HALIMA MDEE AWAKA KUKAMATWA KWA VIONGOZI CHADEMA/LISSU,MNYIKA,SUGU

  Рет қаралды 23,841

BONGO 24 NEWS

BONGO 24 NEWS

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 29 күн бұрын
Mnataka kujifanya kama wakenya wakati mupo Tanzania
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 29 күн бұрын
Hongera kama.
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 29 күн бұрын
Nawapongeza polisi kwa kazi zurimliofanya kwani lisu katumwa kutuharibia nchi na huyu mwamakula nae akamatwe
@nanubob1969
@nanubob1969 29 күн бұрын
sio eti ni 'et al' ikimaanisha na wenzake!!!! elimu haina mwisho!!
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Kumamayo na msigwa
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Ай бұрын
Wangemwacha Lisu tu
@jumannentimizi9000
@jumannentimizi9000 Ай бұрын
Kuna wazee wahunii moja wapo ni huyu pumbaaaaaa
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh Ай бұрын
Msigwa hafaa i msiwe kama samaki maneno ya amani karume mimi ccm lakini jambo hili silipendi mamuruki hawafaai inamana anataka kitu
@yasinkaunda1552
@yasinkaunda1552 26 күн бұрын
Jambo la kujiuliza mboana hawakupigwa kwenye maandamano yao yote nchi nzima kwann leo? Wa Tz hawa chadema sio wazur kwenye nchii hii siku moja mtaona uchafu wao
@josephatmhamiji4886
@josephatmhamiji4886 Ай бұрын
njaa inasumbua viongozi wetu tendeni haki rushwa niadui wahaki
@erickmsigala138
@erickmsigala138 Ай бұрын
Wewe mzee ni mjinga sana hizo pesa zako za kichawi zinakutumukisha kununua wanachama wapumbavu kama Msigwa
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
Been between on police costod tanzania opposition is iligle abiusing power and ccm leadership this has to be condem by tanzania umanrity inside tanzania and lntanationol community around the world
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 Ай бұрын
Mtangazaji na wewe unazingua kubana sauti kama jike shupa vipi?
@user-jg6hm9cr9t
@user-jg6hm9cr9t Ай бұрын
Aaaaaa mambo gani haya
@burtonmhenga9196
@burtonmhenga9196 Ай бұрын
Heee!
@norahfrank
@norahfrank Ай бұрын
Kwa kweli polisi mnafanyaje ktk nchi hii.yaani vyama vingine havina haki zaidi ya chama tawala??? Mtawaweka wananchi ktk shida na kusababisha chuki.haya tuone
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Ай бұрын
Nchi kuna wasenge, wanaiona Tz ni yao, kufanyia unyama wanaChadema ni upofu na unyoko wa mama zao.
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 Ай бұрын
Hivi nchi inaenda wapi
@EliaHiluka
@EliaHiluka Ай бұрын
Ni maoni yangu kwamba ifikie mahali Sasa uonevu wa jeshi la police hususani mkoa wa mbeya dhidi ya wananchi hususani kwa cdm ufike mwisho kwani wanachofanyiwa cdm ni muhimu kufahamu tukio Hilo linagusa zaidi ya watanzania milioni 45 ambao haturidhishwi na vitendo vya uonevu huo
@reubenmhagama8164
@reubenmhagama8164 Ай бұрын
Muwaachie hao jamani mbona hawana silaha
@fauzseif7344
@fauzseif7344 Ай бұрын
Wapumbavu hao hii sio familia yao hii ni nchi inatawaliwa kisheria sio lila mtu analo taka kufanya waachiwe tu hakuna nchi yanamna hiyo
@user-pp1cq9op5y
@user-pp1cq9op5y 29 күн бұрын
Mama yako ndiyo mpumbavu
@AbrahamJacob-i7o
@AbrahamJacob-i7o Ай бұрын
Kweli nchi yetu ni ya kidemocrasia kweli?
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o Ай бұрын
Samia samia samia ipo siku utajuta
@EliaHiluka
@EliaHiluka Ай бұрын
Fujo ipo
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Ай бұрын
Viongozi KKKT, Roman, ingilieni kati hili suala la Lisu
@hamidkololeki5009
@hamidkololeki5009 Ай бұрын
Wao n kina nan?wapigwe tu kama wanavunja sheria
@josephatmhamiji4886
@josephatmhamiji4886 Ай бұрын
Tz viongozi tendeni haki acheni kujigeuza miungu watu acheni kuipoteza amani
@JosephatJoseph-eo8xj
@JosephatJoseph-eo8xj Ай бұрын
Kama wamempiga lisu tukiwashe
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o Ай бұрын
Kidumu chama chawahuni ccm acheni kunyanyasa chadema na lissu wasenge sana samia utajuta one day
@MkudeSimba-fg1sf
@MkudeSimba-fg1sf Ай бұрын
Makofi siku moja mtalia chekeni tu
@user-nq6sk4vz5e
@user-nq6sk4vz5e Ай бұрын
Ila cku jeshi likias mtajut matumizi mabovu yavyombo vyadoro kwani cyokwamba asikal wote wanapenda matendo maov
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Tutafika mnapoyupeleka ccm kitaeleweka tu tunaumia sana
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Ай бұрын
Shida ni kwamba wanataka kupeleka fujo jijini mbeya
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 56 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 7 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН