Nimeipenda sn hotuba hiy fupi tutamkumbuka sn Babu yetu mpendwa
@frankjohn87065 ай бұрын
Kuna Mfalme CHAGUO la Mungu na pia Kuna Mfalme Ambae Mungu ameruhusu awepo
@johnmuro9915 Жыл бұрын
HUYU MZEE ALIISHI KWA FIKRA ZA HATARI SANA
@tonnyford57829 ай бұрын
Rip mwl Julius kambarage Nyerere
@AhmedSalum-s9m3 ай бұрын
Zanzibar
@tonnyford57829 ай бұрын
Hii ningeipata mp3 ningetamba sana
@ConstantineCoscardrov-wb6ih4 ай бұрын
MOTO CHINI...Washikeadabuzao.
@jeremiahkavakule8354 Жыл бұрын
Jpm & putin oyeeeee
@PeterMgogosi-o6d5 ай бұрын
Ukitemewa mate na wakubwa sema mvua hii yaleo hatari
@Mapenzi26358 ай бұрын
Bado hajazaliwa DUNIANI kama Nyerere.
@onelovetz79358 ай бұрын
Kazaliwa Magufuli tu
@Mapenzi26358 ай бұрын
@@onelovetz7935, MJOMBA Magu alikuwa na Nia njema ila hakuwa na umahiri wa kuendesha Serikali. Hakujua Serikali ni nini.
@RashidiKuji5 ай бұрын
Yes vp have 😅
@DMTV45 ай бұрын
Sasa Mkubwa akikutemea mate
@JackM.-mh5cs5 ай бұрын
Simkubali kabisa huyu jamaa kwa kuwatia watu umasikini kuwanyima elimu sio kabisaa huyu
@FridayMwassa4 ай бұрын
Yupi amewatia kwenye utajiri,huyu alikuwa kiongozi wa watu hakuwaibia watu wake au kuuza mali za watu wake kwa mabepali
@stephenayo98754 ай бұрын
Hakuna mkamilifu. Alikua na mapungufu yake. Lakini haindoi ukweli kuwa huyu ni moja ya viongozi bora sana katika bara hili la Africa
@msamgunda76844 ай бұрын
Huyu ni miongoni mwa viongozi waovu pia.@@stephenayo9875
@msamgunda76844 ай бұрын
@@FridayMwassanyerere muovu sana.yeye ndio mama wa mafisadi wa leo hii.kama husomi vitabu bas msikilize tundulisu.
@Shokolokobango93852 ай бұрын
Na alikua akiwalipia ada watoto wake kwa pesa ya mshahara wake na kulea familia yake kwa ujira wake kama watanzania wengine alikataa kulipiwa na serikali na pia alijipunguzia mshahara wake badala ya sh 5000 akawa anapokea 4000@@FridayMwassa