MashaAlla kipindi kizuri sana ila mnatuwekea kidogo sana
@FatmaOmar-r1t Жыл бұрын
Mashallah ukhti kipindi kizuri , Allah skulipeni nyote hapo studio ,sh Rashid Allah aibariki kazi ya midomo yako
@hassanharuna1519 Жыл бұрын
Masha Allah tunaendeleya kufaidika ila minajuwa haki ya Allah na mtum rehma naman zimfikiye kisha mume ange kua na chaneli ya kutufundisha tunge frah
@rezikomer9552 Жыл бұрын
Na pittuku ALLAH AMEUMBA mkena na mukuwa kitu kimoja Lakini je mumesahau adui wetu wandoqa alomuahidi ALLAH kutupoteza kwakuwa pamoja nakututenganisha mke na mume
@ShufaaMussa-h2n Жыл бұрын
kipindi kizur sana maashanllah kaka nimekupenda kama hujaowa kwasasa nipo omani
@ShufaaMussa-h2n Жыл бұрын
maashaalla mm nimempenda huyo kaka anaoe
@aminauwimana9976 Жыл бұрын
Subhana'allah shukran Jazeera allah akulipeni tunahitaji mengi Subhana'allah ❤
@ShufaaMussa-h2n Жыл бұрын
kipindi kizur sana maashanllah kaka nimekupenda kama hujaowa kwasasa nipo omani 17:42 18:03
@salumnchema8255 Жыл бұрын
mungu akujaze kila neema 🎉 namimi natamani mkewangu anifanyie vyo da nimependa
@halimahassan8582 Жыл бұрын
Ma sha Allah ❤❤❤ darsa nzuri. Allah awape kila la khyr dhaiman. Walakin yuko wapi somo mtoto??
@rizikirashid1199 Жыл бұрын
Assalam alekum WarahmatuLLAH Wabarakatu samahan uktih haki ya ALLAH ndio kwanza au ya mume?
@fatmaali7271 Жыл бұрын
MashaAllah kipindi kizuri lakini nakuomba dada hiyo hairband usivai
@bintsalimalbimany287 Жыл бұрын
Ukht nakupenda lkn leo umekosea unasema hakki za mume muhim kulik hakk za Allah Hilo siku Baliani nalo Ukisema hivo inamaan Mume ni Muhim Zaid kuliko kuliko Swala?Tekeleza hakk za Allah kwanza halaf tena ndo utekeleze ya Mume Lkn ukisema umtii mume halaf kusal husal hapo unatia maji pakachani
@ggohf7004 Жыл бұрын
Sunna unaweza kuacha km mume nakuhitaji kitandani sunna yoyote ila zafaradhi inabidi umri Allah ndio mume afate
@bintsalimalbimany287 Жыл бұрын
@@ggohf7004 Sunna unaambiwa ata Mzaz wako akikwita kama unafanya Sunna basi uache ukamsikilize Mzaz wako Lkn sunna Ila si Faradh Yeye hakusema Sunna amesema kwanza umtii Mume halaf ndo umtii Allah
@SharifaMuhamed-od5dl Жыл бұрын
Uong
@AminaAhmed999 Жыл бұрын
hapo umekosea haki ya Allah huwezi kutekeleza mpaka haki ya mume kwa nini . hilo ni kosa kubwa sana katika aqida .
@NasamMangi Жыл бұрын
Assalaam alaykum kabla hujaomba dalili unapaswa ww Kuthitosha kwanza wa yaliosemwa elim nyengine mlizo nazo we ukiuliza hivyo tu tunajua kitaalam tunajua hujasoma au ni salafy
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Apo umetupiga na kitu kizito. Hakki ya kwanza ni ya الله . Mume baaadae. Ayna daliiili?
@AminaAhmed999 Жыл бұрын
hii dini ni amana angalieni mnachukuwa wapi dini yenu . ukisoma hadithi tuletee marejeo umetoa wapi . hadithi anazotoa ukhti hazipo mfano hiyo mwanamke anafua nguo ya mume anapewa thawabu .1000.
@ggohf7004 Жыл бұрын
Allahuallam ila kwa Allah hakuna linaloshindikana kwake nikun fayakun
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Mh kwanza hakuna ata aya inayosema mwanamke afue apike afanye mikaz ya nyumba mwanamke amepewa thaman kubwa anaambiwa akifanya hvo ni upendo na ni jihad yke kwa allah bs mwanamke jihad yke ni nyumban kwake lkn sasa wanaume wanawafanya kma watumwa.
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Jamani mtume Muhammad s.a.w aliona wanawake hvo sababu ya ulimi kuvaa uchi na fitna za wanawake lkn hyo hadthi yke kwanza mume hmna kwanza tumpende allah na mtume wke na wazee wetu .
@AminaSalum-iq7xn Жыл бұрын
Asalm alykm ukhut yup sahihi kama mume ankuhitaji umemkatalia hata ukiswal bado
@malak-lz6kx Жыл бұрын
@@AminaSalum-iq7xn akikuhitajia hyo mengine lkn kwanza mume alafu ibada hapana
@aairraahseif5648 Жыл бұрын
Asalaam Aleykum Warrahmatullah Wabarrakatuh, Al Fatah naomba namba yenu ya whatsapp tafadhali