HALI MBAYA, VITA YA ISRAEL NA IRAN YAANZA KUPAMBA MOTO, ISRAEL YASHAMBULIA UBALOZI WA IRAN SYRIA

  Рет қаралды 26,357

HABARI 24

HABARI 24

Күн бұрын

If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

Пікірлер: 58
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 6 ай бұрын
Dalili zilizo jitokeza katika Vita ya pili ya dunia, kwa sasa vinajirudia tutegemee Vita ya tatu ya dunia
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 6 ай бұрын
Vita kuu ya 3 ije kwa kuwa hiidunia ya sasa ipite imejaa dhuluma.
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 6 ай бұрын
@@godfreyobadiah7892 najua itachukia vilivyo vingi ila, yataanza mapya yaliyo masafi kwenye hii dunia
@YustoGladstone-lm7bt
@YustoGladstone-lm7bt 6 ай бұрын
Mungu bariki izraeli
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 6 ай бұрын
Kagame endelea kuchapa kazi upo vzr sana
@bilioneaibrahim4680
@bilioneaibrahim4680 6 ай бұрын
Israel hahitaji msaada wa magharibi mwenyewe anajiweza maadam mkuu wao kasema Israel ni taifa la mungu aliyeiumba dunia hakuna wa kumtiisha
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 2 минут бұрын
Mungu gani tena huyo anapenda mashiga duuh pole bro
@aristideskilawe5024
@aristideskilawe5024 6 ай бұрын
I think Hon. President Kagame is a good leader who wishes good African countries! I strongly believe you can help leaders from Kongo to stop the killing in Kongo, because you have managed to maintain peace in Rwanda. You can help to unite people of Kongo like you have done in your country Rwanda. African leaders who are in power and people we trust! I must say your among of them Mr. President! Just ignore the rumors of Western Countries Mr. President , help your brothers and sisters of Kongo to have peace. God bless Africa! God bless Rwanda.
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 6 ай бұрын
Hao wa Iran wanaobgea Sana Israel imeshaua makamanda wengi Tu wa Iran wengine wameuwawa hukohuko Iran
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 6 ай бұрын
Kweli kabisa
@matukutajuma156
@matukutajuma156 6 ай бұрын
KAGAME YUPO SAHIHI JAPO HAIPENDEZI KUWEPO UWEPO WAKE
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 6 ай бұрын
Nyie Waarabu ni watu wa ajabu sana. Mpo wengi lakini mnabaki mnanyanyaswa na mtu mmoja tu, Israel. Mngekuwa na umoja na uthubutu, mngekuwa mlishaishikisha adabu Israel muda mrefu sana na leo hii asingekuwa na kiburi namna hiyo. Mnashindwaje kuungana Nchi zote za Kiarabu mkafanya jambo moja tu ambalo Israel haitakuja kurudia tena kuwachezeeni.
@josephemmanuel388
@josephemmanuel388 6 ай бұрын
Mmalekani yupo hapo
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 6 ай бұрын
Waarabu wanatafuna mirungi tu ,Irani sio waarabu ukae ukijua wapo karibu na wahindi zaidi
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 6 ай бұрын
​@@mamlomamlo9064kwani iran hata asipokuwa mwarabu ana nini sasa
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 6 ай бұрын
Kweli kabisa watu wa magharibi wanazingia sana
@lucksonsikaona505
@lucksonsikaona505 6 күн бұрын
Marekani hawezi kupigwa na hakuna nchi ya kuipiga marekani na Israeli muishi Kwa kupiga ramuli ndicho munacho fanya waarabu weusi wa tanzania
@natual7572
@natual7572 6 ай бұрын
Jambo la kujua ni kwamba mmarekan na mzayun wanalazimisha vita kubwa dunian kitu ambacho marekan hatobakia salam lazima apigwe kwake
@HanafiZayumba
@HanafiZayumba 6 ай бұрын
Marekani na shina lake alilo liweka kimi chongo kwenye arizi za watu lziraeli
@olivaerasto6669
@olivaerasto6669 6 ай бұрын
Israeli taifa la Mungu.ni mbonyi ya Mungu aliye hai.kira atakayejipendekeza lazima akipate cha moto.hata wangeungana dunia yote hawataiweza israeli kama unabisha we ni mbishi.
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 6 ай бұрын
Exactly
@Maajidabdillah
@Maajidabdillah 6 ай бұрын
Sahau vita haijaanza tu bado wanabip lkn kikianzishwa ao waisrael watasalitiwa mpaka na miti na mawe yatawafichua walipo
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 6 ай бұрын
Hawa ni mafisadi wa ulimwengu kila njia wanafanya
@bukuruyassini
@bukuruyassini 6 ай бұрын
Uyo wazili hawez pigan vita
@ibrahimmbilizi1726
@ibrahimmbilizi1726 6 ай бұрын
Ongezwe myaka 300
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 6 ай бұрын
Busara inahitajika unapoongea.jiulize na ujijibu.siku waarabu wakiungana kwa kumchangia Israeli,na marekani,na washirika wake wataungana kuwakabili waarabu.ujue dunia hii tupo salama kwa sababu dunia wakiwemo waarabu tunaisaka sana amani.usifikiri kuwa waarabu hawajui hii dunia kuwa ikoje.wanajua sana ndiyo maana tuko salama.hakuna nchi isiyokuwa na mshirika wake,kwa hiyo busara zinahitajika sana ili amani iendelee kuwepo duniani.
@mombasa0076
@mombasa0076 6 ай бұрын
KAGAME PUMZIKA UWAPISHE WENGINE WAENDESHE NCHI
@Worldunite
@Worldunite 6 ай бұрын
Kargame akiachia tu madaraka Rwanda, wataanza kuuana
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 6 ай бұрын
Walishaungana nchi 6 apo kitambo lakn israel ikawatandika kichapo ile laana
@mustafamasudi8093
@mustafamasudi8093 6 ай бұрын
Hamas mpaka leo anawanyoosha poor Israel😅😅
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 6 ай бұрын
Vipi kuhusu HAMAS imepita miezi mingapi??? Acha kukalili Dunia imebadilika pia KUMBUKA Izrael haiwezi kuingia vitani bila Mmarecan punguza kukalili
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 6 ай бұрын
Sasa ww Kagame unawalaumu magharibi wkt ww mwenyewe saiv wanakuambia uhifadhi wanaoomba hifadhi Uingereza !
@zaburishedrack2906
@zaburishedrack2906 6 ай бұрын
Hivi hii Israel ndio ile tunayoisoma kwenye vitabu vya dini au ni nyingine? Kama ni ile kwakweli imeshaasi tayari
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani 6 ай бұрын
Ndio iyo izraeli ni mayaudi
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 6 ай бұрын
Hakuna nchi yeyote itakayo weza kuipiga israel ,haya hao hezbolla wako wapi hadi leo hii
@josephath5446
@josephath5446 6 ай бұрын
Mchi za mangalibi zinaona mrusi na mchina Anataka kuingia nandiomaana wanaongea sanaa
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 6 ай бұрын
Halafu mchokozi ni mwaarabu ndiye aliyeanzisha mashambulizi.sisi Kama dunia tujizue kunyoosheana vidole na tujitahidi kuisaka amani kwa nguvu zote
@kudrasogoti3796
@kudrasogoti3796 6 ай бұрын
Mamae jibu la iran lita wapa funzo Israeli
@hassansingano1150
@hassansingano1150 6 ай бұрын
Israel ni adui wa dunia
@joshuamutambuki6643
@joshuamutambuki6643 6 ай бұрын
Israeli iko sawa kabisa
@joshuamutambuki6643
@joshuamutambuki6643 6 ай бұрын
Iran in adui mkubwa wa israel,makamada wote tutaweka chini.
@binseif2216
@binseif2216 6 ай бұрын
@@joshuamutambuki6643😂Kafiri wewe wapo kama wewe walikwepo lkn alhamdulillah wameijua haki nawamesilimu
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS 6 ай бұрын
Israel ushoga na usagaji ndio starehe yao kuu
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 6 ай бұрын
Israel ni adui kwa lipi kwenye dunia?
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 6 ай бұрын
Rais wa rwanda p kagame nipepo, mwili ni binadamu roho Nilipepo
@Jurbeg
@Jurbeg 6 ай бұрын
Lina wauwa wa Congo etii 😢🇹🇿
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 6 ай бұрын
Km hamasa wasingeanzisha hy yangefikia hivi
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Walivyokuwa wanauwawa miaka yote 75 hamkuona mmeona walivyojibu October 7 😢😢😢😢😢
@asmaalghafri449
@asmaalghafri449 6 ай бұрын
Vitabu hivyo mnavyosoma vimeandikwa na wenyewe nyie mlikuwa bado wajinga na hamuoni kuwa vitabu vya dini ya kikiristo mengi yamebadilishwa kisiasa na bado
@emanuelnjalakila4693
@emanuelnjalakila4693 6 ай бұрын
Bora ujinga wa mzungu unamaslah kuliko upumbavu wa waarabu unaambilia kanzu tu na majungu
@SaimonKefa
@SaimonKefa 6 ай бұрын
Israel ni moto ulao, sikia ndugu hii dunia mungu asipo kuwa upande wako utakuwa mtu wakuonewa siku zote, israel wako na msaada kutoka juu ndiyo maana wote wenye nguvu dunia hii wapo upande wao! Wapalestina ni matokeo ya nguvu hasi ya kiroho. hata hata waarabu wote waungane hawamuwezi mwisrael yatakuwa kama yale yavita vya siku sita.
How Israel Eliminated Yahya Sinwar#israel #yahyasinwar
9:37
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 7 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 30 МЛН
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 7 МЛН