Hapa Ndipo OLDUVAI GORGE, Eneo Alilokutwa Binadamu wa Kwanza, Jionee!

  Рет қаралды 28,195

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@JohniaSylivester
@JohniaSylivester 3 ай бұрын
Daah prof mabulla archaeologist our role model
@MamaNairo
@MamaNairo 2 жыл бұрын
Wow my voice
@hatibuyusufu4668
@hatibuyusufu4668 3 жыл бұрын
Yaani inachekesha wasomi yaani ayo manyani ndio Babu zetu . Yaani Africa Bado sana kwasababu sijui lini tutatoka ktk giza
@ArafatMbarouk-lr7bd
@ArafatMbarouk-lr7bd Жыл бұрын
Oya mm mwanafunzi bb kwa muda huu sina budi kutafuta history hii ya kutaka kujuwa eneo,la olduvai ww na mm ni muislamu wew
@osianamwala5137
@osianamwala5137 3 жыл бұрын
Sjawahi amini kwamba binadamu alikuwaga Sokwe, japo nmesoma historia kwanini mpaka Leo kuna sokwe watabadilika lini sasa
@JohniaSylivester
@JohniaSylivester 3 ай бұрын
Historia za secondary ni za uongo ukija chuo ndo unaelewa sasa kwann wengn hawakubadilika na wengne wamebidilika
@ridhiwanakida3074
@ridhiwanakida3074 Жыл бұрын
kweli nyie wehu mtu wa kwanza ni Adam inamaana mnataka kutuambia Adam aliishi ngorongoro
@ArafatMbarouk-lr7bd
@ArafatMbarouk-lr7bd Жыл бұрын
Mm kama kiimani cwz kubali kuwa huyu ndie,binadamu wa kwanza napinga,ila kwa ss mm ni mwana history nilazima nitafute habari hii
@davallamchambe5275
@davallamchambe5275 3 жыл бұрын
Binadamu wa kwanza ni Nabii Adam nasio upumbavu unaoletwa na wazungu acheni hizo habari kesho kwa Mola wetu mlezi mutaenda sema nini
@hashimuramadhan6530
@hashimuramadhan6530 2 жыл бұрын
Kwaiyo uyo binadamu alikutwa na nan
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Жыл бұрын
Huwa ni stori za uongo ingawa tulisoma hvyo Kwa ajili ya kujibu mitihani inavyotaka ila huwa ni uongo mtupu kutoka kwa wazungu
@sphorapop2411
@sphorapop2411 4 жыл бұрын
naomba niulize kama binadamu wakwanza ndio huyu sawa lakini mimi kwa mawazo yangu ninavofikiriya mungu ameumba aina za binadamu tofauti kwa mtizamo wangu binadamu mweusi binadamu mzungu binadamu mchina na binadamu wahindi na binadamu warabu huu ndio mawazo yangu yanavo nipeleka sio kama historia inavo sema kwani ni makundi mawili tu ndiyo yaliyo andika historia ya dunia wazungu na warabu wazungu wao ndio waloandika historia ya dunia binadamu wa kwanza ni adam allah ndiye aliye muumba na warabu na waoo wameandika historia inayofanana na hiyo ya wazungu kuwa binaadamu wa kwanza kuumbwa ni adam mimi kwa upande wangu sikubaliyani nao kwani allah nauliza vipi na wanyama nao aliumbwa mnyama gani wa kwanza halafu wakaja kubadilika wakapatikana wanyama tofauti tofauti kwa mfano kama mnyama wa kwanza kama ngombe halafu wakaja kubadilika wakawa simba tembo kuku nzi naomba kama kuna mtaalamu anaefahamu anieleweshe kama vitabu vilivoandikwa kuwa binadamu wa kwanza ni adam halafu allah akamtoa hawa ubavuni mimibinafsi moyo wangu unamashaka na maandiko hayo imani yangu mungu ndiye ajuwae ametuumba vipi sio hao wanaosema kuwa binaadamu wa kwanza ni adamu nikielimishwa kwamba ngombe ama tembo ndiye mnyama wa kwanza kuumbwa halafu akabadilika akawazaa aina ya wanyama wengine kama wazungu na warabu wanavosema kama binadamu wa kwanza ni adam naomba ushauri wenu allah naimani amemuumba mtu mweusi kivyake ameumba muu mzungu kivyake ameumba muarabu kivyake ameumba wachina kivyake na ameumba wahindi kivyake kama alivyo waumba wanyama tofauti ngombe kivyake tembo kivyake wala sio kama hivo tunavoambiwa kuwa binadamu wakwanza ni adamu
@aamm2703
@aamm2703 4 жыл бұрын
Upo sahihi ndugu yngu achan na hawa wapotoshaji binadam wa kwanz ndio ni Nabii adam aleyh salam nabinadam wa kwanz kufariki ktk dunia hi ni mtoto wa adam aleyh salam Alianz kufark mtot kabla ya adam baba ake
@yasinkihupi9583
@yasinkihupi9583 3 жыл бұрын
Ni simple logic ndugu yangu. Ukitaka kuamini binadamu wakwanza adam alikuwa mweusi ni rahisi. Unaweza kumbadili black kuwa mweupe lakini huwezi kumbadili mtu mweupe mzungu kuwa mweusi. Ni rahisi mtu mweusi kuzaa albino mweupe baba na mama weusi lakini haijawahi tokea kwa mzungu au mwarabu kuzaa mtoto mweusi ikiwa baba na mama ni weupe. Pia ukitaka kujua haya ni rahisi ona magonjwa yote hatari duniani yanasumbua na yanakuwa na madhara makubwa lakini yakifika tanzania huwa ndio mwisho wa story yake. Ilianza ukimwi, ikaja ebora, ikaja zika, ikaja dengue na sasa corona. Ndo ujue hii ni ardhi ya utukufu wa Mungu sababu Mungu anasema alituumba sisi wana wa adam kwa mfano wake. Ila katika uumbaji kabla hajaletwa adam Mungu alishaumba kila kitu na kiuhalisia olduvai gaurge yawezekana ndiko alikoishi adam yawezekana bustani ya edeni ndipo ilipokuwaga sababu kuna ndege huishi bara la ulaya na Asia lakini wakitaka kuzaa hurudi olduvai wanataga na kuzaana kisha hurudi Asia na ulaya kuendelea na maisha yao nadhani inatosha mengine jatibu kufikirisha ubongo wako
@yasinkihupi9583
@yasinkihupi9583 3 жыл бұрын
Na kielelezo kingine huko olduvai ngorongoro ndiko sehemu pekee duniani ambako wanyama wakali na wanadamu wanaishi pamoja japo wazungu walijaribu kutengeneza sehemu zingine feki ili kuficha au kuuwa historia hii lakini wamefeli sababu sehem zote ambazo walizitengeneza kuaminisha watu kwamba sio tanzania tu hata sehem zingine zipo ambako binadamu na wanyama huishi pamoja zimekufa zote na hivyo origin imebaki pekee ngorongoro dunia nzima ila wazungu wamefaulu jambo moja tu kutuaminisha mitume na manabii wote kuwa ni weupe. Lakini kiuhalisia binadam wakwanza adam aliishi tanzania na alikuwa black sababu katika uumbaji Mungu aliumba mwanadamu kwa udongo mweusi hakuna udongo mweupe nadhani utakuwa umepata maono flani ndiomaana mimi nasema ipo namna sahihi ambayo sisi tulikuwa tunamwabudu Mungu na kumuomba hata maombi yakajibiwa haraka ila wazungu na warabu watakuwa wanatuficha ili tuendelee kuwaheshimu na kufuata mila zao za ibada yawezekana ukristo ni mila za wazungu na uislam ni mila za waarabu ili sisi tunafata mila zao bila kujua tunaabudu nini ndiomana maombi yetu huchelewa kujibiwa yawezekana hatujui namna sahihi yakuomba mpaka tuombewe na padri na shekh na wao wanaficha ili tuendelee kuwa chini yao
@chrisshonga
@chrisshonga 3 жыл бұрын
@@yasinkihupi9583 Safi sana
@chrisshonga
@chrisshonga 3 жыл бұрын
@@yasinkihupi9583Amina
@muhamedali6063
@muhamedali6063 3 жыл бұрын
Itapendeza zayd likibadilishwa jina badala y kuitwa jina la kizungu liitwe jina lakitanzania.
@msafiridiary
@msafiridiary 3 жыл бұрын
All professors they know what they say, and they know reality... ila kaskilizeni habari yenu (Qur'an 14:22) mwisho wa siku msije mkasema hamkukumbushwa.
@mussamdoe4619
@mussamdoe4619 Жыл бұрын
Binadamu wa kwanza ni Adam hao ni viumbe waliofanana nabinadamu kama sokwe acheni ujinga binadamu habadiliki
@phinawatwego7260
@phinawatwego7260 3 жыл бұрын
Tanzania yetu oyeeeeeee
@issaibony3474
@issaibony3474 3 жыл бұрын
Mnataka kusema huyo ndie binaadam wakwanza Adam ama vp?acheni upumbavu hilo swaala linahitaji akili yakiroho zaidi acheni kumzalilisha mungu mzungu cjawahi kumuadhibu hata nacnto muamini kamwe mungu aliumba binaadam na manyan maswekwe vp mseme binadamu alianza kubadilika taratibu mnataka kunambia mungu alikosea uumbaji wabinadamu?embu acheni kutupotosha hiyo nibiashar to niaminivyo mm.
@omarbuud-tc4jj
@omarbuud-tc4jj Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@frankbujiku9496
@frankbujiku9496 9 ай бұрын
Tulipigwa nakitu kizito kutoka sokwe hapo ni uongo 😂😂😂😂 2024 tumesituka😅😅
@mahamudaideed6922
@mahamudaideed6922 3 жыл бұрын
Huu ni uwongo
@farajakwilasa471
@farajakwilasa471 10 ай бұрын
Pumbavu zenu
@fadhiliosuta1719
@fadhiliosuta1719 14 күн бұрын
Watuaminosha sisi ni masokwe😂😂😂dah
@ovn-sportswear4983
@ovn-sportswear4983 3 жыл бұрын
Adamu mwenyewe kumbe ndo uyo daah kwel siopoa sema vp kuhusu fuvu la eva mke wake
@MWALIMUMBUNIFU89
@MWALIMUMBUNIFU89 3 жыл бұрын
Sasa hii inatusaidia Nini sisi watanzania maskini
@mangulymanguly162
@mangulymanguly162 3 жыл бұрын
🤣🤣Freemason ndivyo wanavyo amini,
@eliajames9268
@eliajames9268 3 жыл бұрын
Tanzania yetu inawezekan hapa ndo makazi ya binadam wa kale kabisa
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 3 жыл бұрын
uongo mtupu
Tour Guides Challenges Episode 7. Olduvai Gorge
15:51
Ngorongoro Conservation Area
Рет қаралды 1,6 М.
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 1,8 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 6 МЛН
LOST TECHNOLOGIES: Mysteries of Vanished Civilizations
2:03:29
Lifeder Educación
Рет қаралды 6 МЛН
HISTORIA Ya KARUME, Rais Aliyezawadiwa  KIFO Kwa WEMA Wake!
22:09
Global TV Online
Рет қаралды 600 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
ANGALIA MCHANGA UNAOTEMBEA WA OLDUVAI
3:32
Kim Habari
Рет қаралды 199 М.
Real Madrid - Road To Victory ✪ UCL 2002
24:08
Sun Ball
Рет қаралды 17 М.
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН