HAKUNA HUKUMU TENA,DHAMBI ZILISHACHUKULIWA.

  Рет қаралды 10,253

SAA YA NEEMA TV

SAA YA NEEMA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 84
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 2 жыл бұрын
Omba Mungu akupe Neema ya kuijua KWELI nayo KWELI itakuweka HURU
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 Жыл бұрын
Huyu Jamaa ana point! Msimbeze.
@hosianamazengo7685
@hosianamazengo7685 Жыл бұрын
Basi dhambi isitawale ndani ya miili yenu hata mkazitii tamaa zake. Warumi 6:12
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Жыл бұрын
Hawa ni moja ya mawakala wa shetani wenye namna hii,wanasura sawa na binadamu,wana mwonekano wa kibinadamu,lakini wana vina saba na majini pamoja na binadamu na wanaoa na kuolewa na kuzaa watoto,na wanaweza kutumika kuzimu na katika dunia yaani ulimwengu wa macho.kazi yao ni moja kuipinga Biblia,na kuwapotosha watu.wale wenzangu na mimi ambao wametumika kwa shetani na Mungu akatuokoa tunawaelewa sana hawa,
@jamalkishangu
@jamalkishangu 2 ай бұрын
Huyu mzee anafundisha kuwa mkristo akizini, akiiba, akiua na kulewa na kuendesha matatizo makubwa katika jamii ya wanaadamu hana dhambi kwa maana hana lawama yeyote kwa Mwenyezi Mungu. Huu ni msiba mkubwa katika jamii ya Wakristo.
@denisbenkiko5843
@denisbenkiko5843 2 жыл бұрын
Its amaizing
@alistidiahenerico
@alistidiahenerico Жыл бұрын
Shetani ameingiza mawakala wake wengi kwa siri kupotosha kweli ya Mungu....kuwa macho
@hosianamazengo7685
@hosianamazengo7685 Жыл бұрын
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti Bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu. Warumi 6:23
@nestorysospeter7162
@nestorysospeter7162 Жыл бұрын
ufahamu wako juu y neno la mungu bado uko chini Sana roho wa kirstoo akusaidie , kama kweri unania ya kwenda mbinguni
@graciousmedia8235
@graciousmedia8235 Жыл бұрын
Mungu tusamehe tuu tusaidie tuishi maisha yenye kukupendeza.maana naona huku tunakoenda tutaambiwa dhambi ni haki za binaamu. Kama tuu watu wanasema ushoga ambao ni dhambi wanasema ni haki za binadamu basi itafika sehemu watasema wizi ni haki ya binadamu ,watasema uuaji ni haki za binadamu
@faywaigui3412
@faywaigui3412 Жыл бұрын
Wanafunzi wayesu walimuuliza tutawajua aje manabii wa uongo ,yesu akawajibu mtawajua kwa maneno ya vinywa zao na matendo yao ..mathayo 24 :3:6
@rosendanshau2674
@rosendanshau2674 Жыл бұрын
Kwa nini uko kinyume na Mungu Mungu akutokee kama sauli.huna tofauti na sauli wewe upigwe nuru ya macho uone wema Wa Mungu.hata hao wanaosikiliza ni bure.uko kama zumaridi
@geraldbenjamin9302
@geraldbenjamin9302 Жыл бұрын
Mungu atusaidie kuijua kweli, maana bila hivyo wengi watapotea
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Ameen
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 Жыл бұрын
Biblia. Waebrania 10:26-27 [26]Maana, kama tukifanya dhambi kusudi baada ya kuupokea ujuzi wa ile kweli, haibaki tena dhabihu kwa ajili ya dhambi; [27]bali kuna kuitazamia hukumu yenye kutisha, na ukali wa moto ulio tayari kuwala wao wapingao.
@yohanamp-ec7im
@yohanamp-ec7im 9 ай бұрын
Acha kupotosha watu Mungu atakumizaa😢
@barikibenson4678
@barikibenson4678 Жыл бұрын
Tuko na safari ndefu sana kuja kuelewa kweli ya MUNGU
@johnshayo9635
@johnshayo9635 Жыл бұрын
Wapinga Kristo ndo Hawa Leo tunawashuhudia kweli Dunia Ina mambo
@estermsigwa1476
@estermsigwa1476 Жыл бұрын
Barikiwa ila wengi wameshindwa kukuelewa sababu hawajaikubali kazi ya msalaba na hawapo ndani ya pendo la Kristo bado wapo kumpiga shetani
@kanuthmsigwa4987
@kanuthmsigwa4987 Жыл бұрын
Nastaajabu kuona wengi wa wanaocoment hawana Roho wa Kristo.Hawayajui mafundisho yanayoufunua msalaba
@isayambaabu2149
@isayambaabu2149 4 ай бұрын
Thanks my friend,,,,,,it will take time people to understand the work Jesus Christ,,,,,,,am in Kenya,,,,,,ata uku watu pia they don't understand the gospel
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Elimu Yako ndogo mno, Yesu aliwaambia Kwa sababu ya kutoamini kwenu utawala huu utahamiishwa kwenu na kupewa watu wa mataifa mengine nao watakuja kuwatawala.( Injili). * Huna Roho Mtakatifu huwezi kushindana*
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Жыл бұрын
2 Wathesalonike 2:5 Je! Hamkumbuki ya kuwa wakati nilipokuwapo pamoja nanyi naliwaambieni hayo? 6 Na sasa lizuialo mwalijua, yule apate kufunuliwa wakati wake. 7 Maana ile siri ya kuasi hivi sasa inatenda kazi; lakini yuko azuiaye sasa, hata atakapoondolewa. 8 Hapo ndipo atakapofunuliwa yule asi, ambaye Bwana Yesu atamwua kwa pumzi ya kinywa chake, na kumwangamiza kwa ufunuo wa kuwapo kwake; 9 yule ambaye kuja kwake ni kwa mfano wa kutenda kwake Shetani, kwa uwezo wote, na ishara na ajabu za uongo; 10 na katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokolewa. 11 Kwa hiyo Mungu awaletea nguvu ya upotevu, wauamini uongo;
@josephmchila6467
@josephmchila6467 Жыл бұрын
Huyu mtu smuhitaji kabisa,ufahamu wake juu ya ukristo ni mdogo sana
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Жыл бұрын
Me najiuliza hv hili jamaa halipati muda wa kupitia comments hapa chini lijiulize na lijihoji! Half me naona huyu hta hajui biblia ama ana upungufu wa akil!
@osiahmwakasala1646
@osiahmwakasala1646 6 ай бұрын
Faham kitu hiki. Imeandikwa mtakatifu azidi kujitakasa ufunuo 22:11 napia kukomboa mateka Ni hatuakwa hatua na ujumbe Yesu akiwa na Petro alimkea shetani aliyekuwa amejipenyeza ndani ya Petro akamwambia Rudi nyuma mama ingekuwa nihivyo Yesu asingesha mlimani kuomba kila siku wakati alikua akiomba Jambo lilele haku akijua lots uliombalo hupewa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Mimi namuelewa utatubu vipii na wakati wakiristo hamuna zambii yesu alizichukuwa amekaa na maroba yenuu utubu nini sasa ukitubu mana unazambi na ukiwa na zambi mana yesu hakuzichukuwa kwa iyo pana sinto fahamu munafungwa
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 Жыл бұрын
Biblia. Ufunuo wa Yohana 12:17 [17]Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu; naye akasimama juu ya mchanga wa bahari.
@barakamanga5502
@barakamanga5502 6 ай бұрын
Uyu ni shoga
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Жыл бұрын
HAPA NALIONA SHIMO LA JEHANAM KABISA, KWELI HIZI NI SIKU ZA MWISHO, YESU OKOA KANISA LAKO WARUMI 1:18-28
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Wanampa Mtihani huyo Yesu sijui atamjibu Nini Mungu Mola Muumba! Maana Kila wanaojifichs ktk Kivuli Cha Yesu, Ukristo na Biblia mmmh...! Ni shida. Hivi ndivyo Yesu alivyoagizwa na Mungu Mola Muumba kuwafundisha haya na yamfano wa hayo?!
@calistusmahombo-ty8ni
@calistusmahombo-ty8ni Жыл бұрын
Mtawatambua Kwa matunda Yao......
@wilikornel8518
@wilikornel8518 Жыл бұрын
Huyu alipata tatizo la akili ndy maana hata macho yake hayako vzr mungu msamehe
@jessicamorrison289
@jessicamorrison289 Жыл бұрын
Mimi nahisi huyu jamaa ni pepo
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Жыл бұрын
huyu ni IBILISI kabisa
@rosendanshau2674
@rosendanshau2674 Жыл бұрын
Dhambi nikwakuwa Mungu hapendi dhambi.imekwisha maana yake.tunaingia patakatifu kwa damu ya Yesu .kama imekwisha.alisena jitahidi kuingia mlango mwembamba.
@godfreykiwori4449
@godfreykiwori4449 2 жыл бұрын
Du hii Kali Yesu mrehemu mtu huyu
@alistidiahenerico
@alistidiahenerico Жыл бұрын
Unajua nini maana neema?
@rev.harunichaula6509
@rev.harunichaula6509 Жыл бұрын
Ivi ni kweli ,wewe endelea kudanganya tu malipo yapo.Apandacho mtu ndicho atakachovuna.
@hosianamazengo7685
@hosianamazengo7685 Жыл бұрын
Hili ni fundisho la kipepo. Maidhui yake ni kuwafariji watu waendee kufanya dhambi eti kwakuwa Yesu alishazichukua dhambi zetu. Yani watu wazini tu kwkuwa akimaliza kuzini amesamehewa hivyo watu wasitubu. Utawaangamiza watu jeham ya moto. Maandiko yanasema Kila mtu na ajitakase. 1 Yoh 3:3 Kila mwenye matumaini haya katika yeye hujitakasa, kama yeye alivyomtakatifu
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 Жыл бұрын
Mbona unaonekana u mtu mzima na hizo concept unazopresent kama haviendani
@hamisiamri7477
@hamisiamri7477 Жыл бұрын
Kanisa la mashoga ili dar
@hosianamazengo7685
@hosianamazengo7685 Жыл бұрын
Ni nini basi? Tufanye dhambi kwa sababu hatuwi chini ya Sheria Bali chini ya neema? Hasha! .warumi 6:15
@subirachristopher1984
@subirachristopher1984 Жыл бұрын
true
@eliakinshaga3090
@eliakinshaga3090 Жыл бұрын
I never thot of the phrase, kila sikio litasikia injili na kila goti litapigwa kwake. Yaani huyu jamaa anaspread lies na Gospel hapo hapo using the same Biblia.
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 Жыл бұрын
Which means he's a liar. Kweli ikichanganyika na uongo inakuwa uongo
@hosianamazengo7685
@hosianamazengo7685 Жыл бұрын
Tuseme nini basi? Tudumu katika dhambi Ili neema izidi kuwa nyingi?
@RobatiKipili
@RobatiKipili Жыл бұрын
😂😂😂
@venanceebsnavyjosephjoseph3586
@venanceebsnavyjosephjoseph3586 Жыл бұрын
Ukoma wa ufahamu umwkusumbu shetani ww, angamia hata leo
@drewsondeniss709
@drewsondeniss709 Жыл бұрын
Macho yake tu yanaonyesha Hana akilii 😂
@imanelisha2390
@imanelisha2390 2 жыл бұрын
Balikiwa
@johnrupia4384
@johnrupia4384 Жыл бұрын
1 yohana 1÷8 _10 tukisema yakwamba hatuna dhambi twajidanganya
@joycemarwa3425
@joycemarwa3425 Жыл бұрын
Wewe nitaperi acha utaperi umeingiriwa nashetani nimekusikiriza sana acha uongo wewe niwakara washetani ivi hakuna kazinyingine zakufanya maka munafichama makanisani
@zakariapaul7570
@zakariapaul7570 2 жыл бұрын
Mafundisho haya hayafai hata kidogo
@christinamasanja8698
@christinamasanja8698 Жыл бұрын
Uongo mtupu, wewe ni wakala wa Giza sina shaka na hilo
@grantmwakalambile2808
@grantmwakalambile2808 Жыл бұрын
Jamaa huyu kwel anakamba huyu ata mashoga sawa wamesamehewa waendelee kufanya wachawi waendelee kuroga dah hii ni hataree tuwe macho sana huyu jamaa anatupiga kamba tusimkubali
@FLORENCEINOCENT
@FLORENCEINOCENT Жыл бұрын
Mafundisho yako yatakuponza
@venanceebsnavyjosephjoseph3586
@venanceebsnavyjosephjoseph3586 Жыл бұрын
Mgombea wa chama cha kuzimu , devil agent
@masindemagee9603
@masindemagee9603 Жыл бұрын
Uyu jamaa mwongo
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 Жыл бұрын
Mimi aona dhambi maana yake ni kutenda yaliyo kinyume na mapenzi ya Mu ngu huyu anasema hakuna dhambi tena je? Watu hawatendi yaliyo kinyume na mapenzi ya Mungu sasa hivi?
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 2 жыл бұрын
Watu walioko chini ya Mafundisho ya Dini na Amri kumi na Sheria wahawezi KUELEWA KWELI HII
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Жыл бұрын
huko chini ya shetani wewe
@enhardlugusi2548
@enhardlugusi2548 Жыл бұрын
🙏🙏
@clemencemosha2043
@clemencemosha2043 Жыл бұрын
Mbona yuko sahihi...kifo cha Bwana Yesu Yesu msalaba kilifanyika mara moja na milele ...sio kurudiarudia kama agano la kale...ni suala la kupokea imani ya wokovu..
@josephanthon8037
@josephanthon8037 Жыл бұрын
Kazi ya ukombozi imeisha hakuna dhambi Tena jamani msalaba umetosha Kama bado unaendelea kutenda dhambi bado hujaitambua kz y Msalaba
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 Жыл бұрын
Mkinipenda, mtazishika Amri zangu Yohana anasema
@clementjames7274
@clementjames7274 2 жыл бұрын
Kuzini hakuna zambi,maana kuzini kumehalalishwa baada ya Yesu kusema imekwisha pale msalabani,
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 Жыл бұрын
Biblia. 1 Wakorintho 6:9-10 [9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, [10]wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
@mohamedimohamedi8933
@mohamedimohamedi8933 Жыл бұрын
​@Duncan Kipendaroho but yesu kafa kwa Dhambi zako
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 Жыл бұрын
@@mohamedimohamedi8933Je, alikufa Ili Mimi na wewe tuendelee kutenda hayo yaliyofamya afe? Au alitaka kutufungulia mlango wa ushindi dhidi ya dhambi? Na fahamu kwamba dhambi si ya uzinzi pekee, kuna wizi, tamaa mbaya, uaji, na ibada za sanamu. Je, unalala na mke asiye wako leo kwa sababu Yesu alikufa kwaajili ya dhambi zako?
@mohamedimohamedi8933
@mohamedimohamedi8933 Жыл бұрын
@@duncankipendaroho8833 mungu kafa msalabani?
@mohamedimohamedi8933
@mohamedimohamedi8933 Жыл бұрын
@@duncankipendaroho8833 mungu kafa?
@MahimboRichard
@MahimboRichard 7 ай бұрын
Naona kama unakichaa wewe ulisema Biblia ni kaburi na aliyesema ndani ya Biblia ni mjinga mmoja. Hebu tueleze huyo mjinga ni ninani?
@rosendanshau2674
@rosendanshau2674 Жыл бұрын
Kwahiyo wewe unatoa damu yaani shetani ndo a akunywa damu
PASTOR CEASAR MASISI; KWANINI MUNGU ANAKATAA TUSIZINI?
1:28:34
SAA YA NEEMA TV
Рет қаралды 13 М.
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
WEWE UNASEMA UNAOGOPA KUOA HALAFU UNAKULA KWA WAKE ZA WATU "PASTOR MGOGO
1:19:25
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 570 М.
DR.MTOKAMBALI KUWA ASKOFU MKUU WA TAG KWA MARA NYINGINE TENA
5:50
REV.GABRIEL SULLE
Рет қаралды 4,5 М.
KWELI YAFUNULIWA KWANINI KRISTO YESU ALISHUKA KUZIMU - BISHOP MASISI
1:01:15
KRISTO CHUMVI: "USIWAKATAZE  KONDOO WASINYWE POMBE, BIBLIA HAIJAKATAZA"
49:05
NGUVU YA KUFANIKISHA MAMBO YETU ( OFFICIAL VIDEO)
35:48
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 23 М.
SAIKOLOJIA YA WIVU KWA WANAWAKE -  JOEL NANAUKA
18:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 60 М.