract na Apple! During pandemic of covid 19 wali pata shida sana kwenye uzalishaji, sasa wanafikiria kufanya assembling nchi nyengine ikiwemo America yenyewe! Shida ni cost of production itakuwa juu kwa ajili ya cost ya labour. iPhone fake zipo kibao mtaani, sielewi vipi unasema hakuna. Kila bidhaa bora ina mbovu yake kitaa
@lodrickmwambene1332 жыл бұрын
iPhone fake zipo
@princeshafk38772 жыл бұрын
Og 🔥🔥🔥
@youngpaincompany14402 жыл бұрын
Bro ungekuwa uko kama zaman sahv sub wangefika 150k
@Kombevisuals2 жыл бұрын
200k
@saidmziray85792 жыл бұрын
Copy na fake ni same thing hizo ni terminology tu.
@swahilistories012 жыл бұрын
Fanya tafiti vizuri fake ipo usiporoje tuu
@rumdeesonsoa18112 жыл бұрын
Ndio hiyo copy ambayo amesema, ila apple kama apple hawatengezi iphone fake
@ahmadmbwiza97802 жыл бұрын
Je kuna iphone inoyo ruhus sim card 2
@edyi91872 жыл бұрын
Labda E Sim unaweza unga Laini hata 6+
@rajabumafuwe36932 жыл бұрын
Xr iphone inayo
@gataramaabdul97612 жыл бұрын
1
@juniorbrown47282 жыл бұрын
iphone 14 pro inauzwa shingap za kitanzania
@cadeauofficial72642 жыл бұрын
2M tzsh
@vainqueur63822 жыл бұрын
Na nikuulizege kwanini bongo magari yanayoingia ni ya miaka ya nyuma sanna
@user-cu5kh5eh8o2 жыл бұрын
Watu hawana ela
@rumdeesonsoa18112 жыл бұрын
Kwan ww hujui bongo ni maskini mpk uulize hilo swali?
@ilynpayne74912 жыл бұрын
Shida ni pesa tuu ukiwa na ela unaweza nunua gari mpya
@Sheffa-Black-Hat2 жыл бұрын
😄😄😄bruh u knw nothing abt tech bana
@modestmkali34362 жыл бұрын
Acha utoto wewe, sasa copy na fake tofauti ipo wapi??? Ni aina tu yakuongea, neno FAKE ndio imetawala midomoni kuliko neno COPY, at the end COPY AND FAKE ni same things
@REAN-MEDIA2 жыл бұрын
just try to prepare you own video always una copy ya mtu then una edit ndiyo una present acha uwizi wenzio wameanda content wew una copy
@Kaleztoz2 жыл бұрын
Wewe acha u fala wewe we from usa na there’s a lots fake iPhone special the phone coming from 🇨🇳 ni fake even this 14 the one from usa no sim the others the got sim and the phone is for usa how then acha u malaya wewe
@escobar67602 жыл бұрын
Huna akili sana.. 1. Huelew kuhusu Technology.. kuhusu Iphone ambazo ziko US nikwamba zinatumia eSIM technology hawawezi kuweka esim zote kwajili third party world kwa sababu inatumia local simu. 2: ujui English, you’re disappointing yourself education level.