Harmonize ata imba nini na MeekMill, Ata Rema anajipendekeza kwa Burna Boy, Sishangai ya Hamonize,
Пікірлер: 4
@DamasLehaniАй бұрын
Ila harmonize
@emmanuelmianguko291Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 ila kweli ataimba nn au sesema malunde 😂😂😂😂 ama bosss
@dereva0Ай бұрын
uko sahihi Harmonize anaongoza kwa kuimbia madem zake tena bora angeimba mapenz generally lkn anaimbia madem zake nyimbo nyingi wolper mara sara marajala yani anahs kilamtu anapenda kuskilza maisha yake
@user-jh9yv1zp1lАй бұрын
Kabisa anaimbia madem zake direct haimbi in generally kw mapenz ya kila mmoj imguse,hana cha kuimba huyu