Half keki tamu sana na laini sana.. kwa biashara mimi nimekata vipande 27 ambayo ni sawa na 13,500/= Mahitaji nimetumia Unga kilo1 1300 Sukari robo 700 Mafuta lita1 3300 Amira na chapa maandashi 400 labda Yai 1 300 Jumla 6000 Faida 7,500 Jamani usitajirike tu🤔🤔🤔🤔ukalala na 7500 kila siku?labda kama soko lako zuri upapika kilo2 15,000 kwa mpiko mmoja.. Alhamdullilah Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika rizki
@mariamngoroh92124 жыл бұрын
Amiiny
@ilhamprecious88164 жыл бұрын
Kama za mia
@pilimateleka29703 жыл бұрын
Amiin dear
@samiaarimkonekonko50962 жыл бұрын
Asante sana kipenzi changu najifunza
@zanisharamadhan2129 Жыл бұрын
Nimepnda san som lako yan mahitaji ni rahis san nice
@officialhauzimi Жыл бұрын
Dada mungu akubariki mashaallah ni tamm mnno
@shasumsindo24864 жыл бұрын
Jaman shukran nlipika n tamui laini n nzur
@rayanassor50773 жыл бұрын
Maashaallaah nimeona unafanya aina tofauti hafkek nin manayak
@fantasyworld94894 жыл бұрын
Mashalah nimependa sana nineona tu nikabonyeza haraka sana Zinaonekana ni laini hatari na zina nyama Asante sana kwa video mkombozi wetu
@karimhasham8259 Жыл бұрын
Shukran dada ubarikiwe
@maryammkassim6353 жыл бұрын
Asante dadaangu acha nikajaribu na mimi
@lydianakiganda18133 жыл бұрын
Some English recipe some of us don't know swahiri but thanks for sharing with us.
@fatmamussa3494 жыл бұрын
Maashaa Allah ahsante Sana shukran
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Alhamdullilah asante sana kwa kuangalia
@GlowCharls4 жыл бұрын
Nimetamani izi half cake jamani 😋😋😋😋alafu sauti yako unavyoongea sasa Yaani zitakuwa tamu sana.
Mimi hata nizakula tu maana zilivyo tamu acha tu,shukran dear
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
😂😂😂😂umenifurahisha sana...enjoy dear
@aishaabdallah45604 жыл бұрын
Nimezipenda mwaya
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Asante dear
@halimahalum30084 жыл бұрын
Masha Allha shukran sana
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Alhamdullilah asante sana kwa sapoti yako
@levinalucas1574 жыл бұрын
Asante mamaa🙏
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@raelokoth93572 жыл бұрын
Very nice ♥️
@kahroogall56954 жыл бұрын
Nice cook
@ChitranjalisvlogsRecipes4 жыл бұрын
Wow looking amazing 👌
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Thank you friend😘
@jacklinejoseph21974 жыл бұрын
Nice dear
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Asante sana dear
@leaherasto33364 жыл бұрын
Ahsante hizo half keki hazinywi sana mafuta?kwenye kilo moja unatoa half keki ngapi
@elizabethchuwa4624 жыл бұрын
So delicious
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Thanks dear
@babiryeflavia60244 жыл бұрын
I keep them for how long
@mariasshilla45284 жыл бұрын
Dada unapatikana wapi pls No yako naomba
@claudiaruttta71174 жыл бұрын
Nice half kake
@gladnessamos26803 жыл бұрын
Chapa mandashi na baking soda ni vitu viwili tofauti???
@Moudgram2 жыл бұрын
Habari yako dada?nilijaribu kupika half kaki lakini hazikutika vizuri sana.. ila sikati tamaa 😆🙏
@margaretwanjala62762 жыл бұрын
Hi natamani kujua kupika half keki lakini nimeshindwa kupata baking soda na vanilla..nifanyaje?
@Mick-rv8uh Жыл бұрын
Naweza kuongeza maziwa kukandia bsdala ya maji??
@kekiplus1andonly10 ай бұрын
Wewe tu
@hamidagulam35583 жыл бұрын
Hiki nusu kikombe cha mafuta ni cha mililitre ngapi?
@jessieemmanuel92193 жыл бұрын
Baking powder, na bicarbonate of soda vinafanana au
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Havifanani
@gladnessamos26803 жыл бұрын
Na mbona zile af cake za nazi hukuweka amira
@takerstories98814 жыл бұрын
kwa nini keki zina nyonya sana mafuta
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Upishi wako
@ruthdavin50092 жыл бұрын
English recip pliz guys help us ba dear
@SalamaRajabu-c6h9 күн бұрын
Je km kilo nne naweka mayai mangap na chapa mandaz vijiko vingap
@lydianakiganda18133 жыл бұрын
What is the meaning of Mira?
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
"Hamia" yeast
@mariamjoseph67124 жыл бұрын
Zinaonekana ni tamu Sana, hicho kikombe cha maji kina ujazo gani?
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Alhamdullilah dear... Kama gram 236 ..ni kile kikombe cha kupimia special ila mara nyingi kina lingana na vikombe vile vya chai vinakuwa na rangi ya maji,au lyt blue,au lyt green..unavifahamu vikombe ivo?vidogo flani ivi..vya siku nyingi sana