Siasa ngumu mungu walinde viongozi wetu mungu lilinde taifa letu ameen
@TM-zs3rmАй бұрын
Inasikitisha sana. Mungu azidi kukulinda ndugu Tundu Lisu na wote Chadema mnaopitia haya. Amani ni kitu kimoja kikubwa sana. Haki jiletse amani. Mungu Yu nanyi nyote, wasiouona michango yenu , hekima zenu, uhodari na busara zenu hayuko Sawa. Nchi hii inawahitaji sana nyinyi. Wasiotaka kuliona hili ha wako kwa manufaa ya wananchi .
@isackmachiyanshoka67542 ай бұрын
Dah polen sana CHADEMA, haki haipo kabsa!.. sjui itakuwaje TU.
@GeraldistyFredrickАй бұрын
Sisi wazalendo ndo tunajua maumivu ya ii nchi lakin sis Kam vijana hatutaacha kusema ukweli Kama mnatuua tuueni tuu
@BakariAthumani-vs8lk2 ай бұрын
Polen sana mm naona siasa mzee lisu mngeacha tuu muwaachie ccm yao itawale milele
@Juma-e8l2 ай бұрын
Katiba ndo inaongoza nchi pia nchi ni kubwa kuliko ccm na katiba inaruhusu mfumo wa vyema ving multiparty system not Monoparty system. Ufaham ni mkubwa kuliko kujua kukoment
@verdianabanabi22052 ай бұрын
Itawale milele kwa vipi?
@GeraldMyuku2 ай бұрын
Anaetawala milelele ni Mungu
@AfricaQueen2 ай бұрын
@@GeraldMyuku 🤝🙌🙌🙌🙌🙌💯💯🧚🏿🧚🏾♂️🧚🏿❤️
@immamunisi13122 ай бұрын
Hawa mapolisi wanatumika vibaya one day yes
@AfricaQueen2 ай бұрын
@@immamunisi1312 Na ndio wamekuwa wabakaji Na waficha maovu mungu atawaona ma ccm 🫵🏾🗣️📢
@verdianabanabi22052 ай бұрын
Hiyo sahih
@AfricaQueen2 ай бұрын
🤝💯💯✊🏾✊🏾✊🏾✌️✌️✌️📢🗣️
@IssaMwakifwamba2 ай бұрын
Utafanyaje sasa
@bahiyalumelezy30162 ай бұрын
@@AfricaQueenvideo za kupatia pesa za wazungu tu hakuna lolote la maana wanafanya watz wajinga kila kukicha futuhi hkn jipya hapo.
@Danielmzungu-b4m2 ай бұрын
Pole Sana kiiongos lissu
@zedyabdulrwabilingo90422 ай бұрын
Polen sana ndugu zetu
@ThomasMmary-r7w2 ай бұрын
We ndo RAISI wangu lisu 👊
@AfricaQueen2 ай бұрын
@@ThomasMmary-r7w ✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✌️✌️✌️✌️🗣️📢
@monicamwita78652 ай бұрын
Wa sisi wote
@pyelesyamwakatika5402 ай бұрын
Ila wanavyofanyiwa Sio vizuri Mungu hapendi jamani kumbuka cheo ni dhamana mbona wanaonekana hawanataka amani wangesikilizwa tu sio kuwafanyia vurugu nao si ni watanzania
@KijukuuMtemi2 ай бұрын
Ipo siku watu watachoka ila mungu baba tupe amani kwenye nchi yetu tz
@EvangelistJsolomonMkwata2 ай бұрын
Mungu awasaidie kwa mateso hayo au myaache mje tuhubiri injir
@kikoitv8282 ай бұрын
Hii ni zaidi ya Injili
@samwelnevele77962 ай бұрын
Jamaaa unasauti ya kishetani kwelikweli kama yalivyomambo yako ya kishetani la kuharibu taifa letu
@RayOmar-vk2nn2 ай бұрын
Living testimony ❤❤❤❤
@TitoRufizi-xb2ub2 ай бұрын
Acha sisi watanzania tunyanyaswe,maana sisi ni majinga na mabwege,angalieni majirani zetu wakenya wenye akili hadi Ruto kashika adabu
@@Clex-f5s umeona hii Nchi Na hao polisi wamegeuka wabakaji😭😭😭
@monicamwita78652 ай бұрын
Waulizwe polisi ndiyo kazi yao.
@wilsonandlea86142 ай бұрын
Daaah😭😭😭
@ambelemwakalobo33272 ай бұрын
Nyie mnapenda vurungu
@zahiruhamisi41622 ай бұрын
Inasikitisha sana kuona polis wanajihusisha na siasa😭
@salmahalfani86342 ай бұрын
Wanawaonea sana
@RDobeye2 ай бұрын
sasa ivi kila mwananch anaona uozo unaofanyika inch hii si poli si ccm wala police traffic kuchukua rushwa barabarani,elewen kuwa mwisho wetu utafika tu.
@verdianabanabi22052 ай бұрын
Ilionekana nchu hui haina uingozi.
@Fantsonmpango-uz3jw2 ай бұрын
Awadh anajikosha
@Prophetelian2 ай бұрын
Awadh Haji is typing....
@BarikiMlengu2 ай бұрын
Bado hujasemaaaa
@JosephNgonyani-lh9js2 ай бұрын
Daaaaa
@MagsKitundu-wb2wm2 ай бұрын
Lissu Acheni Kuivuruga nchi Mjue Hali ya Nchi kwa sasa ni kila mtu Afanye kazi sio maandamano ya kuisumbua nchi wananchi wanataka kufanya kazi msilaum police
@monicamwita78652 ай бұрын
@@MagsKitundu-wb2wm unajifahamu. Lisu wavuruga nchi kiburi? Wavuruga nchi hawajui, àcha uchawa.
@vicentbunzal7342Ай бұрын
Ccm ndo inaviruga nchi chadema ndo wanafaa waongoze hii nchi ili tuone nao uongozi wao unapotupeleka,maana ccm tumeahachoka nayo sana Kama ni nguo iliyovaliwa imevaliwa siku nyingi bila kufuliwa na imepauka inahitaji ipumuzishwe kwanza.
@EmilianaInyasi-m6b2 ай бұрын
CCM kufuatilia uovu AAA,ila kwenye unyanyasaji wako vizuri
@ZainabuHassani-fe8ur2 ай бұрын
Kazi iendelee
@damasnjojoli2 ай бұрын
Mungu ibariki Tz
@BoradaMbifile2 ай бұрын
Mungu atatenda twamwachia mungu
@Boyfromtanzania2 ай бұрын
😢😢😢😢 Tanzania yangu 🇹🇿 inaelekea wapi jamani.. Tunatiana aibu Sana tutaogopa kurudi bongo kwaajili ya haya mambo dah
@emiryfaida24372 ай бұрын
Mh pole
@hamzakimaro37642 ай бұрын
hampo juu ya sheria!!upinzani haimaanishi mtafanya mtakavyo!! Walinzi wa amani ni askari polisi!!tii sheria bila shuruti!!
@dignakanje45082 ай бұрын
Mungu arusaneheee Sana watanzania.Hivi vitu sio vyakushangilia Wala kuleta mzaa ,Bali nukuombea Tanzania yaraisi Samia suluhu mama ytu ioate uponyaji nahkma zakutukuka
@hashimmawazo55032 ай бұрын
Police nawasifu wanavyokula sahani moja na waalifuu
@godfreyaugustino38132 ай бұрын
Ukiwa na kichwa kikubwa kisichokuwa na akili ni mzigo mzito kwa miguu.
@RechoMzava-gt7so2 ай бұрын
@@godfreyaugustino3813kabisaaa mwambie huyo.mjinga hana akili huyo mpumbavu
@hashimmawazo55032 ай бұрын
Tatizo ni uchache wa elimu uliokuwa nao, kwanza Rudi shuleni ukaongeze elimu utanielewa tu.
@TomasiklistophaMwinuka2 ай бұрын
Makamanda wetu kwer ukombozi wanchi hii kazi tunayo kwerkwer kwenye mikono yahawa mabepari
@kilimoufugajipesatv57512 ай бұрын
Mumezidisha uvumilivu na nyie😢😢😢. Daaah
@AbdallahYanga2 ай бұрын
Nakupenda sana lisu nakushauri kiongozi wangu msapot mama mbona mama anatuongoza vizuri nchi imetulia mnatupeleka wapi !!
@fumotv79142 ай бұрын
Kama umekua shoga endelea kumpenda mama yko
@samsonsimon31382 ай бұрын
Kma unaona ww unakuongoza vizuri muite akulelee watoto wako nyumban
@justinsamwel49462 ай бұрын
Wewe ni kumaa nchi inaenda kimabavu wewe unasema tunaongonzwa vizur
@nwntz2 ай бұрын
Duh😢
@faustinebahenobi34122 ай бұрын
Usi sahau katiba mpya
@michaelhaule-fb2vs2 ай бұрын
MI NDIOMAANA CPENDI KUJIHUSISHA NA MAMBO YA VYAMA KABISA; ILA NAMPENDA "MAGU" R.I.P😭
@MarianaMshanga-d4u2 ай бұрын
Ipo siku
@mpologomaChristopher2 ай бұрын
Nilisha sema kuwa ni kazi kukiondoa madarakani hiki chama cha mafisadi, wauaji, wanyanyasaji, wapolaji, na wazandiki. Naomba msijate tamaa kukomboa nchi ni kazi kubwa sana.
@wisdomfolks2 ай бұрын
Wafanya biashara migomo kila siku vijana ajira hamna wanasiasa wanapigwa af kuna lijitu limetumwa kucomment ushuzi ila kwa kila mtu anayefanyaga ubaya kuna karoho kwa mbali kapo kanamkumbusha jifunze
@JacquelineMahumbeАй бұрын
Kweli ila hua naumia matanzania mengi majinga yanashabikia hata kwny huzuni sijui yemelelewa wapi
@MariamMangula2 ай бұрын
Wewe ulimsema vibaya sana magu, ila nilishaona shida ni kuwa siasa bado Tanzania hamko siliasi, mkipewa posho kidogo huwa hamuwajali maskini
@jaffaralimakame15332 ай бұрын
LISSU SITAKI HATA KUMSIKIA ANAMUONA MAMA SAMIA KAMA SIO MTU ANAMSEMA VIBAYA ANAVOJISIKIA, KWAMIMI NALIPIGWE KULIKO HIVYO NASHANGAA BADO LINAHEMA NA HALIHEMEI BUGANDO LIKIWA HOI.
@RazakAbarola2 ай бұрын
Sijui itakuwaje ikiwa utakuwa... Rais .......one day
@calvin64452 ай бұрын
Etii lisu walikusukumizia wapi😂😂😂😂😂😂 Sasa na huo mwili ulienea kweli??😂 Na wakati mnajiandaa mkeshaa kuichafua serikalii ikawaje bhanaa😂😂
@chusseboywcb28082 ай бұрын
Tatizo ww nikibaraka wa marekani kwahiyo mimi siwezi kukuerewa hata kidogo naukipita urais utaruhusu ushoga
@fumotv79142 ай бұрын
Kwamba ushoga sasa hv sio ruhusa kwan?
@ChoroTesla2 ай бұрын
Kaka nabid nkucheke sio kosa lako lakini good boy
@chusseboywcb28082 ай бұрын
@@ChoroTesla sio kosa langu litakua lako🙏💪
@mtakamatv2 ай бұрын
Ujinga tu,unaeleza kijana wewe ni kibaraka wa ccm? Na viongozi wako wa ccm ni vibaraka wa warabu! Wezi,mafisadi,si watenda haki,watoza Kodi kausha damu,wanajali zaidi matumbo Yao ndio maana wako tayari hata kuduru wengine kutetea madaraka ya udharimu,wewe una moyo Gani Hadi unaunga mkono uonevu Sasa ipo siku utakamatwa na polisi na utapewa kesi ya udhururaji na utakaa mahabisu siku tatu ndipo utapata akili
@erasmusaloyce43982 ай бұрын
Watu wenye mawazo kama Yako ndio sababu ya umaskini wa Tanzania.
@AlphaBlessing-qx7ep2 ай бұрын
Sipendi kuongelea mambo ya siasa ila kimpiga huyu baba nimeumia sana😢
@neemanziku54032 ай бұрын
Polen sana wana chadema,kura yang inawangoja
@AfricaQueen2 ай бұрын
@@neemanziku5403 🤝🤝🤝🙌🙌🙌🙌✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✌️✌️✌️✌️🗣️🗣️🗣️📢
@wilsonmsenga64472 ай бұрын
Police mm sijawahi kuwaelewa, kama leo hii itokee mm ni raisi lazima jeshi la police nilivunje na kulijenga upya.
@kiberitistartv88872 ай бұрын
Utawala huuuuu 😢😢😢😢😢 kweli
@RamaMbwambo-ru8ym2 ай бұрын
BROTHER NAKUSHAURI FANYA SIASA ZA KISTAARABU..MBONA MAMA ANAONGOZA NCHI VIZURI..KWA HAKI YA MUNGU WEWE HUPASWI KUMPINGA MAMA KWANI ALIONESHA UTU KWAKO..MUOGOPE MUNGU..LIPA MEMA KWA MEMA..
Yaani chadema wanapenda kuonewa huruma kama watoto
@ZeynabAlly-k4j2 ай бұрын
Kipele kimepata mkunajiwslikua aeana maneno ya kuzinginza aeana kazi yakufanya
@HamisiNguche2 ай бұрын
Yaani anayejenga urafiki na polisi hajielewi
@robertnyantile42912 ай бұрын
Walipigwa na akina nani na walisafirishwa na akina nan iovyo kabisa mild ayo
@KassimSalim-fi1me2 ай бұрын
Nchi hii haki hakuna waliobaka bint kimya wanateswa kina lisu duh
@jaffaralimakame15332 ай бұрын
HAYO ULIOFANYIWA NI MADOGO NIKITAKA USIKUWEPO HASA UNAMUONEA SANA MAMA SAMIA MIMI NI FAMILIA YANGU INANIUMA . LISU HUNA SIASA NI KEBEHI TUPU KWA MAMA SAMIA SITOKUONEA HURUMA .
@JoshuaLutindi2 ай бұрын
ukikua utaacha
@monicamwita78652 ай бұрын
Àcha uchawa wa kijinga
@idanysedrc12002 ай бұрын
Huyu wangemsukumiza kama anavyoongea si angelazwa mwezi mzima kiki hizi
@dominickndomba44742 ай бұрын
Haya tumesikia mbwembwe zenu poleni msirudie tena ila hatuna huruma na wazembe kama nyie tena mkome kabisa
@YasiniMkakile2 ай бұрын
God bless hero lissu.
@ikulunimahalipatakatifu76422 ай бұрын
WATANZANIA WALISHA TOKA UKO ,
@yokoi39702 ай бұрын
Ww ndio umetoka huko speak for urslf
@ABuuIbrahimMTENJE2 ай бұрын
Na mie sipo @yokoi3970
@JuliusWerema2 ай бұрын
Mbona muda wa sisa tiyali kwanini muwai haraka ifike sehem twende ikulu Kwa hoja siyo Kwa mandamano yanarudisha maendeleo nyuma na kiongozi yoyote anapangwa na mungu msiwahadae watanzania na kuwatia hofu,
@oswardmgaya74002 ай бұрын
Tumuombe mungu tuu😂😂
@ShekhSimba2 ай бұрын
Nyinyi Chadema hamna Nidhamu - Lazima mjue kuwa Kuna MKONO WA DOLA
@loserian-mj1gj2 ай бұрын
round ingine hutoboi
@fransiscajohn43732 ай бұрын
Kuweni na mtazamo mkubwa
@MtazameKristoTv2 ай бұрын
Nafikiri serikali ilikuwa inadhani mnaandaa Gen z wa bongo 😂😂😂😂😂
@simonMollel-rr3gb2 ай бұрын
Yes but ngumu sana ilkuwa siasa tu gen z haina chama
@RamadhaniKitala-gx6wc2 ай бұрын
Mapolisi wanatumia vibaya madalaka yao yaan kama dio Tanzania
@aminattai26762 ай бұрын
Wewe hukusukumizwa kwenye gari ila ulisukumiziwa kwa nyuma
@HASSANBAKARI-q9c2 ай бұрын
Lisu mwacheni tu aongee;;we zile 16 plus afu unatoka ndani ya 18;;;waongoze vyema;;vibaya vyama pinzani haviwezi kuacha kukandia
@lovenessvisent94082 ай бұрын
😂ila police mjue kuna maisha baada ya kazi tunawaona huku mtaani mnavyotia huruma
@kulwastima39932 ай бұрын
Hili watumishi tuheshimu kazi zetu hii ishu ilitakiwa watu wakutane mahakamani akishindwa kesi Hana kazi maana hii imechafua serikali Hawa Chadema hawakfanya fujo Sasa yote haya yamesababishwa na police ifikie wkt mzungu aingilie kati kama demokrasia imetshinda.
@MinziNdulu-k9i2 ай бұрын
0:35
@wazinzatv31522 ай бұрын
Police sio wajinga inawezekana kuna mpango mchafu mlikuwa mnauratibu kupitia vijana wenu
@MUSAMWAMBENEАй бұрын
Ccm apana jamani
@RashidyRoggo2 ай бұрын
TZ ukienda kupiga kura huna Kaz za kufany maan Nape kashatuelez ukwel
@sammymdemeka79372 ай бұрын
Hiyo 4R ni usanii mtupu
@emanuelgavile35032 ай бұрын
Hamuwezi kuonewa tatizo lenu nyie nikuwajadili watu nakuwasimanga takataka
@GeorgeElias-p5o2 ай бұрын
Wew ni mtanzania, unaelewa nin maana ya siasa za vyama vingi..!?
@AnociathaChuwa-cb5nk2 ай бұрын
Uonevu wa ccm ni endelevu Wananchi msipoamka uonevu utakuwa hauishi Demokrasia itakuwa shida sana
@sarastephano34092 ай бұрын
Mlisema mahufuli ndo alikuwa mkatili alikuwa anawanyanyasa wapinzanj haya semeni Sasa na Hawa amewatuma yeye
@jessegodson85752 ай бұрын
Ungeenda kuwashtaki hao polisi mahakamani. Ila ningekuwa mimi ningemuua huo alikupokonya kofia
@DeoLyimo-y3v2 ай бұрын
Inatia hasira sana😢
@CatherineKuyumbe2 ай бұрын
😢
@Ibrahim-ne3in2 ай бұрын
Yan hili ndio liongoooo😂😂😂😂
@HulumaKisakali2 ай бұрын
Nyie vibaraka wa ccm mnyamaze mmeaibika
@evangelistfrank19112 ай бұрын
Ipo siku utajua hii nchi haina haki kabla hujafa nakwambia utalia
@Ibrahim-ne3in2 ай бұрын
@@evangelistfrank1911 utatangulia kwanza kufa wewe
@evansdecaprio81962 ай бұрын
Akiri yako ipo kichwani au matakoni
@mahengepascal2 ай бұрын
Tuambie wew ukweli
@ambelemwakalobo33272 ай бұрын
Kwanini msifanyie Arusha au singida mkaona mbeya ndio
@HusseinChegu2 ай бұрын
Ooh umemchongea kamanda wa mbeya watamtoa madhalimu
@storytownTv2 ай бұрын
Dah.. kwen nyie hamkua na ulinzi binafs
@AmaniMathod2 ай бұрын
Kiukweli kuna polisi wengine wana matatizo kumbukeni ...mna familia...
@joscamwoshezi29862 ай бұрын
Acheni upuuzi.
@AironKanduru-oi7ky2 ай бұрын
HIVI WEWE UNAJIJUA KWELI MBONA WA GO TO WA TO WAKO WANAKUANGALIA
@alliymohammed42272 ай бұрын
Walitakiwa wakupige ata fimbo kdg
@EsterAloyce-m4j2 ай бұрын
Mungu anawaona lakini pia tutambue sote tunapita duniani
@SaidKipe-zm8wt2 ай бұрын
Tutakutana kwenye uchaguzi mungu awalan awo mapolis
@toyotaqrcode2 ай бұрын
Siasa Bwana sijui ni mchezo wa aina gani mm nipo paleee naangalia tu
@aaa64sa132 ай бұрын
Afadhali angalia kwa mbali tu....😁😁
@ronaldobenetson2 ай бұрын
Ukisikia neno story za kufikirika ndo hizi sasa
@samsonsimon31382 ай бұрын
Hii nchi ni yademocracy halafu hii nchi si ya mtu mmoja bali kila mtu anahaki yakufanya anachoona ni sahihi kwake ila asivuje tu sheria tulizozituga
@HASSANWAZIRIGAO2 ай бұрын
Msidanganye Watu Mara Ngapi Mumetaja Maandamano Ya Kenya Mnatoa Mfano Mnataka Iwe Kama Kenya Kule Kenya Walikufa Watu wangapi
@DennisFandi2 ай бұрын
Shida mnajifanya mna akili nyingi kutumia sheria kukimbiakimbia sasa watu washakuwa waelewa wanataka vitendo, watawagonga mpaka mseme