HAKUNA MUNGU TUNADANGANYWA UKRISTO NA UISLAMU NI BIASHARA ZA WATU

  Рет қаралды 33,045

MWALIMU ISAYA BENSON

MWALIMU ISAYA BENSON

Күн бұрын

Пікірлер: 448
@justingeorge2451
@justingeorge2451 3 күн бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu,Wewe ni mwalimu 👏👏👏👏
@adventmaliga
@adventmaliga 24 күн бұрын
Amina hata nisipoenda kanisani ila siwezi kubisha uwepo wa Mungu kila nikijiuliza swali haya yote chanzo chake nini kuwepo kwake naamini kuwa havikujiweka bali yupo aliyezaidi ya fikra na zaidi ya mwisho wa fikra zangu aliyefanya hata fikra zangu akaziwekea ukomo ndiye aliyefanya mambo haya akanifanya na mimi niwe nafikiri haya.
@JomoKilawe
@JomoKilawe 23 күн бұрын
✍️✍️✍️
@clemenspeter2819
@clemenspeter2819 21 күн бұрын
Amina ubarikiwe sana ila samahani soma Biblia Wakolosai 3:10 #Efeso 3:19 uta jua ukweli
@IsufuRajabu-v9c
@IsufuRajabu-v9c 21 күн бұрын
Kwani mungu nae katoka wapi kama hakuna kitu kisicho kuwa na mwanzo?
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 20 күн бұрын
Jamani mwee matusi teena
@IsufuRajabu-v9c
@IsufuRajabu-v9c 20 күн бұрын
@@adventmaliga wewe ndie unae jiuliza hivo nami najiuliza kama kila kitu kinachanzo kwahio namungu anachanzo nae alitokea wapi mbona hapo mkipashika panawaunguza mimi namuamini sana baba yangu kuliko huyo mungu mnae mzungumuza yeye katoa sehemu yake ya mwili ili mimi nipatikane mimi nimeumbwa na baba yangu pamoja namama yangu na hakuna siku ambayo washaniambia niwaambudu
@edwardgafachu8932
@edwardgafachu8932 18 күн бұрын
Hongera mwalimu haya ndiyo majibu. Mbarikiwa alishindwa kutoa majibu akawatisha vijana, Mungu mwenyewe anapenda tujifunze na hata kukosoa mawazo yetu kuhusu yeye ndiyo maana hawajafa
@OsamaLemky
@OsamaLemky 8 күн бұрын
Mbona hueleweki kuna clip ulisema ww sio mkristo leo ni mkristo nonsense
@stanslauslawa4777
@stanslauslawa4777 4 күн бұрын
Wewe ni Mwalimu aise nakupa big up sana. Shikamoo mwalimu🙌
@IBRAHIMOFFICIAL-k1c
@IBRAHIMOFFICIAL-k1c 25 күн бұрын
Wew noma kaka nimeanza kukubali😂😂😂😂
@johnnkelebe7360
@johnnkelebe7360 24 күн бұрын
Wachokonozi waache uhuni kabisa. Kuhusu mungu hata wao wanajua mungu yupo ila wanachokonoa kupotosha watu. Namkubali sana mwalimu Benson Mwakilembe ameelezea vizuri kuhusu hilo.
@godwineliya4686
@godwineliya4686 23 күн бұрын
Amina Baba nimekuelewa Sana Mungu Akuongezee Hekima
@besttrendingcovers1838
@besttrendingcovers1838 22 күн бұрын
nmecheka sanaaaa leoo🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 18 күн бұрын
Point kubwa sana teach aisee leo mbaka mchokonozi amekuelewa , yan point kubwa apo kwann unawaamin walioandika vitabu bila kuwaona ukashindwa kumwamini Mungu wakati umasoma habari zake aisee mwalimu mm sina pesa ila naomba nitumie namba yako kesho jion nikutumie elfu kumi tu ununue bando tu Oja yako imeshiba sana
@NassorKhamis-l6r
@NassorKhamis-l6r 25 күн бұрын
Mashallah mwalimu umeongea vizur sana Allah akubari elimu zaidi utufunze.
@hatibuiddi4163
@hatibuiddi4163 16 күн бұрын
Benson mm huwa nakupenda sanaaaa japokuwa mm ni muislam, napenda sana ze way ulivyo na busara na unavyojua ku reason
@omaryntagala3740
@omaryntagala3740 25 күн бұрын
Huyu jamaa ni hatari anajua sana 👍👍👍MUNGU YUPO MILELE JAMANI TUMUAMUDU MUNGU
@abdallahkigome8538
@abdallahkigome8538 24 күн бұрын
@@omaryntagala3740 sawa mungu yupo tatizo tumuabudu na kumfikia Kwa njia ipi(dini ip)
@omaryntagala3740
@omaryntagala3740 24 күн бұрын
@abdallahkigome8538 Islam diina
@a4afrika
@a4afrika 24 күн бұрын
Asipoabudiwa anakufa au?
@omaryntagala3740
@omaryntagala3740 23 күн бұрын
@@a4afrika nani huyo
@a4afrika
@a4afrika 23 күн бұрын
@@omaryntagala3740 Huyo Mungu
@lusungungimbudzi4265
@lusungungimbudzi4265 21 күн бұрын
Umefafanua Vizuri Ubarikiwe
@Gwa-Kayaga
@Gwa-Kayaga 19 күн бұрын
Isaya kumtetea Mungu Bado haitoshi, ingia vilindini ulete Mambo magumu yasiyofikirika,,,,,si Kila siku watetea uafrika na kumtetea Mungu kwa juujuu
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 18 күн бұрын
Kumbe wachokonozi niwapumbavu etiiiii siji kuwafatilia tena nitakuwa nakufatilia ww tu Upo good sana
@MasnamussaPp
@MasnamussaPp 25 күн бұрын
Kumbe jibu unalo Benson 😂wachonozi ni?wapumbavuuuuuu😂😂
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 17 күн бұрын
😂😂😂 wapumbavu sana mpaka mbarikiwa akachemka 😂😂
@kingsolomoni-xp3dv
@kingsolomoni-xp3dv 25 күн бұрын
Njia za mungu hazichunguziki hiyo ndio kauli inayo kufanya usiweze kumchunguza mungu lakini unatakiwa uweze kumchunguza Na ukianza kumchunguza utagundua haitwi mungu Kutokana na jinsi dunia inaenda Haiwezekani uniambie kuwa mungu alikuwa anahitaji wewe uje unifundishe habari zake MUNGU wa kweli ni MUNGU wa wanyama
@kingsolomoni-xp3dv
@kingsolomoni-xp3dv 25 күн бұрын
Kwasababu mpaka Leo wanyama hawaja msaliti
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 25 күн бұрын
Kwanza unafaa kujua kuna Mwenyezi Mungu mwenye enzi na asie kua na mwisho na ndio maana Mwenyezi Mungu na kuna mungu ambapo miungu ni wengi kulingana na washirikina wanavyo amini na wanavyo waita na ndio maana Mwenyezi Mungu akataka kujitenga na washirikina na ni jambo analichukia na ndilo dhambi la kwanza atakalo enda kuwaukumia nalo watu akasema jina langu mniite Allah. So Mwenyezi Mungu haitwi mungu
@LushidulaJidamawi
@LushidulaJidamawi 23 күн бұрын
Acha kupindisha mungu hayupo kwanini tunapenda kupindisha
@Samwel-y4d
@Samwel-y4d 13 күн бұрын
​@@LushidulaJidamawihayupo we hyo pumzi unayovuta umetolea wp
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 26 күн бұрын
Umeeleweka vizuri Mwl,hakika Mungu yupo
@EliasElias-x7z
@EliasElias-x7z 26 күн бұрын
Anae sema kwamba Mungu hakuna,inaoneka anaugonjwa wa hakili, sababu hufanana na sanamu ambayo haina chochote kile.
@crisantisindani3830
@crisantisindani3830 22 күн бұрын
Mbalikiwa anamihemuko sana kama iddiamini. Kaulimbovu mbalikiwa🤣🤣🤣
@chrisshonga
@chrisshonga 14 күн бұрын
Asante Mwalimu na ndio maana NENO linasema "Ni mpumbavu anaesema hakuna. MUNGU" kwa hiyo kwa kifupi tu ni kwamba hao vijana ni wapumbavu
@MichaelAbel-m5y
@MichaelAbel-m5y 25 күн бұрын
Uiungu wa Mungu hausomewi,na elimu ya darssani ni kiwango chini ya anguko la Adamu na Hawa na Iko chini ya nguvu ya shetani Yk 3:13, hivyo bila Roho huwezi; 1kor 12:1-3;1kor 2:10---,2kor 4:6,vijana wazuri wa Mungu hawana maarifa na Roho ni mihemuko na uzalendo usiyo na maarifa.Hos 4:6.Amen
@iamtheworld-m1q
@iamtheworld-m1q 24 күн бұрын
Ulitegemea nyie wenye roho mtuelezee zaidi kuhusu mungu maana wenzenu wenye roho zamani uhusiano wao na mungu ulikuwa karibu sana mpaka kufika atua kina yakobo kupigana na malaika
@charlessomeke8992
@charlessomeke8992 21 күн бұрын
Hata hayo maandishi hayo baado yaliandikwa na hao hao wazungu
@NaftaliKairethia
@NaftaliKairethia 25 күн бұрын
Umewajibu vilivyo ,hongera sana mwalimu
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 26 күн бұрын
Ndo ninachopenda mwalimu Isaya Benson Mwakilembe unadadavua vyema
@healingsschool4630
@healingsschool4630 6 күн бұрын
Huwezi humdhihirisha Mungu na shetani kama huna miujiza. Ndo maana wakiristo wengi wanatangatanga kutafuta miujiza sio maneno matupu. Hata YESU alijulikana kwasababu ya miujiza. Huwezi kumuelimisha mpumbavu.unaweza kumuelimisha mjinga tu. Ndo maana mwanamke mpumbavu anaharibu nyumba yake na anakua mchawi. Usimwache mwanamke mchawi aishi. KUTOKA 22:18
@PizzaBoy-w1g
@PizzaBoy-w1g 25 күн бұрын
Hasante kaka mimi nilikuwa nimeaza kupotea mungu hacubaliki😮😮😮
@mudinhomeshack9041
@mudinhomeshack9041 24 күн бұрын
MUNGU YUPO DAIMA DAWAMU
@AlimasiWilonjda
@AlimasiWilonjda 24 күн бұрын
jina lenyewe linaonesha, wachokonozi❤❤❤❤❤
@sifamwashilindi7251
@sifamwashilindi7251 24 күн бұрын
Asante mbariwa elimu kidogo changamoto na kiukweli mm nimpenzi wa nyimbo zake saana ila mahubiri yake siridhiki nayo kabisa tabia ya kuponda wahubiri wenzie siipendi.
@deoelias841
@deoelias841 20 күн бұрын
Unaongea kweli thats too much
@prophetshukurumongela3085
@prophetshukurumongela3085 19 күн бұрын
Waoo good point
@asajilemwamundela1220
@asajilemwamundela1220 2 күн бұрын
Hatari sana
@LoytonWorldman
@LoytonWorldman 26 күн бұрын
Ww mwenyewe huna maarifa ya kuwakosoa wachokonozi unaposema elimu ya darasan imeshindwa kumudifine mungu hat hvo vtabu vya dini pia vimeshndw kumuelezea huyo mungu na hakuna mtu amewai kuonan na huyo mungu wala kutumw na mungu huyo unaemsadik kupitia hvo vtabu vyako ,,,muumbaj wa kila kilichopo ulimwenguni lazima yupo lakin ww kwann umesadik huyo wa ibrahimu na ukashindw kusadik mungu wa budha au krishna ..kiufupi ww pia haujui usichokijua
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 26 күн бұрын
Wewe Mungu wako ni yupi, tuanzie hapo kwanza
@LoytonWorldman
@LoytonWorldman 26 күн бұрын
Mm mungu wangu simjui vp ww wako ni yupi na kwasababu gn?
@LushidulaJidamawi
@LushidulaJidamawi 25 күн бұрын
​@@abidandastanmaliyatabu1373❤
@designdesign4426
@designdesign4426 25 күн бұрын
Agiza thoda kwa mangi najakulipa
@RichWise671
@RichWise671 23 күн бұрын
Hayupo konyo
@GiftMuba
@GiftMuba 19 күн бұрын
Watu wanatakiwa kuelewa Mungu ninani na sio kukalilishwa tu
@NicolausIsdor-h5x
@NicolausIsdor-h5x 21 күн бұрын
Barikiwa ❤❤❤❤
@suphianmsambwa706
@suphianmsambwa706 9 күн бұрын
Ubarikie saaana kwa majibu manzuri
@BIGBon-d8e
@BIGBon-d8e 25 күн бұрын
Unaushahidi ibraahim alitokewa na munguu
@BarnabasFabiani
@BarnabasFabiani 25 күн бұрын
Hawa ushahidi na utajiri wake alipewa nani
@CharlesUrio-f8o
@CharlesUrio-f8o 25 күн бұрын
Mungu ambae hawezi kututokea watu wote ulimweguni eti anamtokea Ibrahim kwa siri kama jini🤣😂🤣
@BarnabasFabiani
@BarnabasFabiani 25 күн бұрын
@CharlesUrio-f8o kweli
@JulianMakondo
@JulianMakondo 24 күн бұрын
Kwanza Tambua Mungu sio mwanadamu na Mungu haendeshwi Kwa mihemko yenu ,Mungu an principles zake na hawezi kwenda kinyume nazo
@BarnabasFabiani
@BarnabasFabiani 24 күн бұрын
@JulianMakondo umezijuaje kama sio umbea tupe ushahidi
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 17 күн бұрын
😂😂😂😂😂wapumbavu sana awa wachokonozi😂 mimi nilikuwa nasubiri majibu ya facts kwa hawa wachokonozi kuusu maswali yao, maana mbarikiwa alichemka tu na kupiga kelele wala hakuwa na majibu ya facts 😂 kweli kusipokuwa na majibu ya facts Kama haya kwa wachokonozi, wana point nyeti za kubadili akili na Imani za watu 😂 hongera sana Isaya Benson ❤
@HassanKangwa-sz4gn
@HassanKangwa-sz4gn 13 күн бұрын
Asa simuweke mdahalo Mwalimu ili mulielezee vizuri ili swala la Mungu maana wachokonozi wanafany watu tuwaamini sana
@EliasKasomi-db4io
@EliasKasomi-db4io 20 күн бұрын
Lkn mungu nae angemuua shetani Moja Kwa Moja
@Samwel-y4d
@Samwel-y4d 13 күн бұрын
We unampangia mungu we kama nn
@BabaTiffah
@BabaTiffah 25 күн бұрын
Mwalimu nakupenda sana ila kwenye mungu tuache usitudanganye tuache mungu ni uongooo munatudanganya kila siku acheni uhunii
@godfreyndelwa
@godfreyndelwa 25 күн бұрын
Mkuu kama huamini kuna Mungu basi bado hujaona ushetani wa ulimwengu huu, mpaka iyo siku utapoona uovu wa kutisha ndo utajua na Mungu(wema/nuru) yupo
@mudinhomeshack9041
@mudinhomeshack9041 24 күн бұрын
Kwhyo na ww huamini Kam kun Mungu sio ....???
@GiftMuba
@GiftMuba 19 күн бұрын
Njoo utuelezee uwepo wa Mungu pasipo kuhusisha hizi dini au vitabu
@JosephSanga-l2e
@JosephSanga-l2e 16 күн бұрын
Na wanachojaribu kukikataa sio kwamba wao ndio wanaanza kukifanya hapana ni panic tu za maisha na kutafakari mambo ndani ya msongo wa mawazo hivyo wameona wajilipue yaani linalool na liwe hawaamini kuhusu Mungu wanaami ktk vitu vingine huoni kama bado wako ndani ya wigo wa imani kama watu wengine wanvyo amini kuhusu Mungu ila wamechagua kitu tofauti na wengine wanaoamini kitu sahihi (MUNGU MUUMBAJI YAWH)
@tutindagamwaijengo3345
@tutindagamwaijengo3345 26 күн бұрын
Muhubiri 8:11-12 hukumu juu ya tendo baya haitekelezwi upesi watenda mabaya hudhilishwa kuendelea kutenda mabaya lkn mwenye haki ya Mungu ataishi kwa imani
@hopenatura
@hopenatura 16 күн бұрын
Be blessed
@Neemaa098-yf9os
@Neemaa098-yf9os 25 күн бұрын
Muchungaji ubarikiwe MUNGU akuweke milele❤❤
@EliudEliabu-n1i
@EliudEliabu-n1i 24 күн бұрын
Mpka naogopa Mungu apana siwez naogopa Mungu Mungu sii wa kumjaj apana nisamehewe katika hili Mungu yupo
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv 24 күн бұрын
Shalom Naitwa Uswege Brunoh kutoka Songea. Napenda kujua Bikira Maria mama wa Yesu alikufa mwaka gani!!? Na je ni sahihi kufanya maombi kipitia yeye?
@valentinernestkavishe7297
@valentinernestkavishe7297 20 күн бұрын
KAMA MUNGU WA KWENYE BIBLIA NDO MUNGU ALIYEUMBA HII DUNIA NIFE LEO USIKU😢😢😢 AU KAMA MUNGU NDO MUNGU WA ISAYA BENSON NDO MUNGU MKUU NIFE LEO USIKU🎉
@JoshuaAizack
@JoshuaAizack 11 сағат бұрын
R.I.P
@valentinernestkavishe7297
@valentinernestkavishe7297 11 сағат бұрын
@JoshuaAizack 😂😂😂😂
@valentinernestkavishe7297
@valentinernestkavishe7297 11 сағат бұрын
@JoshuaAizack nipo hai had leo
@mudinhomeshack9041
@mudinhomeshack9041 24 күн бұрын
Hata kichaa anajua kuna Mungu hawa wachokonozi wana mattzo
@josephinejames4590
@josephinejames4590 26 күн бұрын
Kwa kweli mimi najifunza sana kwa mafundisho ya mwalimu Isaya Benson
@YUSSUPHMWASENGA
@YUSSUPHMWASENGA 14 күн бұрын
Umeelekeza vizuri lakini umeanza vibaya kwa kucheka wakati mtumishi mwenzako wa MUNGU anachukia kitendo cha MUNGU wetu kunenewa mabaya, MUNGU SIO wa mbarikiwa peke yake,hata wewe ulitakiwa ukemee kwanza hiko kitendo walichofanya hao jamaa badala ya kucheka kama vile una furahia hicho kitendo cha hao jamaa, unaweza kuwa na maneno mazuri lakini usiwe na maana kwa MUNGU, ushauri wangu usikubari kufurahia MUNGU wetu kutukanwa eti kwa sababu ya mtu fulani
@OmaryWaziri
@OmaryWaziri 21 күн бұрын
Nakukubari sana
@josephmdendemi3222
@josephmdendemi3222 24 күн бұрын
We jamaa muongo sana😅😅😅
@IsufuRajabu-v9c
@IsufuRajabu-v9c 21 күн бұрын
Mimi nataka mniambie mungu anae tulikuwa tunamuabudu kabla wamisonari hawajafika?
@eusebiusnzowa3988
@eusebiusnzowa3988 20 күн бұрын
Hamana hapo umezingua bro
@abduljabbarmohammed4188
@abduljabbarmohammed4188 24 күн бұрын
Mwalimu isaya Benson yesu ni nabii wa Mungu na Wala si Mungu.
@AbedyNalbert
@AbedyNalbert 17 күн бұрын
Yaan asimuue shetani awaue wachokonozi 🤔🤔🤔mungu gani huyu
@allanmapamba4765
@allanmapamba4765 20 күн бұрын
MUNGU ni uhai' utupu wenye kila kitu kadri unavyojaribu kumuelewa Mungu unalewa! Mungu ni mkuu sana akili haimuelewi siyo kitu wala siyo basement Mungu yupo kila pahala
@athanaschacha.9424
@athanaschacha.9424 26 күн бұрын
Yesu alikuwa hana jazba.mtu wa mungu utamjua kwa maneno yake na hata kutmbea kwao utamjua tu.
@JULIUSNCHAGWA
@JULIUSNCHAGWA 25 күн бұрын
Dini huijui ila hata yesu alijua na jazba maana alimwaga vitu na kupiga watu na mshipi kwa sababu ya mnada
@BarnabasFabiani
@BarnabasFabiani 25 күн бұрын
Kwanini mungu aliruhusu wakoloni walete dini mungu ni fala mmoja
@yudachelango6824
@yudachelango6824 24 күн бұрын
​@@JULIUSNCHAGWAwaambie washamba wa maandiko hawa
@JULIUSNCHAGWA
@JULIUSNCHAGWA 24 күн бұрын
@@yudachelango6824 vitabu hawasomi ni kubisha tu bila hoja
@Samwel-y4d
@Samwel-y4d 13 күн бұрын
​@@JULIUSNCHAGWAalimwaga vitu kwa ajili ya nn we nyumbu kweli km biashara inafanyika kanisani we unategemea nn
@Solomonnize
@Solomonnize 26 күн бұрын
Nilikoment kwenye Crip ya kwamba Mungu hayupo nilisema hivi hili jua hali kujiweka lenyewe harafu asubuhi linachomoza na jioni linazama harafu halijawahi kosea na lina faida nyingi kwetu sisi binadamu hili juwa liliwekwa na Mungu achana na mwezi mvua nk
@a4afrika
@a4afrika 24 күн бұрын
Kutokujua Jua liliwekwaje lilitokeaje, hakuhalalishi hoja yako kwamba liliwekwa na Mungu. Maana tukikuomba ushahidi utaleta maandishi tu ambayo mwandishi wake ni wewe mwenyewe binadamu. KUENI BASI!
@shaxytv1939
@shaxytv1939 26 күн бұрын
Nakukubali sana mchungaji uko vizur naiman elimu yako pia iko vizuri
@shedrackbenjamin7917
@shedrackbenjamin7917 25 күн бұрын
Mungu Mimi nam experience sana kwenye life langu Bila yeye Mambo hayaendi,Anasema na Mimi katika maono na ndoto
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 18 күн бұрын
Shida watumishi wengi awajuhu kuwa hao wote wanaopingana na Mungu wapo kwaajili ya kulitimiza neno shetan kawatumia hao na Mungu kawatumia watu vile vile ivyo utakiwi kuwajia juu sababu wanaamini wanachoongea kipo sahihi sababu awajuh wanatumiwa na shetan kinachotakiwa kuwaombea Wakutane na makuu ya uyo Mungu then watakili na kuamin, mfano mm nilikuwa siamin lakin nilipopigwa na nikapona kupitia uyo Mungu ktk kristo Yesu ndio nimeamini na namtumikia kwa kuugua moyo kabisa
@kwisa4899
@kwisa4899 25 күн бұрын
Isaya nimekupenda ,wasomi wanajenga hoja kama hivi safi sana..
@AlbertoEmmanuel-z2i
@AlbertoEmmanuel-z2i 12 күн бұрын
Hawo vijana mabangi
@GraceWilliam-d1w
@GraceWilliam-d1w 25 күн бұрын
Waache waseme mungu hayupo ngoja siku ya kufa ifike wataelewa tu
@LushidulaJidamawi
@LushidulaJidamawi 24 күн бұрын
Nawewe siutakufa
@RichWise671
@RichWise671 23 күн бұрын
Kwan hyo mungu wenu aja tu wakat ukifa
@PaulAlex-v2r
@PaulAlex-v2r 22 күн бұрын
ko mwalimu wew dini gani au unamuabudu vipi Mungu na kukataa vitu vyote havijatokana na nature...na pia wale watu hawakatai Uwepo wa Mungu bali Mungu ypo ndani ya mtu mwenyew na sio mungu wa kwenye biblia kama tunavoaminishwa na wachungaji huku wakitugeuza kondoo wao wa kuchukua chchte wakitakacho...nijb we dini au dini gani ndo inamuelezea Mungu kwa haki?
@HamyBway-oo1ts
@HamyBway-oo1ts 19 күн бұрын
Samahani mwalim mimi moja kati ya wapumbavu kwanini mungu ajifiche je anatuogopa au na kwanini atokee kwa watu wachache wakati dunia inawatu wengi sisi wengine tutajua vipi kama yupo samaha sana na mimi si msomi
@KanteTriphone-it5wj
@KanteTriphone-it5wj 13 күн бұрын
Benson hawa jamaa hawana imani bali wana uelewa maana hata unavyosema kuhusu elimu bado wanaiponda kwahio hawa jamaa wako sawa sana ni ujinga mkubwa kuamini mungu wa wa kuletwa na wazungu, wewe unataka tuamini tusielewe, mimi hua nakufatilia sana yapo ya maana hua unafundisha lakini pia kuna ujinga mwingi sana hua unafundisa, mimi nasema nimpumbavu anaeamini kuhusu mungu wa dini yoyote maana hayupo
@HijaSalimu
@HijaSalimu 12 күн бұрын
Jina lako umelipata wp Isaya na ww unakata Dini
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 26 күн бұрын
MUNGU yupo, tatizo dini zipo mgingi na zinnaamini kila mtu kivyake mpaka zinachanganya vijana, na mbaya zaidi Yesu hakujionbeleza hela, ila hizi dini zimefocus kwenye hela, chanzo cha kuharibu vijana ni hizi dini , ilipaswa dini iwe moja na ifunsishe jambo moja
@stevensosipita
@stevensosipita 23 күн бұрын
OLE WAO WANAOSEMA MUNGU NI UHUNI NWAPE TU POLE NATAKA NIWAAMBIE MUNGU YUPO MILELE NA HATA MILELE🙏
@easy-muchwa8175
@easy-muchwa8175 24 күн бұрын
Hadithi za kwenye vitabu ni Utawala, MUNGU ni Uwezo,akili na nguvu MUNGU SI BINADAMU anayesema kama Biblia inavyomweleza MUNGU ni mjumuisho wa vyote vilivyohai na visivyo hai MUNGU hayupo juumbinguni pekee kama Biblia inavyopotosha Hao kina darwin waliwahi kuonekana ila Mungu biblia inavyomweleza hajawah kuonekana.. Musa wa biblia aliongea na Mungu mbele ya moto unaowaka(kama ilivyoandikwa) je! MUNGU ni moto? Imani ni kuamini bila hakika... Hakuna ajuaye kabla ya kuzaliwa tulikua wapi na baada ya kifo tutaenda wapi... Tuepuke matusi tunapojenga hoja.. Naona umetumia Biblia kuwatusi wachokonozi... Si vyema Ni vyema kueleweshana kwa staha na utulivu Vita za kidini zimepoteza Uhai wa wengi kwa kiburi cha kujifanya kumjua "MUNGU" sana...
@LucasKaik-xt8qe
@LucasKaik-xt8qe 25 күн бұрын
We mnafiki sanaa
@designsshow9518
@designsshow9518 20 күн бұрын
Mwalimu hujambo, ni Bahati from Nairobi naomba u fafanuzi ya ii shahiri Yohana 5:43 . Asante
@loner_wolf
@loner_wolf 24 күн бұрын
UISLAM UNAFANYA BIASHARA KIVIPI . UKRISTO UNAELEWEKA SADAKA ZINAKWENDA ULAYA WALA HILO HALINA SHAKA , LKN UISLAM NAOMBA KUJUA BUSNESS INAANZIA WAPI .
@deodatusmdaku2226
@deodatusmdaku2226 20 күн бұрын
Great thinker wakina plato na wenzake wote walishindwa kujibu maswali mengi sana....na mwisho wa siku waliamin mungu yupo kabla umauti haujawapata...mf kwann tunakufa,tukifa tunaenda wapi, nani aliyeleta kifoo?
@PaulAlex-v2r
@PaulAlex-v2r 22 күн бұрын
Yaan humu mtu akija na fact zake kila mtu analudi upande mwngne yaan bendera fata upepo daah mnafurahisha sana🤣🤣
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 25 күн бұрын
Asante ata mi walianza kuniharibu akili ila nje ya mada y Mungu naendelea kua mchokonozi ni kama ukuu wa mwafrica ila mada y Mungu waniache
@ErickMwashambo
@ErickMwashambo 2 күн бұрын
Ivi kwani mungu alitokana na nini jamani japo sio kwa ubaya ila nataka tu kujua hilo🤔🤔🤔
@JoblessMillionaireMakolo-jb7xo
@JoblessMillionaireMakolo-jb7xo 21 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@hanskidd2290
@hanskidd2290 24 күн бұрын
Ndugu umejib lakn unapojib ilifaaa uanze kueleza vzr mungu ni nn au ni nan then na ingependeza zaid usitumie nukuu yoyot ktoka kwa vitabu umzuungumzie mungu bila kuhusisiha nkuu yyt iwe biblia au quran
@a4afrika
@a4afrika 24 күн бұрын
Hana jeuri hiyo. Nje ya vitabu vyao, Mungu wao hawezi kuonekana popote.
@hanskidd2290
@hanskidd2290 23 күн бұрын
@EmanuelyMbagalla-rt2vm 🤣🤣🤣 iko ivo yan mungu wamempata kweny dini na hizo dini kuna sehm zmecopy hizo story ndo wakaweka kweny hiyo biblia na quran ndo maan ukiwaambia wastumie hv vtabu wanakwmbia haiwezekan humuelezea mungu bila nukuu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 21 күн бұрын
SANAA. WANATAFUTA UMAARUFU MITANDAONI KWA KUMTUKANA MUNGU.😮😮😮😮😮😮😮😮
@St_Segea
@St_Segea 24 күн бұрын
Then wapi uliambiwa nyani wanabadilika kuwa watu!? Tatzo kubwa sio ujinga, bali ni uelewa mbaya.
@a4afrika
@a4afrika 24 күн бұрын
Shida yake ana hoja za kulazimisha. Eti hata history ya form 1 anaipotosha. Kwa umri wake anahoji kwanini nyani hawabadiliki Leo! To low hakika.
@St_Segea
@St_Segea 23 күн бұрын
​@@a4afrikawatu wanashindwa hata kuelewa sayansi
@Expedito2512
@Expedito2512 26 күн бұрын
Hata wewe Benson bado maelezo yako hayapo concrete
@Timothymchomi
@Timothymchomi 25 күн бұрын
kweli maelezo yake bado hayajatosheleza
@richardnganya2311
@richardnganya2311 24 күн бұрын
Angalau kaona usahihi wa uwepo wa chanzo cha uwepo wetu
@evaristisdory6279
@evaristisdory6279 24 күн бұрын
Sijakuelewa Kabisa.. tunahitaji kujua by facts .... points zako unarefer Bible....ondoa bible then elezea uwepo wake... Kama biblia ni kweli kwanini nature ni uongo?
@a4afrika
@a4afrika 24 күн бұрын
Hawezi kuleta majibu, maana hoja zake zinategemea hisia zake juu ya mapokeo yake. Ukishaona mtu anahoji 'kama hakuna Mungu Kitu fulani kilitokeaje, nani kakitengeza, cha nani, nk' UJUE HUYO MTU NI MWEUPE SANA KICHWANI.
@ismailsaid1758
@ismailsaid1758 21 күн бұрын
Kweli kabisa hakuna mungu abani. Upeo wako ndio apo ulipoishi, Kaka kama njia za mungu azichunguziki ww umejuaje upo wake? Bado hofu inakuendesha akili
@BabaTiffah
@BabaTiffah 24 күн бұрын
Yani watu wa tu wanaomini kwenye mungu ni wajinga sijawai ona daah utasikia iyo pumzi kakupa nani kakuumba nani utakuja kuumwa ww utamjua mungu daaah utafikiri wao hawaumwi 😂😂😂😂😂
@a4afrika
@a4afrika 24 күн бұрын
Eti mtu anafikia hatua kumtishia mwenzake eti utakufa kinywa wazi, sasa kuna faida gani kufa kinywa kimefumba? Hawa watu watanyooka tu, mizizi ya utumwa wao na ujuha ni mirefu sana, lakini walau imeanza kutikisika, tmwataendelea kunyweshwa dawa chungu kwa ustawi wa kizazi kijacho.
@HumphreyMsongo
@HumphreyMsongo 23 күн бұрын
​@@a4afrikaJe unakubali kuwa uchawi upo? Kama ndiyo, nini kinakupelekea kuamini hivyo?
@a4afrika
@a4afrika 23 күн бұрын
@@HumphreyMsongo Uchawi ni nini? Kukubali na kuamini kuna mahusiano gani? Kama upo unahalalishaje hoja ya kuwepo kwa Mungu mnayemtaja?
@albertvalentino130
@albertvalentino130 21 күн бұрын
" Upumbavu wa Mungu unahekima kuliko ujinga wa mwanadamu, unaoitwa " elimu " ujinga tu unawasumbua.wameshiba Shiba tu maharage huko,ooo hakuna Mungu," ujinga mtupu "
@Gwa-Kayaga
@Gwa-Kayaga 19 күн бұрын
Isaya unaonaje na wewe ukaenda kuslim kama Dominic Christopher ukatuachia wokovu. Hii ni tunu iliyopatkana kwa damu na machozi😢
@IsaacBrown-i7i
@IsaacBrown-i7i 11 күн бұрын
Suala la Mungu kufanya kitu hapangiwi anafanya Kwa wakati wake
@Gahondeshongopoo
@Gahondeshongopoo 26 күн бұрын
Wanaosema Mungu hayupo wanaukweli wao nasisi tuanaoamini Mungu yupo tunaukweli wetu kwasababu kiraupande tuliamimishwa na wafunziwetu hakilizetu zigapokea yare zilifuzwa kahio wao walipokea elimu ya mungu hayupo nasisi tugapokea ya Mungu yupo sote tunahitaji kutafakali uumbaji nanguvu enderevu inayoendereza uumbaji nagutafakali maandiko yavitabu bisemavyo Mungu yopo. Watuwengi walipoteza imani kwamungu kwagukosa mahitajiyao kwauharaka pia kwamatendo walim nawaumini wenzao wanayotenda duniani kwote. Wakavujika mioyo warakini Mungu yupo nataenderea kuwepo
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 25 күн бұрын
Rudia ili ulichoandika kieleweka
@JoJo-xh7ph
@JoJo-xh7ph 11 күн бұрын
If everything was created from nothing, who created everything from nothing.
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula 2 сағат бұрын
Hao Wote ni jehanam , Mnataja jina lake Mungu Mnasema hayupo !!, hao jamaa wana degree za Kuzimu na mwenzao watamkuta huko !,.
@linusgozibert-up8tp
@linusgozibert-up8tp 25 күн бұрын
Umeongelea suala la kitu kuwepo lazima kiwe na chanzo , ukaelezea na issue ya waliokuwa wanaamini jua na mwezi baadae wakagundua lazima kuna aliyeumba hivo vitu, aya je uyo aliyeviumba aliumbwa na nani?
@richardnganya2311
@richardnganya2311 24 күн бұрын
Usisahau kuwa kuna uwepo wa Chanzo (source) na hapo kwenye chanzo ndio Mwanzo.
@rasmbegu
@rasmbegu 23 күн бұрын
Kila mtu navyojua anaamini kuhusu mwazo wake mchakato kuhusu mwazo wetu imebeba majina mengi kuna mtu anasema amwamini Mungu anaamini energie mwengine nature wote tunaongea kitu ki moja tu mchakato wa mwazo wa kila kitu tatizo ni pale kila mmoja anapojiona yeye yupo sahihi kuliko mwezake cjui kwanini elimu zetu izi kuhusu huumbaji msingi wake ni kupinga mitazamo ya wengine yule mtu asie amini uwepo wa Mungu ila anaamini nature energie ligth wote tunaamini kitu moja tu maneno tafauti tatizo letu ni haya majina tu ila ukifata maana wote tunaongea kitu kimoja uwezo uliyo wezesha kila kitu kutokea katika utupu wa ulimwengu heshima kwako mtumishi
@MIGEZO4542
@MIGEZO4542 20 күн бұрын
imenibidi nicheke😂 watakufa wamekenua meno
@augustinokessy
@augustinokessy 18 күн бұрын
Mi nachekaga tyu...😅😂😅
@lamecklugodi6472
@lamecklugodi6472 19 күн бұрын
Mungu yupo
@WilfredChomo
@WilfredChomo 20 күн бұрын
Hao wanaoitwa wasomi,wamekariri waliyoyakuta na wanayatetea.Mungu yupo na hachunguziki.Mungu hadhihakiwi.Muhimu hapa ni kumwacha mtu aamini anachoamini.
@Samwel-y4d
@Samwel-y4d 13 күн бұрын
Usomi ambao uwez kuzuia kufa kwako n sawa na mavi tu
@nanyangahustler4305
@nanyangahustler4305 18 күн бұрын
Ukristo ni dini ya super power utamaduni wa ulaya Na uislam ni tamaduni za uarabuni Sio dini za mwenyezimungu full stop Maana kuna dini zaidi ya 4000 duniani ila nyie .nazijua 2 tu
NILIONA RAISI  WA TANZANIA AKIPINDULIWA: PART-2 SANAMU YA TANZANIA
25:33
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
MSALABA = UUME & KORODANI
10:40
WACHOKONOZI
Рет қаралды 16 М.
WENYE AKILI NDOGO WAENDELEE KUAJIRIWA
12:11
WACHOKONOZI
Рет қаралды 11 М.
MCH: NDACHA :ETI? MUHAMMED SI MTUME WA MUNGU!
19:52
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 18 М.
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?
3:22:51
MCHOKONOZI ABANANISHWA STUDIO ASIMAMIA MISIMAMO YAKE PALEPALE.
1:22:28
Platform Media
Рет қаралды 68 М.
IPM ATOA SIRI KWENYE BIBRIA DINI NI HII !
9:02
IPM TV
Рет қаралды 12 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН