HAKUNA KUPOA KAZI IMEANZA | MAZOEZI YA KWANZA BAADA YA KUFIKA ALGERIA YAMEANZA HIVI/MZUKA WA KUTOSHA

  Рет қаралды 49,312

Simba SC Tanzania

Simba SC Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 110
@ZachariaMwita-bu7rw
@ZachariaMwita-bu7rw 10 күн бұрын
GOD bless TANZANIA GOD bless SIMBA SPORTS CLUB
@careymariahhhh
@careymariahhhh 10 күн бұрын
Poleni kwa baridi na ikawe kheri vipenzi vyangu 💕🙏
@athumanfuko199
@athumanfuko199 10 күн бұрын
hilo pupwe hatari
@SophiaMbonde-m7g
@SophiaMbonde-m7g 10 күн бұрын
Allh awongoze muludi na ushindi simba nguvu moja 🤲🤲🤲🤲
@HasnatMustafa-n1q
@HasnatMustafa-n1q 10 күн бұрын
Allahumma Ameen yarrb
@TriciaSambo
@TriciaSambo 10 күн бұрын
ubaya ubwela around the world 🌍🌍🌍🌍🌍 come on Simba
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 10 күн бұрын
Poleni Kwa baridinmaieshi yetu mungu awasimamie na pia atawasaidia na Dua zetu mtashinda kwauezo wa mungu
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 10 күн бұрын
❤️BISMILLAH❤🇹🇿 🇦🇪 Inshallah UBAYAAA UBWELAA
@BraytoniGodbless
@BraytoniGodbless 10 күн бұрын
Kila laeritimuyangu kwabaridiiyo mungu awajalie matokeo mazuri simba nguvu moja
@EliaTish
@EliaTish 10 күн бұрын
polen Sana wapambanaji wetu mungu awatie nguvu Simba nguvu moja
@rajabuKavinga
@rajabuKavinga 10 күн бұрын
Dua kwanza, mungu yupo nasi, simba nguvu moja,
@SikudhaniAdamu
@SikudhaniAdamu 10 күн бұрын
Poleni sana sio kwa baridi Ilo Allah awe pamoja nanyie amen
@BlackEagle-x4z
@BlackEagle-x4z 10 күн бұрын
Ni mwendo waubaya tu hatuwaz chengine Simba nguvu Moja 🔥🔥
@CalvinNjovu-w6e
@CalvinNjovu-w6e 10 күн бұрын
M/ mungu hawe nanyi kwa kila jambo naimani mtaludi na ushindi simba nguvu moja
@AlliMohamed-q2y
@AlliMohamed-q2y 10 күн бұрын
Simba ni moja kati ya team bora kabisa barani Africa would wide ❤😂
@JoshuaZebedayo-nd1oj
@JoshuaZebedayo-nd1oj 10 күн бұрын
Tuko pamoja mungu ijarie simba yetu
@hawamkuzi8931
@hawamkuzi8931 10 күн бұрын
kilalakheri chama langu simbaaaaaaaa ❤❤❤
@NeemaManeno-w7c
@NeemaManeno-w7c 10 күн бұрын
Mungu Awalinde wachezaji wetu tunawaombea ushindi Simba nguvu moja❤❤
@janmak-y5j
@janmak-y5j 8 күн бұрын
All the best my only and only favourate team❤
@mwc293
@mwc293 9 күн бұрын
we are together
@ShameNgeza
@ShameNgeza 10 күн бұрын
Mungu ibariki Simba ye2 irudi na ushindi
@AthumanRamadhan-ve3ex
@AthumanRamadhan-ve3ex 10 күн бұрын
NawatakiA mchezo mzuri❤❤❤
@MarisaVitares
@MarisaVitares 10 күн бұрын
Kila la heri mungu azidi kuwaimalisha kiafya pambaneni taifa linawategemea Sisi mashabiki tunawaombea kila laheri❤❤
@Minjum-j5m
@Minjum-j5m 10 күн бұрын
Kila la kher katika mchezo wa jmapili m.mungu awafikishe salama na atubarik na ushindi
@HajiOmary-jz7ce
@HajiOmary-jz7ce 10 күн бұрын
Kila la kheri chama langu la Simba mungu atajaalia ushindi na point 3 muhimu...
@PaulMhoja
@PaulMhoja 10 күн бұрын
Duwa Na sala kwa mnyama ubaya ubwera ❤❤
@HamidaMandanje
@HamidaMandanje 9 күн бұрын
Mwenyezi Mungu anaijalia Simba inapata ushindi wa gol 3 inshaallah.
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 10 күн бұрын
Mungu awatangulie kila hatua
@mtangofilms
@mtangofilms 10 күн бұрын
Mungu afanye wepes ktk mechi yenu hii mushinde Kwa kishindo
@abdulyhassan3742
@abdulyhassan3742 10 күн бұрын
Viva simmbaa
@gorator132
@gorator132 10 күн бұрын
Timu ya watu wanaojielewa the best Soccer Club of EAST and Central Africa!
@MirriamChiti-sk3cv
@MirriamChiti-sk3cv 10 күн бұрын
mungu ibariki simba tukapate ushindi jumapili
@KABIBIPETER
@KABIBIPETER 10 күн бұрын
Mungu awafanyie wepesi tupate ushindi
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 10 күн бұрын
UBAYA UBWELA BARIDI KALI LEO MUNGU AWE PAMOJA NANYI NYOTE WANA SIMBA
@ShukuruMakoko
@ShukuruMakoko 10 күн бұрын
Unyama ushindi🎉🎉🎉🎉
@RamadhanTsaidy89
@RamadhanTsaidy89 10 күн бұрын
Simba sc nguvu moyaaaa ❤❤
@rahimsiraju9880
@rahimsiraju9880 10 күн бұрын
Mungu ibariki simba ipate ushindi
@Blozz-be
@Blozz-be 10 күн бұрын
I'm BLOZZ BE you,,,, ushindi muhimu ubaya ubwela 💯💯💯💯💯
@usvictorphoto946
@usvictorphoto946 10 күн бұрын
Wachezaji wacheze mechi ijayo kwa motisha tunawatakia ushind
@GoodluckErneus-g9c
@GoodluckErneus-g9c 10 күн бұрын
Mungu awalinde wachezaji wetu
@iddiramadhan
@iddiramadhan 10 күн бұрын
Kila la khery mnyama Simba sports club siku ya tarehe 8 Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
@RamadhanMohd-q8l
@RamadhanMohd-q8l 10 күн бұрын
Ubaya ubwela❤❤❤
@WauKwiza
@WauKwiza 10 күн бұрын
Mungu awatungulie
@iddiramadhan
@iddiramadhan 10 күн бұрын
Allah waajaallah awajalie mrudi na ushindi munono Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
@MwanalejiBeda
@MwanalejiBeda 10 күн бұрын
Mngu tunakuomba uipe ushindi timu yetu❤❤
@MerryKalolo-zc4km
@MerryKalolo-zc4km 10 күн бұрын
Polen kwa barid vipenz vyetu matokeo yoyote kwetu itakuwa furah tu ❤❤❤
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 10 күн бұрын
Hilo baridi Hadi Mimi huku nateteneka
@damiansimanimoto3227
@damiansimanimoto3227 10 күн бұрын
ALLAH AWAJALIE USHINDI JUMAPILI
@SaidiSwaleh-ex9nn
@SaidiSwaleh-ex9nn 10 күн бұрын
Ubaya ubwera mungu awatangurie mrudi na ushindi
@oscarkasevya5845
@oscarkasevya5845 10 күн бұрын
Poleni makamanda kwa Hilo baridi tunaamini ushindi upo
@KulwaBugololoka-d3n
@KulwaBugololoka-d3n 10 күн бұрын
Muwe na kaziii njemaaa tunawaombea hakikaa
@GraceDaudi-ht5hn
@GraceDaudi-ht5hn 10 күн бұрын
Kila la heri chama Lang😘mungu akawape nguvu na akili ya kutosha tuweze kulud na ushind🙏
@NadiaShomari
@NadiaShomari 9 күн бұрын
Poleni sana mrudi salama
@Sharifakhamis-vx2ne
@Sharifakhamis-vx2ne 10 күн бұрын
Allah awafanyie wepes inshaallah
@ombenisafisanamaguandrew37
@ombenisafisanamaguandrew37 9 күн бұрын
Mungu awatangulie mrudi na ushindi chama langu💪👹
@SojaWaBrazil
@SojaWaBrazil 10 күн бұрын
Yanga team yetu mbovu wazee wengi sijuwi kama itashinda nyinyi simba wazowefu wa aya mashindano kufuzu lazima
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 10 күн бұрын
umenena vyema ndugu yetu wa UTOPOLO 😂😂😂
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 9 күн бұрын
Poleni Kwa baridi
@Mumlion2624
@Mumlion2624 10 күн бұрын
Tar 8 ifike tuione simba yetu
@hassanimwalimu7618
@hassanimwalimu7618 10 күн бұрын
Simba nguvu moja
@ChibemchetoMchetoChibejr
@ChibemchetoMchetoChibejr 10 күн бұрын
Ijalie simba ushind
@Salimramsey-x8u
@Salimramsey-x8u 10 күн бұрын
Safi
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 10 күн бұрын
Hilo ndiyo lile winta lenyewe sasa. Duh! Mungu alifanye kuwa baridi na salama juu yenu.
@shalemu
@shalemu 10 күн бұрын
Kila kheri simba yetu
@IBRAHIMSAIDOMAR
@IBRAHIMSAIDOMAR 10 күн бұрын
Amini mungu utujalie tushinde
@PauloIzaki71
@PauloIzaki71 10 күн бұрын
Amini Kuna baridi walai daaaaaaaaa😢
@dbwaxvevo5780
@dbwaxvevo5780 10 күн бұрын
Iyo bard ni noma asee
@IshengomaRugemalila
@IshengomaRugemalila 10 күн бұрын
SIMBA NGUVU MOJA,UBAYA UBWERA
@KuruthumMshamuMatogoro
@KuruthumMshamuMatogoro 10 күн бұрын
Nguvu Moja.
@Kaizadannymgawa
@Kaizadannymgawa 10 күн бұрын
Kweli barid kali jezi inapepea kabisa
@FadhilEmanuel
@FadhilEmanuel 10 күн бұрын
❤❤❤❤
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 10 күн бұрын
Kila lakheri mnyama inshallah utatuwakilisha vyema
@ElizabethJeremia-jc4wp
@ElizabethJeremia-jc4wp 10 күн бұрын
Mungu ibariki Tanzania pia wabariki wachezaji wa mnyama warud na ushindi Tanzania
@EmmanuelOjassy
@EmmanuelOjassy 10 күн бұрын
Nguvu moja
@jamesraphael9581
@jamesraphael9581 10 күн бұрын
Du.baridi Kali.sana..ila.yote.yanawezekana.ubaya.ubwela
@AliMfundo-q1k
@AliMfundo-q1k 10 күн бұрын
Simba damu
@CarlosRule-p6v
@CarlosRule-p6v 10 күн бұрын
Sasa ninyi simba sifa zimezid kama vire club Birwa kwel daaah
@jamessamwel9456
@jamessamwel9456 10 күн бұрын
mashindano mapya club birwa😂😂
@STELLAMARCELY
@STELLAMARCELY 10 күн бұрын
​@@jamessamwel9456😂😂😂😂 umeoneeeh....!!
@PaulNyanda-g8h
@PaulNyanda-g8h 10 күн бұрын
Kama kawa
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 10 күн бұрын
Msije singizia baridi pambana
@nassorshaaban7295
@nassorshaaban7295 5 күн бұрын
Huyu kocha kisha anza ujinga kwa Charles Ahoua Amchezeshe full time wkt uwezo wke ni Butu.!?Aache ujinga la sivyo tuta anzisha Mgogoro kumkataa
@MARACKMESHACK
@MARACKMESHACK 10 күн бұрын
Ubaya ubweraaaaaa
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 10 күн бұрын
Wamewapeleka kwenye baridi makusudi
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 10 күн бұрын
Wakija kwetu mechi ichezwe saa 9,wakome na jua😅😅😅
@Jameschikwasa-b3d
@Jameschikwasa-b3d 10 күн бұрын
Polen kwa balidi
@SamsonSamsoni-q9s
@SamsonSamsoni-q9s 10 күн бұрын
Tuanze na mwenyezi Mungu kwanza 🦁🇹🇿♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🤲🤲🤲🤲
@georgegregory8414
@georgegregory8414 10 күн бұрын
Kila la heri, tunawaombea mkashinde mchezo wa jmapili
@FILIMINIGWASMAY
@FILIMINIGWASMAY 9 күн бұрын
Ubaya ubwela!! Tunawakubal wanasimbaaa
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 10 күн бұрын
Tunawaamini atuna mashaka hamjawahi kutuangusha tunapokuwa na jambo letu
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 10 күн бұрын
Mmh kwa hiyo hali kazi tunayo sisi huwa tunawapelekea pumzi ya moto sas sisi tunapelekewa pumzi baridi
@HadijaAbdalah-i9d
@HadijaAbdalah-i9d 10 күн бұрын
Kila la kher mnyama
@abdulmadebari2313
@abdulmadebari2313 10 күн бұрын
Semaji mbona hayumo ?
@MalikiKavindi
@MalikiKavindi 9 күн бұрын
Tunataka ushindi sio sare tenaa
@LameckNgamoga
@LameckNgamoga 10 күн бұрын
Tunalitaki ushind cham lang lasimb
@nyamisimbaonlinetv9757
@nyamisimbaonlinetv9757 10 күн бұрын
Dah kuna onekana kuna baridi hatali
@ashuraally9064
@ashuraally9064 10 күн бұрын
Uku kunaonesha sio pw kwa baridi
@lutiak7618
@lutiak7618 10 күн бұрын
Ikawe kheri kwenu
@MwitaPetro-e9z
@MwitaPetro-e9z 10 күн бұрын
@simba naitakia ushind
@PadoniSanga
@PadoniSanga 10 күн бұрын
Mungu ibaliki timuyangu
@andrewmagembe898
@andrewmagembe898 10 күн бұрын
Mbona simuoni spider man
@SuleimanLema
@SuleimanLema 8 күн бұрын
Ubaya ubwela nimwendo wavipigo mwanzo mwisho
@alirajabomar3903
@alirajabomar3903 10 күн бұрын
Ubaya ubwell uwendlee hko
@priscaoman872
@priscaoman872 10 күн бұрын
Ubaya ubwela kila la kheri
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 10 күн бұрын
Duh hiyo balidi siomchezo
@veronicaluvanda2880
@veronicaluvanda2880 9 күн бұрын
Kuna baridi mpaka unaisikia
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,5 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 69 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 29 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 57 МЛН
Magoli | Simba 3-1 AL Ahli Tripoli | CAF CC 22/09/2024
9:11
Azam TV
Рет қаралды 868 М.
ILA STEVE NA NDARO ONA WALICHOMFANYIA BOSS WAO
17:56
Steve Mweusi
Рет қаралды 322 М.
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04
Роналду сорвался на Фаната подражателя 😠
0:30
Спортивные Моменты
Рет қаралды 110 М.
Zlatan Bullying Players + Him ☠️
0:28
Jr F25HD
Рет қаралды 9 МЛН
Роналду сорвался на Фаната подражателя 😠
0:30
Спортивные Моменты
Рет қаралды 110 М.
❌😂⚽️ 0,5 VS 2,5 METERS | 5 POPULAR FOOTBALLERS AND 5 OBJECTS
0:25
Sigma Boy X Ronaldo 🤫
0:20
Slicx7
Рет қаралды 9 МЛН