My all time favourite artists... Konde gang jeshi from Kenya..
@mourinemageto38113 жыл бұрын
Kaka Rajab take it easy ...never mind about what the guy is doing... weka Mungu mbele bro....much love from Kenya 🇰🇪....tunakusupport bro keep on moving
@ismailsamola Жыл бұрын
Mambo vp
@roseamos46412 жыл бұрын
Mungu yuko pamoja nawewe ni mm rose kutoka kenya 🇰🇪 i always pray for you harmonize n love your shows n u too.
@charlesndege96203 жыл бұрын
Ukiona mwanaume ametoa ya moyoni Ujue amechafukwa sana, Pole Sana Jeshi Mungu atakulipia kwa yote . Respect kwako
Konde boy kaza mwana,mungu yupo na wewe...,nakuelewaga Sana jeshiiii..
@زيتونتنزانيا3 жыл бұрын
Ndomana mondi hanenepi
@kassimrajabu78052 жыл бұрын
@@زيتونتنزانيا usipende kusikiliza story ya upande mmoja kuma ww
@levelmusiconthebeat88982 жыл бұрын
Live kaka nakubali acha jamaa aendelee kutuhappynisha wadauu
@Magdalenaann3 жыл бұрын
Mnasema akumbuke mazuri aliyotedewa tangu atoke wcb hanjawai hata siku moja kuwasema wcb vibaya ..harmo hii ndio mara yake ya kwanza kufunguka sasa bona mnamchukulia kama yy mbaya ..as all of you know diamond ata hata reply lolote lkn ata watumia wale wafuasi wake kumdis harmo na lipite hivo na kunjifanya ata hanjui linalo endelea
@benedictesafi43863 жыл бұрын
MGDG acha ujinga auwone Koffi olomide Kongo alikua na Fally ipupa = leo Fally ipupa iko na Lebo yake na Fally ipupa aliyemutoa ni Koffi = ujinga Diamond akifa Tanzania mufunge muziki.muna Abdul mtu kuliko Allah.chuki zenu muna tuma watu wengi wamupende konde boy Harmozi anasema aliye mifanya awe leo Kimuziki ni Diamond. Sasa munataka apige ngoma mujuwe anamupenda Diamond?
@Magdalenaann3 жыл бұрын
aliye na huo ujinga ni wewe kabisaa🤣🤣 soma comment yngu tena acha mhaho. Elewa comment yangu ipo side gani . wapi nmemsema harmo vibaya
@ndendedavid53823 жыл бұрын
Kweli
@msafirisalum84363 жыл бұрын
@@benedictesafi4386 hujui hata kuandika
@paschaledward11132 жыл бұрын
Wewe NI mwanga kwa watu wa chini respect to you brother.
@franaelmbise65943 жыл бұрын
Ooh my God 😍😍😍 pole SANA konde Jeshi Ukiona umefanikiwa jua umepitia mengi Sana. Lkn diamond Mungu amsaidie abadilike aache roho mbaya lkn kiukweli mtu Kama ameweza kumkataa babake jee wewe atakufanyeje? Dadeke
@abelachwata91722 жыл бұрын
Harmonize the best musician
@mohammedsalum35022 жыл бұрын
Walipe kina chid na killy kenge ww
@ssanyukivumbi40053 жыл бұрын
Huwa nakukubali sana konde.yaaani nimefurahi umejua kama huyo boss wa watu mnafiki. Safi sana.
@tricialonke73513 жыл бұрын
Tupendaneni. 😎 Relax tu. We got you. From Kenya 🇰🇪
@billiamwilliamtv65053 жыл бұрын
Ndomana Ali kiba aligeuza mkono duu!
@MahamaenockMahama10 күн бұрын
Hatakama lakin bila diamond usingefika hapo ulipo show respect
@kazungurichardbingwa3 жыл бұрын
Uko point Tembo,kipaji unacho na mpaji ni Mungu,kumbuka kelele za chura hazizui Tembo kunywa maji.
@mamaahmad86153 жыл бұрын
Huyo sadala hafaii kiba alifanyiwa mabaya mengi sana sadala acha roho mbaya😭😭😭😭😭
@dsuzerbweko41482 жыл бұрын
Great point
@godymaster25213 жыл бұрын
Kondeboy jeshiiiii🔥
@nadyasalim79563 жыл бұрын
smart boy
@husseintv18403 жыл бұрын
Tapika bro wanakuaribia jina na record lebel ya yetu ya konde gang 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya from now on we are together
@iammarriey28613 жыл бұрын
From to today tumehamia konde gang for every body
@ianngtv32572 жыл бұрын
Kabisa
@joshuakyomo38042 жыл бұрын
Sema na nyie watu wa kenya akili hamna 😂😂😂 si uende ukacoment kwa mambo ya Eric omondi hiyo ujinga yako
umesikia bro sikuzoteeh mti wenye matunda upigweee mawe muache 2 mungu akupe nguvu diamond sio vizuri hbn mambo gani ayo lizika na unachopata kaaah wewe mjinga uyoooooo uwivu wakipumbavu uwoooh mjinga nyoooo
@NICOLAE.50 Жыл бұрын
Ni nani amerudi hapa kwa mara ya 7 2023 harmonize go ! Go! God bless you
@mohamedsalim72713 жыл бұрын
Futa hizo tattoo za huyo jamaa simba,hazifaii...hajakusaidia na chochote alikua anakuangamiza tu tu kimaisha
@rahimbiyeza40773 жыл бұрын
Be strong unatakiwa kutafuta huruma ya mungu siyo hurumq ya binadam
@jumakapilima72952 жыл бұрын
Na bahati mbaya sana Mungu hayapendi Mambo ya mziki,,,
@ProspaIL3 ай бұрын
Pole! sana Bro, Bora Umeongea Ukweli Diamond Kubabke😂😂 Ninge Kuwa Na Hela Ninge Kuwa Mengt Wak Prospa From U S A 🇱🇷
@princeeddiekingsley87193 жыл бұрын
:-)😥😥😥jameni harmonize pole Sana nakuhurumia kwa uliyoyapitia pale wasafi ila usijali mwenyezi mungu atakufikisha mbali 🙏🙏natamani mno ipo siku tutaonana .zidi kusali na kutia bidii .
@clariskadzo60532 жыл бұрын
Pole sana bro mungu mbele
@bintichausa47443 жыл бұрын
Haki pole bro inasikitisha sana...muamini mungu atakupigania InshaaAllah utafika mbali .
@benardrogitonyangeri71172 жыл бұрын
Tempo....wewe ni nguvu....love u bro
@ramadhanjuma35842 жыл бұрын
Baba tunakuombea yeye amekuwa mungu muogope mungu sio diamond piga kazi wivu huo achana nae na uchawi wake aende kigoma pasua konde nakupa bigap
@jemshidsaleh42503 жыл бұрын
Amini Mungu YUPO KWA KILA MTU ATAKUTENGENEZEA MAZINGILA MABAYA HATIMAYE YATAMLUDIA MWENYEWE HATA KAMA ALIKUZAIDIA
@hassannakembetwa50792 жыл бұрын
Usiogop lkn usimpe mkon naomben like jmn
@raimwachondorai16132 жыл бұрын
Umefanya vizuri kutpka wasafi brooo big up sana
@mdzelemtende37093 жыл бұрын
Wasema ukweli brooh
@zaizaitwaha66333 жыл бұрын
Umeona eeeh yaan nimejifunza mengi kupitia hamonize daah benadamu
@nduwimanadidjaaimee59643 жыл бұрын
Nyie kila siku kumsema harmo vibaya munamutupisha eshima jueni kwamba maisha ya harmo mungu njo anayajua amushkur kivip mtu mwenye yuko anasema vibaya anamuaibisha harmo atamushkur vipi?????? Harmo usiwaokope muamini mungu huyo mbwa diamond akitaka peace atatulia
@KevinTsuma3 ай бұрын
Allah akuoongoze Harmonize (Jeshi) mali safi huisha ila kwako sio leo na sio rahisi Allah akulinde my brother
@melody_mike_mavoice3 жыл бұрын
Everyone agrees with this .... answer me where is mavoko?
@madetetv65763 жыл бұрын
Mond mchawi sana
@rupiajane65063 жыл бұрын
Kama mchawi nawewe kaloge
@lindambilinyi62533 жыл бұрын
Domo chawiiii
@nadyasalim79563 жыл бұрын
huyo diamond chawiii pesa zake za haramu
@ianngtv32572 жыл бұрын
Kabisa..
@gabylove46022 жыл бұрын
Saaaana
@benwekesa61392 жыл бұрын
Hey,,,brother Harmonize uko sawa kwenye njia,, ujapotea,,, endelea kufanya amani,,mwelewe Dimond maanake ameshikwa na stress zake,, lakini ni kwa muda kidogo tuu, atakua settled in mind bado nyinyi ni mandugu. Fantastic aman wewe ni kiongozi mkubwa.
@mastomasto9799 Жыл бұрын
Aendelee kutafuta hela lable nayo imejifia😉
@mussalingande41292 жыл бұрын
Mwamini mungu kwa kila kitu binadamu hawezi kukufanya uwe imara zaidi ispkuwa mungu two
@abelchinese2 жыл бұрын
Kisha alikwambiaka hivyo ...sasa hivi unamushinda kuimb! Love from Rwanda
Acha aseme yote, kwani yeye hakuwa na mema yake, Hao wanafiki babu tale na Salam sk, ndiyo anguko la Diamond, huyo mama yake Diamond haoni wanavyo muangusha mwanae.
@husseintv18403 жыл бұрын
Don give up ma niggah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
@lisasegerardlgfbofficial49982 жыл бұрын
mimi Konde geng damu niko congo
@jamesisaya12713 жыл бұрын
Kwa kweli harmonize ni mvumilivu sana huyu sadala amekufanyia mabaya mengi
You're in my prayers don't mind about those people.
@suleimansaid26333 жыл бұрын
Sadala hakumsaidia HARMONIZE. Jamaa roho mbaya.
@husnamiraj92522 жыл бұрын
Kumbe mond mshenz pole sn konde mungu atakuongoza zaid kwauwezo wake
@colestmakoloo15003 жыл бұрын
Jeshii Don give up
@anjelinakasembe8453 жыл бұрын
Kaongeanpoint to point amna lakusema
@charitehenri48823 жыл бұрын
Harmonize you are hero
@TomasTutaleni Жыл бұрын
oh my favourite singer what hel
@TsaintSoul2 жыл бұрын
Same situation
@emmanuelsimon95993 жыл бұрын
🐘 MB zimekata paspojua 😢😢
@Updatenewz Жыл бұрын
Much respect kwako Kama umeongea ukweli Ila Kama umeongea uongo mungu ata kulaani
@jcsoliste Жыл бұрын
God will bless your way bro for your humility
@jackiephyll12503 жыл бұрын
Napenda hamonize bure anakimya kwa muda lkini ikimfikia kwa shingo anatema .
@starboytz8901 Жыл бұрын
Hai
@starboytz8901 Жыл бұрын
Hai
@hamisimkima1172 жыл бұрын
😭😭😭😭 Dah! Nimepata Moyo kupitia Haya ya Hamornize yamenikuta hayo bgp Sana Mzee
@millymilly72442 жыл бұрын
Pole sana harmo saivi we ni jeshi
@palmirasoares75102 жыл бұрын
O que admiro neste cara é a sua humildade e não esquecer as suas raízes
@crappy632 жыл бұрын
Sikuwa najua what happened man,but now am your big fan
@HabasaDavid Жыл бұрын
*
@johnnjenga46892 жыл бұрын
Hakuwezi nowadays kimziki big fan from kenya
@sistertoartistmaboiller23712 жыл бұрын
Maboiller was here congratulations 🔥
@nhnk80173 жыл бұрын
Ati ki uchawi hauniwezi hahahahaha
@eliusponde85642 жыл бұрын
Ww ni mjinga kwel ungekuwa chinga miuza mandazi bira diamond
@irenembowe81762 жыл бұрын
A kwendreeeeeee zake😏 ukoo kwanza nyimbo sio nzuri za kwakweli keep on konde
@adrianlore92402 жыл бұрын
Harmonize my super artist
@eppiemodest2 жыл бұрын
Mlipe Mwijaku na H. Baba pesa zao si bwabwaja tu. Umetengenezwa onyeshe fadhila. Ulitaka akupige teke kama master J. Si ungepotea. Mweshimu sana Diamond acha kubwabwaja.
@tystanjeepsy4769 Жыл бұрын
Harmonize is right we Kenyans🇰🇪 believe what he says and tell your fellow Tanzanians to wake up learn to cherish the truth.
@evalynekwamboka28022 жыл бұрын
Pole bro kwa yale yakwandama lakini uko roho safi mrudiane tu kwa maana nyinyi ni kama wanasiasa ambayo wanarusiana maneno makali wkt wa siasa lakini badae wanakula kwa meza moja
@joshuaodote27632 жыл бұрын
HARMONIZE is as pure as his name
@WazaeliMakungu3 ай бұрын
Pole sna jeshii wanataka kkuchafulia jina kua makin
@Imurengeupdates3 жыл бұрын
Nipe mkono tushindane nakuambiya , majanga haya 😭💔
@EvaMunui4 ай бұрын
Pole sana kaka hamonaze haya yote yana mungu yatamrudiy yote mbwa huyo mm simpend kweli kwasababu ya roho yake
@sweet16honey753 жыл бұрын
Makubwa but umefanya vizuri ukaondoka
@mwinyiganzala27232 жыл бұрын
Salute konde kw hekima yako
@aishambise65293 жыл бұрын
Pole sana umefanya vizur kutapika haya
@gerrardabwe2 жыл бұрын
Mungu akuhepushe bro Konde
@tatuaamuuinyi96333 жыл бұрын
Pole.waajili wenyerohombaya ndo walivyo
@charitehenri48823 жыл бұрын
Jeshiiii💪💪💪💪💪💪
@abdalaauame38633 жыл бұрын
Onguera konde boy jeshiiiiiii 💪💪💪
@michaelatilio21072 жыл бұрын
Mond no 1 in East Africa 😂
@fatimaismail22503 жыл бұрын
Love you from Kenya 🇰🇪 ur are my favourite
@loganpoul2 жыл бұрын
Fatima si unipe namba nikitoka Canada nije nikutombe jamani
@starboytz8901 Жыл бұрын
Your okay my f
@wanjirukarago93083 жыл бұрын
Akwende na huko ghasia !! Mchawi!! Powers of darkness.
@yusrambarouk3133 жыл бұрын
Duh pole sna
@tatuaamuuinyi96333 жыл бұрын
Makubwa
@agyemma28746 ай бұрын
nakipenda sana kaka kwa upambanaji wako
@johson6963 Жыл бұрын
Note ni mandugu zetu kutoka TZ Endelea Kuimba. Tubariki na nyimbo hii uchavu ngine ni aibu tu.
@ysmaelkatumbi40612 жыл бұрын
Mungu njo anajuwa future yako bro
@TabibuKapena Жыл бұрын
Pole mi mama yako was katavi,tutakuombea kwa mungu
@harrydinouser30802 жыл бұрын
Leo anjella vp kaka
@gerrardmmandama53422 жыл бұрын
Jeshi🔥🔥🔥💪
@EDDIE_RIMES3 жыл бұрын
Only stupid people hate because of third hand information,,,,love you harmonize keep moving
@Singerjy2 жыл бұрын
KONDE 💪💪💪 MOVE ON
@MerveilleMichael-i4s Жыл бұрын
Kuwa jasiri tuh brow Mungu yupo nawe ata kulipa 😢🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@paulnjenga44742 жыл бұрын
Today I understand 😁
@babyvence18103 жыл бұрын
pole sana hamo wew mtegemee mungu lazma utatoboa. ngoja tuone uchawi wake utamfikisha wapi?
@hamsomauzo45983 жыл бұрын
Ww mwenyewe fatafata simba ,nyimbo zko akitoa lingala na ww watoa km iyo tafuta mbinu zko
@rashidjumaa3537 Жыл бұрын
Pole sana kaka kikulacho kinguoni mwako
@nelianshayo57742 жыл бұрын
Pole brooo sana
@nijimbereannasandra34452 жыл бұрын
DIAMOND NI FREEMASON
@AnordJoseph-e2e3 ай бұрын
Free mason yaanyoko
@jonijoo232 жыл бұрын
Ushukuru mwamba alikupeleka mpaka chumbani akakuonyesha kila kitu babu tofauti na akina mavoko hawakuwa ivo ndomaana ilionekana wewe unapendelewa sana ila punguza ushamba mmakonde
@salimbajber4851 Жыл бұрын
Hakuna asiyejuwa kama diamond mshamba pambana mwanangu..wasikurudishe nyuma
@JordanPhilipo-zz1ug Жыл бұрын
We uxiwaze bro yote ni maisha vumilia tuu. Chalii yangu
@masudiitembele54143 жыл бұрын
yuleee mondi ataishiwaa vibayaa kwa kwelii ana hali ya ubinafsii