Ghazabu zamungu watu wanajihalaishia vilivyoharamishwa natunateseka wote tumrudie mungu atusamehe
@THEGREATLyАй бұрын
Story book imetabili 😢
@Tariq_TryagainАй бұрын
Jamal ame hatarisha mambo mno.. kuizungumzia seems like anazungumzia kiama😂
@user-zs4qz4wm2nАй бұрын
Asante SNS kwa taarifa maana nimepata shida sana leo na sikujua nini tatizo
@abubakariali9848Ай бұрын
The Story book ya Wasafi ameilezea kwa upana wake siku ya jana tupitie na kule kdg
@user-dg7wf6fg2jАй бұрын
❤prof April,❤djsma❤Ally
@BMFURAHAKWANZAАй бұрын
The story book katuambia yoote haya kama kaifahamu mapema vile duuuh ni msakaji wa kweli kabisa
@Tariq_TryagainАй бұрын
Jamal amekuza mambo kinoma.. it was seems like anazungumzia kiama😂💔
@youngpaincompany1440Ай бұрын
kwel kk 😂😂@@Tariq_Tryagain
@zayumar2955Ай бұрын
Jamal katuambia juz ya Allah tuokowe wengine tuko mbali na familiar jmniiiiiiiiii naogopaaa 😢😢😢😢
@nasrasalum6298Ай бұрын
Amen 😢😢
@fadhilinyengo8262Ай бұрын
Wewe ni mwehu sasa unachoogopa ni nini sasa. Iyo ni nature inafanya kazi yake kipi kigeni hapo
@zayumar2955Ай бұрын
@@nasrasalum6298 Allah atatulinda InshaAllah 🤲
@zayumar2955Ай бұрын
@@fadhilinyengo8262 naogopa kwasabu sijawah kushuhudia kitu hicho huenda ww umewah kushuhudia kwaiyo si ajabu kwako kwaiyo usinione mwehu Mzee wa kale mshuhudia makubwa ya duniani 😅😅😅
@Tariq_TryagainАй бұрын
Jamal amekuza mambo kinoma.. it was seems like anazungumzia kiama😂💔
@nassvancydesantiagojr5553Ай бұрын
Ni kweli bro natumia wifi inagoma kabisa na sio kawaida haijawai kusumbua kabisa miaka yote, nilikuwa najiuliza leo kuna shida gani katika kuifosi tu ndo hii video post yako ime pop up so ndo napata taarifa kutoka kwako thanks bro keep it up
@ashabakari1448Ай бұрын
Yaan mm wifi nimezima na kuwasha empty
@nassvancydesantiagojr5553Ай бұрын
@@ashabakari1448 duuuhh pole sana dhambi zimezd 😂 hawa watu wa 🌈 🏳️🌈 🌈 watatuponza sana kwa Sir God
@ibrahimumngereza7769Ай бұрын
Najiuliza WiFi imeisha kumbe ni hii kitu bwana
@dastankwambaza2292Ай бұрын
Yesu anarudi
@byamungurashidi85Ай бұрын
Na chukuru san SNS kaw kutufafanuliya vizuri hili tatizo limetokey duniani. Mimi ni byamungu Rashidi.#king byam's kutoka Burundi Bujumbura sisi uku Bujumbura tuna wiki mbili na nusu internet iko slow sana. Ila tuna chukuru kutufafanuliya ivyo. Nawapenda sana wana SNS BYAM'S toka Bujumbura
@Bless215Ай бұрын
The Story book
@SocialtzАй бұрын
Kila siku nakua wa kwanza kuview video zenu SNS wakuu. Mnipee hata gift
@uwimana6533Ай бұрын
😂😂😂😂
@japhetlust5050Ай бұрын
Ndomana Leo jua lilikuwa Kali 🙌
@alphamenson3784Ай бұрын
Zawadi ni hayo madini
@chesterbrand6723Ай бұрын
Kaka elimu wanayotupatia ni zaidy ya gfy Viva sns Viva Russia....
@Tariq_TryagainАй бұрын
@@chesterbrand6723viva Russia tena😂
@abdulally6410Ай бұрын
Nimezima cm mara nyng mpk imepoteza kiwango cha charg sio hvo tuu mpk nimewapigia mtandao hata hawarespond kwa kwel nimekereka bored but hahaaaaaaha lipo nje ya uwezo wetu,ahsante kutuhabarisha
@succeslifeeducation9868Ай бұрын
All masudi namkubali sana sns msije mkamtoa..mchambuzi mzuri sana I APPRECIATE SO MUCH
@Tariq_TryagainАй бұрын
Dj Sma ndo noma.. nigga angepona tu arudi kutujuza mambo
@hamzamoshi8275Ай бұрын
Jamaaal wa wasafimedia kweli profesa 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@Tariq_TryagainАй бұрын
Jamal amekuza mambo kinoma.. it was seems like anazungumzia kiama😂💔
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Adhabu za Allah izo dhidi ya viumbe wake...so jaman tutubuni
@Max9_captainАй бұрын
😂😂
@gerrardsoso3640Ай бұрын
Wa Yemeni washakata waya wa internet kwnye bahari nyekundu
@faustinhommedetatnifasha9669Ай бұрын
Mtzfuteni #Mr_cosmas Huyu mzee numwana sayikrojia.anzjuwa anajuwa tena
@raulianraphael6853Ай бұрын
Asante sana Kwa updates maana jana almost masaa 6 na fanya settings za Internet bila mafanikio
Hii inatokana na mashoga kuzidi duniani ndio maana mabalaa hayaishi
@STEVEN-f6gАй бұрын
Yesu anarudii..
@jacksonseverin5670Ай бұрын
Kaka sky uyo ally kilakitu anajua duh
@eliasmagoiga-ie3dkАй бұрын
Daaah! Kwel😢 kabisa
@JosephJames-ut8ttАй бұрын
Duuuu nilikuwa sielew Leo ujue kumbe Asante San Kaka kwakutujulisha daaa🤝🤝
@mackdonaldalex7162Ай бұрын
I learnt something here thanks sns
@jahashinuri7102Ай бұрын
very dangerous for self driving cars, especially in china
@shebbylove3140Ай бұрын
No wonder my fiancé nimejarubu mpaka kumpigia namkosa mpaka kidogo tushwane woow anyway thanks guys for the updates as usually
@House_of_wonders_905Ай бұрын
The story book
@berthakitto7128Ай бұрын
Yani unasumbua balaaaaaa
@BMFURAHAKWANZAАй бұрын
Nitafurahi sana kama hii solarst izidi ili tubaki kwenye giza kwa mda wa miaka 30 ili nchi zetu za kiafrika ziweze kujitambua kwa kujitegemea zenyewe... Sababu huu utandawazi unasumbuwa sana hadi vifo kuwa vingi....
@halidimgonza5945Ай бұрын
ni ujinga unakusumbua
@adamhashim3352Ай бұрын
Mungu anaaza kufanya yake
@PeninsulaHousesАй бұрын
Yani nataka kutoa mkeka wanguu leo bet zote mtandao unazinguwa yani😂
@moseskulola6913Ай бұрын
Noma
@ponsianodamas5981Ай бұрын
Naomba ueleze "the history of solar storms".
@mankwemba3841Ай бұрын
Lkn huku 🇿🇦 south Africa mitandao yipo fresh kbx
@shebbylove3140Ай бұрын
Kunasehem network haikupanda as usual
@user-qf2mg1bu4uАй бұрын
Dar wasafi kiboko janatu nimeangalia the story book af leo yametokea yote waloyasema jamar shikamoo wasafi
@r9ayyansaid652Ай бұрын
Kweli leo ilikuw ina goma saana hata tuliokuwa nje ya nchi
@geraldpallangyo7726Ай бұрын
Hata huku Kenya
@DaudiHamisi-un2uuАй бұрын
Kweli nimesumbuka leo
@roi2554Ай бұрын
Mwisho wa dunia huwooo😂😂😂
@marthajeremiahАй бұрын
Solar flash mass great awakening
@yusuphhaidari556Ай бұрын
JAMAL APIRL KATUTABIRIAAA TOKEAA JANAAA
@Soon815Ай бұрын
Hili suala limeanza kuongelewa wiki ya pili
@chusseboywcb2808Ай бұрын
Kweli kabisa
@jeremiahmwanyika869Ай бұрын
Hahaha nape yeye kasema kuna waya zimekatika chini ya maji 😂
@MNexNexIАй бұрын
Good work
@benancejohn1198Ай бұрын
Kweli, internet imesumbua sana leo
@idinado-wk3lxАй бұрын
Safi sana Tena sana Mungu fanya kitu 👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@africanmandetraveler2847Ай бұрын
Akifanya kitu hizo emoji unazotuwekea utatumia nini😂😂😂kututambia.
@user-hy9pp5rp9iАй бұрын
Ili uweje
@idinado-wk3lxАй бұрын
@@user-hy9pp5rp9i Ili tupate adabu
@emanuelmbagaАй бұрын
kwa sisi wapenda info. hapa umenishibisha sina swali zaidi. EMP ni balaa ila Solar storm ni balaa zaidi
@BMFURAHAKWANZAАй бұрын
Sisi Malawi TUKO vizuri tu hapa yaani mtandao wa tz umeamia huku....wote itasepa tutabaki sisi hapa sababu hapa tuko mbali sana na juwa hapa ...hadi barafu zinaanguka hapa tuko mbali hata juwa tuna liona kwa mbali
@Brunotarimo10Ай бұрын
Nikiwa Nairobi gonga like
@DennisMkumbalaАй бұрын
Kwer bro leo jau san
@FreeGod368Ай бұрын
Mungu Fundi Mwaisa😂😂😂😂 wanasayans ad wanasanda hawana majibu kumbe kuna vitu dunia inaweza kuisha kwa siku 1Tu
@allykwayaАй бұрын
Wanasansi wanapofeli wanasema Natural structure, wa nashindwa Tu kusema ukuu wa Mungu. Shenzi MUNGU YUPO.
@FreeGod368Ай бұрын
@@allykwaya kabisa kaka 100%
@hansiempire5093Ай бұрын
physicist tunaelewa vzur sana
@abrahamabinala5250Ай бұрын
Mimi toka jana usiku saa 6 kwenda saa 7 ilikuwa simu haipandoshi 4g ni 3d had 2g ila asubuh leo ikawa hamna kabsa nikajua simu imeisha bando kucjek nina gb2 nzima nikakosa majibu na kuwa watu wamenipigia simu nikajua ni shida ya watu wengi ila sikujua chanzo ni nini
@khaalidcheo5383Ай бұрын
Yani leo 😮
@allykwayaАй бұрын
Shida kwelikweli
@billskeez92Ай бұрын
Hâta uku kwetu 🇧🇮 mtandao uligoma sana
@shannarsaidSwahiliАй бұрын
Naam nmekuwa nashangaa saana
@billskeez92Ай бұрын
Alitoa the storybook Jana Professor Jamal kweny Wasafi
@thefactbook...1607Ай бұрын
Solar storm ipo tangu 1859.isitoshe hii ni tofauti na hiyo ya wasafi sikiliza vizuri ndugu.
Earth magnetic Field sometimes are natural protection wallah it’s so Amazing creation of the Lord Nilikuw na fatilia tukio Hilo one week before linashangaza Sana jua Lina radiation za aina nyingi sana maranyingine hupiga katika uso wa dunia na hutolewa na mifumo asilia ya dunia chaja ajabu kila kitu katk systm ya soloa system kina ashiria mwisho kuba mambo kbao nw yanatokea kwenye sola systm huwenda km sio kuwa na hiz vita tungejifunza mengi sn pia tungerudisha nadhari juu ya uumbaji wa mwenyezi mungu sns big up sana tuna wafatilia pia hakija jamii inapenda mnacho fanya🇹🇿✋
@thefactbook...1607Ай бұрын
Umetisha.
@thelonewolf4429Ай бұрын
Inasumbua sana aisee
@wessdj8753Ай бұрын
aiseee tunduma moja apa leo sina network
@florencekiegwa7833Ай бұрын
Pia saùdia
@nassoribrahim5288Ай бұрын
Nlijua Tanesco kumbe kimbumga Jua kali😅
@husseinkitingi8186Ай бұрын
Izi dalili za kiama jamani tumrudie mungu tumejisahau sana
@josephchaba6007Ай бұрын
Leo imesumbua saana
@bigjizee4130Ай бұрын
Leo kwa kweli internet imeleta shida sana
@lisawilliam2491Ай бұрын
Hatar
@monicacyprian9137Ай бұрын
Nikawa nawalaumu tenco na Airtel wanisamehe sana 😂😂 Hata kazi zimekua slow Kwa wale tunaoudumia wateja online
@selesjandwa412Ай бұрын
Nakukumbusha masudi kiswail cha neno "storm" Ni dhoruba
@jizzotheking9238Ай бұрын
Daaaah yaan huyo Ally masubi wenu mnavyomsujudu😀😀😀 Kila kitu huyu hapa ally masubi, ally masub amekuwa ally masubi, yy vita niyeye madawa ni yeye nguvu za kiume niyey, mtandao niyeye, tumbafu
@r.jgospel9769Ай бұрын
Jamani dah niatar 😢
@adolphmwangoje2887Ай бұрын
Leo imekuwa miyeyusho sana
@CholoFaizaanАй бұрын
😂😂😂bundala huyo Ali masudi nimuongo tu
@J4UProАй бұрын
Mimi pia jana ilikuwa shida sana
@johnwillingstone3121Ай бұрын
Majuzi nimeona UFO
@baizoboy1719Ай бұрын
Hili swala limenifanya nimkumbuke Jamali April wa the story book yaani juzi katoka kuliongelea hili haijapita hata siku mbili halafu jambo linatokea mmh! kwani yeye nabii asee?? 😮
@maniscamullah6282Ай бұрын
Tunaomba Tupate picha ya Ali masoud 😅😅
@ramamabinda5063Ай бұрын
Duuh aisee
@aminatanzanya7475Ай бұрын
Mi nilikuw nashangaa mbona leo Wi-Fi inasumbua na sio kawaid yake nikajua labd wamebadilish ile zima washa ndio imekubali sashv
@user-sv1ow8ti3gАй бұрын
hiyo solar storm imepiga wapi, yaan nielezee vzr,
@miriamvihenda7408Ай бұрын
True 😂😂😂mbaka na shindwa why
@khalidimzamiru9406Ай бұрын
Kamsikilizeni jamal april wa the story book alieleza kiundani zaid kabla ya kutokea
@williamkirema6254Ай бұрын
Pia kenya ilisumbua sana
@hammyboy11Ай бұрын
Nime restore had sm yangu
@princeliy1175Ай бұрын
JAMANI HIKO NI KIAMA TURUDINI KWA ALLAH TUACHENI MAASI UKUMBUSHO HUWAFAA WANAOAMINI😢