Tap to unmute

HUYU MZEE NI BALAA! AMLIPUA RAIS SAMIA BILA WOGA, "ANANG'ANG'ANIA UFISADI"

  Рет қаралды 413,201

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 1 100
@AsanteNsamba
@AsanteNsamba Жыл бұрын
Mmmmhh tanzania tungekuwaa iviii ingee kuwa safiii saniiiiiii alieee muelewaa mzeee anipee like zanguuuu
@kassimsaid1723
@kassimsaid1723 11 ай бұрын
Chongesheni chengine icho kiti mbao zipo nyingi tu😢😮
@rayyahinay-hp7jf
@rayyahinay-hp7jf 10 ай бұрын
Mwehu tu, huyo anatafuta kura huyo!!!
@rayyahinay-hp7jf
@rayyahinay-hp7jf 10 ай бұрын
Kweli huyo achongeshe kiti cha chuma anachosema hakieleweki!!! Anafikiri urais mchezo???
@ZubedaOmary-h9m
@ZubedaOmary-h9m 8 ай бұрын
Kabisaa ajakoseaa mzeee❤❤❤
@EleteliusTegete
@EleteliusTegete 4 ай бұрын
@ShukuruShaban
@ShukuruShaban 11 ай бұрын
Mzee wangu Mungu akupe maisha marefu uendelee kututetea yaan mpaka nimetokwa na machozi ya furaha❤❤
@mahammadanhag4445
@mahammadanhag4445 11 ай бұрын
Acha umbeya ww mambo ya kike ayo
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 5 ай бұрын
❤❤❤
@nasrymohammedy1363
@nasrymohammedy1363 3 ай бұрын
Huyu mzee fala kweli
@IreneLyney
@IreneLyney 3 ай бұрын
Amina mungu akulinde
@IreneLyney
@IreneLyney 3 ай бұрын
​nasrymohammedy1363lazim utasem ni fara kwakuwa unaunga mbon mambo ya hovyo
@AllyKarambo
@AllyKarambo 4 ай бұрын
Mzee mwenyezi mungu akulinde akupe maishamalefu na uzidi kututetea wana tanzania
@halimamremi5375
@halimamremi5375 Жыл бұрын
SEMAA BABA SEMAAA AFADHALI MUSEME UKWELI NYIE WAZEE MNALIONA HILOO MUNGU TUSAIDIEEE JAMANII!!!!
@alfrediaugustino1026
@alfrediaugustino1026 Жыл бұрын
Yaan Zanzibari mmenyooka Sana muko vizuri Sana .
@RehemaMagoire
@RehemaMagoire 3 ай бұрын
Mnoooo
@AgnessStephen-jm6ix
@AgnessStephen-jm6ix 3 ай бұрын
❤❤ongeeza Sauti haja sikia.
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын
Huyu mzee ndie maalim seif alie bakia daahhhh wanyonge maisha hatunufaiki sababu ni uongozi kauli mbiu daima . Ila mungu . Yuko
@modrikabdallah
@modrikabdallah 8 ай бұрын
2memchoka wa tanzania wote naa wala habadiliki uyo samia nimwizi2 kwenye taifa le2❤
@ZainabuMwambashi
@ZainabuMwambashi Жыл бұрын
Mungu akulinde baba huja taka kuwa mnafiki SEMA baba
@MkeroMkero
@MkeroMkero 10 ай бұрын
❤❤❤nakupenda sanaa mzeee wambie haooo nakukubali sanaaa
@HurumaeldaudMakala
@HurumaeldaudMakala 3 ай бұрын
Safi baba unao gea ukweli mtupu,,, tupo pamoja sana....❤❤❤
@BarnabaJerome
@BarnabaJerome Жыл бұрын
Asante baba
@JoyceSaulo-m4b
@JoyceSaulo-m4b 9 ай бұрын
Safi sanaaaa Asante pepo hilooo!!!!
@steveJkaaya-qt1ih
@steveJkaaya-qt1ih 11 ай бұрын
respect dah sema mzeee wang b mkubwa anafel sana atumuelewi
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 Жыл бұрын
Huyu mzee anajielewa tumuunge mkono😊
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Hajielewi CHIZI tu
@AgnessKabamanywa-sd2dw
@AgnessKabamanywa-sd2dw Жыл бұрын
Sawa mzeee
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh Жыл бұрын
@@karimkassam571 musilete mambo ya dini apa samia ameshindwa ajiuzulu!
@frankcharles3980
@frankcharles3980 11 ай бұрын
​@@karimkassam571WEWE KICHWA HASARA NDO CHIZI MZEE YUPO SAWA KABISA
@azizauwase9207
@azizauwase9207 11 ай бұрын
Mzee enasema kweli.dini na politic ni vitu viwili viko opposit.kumbuka ukoo wako mama samia tena usitie ubaguzi kwa wanainchi juu uta fail
@lovenessfrancis5547
@lovenessfrancis5547 Жыл бұрын
Huyu mzee apewe maua yake 🌹🌹🌹mungu akutunze
@salomeshongola1697
@salomeshongola1697 Жыл бұрын
❤❤🎉🎉
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 10 ай бұрын
Wewe KAMPE
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 10 ай бұрын
Asante mnooooo
@AllySule-mh4xp
@AllySule-mh4xp 9 ай бұрын
True
@AnthonyKibona-e5b
@AnthonyKibona-e5b 4 ай бұрын
Point sana mzee
@SudyMkele
@SudyMkele Жыл бұрын
Tungekuwa na wazee hawa nchi hii ingenyoka,tungeheshimiana,ingefika mbali sana bigup sana mzee wangu
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Mzee mnafiki
@hadimznz
@hadimznz Жыл бұрын
Huyu, Mzee mgonjwa sana. hajui nafasi ya Rais wa Tanzania, anazungumza kwenye mkutano wa siasa kama kijiwe cha siasa
@hadimznz
@hadimznz Жыл бұрын
Kijiwe cha kahawa
@hadimznz
@hadimznz Жыл бұрын
😂😂😂😂wazee wachadema hatukubali tena kuolewa,eeeeeh aaaa kuonewa. ashapiga shishi huyo.
@isayashayo4777
@isayashayo4777 Жыл бұрын
Nimependa apo tumeshindwa kuthibiti wiz wa bandari apo apo unaweza kujiuzulu maana hiyo ni falier
@NurdinNgereza
@NurdinNgereza Жыл бұрын
eee leo kapata chamoto asante sana mzee mungu akubariki
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 Жыл бұрын
Uko sahihi kabisa huyu mama ni binafisi
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 7 ай бұрын
Mzee Mungu akubariki pia Akupe Maisha Marefu Amen
@Erasto.LuhazaEmakulataerastolu
@Erasto.LuhazaEmakulataerastolu Жыл бұрын
Hongera kwa kututetea wanyonge watanzani.
@chizabuganilo3203
@chizabuganilo3203 3 ай бұрын
HAJATETEA WATANZANIA KATETEA ZANZIBAR NA UDINI BASI
@MwajuKhamisi
@MwajuKhamisi Жыл бұрын
Huna dhambi ya unafiki mzee wangu
@corrolesscps
@corrolesscps 9 ай бұрын
Tumemchokaaaa, haendeee zakeee
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 5 ай бұрын
@@MwajuKhamisi kweli tumechoka kwann mwaka 2025unakawaia kufika tupige kula Sasa huyu mmmm shida 2u
@FatihiyaYakub
@FatihiyaYakub 5 ай бұрын
Potelea mbali liwalo na liwe mzee umeongea point Sana uiiiiiiiii
@Jok_tronics
@Jok_tronics 8 ай бұрын
Umetishaaaa sna sna Tajir Mungu akupe maisha marefu unafikii ni dhambi kubwa na ww umeikna
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn Жыл бұрын
Sikutegemea madini kama haya kutoka Z'bar! Ila mzee mwenzangu ingefaa uje bara utoe madini kama hayo kwani bara bado kuna watu hawajitambui! Kumbe mama yetu ameongeza deni la taifa kutoka trilioni 60 hadi trilioni 90! Balaa!
@Salmakikuli
@Salmakikuli 10 ай бұрын
Kasema kweli kabisa ila kuja bara unamdanganya atasombwa
@AllyselemanShija
@AllyselemanShija 9 ай бұрын
Mzee kama. We ni msema kweli tutajie na mazuri yake kwakua umeeleza matakwa yako sio ukweli wako hakuna raisi alietoa ajira nyingi kama mama samia kumbe unataka uongozi wa chama chako hapo mzee umegonga mwamba ccm ni ile ile oooni ileileeee
@errydeo8865
@errydeo8865 4 ай бұрын
Wazanzibari huwa wana msimamo kuliko watanganyika! Ndo maana uliona kulikuwepo machafuko kule! Msimamo! Ndo ninachowapendea! Naishi Uingereza,HUWEZI kumsikia Mzanzibari akijiita MTANZANIA! Na huwezi kumuona MTANGANYIKA!
@VeronicaMbena
@VeronicaMbena 3 ай бұрын
Huna baya baba
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 11 ай бұрын
Mzee hongera sana. Mwenyezi Mungu akubariki. Tunakushukuru sana tena sana.
@nasaelmanya1850
@nasaelmanya1850 Жыл бұрын
Kweli, Hana lolote huyu mama, Tunataka katiba mpya, Okoa bandari yetu...
@abedymtore2707
@abedymtore2707 Жыл бұрын
Bandary zetu
@corrolesscps
@corrolesscps 9 ай бұрын
Hongera Sema usikike, Mwambie huyoo Mama
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe 5 ай бұрын
Huyu mama jamani mama gani Hana hata huruma kwa watanzania Hakika Umeme ambra ukweli Bandari zetu ziko wapi Misitu yetu Ardhi yetu Madini vyote unagawia wageni humwogopi hata Mungu jamani
@JamesOlsereti-p7d
@JamesOlsereti-p7d 5 ай бұрын
Safi sana mbe ukweli❤❤❤❤❤
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 4 ай бұрын
Sana
@andrewdirangw8754
@andrewdirangw8754 10 ай бұрын
Thats good freedom of speech
@gloryenock9473
@gloryenock9473 8 ай бұрын
Yaani zanzibari ni sehemu nzuri sana baadaye itakuwa ni tajili sana Mungu ataiinua sana hiyo Zanzibari watakuwa matajiri mno
@abdallamasoud7734
@abdallamasoud7734 Жыл бұрын
😂😂😂 Dah watu wamechoka sana maisha yamekua magumu sana kwa kweli uchumi umezidi kushuka kwa kweli..
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
ana angalia kwao na siyo hapa na akuna mwenye imani na yeye
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
amina amina amina ata engejenga bara bara ya kioo
@JamesJasson-dg8lf
@JamesJasson-dg8lf Жыл бұрын
Axante mzee wangu.
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 11 ай бұрын
Kweli mama Sikia ujumbe huu,
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 Жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU AKULINDE NA HILA ZA CCM BABA YETU.🙏🙏🙏
@muznamohammed1366
@muznamohammed1366 10 ай бұрын
Aaamin
@IreneJohn-l8j
@IreneJohn-l8j Жыл бұрын
Huyu mzee awekewe ulinzi mkali🙏🙏
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Жыл бұрын
Acha umbea....
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 Жыл бұрын
@@aliyageorge6794 Mmbeya Mwenyewe.
@asifreds8787
@asifreds8787 Жыл бұрын
huyo chadema hizo ni siasa
@AgnessKabamanywa-sd2dw
@AgnessKabamanywa-sd2dw Жыл бұрын
Hulu mbinafsi wa hatari
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 11 ай бұрын
Ulinzi anao mwenyewe M'mungu
@philiplenardsylvester6063
@philiplenardsylvester6063 Жыл бұрын
Hongera sanaaa Mzee mungu akulinde
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 10 ай бұрын
Asante Sana kwa kutusemea.... Uchawa unaharibu nchi maana hakuna uwajibikaji na waliopo madarakani ni machawa wasio na weledi wa wizara au taasisi wanazopeana...😢
@Yussuph-r2c
@Yussuph-r2c Жыл бұрын
Uhiii ukweli mtupu, ,hongera mh Hashim
@husseinkiondo7439
@husseinkiondo7439 11 ай бұрын
Nimekupenda sana
@mwenem8130
@mwenem8130 Жыл бұрын
Hata huku TANGANYIKA Hafai, unafiki na ubinafsi ndio mkubwa
@AlvanEdwine-ih4vy
@AlvanEdwine-ih4vy 10 ай бұрын
Lakini akifariki leo,mtamsifu yaan wanadamu hata ungewapa fedha bado watakuraum,mama samia chapa kazi mm nakukubali na pia naziona kazi zako😘😘
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 10 ай бұрын
Binadamu Hawaridhiki na wa Hawatosheki, mpaka mwanandani haumtoshi binaadam, point umenena nakupa maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉
@CharlesMwanakatwe
@CharlesMwanakatwe 10 ай бұрын
Msenge wewe
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 10 ай бұрын
@@CharlesMwanakatwe Hivi mtu akitoa maoni yake anakuwa Msenge? Sasa wewe tukuiteje?
@AlvanEdwine-ih4vy
@AlvanEdwine-ih4vy 10 ай бұрын
@@CharlesMwanakatwe ukiokoka Mungu ataondoa matusi ya kila namna kinywani mwako kaka
@AlvanEdwine-ih4vy
@AlvanEdwine-ih4vy 10 ай бұрын
@@CharlesMwanakatwe ivo ulivo ukifa unakwenda jehanum ya moto,ningekusihi ungeokoka ukampendeza Mungu kaka
@flaxbeatman
@flaxbeatman 4 ай бұрын
Asante baba mungu akuzidishie
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Жыл бұрын
Hongera sana mzee wangu.serikali tatu ndio chaguo la watanzania.Mama samia Rais wangu mpendwa wakati ndio huu wa kuweka historia ya kuruhusu katiba mpya yenye serikali tatu ili zanzibar na Tanganyika zipate mamlaka kamili na ziwe huru.Mfumo wa serikali mbili unainyonya sana zanzibar.
@johaiventimothy6583
@johaiventimothy6583 9 ай бұрын
Unainyonyaje Zanzibar em nifafanulie ili nielewe kidogo
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 5 ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz ety fafanya tuelewe au nawe ni WA huko ndo maan unatetea
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 5 ай бұрын
@@MerlinaKubadesha basi sawa hawainyonyi ,tunataka serikali tatu
@MohdOmar-v6h
@MohdOmar-v6h 4 ай бұрын
Njoo malindi tukufafanulie kuhusu serikali tatu utarudi kwenu umefahamu vizur tu
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 4 ай бұрын
@@MohdOmar-v6h malind ndo nchi gan au mkoa gan au mtaa gan😲😲😲😲🙆🙆
@mohamedkigwehe3561
@mohamedkigwehe3561 Жыл бұрын
Mama Samia badilika mama asahivi watu tumechoka au mnataka mpaka tutoane damu?😢😢
@SamsonMaimu-v1y
@SamsonMaimu-v1y 4 ай бұрын
❤hii ht Mimi nimekuelewa shida ni Moja ktk nchi hii ukweli huwa hatuukubali
@zabronjonathan2264
@zabronjonathan2264 Жыл бұрын
Kweli Watanzania tunataka katiba mpya.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Жыл бұрын
Hongera sana msemaji kwa sababu unaongea haki kabisa kwa sababu CCM hawana lo lote bali unafiki mtupu. Huyu samia analea wala rushwa na wezi mtupu. Na huyu mama naye ni mwizi kwa sababu analea wezi watupu na ndiyo wanampamba. Wanao mpamba wezi ni Samia
@oswardnshoki1000
@oswardnshoki1000 11 ай бұрын
Kuwa na SERIKALI tatu ni muhim sana hata mim huwa nafikiria hilo mara kwa mara
@dottondege8869
@dottondege8869 Жыл бұрын
uko sawa kamanda watanzania tunataka katiba
@lanezboy7016
@lanezboy7016 10 ай бұрын
Safi sana tunataka watu kama hawa wenye kusema ukwer
@aminielngungati1487
@aminielngungati1487 10 ай бұрын
This is revolution Watanzania tuamke Sasa tunahutaji mabadiliko
@AirtelWakala
@AirtelWakala Жыл бұрын
Your so clever keep itup
@tajirilmole3092
@tajirilmole3092 11 ай бұрын
Asante sana baba kweli kabisa hali mbaya samia cjui kama ana watoto
@ismaeliZakayo
@ismaeliZakayo 10 ай бұрын
Ongera mzee tungepata wazee 1000 kama wewe nchi ingenyooka vizuri , Mungu akulinde ,akutunze ,mwombe Mungu sana sana, na uwe makini sana
@alexmosha9979
@alexmosha9979 Жыл бұрын
Kweli watu wamechoka
@AgreyAmon
@AgreyAmon 4 ай бұрын
True father kweli
@felixsanga
@felixsanga Жыл бұрын
Kila jambo ni "Wakati"A right word spoken in a right time is an "Apple in the golden Plate!Speak Loudly,Makeloud!Parles,parle,Sololar bien!Merci beau coup!
@JosephinaMaganga-b3b
@JosephinaMaganga-b3b 5 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu undelete kutetea tanzania
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Mzee watu wa aina yako ni wapenzi wa mwenyezi Mungu, utaiona pepo ingawa wanadamu wenye laana watakuchukia. Neno lolote atakalokuja nalo kwenye press na vikosi kazi vyake kuchelewesha katiba ni kinyume cha haki. Wananchi tusikubaliane na ushauri Bali tushauriane wote namna ya kupata katiba sasa.
@user-ru9sh9ob4j
@user-ru9sh9ob4j Жыл бұрын
1😊
@SheeMwakuyumba
@SheeMwakuyumba 4 ай бұрын
Huu ndio uzalendo tusiwe wanafiki tuyaeke wazi yanatukereketa..ongera sana mzee wngu mungu Yuko pamoja nawe
@EmmanuelMakyao-er2nl
@EmmanuelMakyao-er2nl Жыл бұрын
Akili hii .na ujasiri huu ni wakipekee sana Mungu akubariki sana
@AgreyAmon
@AgreyAmon 4 ай бұрын
True father ham kweli kweli
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 Жыл бұрын
Huyu ni mzalendo haswa
@CafeJohn-n9o
@CafeJohn-n9o 6 ай бұрын
Arusha wambiye migambo waache kutukimbiza sisi mama mbonga watuache usiku tufanye kazi nje mwenyezi mungu atusaidiye sana mama mbonga
@khelefsalum3803
@khelefsalum3803 Жыл бұрын
Maneno mazuri sana yanataja kufanyiwa kazi
@AllyKarambo
@AllyKarambo 4 ай бұрын
Allah akulinde mzee wangu
@vickytorry100
@vickytorry100 Жыл бұрын
Wewe ndio Waziri wa baadae !!! Respect sana
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Kunaanzishwa Wizara ya vichaa.
@vickytorry100
@vickytorry100 Жыл бұрын
@@hajihassan5433 Si hao vichaa wa family yako na wewe mwenyewe🤣
@OmAn-we8ly
@OmAn-we8ly 3 ай бұрын
Mungu akulinde mzee wag❤❤😊
@solutionprovider7155
@solutionprovider7155 Жыл бұрын
Kumbe tuko wengi,rais hana faida hata kidogo,ila Yeye na familia yake na wapambe wake tu ndio wanafaidi ila Mungu yupo
@TeamKRX
@TeamKRX 11 ай бұрын
Nasikia msago
@KhadijaTaghalibu
@KhadijaTaghalibu 4 ай бұрын
Hatari sana
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Wote hawana Imani na Wazanzibar lakini na Wazanzibar wenyewe pia hawajipendi maana wana unafiki Allaah atuhifadhi
@bokasa5150
@bokasa5150 Жыл бұрын
Facts100%
@LadoIdris
@LadoIdris 9 ай бұрын
Yote unayosem n kwel
@francolyasatowapili9389
@francolyasatowapili9389 4 ай бұрын
Safi sanaaa nimeipenda tanzania tukiwa hivi tutatoboa
@adampetermakombe5654
@adampetermakombe5654 Жыл бұрын
Namuelewa Sana huyu muzeeee😂😅
@SaganaMakori
@SaganaMakori 3 ай бұрын
Hongera sana Mzee mzima
@charlesassey5642
@charlesassey5642 11 ай бұрын
Safi sana watu kama hawa nawapenda sana hakuna kumuogopa mtu , wakimwaga mboga unamwaga ugali wote mnalala na njaa
@AbubakaryMohamedy
@AbubakaryMohamedy 11 ай бұрын
Really my brother msema kwel nimpenz wamungu mungu akusimamie san
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 6 ай бұрын
Kabisa mungu amulinde Kwan Kila siku Dr zanzimbar no mwanza or Arusha ahahahaaaaa
@msabahaali758
@msabahaali758 Жыл бұрын
wazanzibari tunahitaji katiba mpya bila hivyo samia hujaisaidia Zanzibar
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Жыл бұрын
Tena zanzibar ipate mamlaka kamili.
@MethodJacob
@MethodJacob Ай бұрын
We mzee akili,yako sio
@seiftaji7838
@seiftaji7838 Жыл бұрын
safi sana dawa imemuingia samia hana hofu ya mungu
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 Жыл бұрын
😂😂 kama vile wewe unahofu yaani kwanini mkishiba hamchukui jembe mkalime na mvua nyingi jamaani uongozi sio lelemama ebu jiangalie wee umeifanyia nn familia yako yaani mambo yote Aya yanayofanyika kila Kona yaani mnataka mnambie amuoni mkiwa mnasafiri mbona mambo yanakwenda au ukiwa na chuki huwezi ona mazuri ya mtu Niwaambie tu kama mmeamua kumkataa bila sababu kataeni kwa mapenzi yenu lkn mama anachapa kazi
@JoyceSaulo-m4b
@JoyceSaulo-m4b 8 ай бұрын
Asante baba❤
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Жыл бұрын
Sema Babaaaaaaaaa 😂
@FransiskaJohn-fq1nf
@FransiskaJohn-fq1nf 3 ай бұрын
Mungu akuweke na kukulinda mzee❤
@JuniorMrema-k9f
@JuniorMrema-k9f 11 ай бұрын
Ubarikiwe baba🎉❤
@SamsonBarazingiza
@SamsonBarazingiza Жыл бұрын
Tamu sana
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 Жыл бұрын
Huyu Mzee alikua kajificha wapi??!!
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail 10 ай бұрын
😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏
@MjumbeMwema
@MjumbeMwema 5 ай бұрын
Hakujificha ndugu yangu, bali alikuwa chaka Tuition anapata darasa, sasa kahitim, ndo kaja sasa!😂😂🔥✌️😂!
@moxasaidi3398
@moxasaidi3398 4 ай бұрын
😂
@EvaKalukwa
@EvaKalukwa 5 ай бұрын
Vzr mzeee mungu akup MAISHA malefu
@heliudjulias7748
@heliudjulias7748 Жыл бұрын
Huu ndio ukweri ata uku mtaani akubariki wara hatu muerewi cjui ana ongoza vitu gan ni panga pangua arafu mafisadi ndio rafiki zake nape mwigulu na januali makamba hata wana wake wenzie huku mtaani hawa mpendi kama kufa
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤safi kabisa
@GeofreyElenzian
@GeofreyElenzian Жыл бұрын
Mhm!! Rudi tu kuwasaidia WENZAKO Watanganyika MBONA tunajiwsza
@ThomasMbwiga
@ThomasMbwiga 5 ай бұрын
Hongera sana mzee Mungu akulinde na akusimamie
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 4 ай бұрын
Ameen
@MohdSuleiman-fw2un
@MohdSuleiman-fw2un Жыл бұрын
Nikwel kabisaaaaaa mzeee
@mariamjoseph5555
@mariamjoseph5555 4 ай бұрын
Respect mzee
@NurdinNgereza
@NurdinNgereza Жыл бұрын
afadhali umesema mzee wangu hata hafai kuitwa mama huyo ni mhuni tu wakawaida
@TeamKRX
@TeamKRX 11 ай бұрын
Muhuni nasikia pombe msago ndio zako
@danielaudax6755
@danielaudax6755 10 ай бұрын
uko sawa kabisa
@josephbernadnajiunganisham453
@josephbernadnajiunganisham453 Жыл бұрын
mzee nimekupenda bre ww ndo mtu wamungu kabisa
@gamalielialoni5538
@gamalielialoni5538 3 ай бұрын
N kweli kabisa
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 Жыл бұрын
Mnyonge mnyongeni hakiyake mpeni, mama samia tangu ameingia madarakani kapambanapakubwa sana kuihusu zanzibar amehakikisha kero za muungano zimepunguzwa pakubwa kuliko wakatiwowote acha chokochoko
@zuhurahamis-d8r
@zuhurahamis-d8r Ай бұрын
Wewe ni liccm huoni hata Hali ngumu
@NelsonMerick
@NelsonMerick 4 ай бұрын
Safi sana hii
@charlesbarongo2778
@charlesbarongo2778 Жыл бұрын
Amejitoa mzee wa watu
@selemanpaul2710
@selemanpaul2710 3 ай бұрын
Kwelii...... ❤❤
@bakaramourshaaban
@bakaramourshaaban Жыл бұрын
Wewe ukipewa unaweza ukakipatia icho kiti zanzibar au unaropokwa tuu
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 Жыл бұрын
Hujitambui anaweza mama yako
@mohamedyahya1677
@mohamedyahya1677 Жыл бұрын
​@@mbwanahasan2971sasa matusi ya nini?
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
TUTIKUHAKWO MACURU RINGI !!! | Apostle Ndura Waruinge | Bethel Clouds TV
37:55