Ubarikiwe sana mzee. Mungu ibariki Tanzania, Umbariki Raisi wetu kipenzi Mama Samia. Tunamuombea heri daima.
@NelyyThomas-c8mАй бұрын
Hongela sana mzee wangu unauwezo mkubwa wakufilia mungu akulinde
@NdeshaPaul-uz9bwАй бұрын
Busara zako ni fundisho. Waeleze mpaka waelewe. Ubarikiwe sana
@KingstonbagamoyoАй бұрын
Big up big hakiiiii
@AbdillahSalimuАй бұрын
Fact fact 🙏
@agnesspaul1866Ай бұрын
❤❤❤ Asanteeee mnooo
@wallacemngoma794Ай бұрын
Maandamano ni haki kufanyika kuyazuia ni uvunjifu wa haki na sheria.
@SNicky-cl2grАй бұрын
Baba umeongea point sana pepp ni yako
@frankkiwelu3393Ай бұрын
Umeogea point sana mzee wangu big up sana mimi sina chama lakini kwa yanayo tokea Tanzania sio yakufubia macho chadema wako sawa maana tunaitaji serikali kutoa tamko ya ni akinanani wanafanya haya mambo ya utekiji maana ndio walioko madarakani na ndio tegemeo let sisi wanaichi
Asante San kaka yangu iyo ndiy Tanzania mungu akubali
@johnsonrenatus7772Ай бұрын
N bora kufa kishujaa kuliko kufa kwa mateso ya kutekwa
@emanuelurio-ok8ylАй бұрын
Inashangaza kwanini swala la kukataza maandamano limekuwa nzito kwa Serikali kuliko kujadili utekaji? Kwanini hasa?. Lini waandamanaji waliandamana wakavuruga aman?
@hamdincatalonia3272Ай бұрын
Kaandamane kesho tutakutazama kwenye tv
@Lundege_HipsАй бұрын
Huyu mzee ni hazina ya nchi
@MussaMarwa-z3nАй бұрын
Siyasa ni siyasa tu kak kam mulijua Hilo kwann amukuwacha wandamane
@ayubusanga1915Ай бұрын
Aya sema,
@MichaelChale-k7fАй бұрын
Mzee unaonge point snaaa
@mutabebwa-bm6pmАй бұрын
Huyu ndo mzee anayesema point. Uhuru na haki vinaenda pamoja.
@agnesspaul1866Ай бұрын
Mungu yupo na anaona yotee ila amekaa kimpya aangalie ila anatuwazia mema
@SuolFatАй бұрын
Je watabganyika watawapiga ndugu zao risaso za moto
@AnnaFelix-p1zАй бұрын
Kweli mzee lakini kwanini samia ana zuwia inamana yupo kwenye agenda hiyo nimhalifu tena sana
@HaryPoter-zw7vrАй бұрын
Point taken
@joscamwoshezi2986Ай бұрын
Anna tupe ushahidi kuwa Rais Samia kaua nani
@IzaangonyanАй бұрын
Nimekuelewa san mzee wang
@clarencesichila9497Ай бұрын
Kwel mkubwa
@Shags.1972Ай бұрын
Nawe ni chawa tu
@nickolassimionАй бұрын
Sawa je weee ulio na macho ila uoni. Una madikio lakini husikii. Akili 0.
@johnsonrenatus7772Ай бұрын
Me najiuliza hiv sisi tunaoandamana kisheria na kikatiba na hao police wanao tuzuia nan anavunja sheria?
@suleimankanjara7810Ай бұрын
Wewe chawa
@JosphatMwandeleАй бұрын
Kwali baba hata laisi mwenyewe ndipo atakapo ona watu wamekelwa kiasi gan nautekaji
@stevensosipitaАй бұрын
MAANDAMANO NI HAKI YA KILA RAIA HAPA ULAYA MAANDAMANO KILA WAKATI YANAFANYIKA ENDAPO TU HAWAJAPENDEZWA NA JAMBO LOLOTE NDANI YA UONGOZI SERIKALINI
@HaryPoter-zw7vrАй бұрын
Lakini ni kweli SERIKALI ingeunda time au ingewatia ma'surspect ndani, yaaani kelele hizi zote zisinge kuwepo.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
@AnthonyPiusiАй бұрын
Sema kweli kwanini wanaonekana kama wapo kuwaumiza raia kwa maslahi ya watawala ambao hao ndio wanasema tupo kwa mjibu wa katiba haitekelezeki
@bakarimakalo7128Ай бұрын
Hakuna nafasi ya kuridhika Duniani. Chadema wanajisumbua bure kwani Hata huko Chadema au CCM hakuna watu wote KURIDHIKA. Watanzania kwa wakati huu wanao ufahamu juu ya ysnayoendekea katika Tanzania yao. Nato na Marekani hawana nafasi kueleza nini cha kufanya Tsnzania. Vipi huko GAZA? Hakuna binadamu. Undumila kuwili ni tatizo la Marekani.
@IndalesioHeneryАй бұрын
Maandamano nihaki kikatiba tu naogopa mitutu
@DominicaDamianTusekoАй бұрын
Watu wanaogopa kupigwa napolisi na kuwekwa ndani.vitisho..wangeruhu bila.mikwala.watu.wenngi tungeandamana
@GodfreyMwamasoАй бұрын
Chadema walitaka kuandamana kwa mujibu wa sheria na katiba inawaruhusu kufanya maandamano je jeshi la polisi linalozuia maandamano kati yao na chadema ni nani anayevunja sheria za nchi
@MakuoeJafaryАй бұрын
Ivi munaeongea swala ili ninyinyi akina joni akina mwamedi wako wapi apo ndio udini mnapouonyesha raisi ni mwamedi joni anawivu
@clemencemkondya8561Ай бұрын
Kweli mwananchi umeongea ukweli mtupu .Chadema ina viongozi wahuni tu
@joscamwoshezi2986Ай бұрын
Unasema ukweli tupo
@SamuelKivuyo-t4rАй бұрын
Anaagisa wtu kutekwa alfu.Anaagisa uchunguzi upumbafu huo.huyu rais ni dikiteta ofa magufuli
@matiredms917Ай бұрын
Umenena mambo ya msingi na ukweli mtupu. Wewe siyo chawa bali mzalendo kweli kweli. Mungu akubariki uendelee na hekima kama ya Mfalme Suleiman.
Watu hawana elimu... ya maandamano.....lakini wakipewa elimu hiyo kila mwananchi ataandamana...hakuna mabadiliko bila risk,, kujitoa....maandamano ni haki ya raia..sio jinai
@geofreymwanshuli4344Ай бұрын
Polic Wanatumiwa na ccm sasa je ikitoka CCM madalakani wote swekandani hawanakinga
@salimamugeni3568Ай бұрын
Mjichuge msiwe kama Libya na Sudan walio takahaki leo wako wapi ?
@ahmedalbalooshi8518Ай бұрын
Ukweli ni kwamba wanajua wakiandamana yatawakuta yale ya yaliotokea huko Pemba 2001,yaani utumiaji wa polisi silaha za moto.
@SaidMkwabi-ho8yyАй бұрын
Hivi kamahauna baya namtu kwanini usijiamini nakile unachokifanya lkn ukishaona hadi wanatumia nguvu yaziada hawajiamini namambo wanayoyafanya ira iposiku mungu atatulipia machozi yetu cc wanyonge tunaeonewa kilauchao kama nchi niyabaazi yawatu mungu simama nasi wanyonge hatuna pakusemea
@hamdincatalonia3272Ай бұрын
Keaho tutawaona mahodari kwevye tv
@allyngelenge9475Ай бұрын
Ww mzee kwanini ninyi wazee waelewa Huwa mnajificha ficha AA munachosha sana
@AgnesEphraim-jw6dvАй бұрын
Siasa ina wenyewe polic msituumize wengine kesho nisiku ya kwewnda kazini kutafuta ugali wakila siku lakini polic watatuumiza ambao atujui siasa
@khamisjuma8501Ай бұрын
Jinga
@MagangaSeniАй бұрын
naww utaandamana
@johnsonrenatus7772Ай бұрын
Police wanatumika vibaya sana na muda wao wa kujitafakar ndo huu maana yamebak masaa machache na sisi haturud nyuma kama vjana ambao hatukubalian na serikali maana imeshindwa kusimamia katiba na sheria zake na wanajiamlia wakidhan kizaz chetu n hcho chao
@joachimkalungwana8654Ай бұрын
Wewe chawa tu
@ramadhanyassin4396Ай бұрын
Kwa hiyo mandamano nikesho?.lakini Mimi nahisi watanganika siku watakapo chukia serkali basi nass tutakuwa wakimbizi
@AugustKisaka-qy7klАй бұрын
Kwani maandamani ni haki au ni uvunjifu wa amani,au si haki ya katiba kuandamana
@MOHAMEDMBAROUK-tc4chАй бұрын
Hvi Hawa chadema kila siku wanaaandamana wao msitufanye tukaingia kwenye machafuko jmn hata ugali hatutaupata hata kukaa majumbn mwetu
@ShabaniShebugeАй бұрын
Sawa. Mzee
@HamzaHeriАй бұрын
SASA HAWO CHADEMA NI KINANI KWENYE NCHII HII AWOO KUNAMENGINE NYUMA YA PAZIA AJENDA ZAWO HATUZITAKI WAENDE KINA MBOWE TUNDULISSU NA WATOTOZAO WAKA ANDAMANE
@hamisiramadhan3251Ай бұрын
Mzee yupo sahihi saana huyu
@joachimkalungwana8654Ай бұрын
Kumsikikiza huyu ni kupoteza muda
@HamzaHeriАй бұрын
Hayo maandamano yana hamasishwa mpaka makanisani siyo maandaamano yahalali na wa islam itakuwa ni amani
@storytownTvАй бұрын
Itashangaza sana watu wanaandamana kushinikiza polisi kuacha ukatili afu polisi hao hao watokee siku ya maanamano kuwapiga waandamanaji ,, me ningekuwa polisi tareh 23 nikitumwa kwenda kupiga waanamanaji naacha kazi kiroho safi kuliko kwenda kumwaga damu za wananchi
@philomenastephen3364Ай бұрын
TENA WASIO NA HATIA NA WAMETANGAZA MAANDAMANO YA AMANI NA HAWANA SILAHA YA AINA YOYOTE. NAWAPENDA WATANZANIA WOOOTE.MUNGU AWATUNZE.
@JosiaKubelelaАй бұрын
Unapo mzuia mtu kuandamana unamyima haki yake nchi haiendeswi kibabe tunataka watekaji wakamatwe na hawa polici kwanini wanzkua mbele sana kuzuiya watu wasidai haki au wao ndio wahusika wamauwaji
@m.n.b1892Ай бұрын
Naic🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MichaelMaro-hj7yoАй бұрын
KAZI KUPIGA MAKOFI ALA VITUKO TENA WASOMI TUNAELEKEA WAPI
@RomanMwinyiАй бұрын
naalibu bando 2 kumuangalia kiaziii uyuuu
@AgnesEphraim-jw6dvАй бұрын
Watoto washule wataumia na hayo mabomu. Yenu fanyeni kama hamjaona mbona mkienda nao vizuri akuna fujo
@atupegemwakahesyaАй бұрын
Chadema wanapofanya maandamano ya amani, wengine wanabeza kwa kutopatiwa majibu. Sasa Watanzania mbona tunashindwa kuelewa nani mwenye kosa?
@MaswiJuliasjosephАй бұрын
Acheni kutisha watu acheni watu waandamane, hamjiamini polisi wa nn sasa
@SakinaHassan-xc2inАй бұрын
Yaani Tanzania tuna watu wenye muono mzuri kwanini hawawekwi madarakani tunakuomba ugombee uraisi baba kiukweli tumechoka na hayo mauaji
@CharlesMasanjaАй бұрын
Huyu ni mwanasiasa mkomavu. Haongei pumba, anaongea hatua sahihi za kuchukua ili kuleta umoja halisi wa kitaifa. Ni hatari kwa jeshi la polisi kuwa na mwelekeo wa kukitumikia chama, badala ya kulitumikia taifa.
@petertairo6010Ай бұрын
Sasa kama chadema wanateka kwani nchi hii Haina serikali? Chadema wateke na wasikamatwe basi itakuwa jeshi la polisi halipo.
@SaidMkwabi-ho8yyАй бұрын
Kama hamna mabaya kwanini mzuie watu wasiandamane watoe yanayo wauma myoyoni mwao hii nidunia tu mapito tu jamani kilakitu tutakiacha hapahapa duniani
@AnnaFelix-p1zАй бұрын
Mzee samia alio wauwa ni watu kama sisi na tukitulia linatukuta nasisi yeye amesema kufa ni kufa sasa tunashindwa kuelewa
@JosephKalegeaАй бұрын
Mbona tumeisha jivua nguo wenyewe kutekana
@issakazi2758Ай бұрын
Hii itahusisha vichaa kwa maandamano
@OmarSeafoodАй бұрын
Huyu mpemba aende atuwache sisi tunahis muda sasa umefika na nilazima tuandamane
@donaldbenedict5761Ай бұрын
Mzee wa bussra nimekuelewa sana tatizo police wanatumika vibaya sana msitumie nguvu tumien busara nahekima mwisho wa siku mtashitakiwa kwa mauji rais hashitakiwi lindeni maandamano yafanyike kwa amani
@florencejohn6427Ай бұрын
Kama namwelewa huyu mzee
@allyngelenge9475Ай бұрын
Ulikuwa wapi mzee saruti
@fatmafatu1128Ай бұрын
Nyie mbwa police msituletee ujinga wenu sisi kesho tunaenda kazini au mtatuletea chakula siku yakesho tubaki ndani yani police wa Tanzania mabichwa yenu yamejaa maji kwani kuandamana sinihaki yao mbona mkazie shida nini nahuyo mamaenu hana hadhi ya kuongoza watu labda wanyama hii nafasi sio yake bali ni zali lamentali
@OmmyJames-xn7jiАй бұрын
POLISI FANYENI KAZI YENU VIZURI KAMA VILE KENYA KUMETULIA 😢😢😢😢
@ndimimaskati3641Ай бұрын
Polisi haitakiwi kuzuia maandamano , maandano ni HAKI ya kila MTANGANYIKA.
@philomenastephen3364Ай бұрын
UMENENA VEMA MTUMISHI MWEMA. MUNGU WABARIKI NA KUWAONGIZA VEMA VIONGOZI WETU.
@RomanMwinyiАй бұрын
Ao ndio wana tembelea v8 ss tuna kufa njaa mitaani vitu bei watu wana kufaa
@NungulaRaisАй бұрын
Hii
@yohanakatekoАй бұрын
Wa zee ndo kama nyie tunawahitaji sana katika nchi hio
@emanuelurio-ok8ylАй бұрын
Kila kitu kina faida na hasara kwa maelezo yako. Ni nini faida ya kuteka watu na kuuwa we gine?
@mariaalenge2106Ай бұрын
Wa Tanzania narudia tena na tena CHAMA cha CHADEMA ni CHAMA hatari sana Tanzania na duniani alie na masikiyo asikie wa Tanzania musiwe wajinga
@HdhdhdhdhJdhdhd-o6cАй бұрын
kwaiyo unawatisha watu ili tuendelee kutishika kama uoga ww tu watu hawaogopi
@ndogoroedson199Ай бұрын
We jina hovyo njoo barabarani wakuonyeshe utamu wa kuandamana
@GEDIONSOPIAАй бұрын
Unajua unacho kiongea ww mzee, vitisho ya polisi ndio wanasuia watu, kama nyie ni vidume kweli Athenian vitisho mwone kama hajaandamana mpaka vilema watoto na ccm yenywe watakuwepo mpaka maaskari
@bernadetamushiАй бұрын
Kwenda huko
@mugemainyas5241Ай бұрын
All in all nyie tendeni haki . Polisi wanaua nani kawajihika? Achana na mabalozi