HARMONIZE: BADEST 47, NI MDOGO SANA, KUIBIWA SENSEMA, NILIMSIKIA S2KIZZY, RAYVANNY, TUKURUPUKE

  Рет қаралды 55,485

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@pharleserasto3114
@pharleserasto3114 3 ай бұрын
Konde namkubal san yuko vzur ila kitu kmoja huwa anazingua ukimuhoji "interview"kwa kiswahili yeye anajibu kwa kinge utadhani ndo lugha yake na bado anaongea anachanganya broken humohumo. labda niseme hvi ethics au maadili ktk jamii mkihojiana unatakiw ujibu au kutoa hoja kulingana na swali lilivyoulizwa na lugha ilotumika na sio maongezi au lugha tofaut but jeshi nisimlaum san maan pia shule hana na hyo kinge kajifunza mtaan ingaw bdo na broken nying.
@emmanuelmulunda7
@emmanuelmulunda7 3 ай бұрын
Ni international sahii,,marketing hii..reaching bigger masses..watu outside east Africa waelewe..Good English to him..listening from 254 🇰🇪
@bomswat
@bomswat 2 ай бұрын
Na wewe bado husikii au mpaka mpigwe ​@@emmanuelmulunda7
@bomswat
@bomswat 2 ай бұрын
Na wewe bado husikii au mpaka mpigwe ​@@emmanuelmulunda7
@SalumHassan-ig7jv
@SalumHassan-ig7jv 3 ай бұрын
Bonge la mwandishi huyu jamaa
@Vuma_live_tv
@Vuma_live_tv 3 ай бұрын
Ah konde siyo wa kuhojiwa na waandishi wa youtube kudadeki jamaa ananyanyasa na kiingeleza chake huyuu😂😂😂
@jamesonjames4291
@jamesonjames4291 3 ай бұрын
Harmonize anaongea kimapozi yan😂😂
@Mizahh-ll5lu
@Mizahh-ll5lu 3 ай бұрын
Uongeaji wa konde mmegunduwa nn mmejifunza nn wenzangu ananata
@JumaHuseni-in8wv
@JumaHuseni-in8wv 3 ай бұрын
Muandishi hakua confortable😅😅 kumuhoji kondee.
@chapombe_mlafi
@chapombe_mlafi 3 ай бұрын
we uoni konde anaongeakingereza afu kachangamka apo ujue kashtua pombe afu mtubwa Gm ko mtangazaji akijilengesha ameisha
@AlinaniSiame-yq1nk
@AlinaniSiame-yq1nk 3 ай бұрын
keep up work best music congratulations harmonize 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🇿🇲💤
@AM4CLASSIC
@AM4CLASSIC 3 ай бұрын
oyi
@ibrahimbaila7764
@ibrahimbaila7764 3 ай бұрын
Sasa kutoka hyo sim ndonn
@RajabJuma-pe9ml
@RajabJuma-pe9ml 3 ай бұрын
Pesa jaman niatari mmakonde Mimi shabiki wako bn naona kingereza kingi kuliko kiswahil mh
@KenifamilyTV
@KenifamilyTV 3 ай бұрын
Nacho mkubari Harmonize sio muongeaji kabisa.
@jeshi9642
@jeshi9642 3 ай бұрын
I thank God uyu mbwa ajui kingereza ,angetusumbua xna ,ati album delicated go back to school🤣🤣 am from kenya njoo unipige
@JemsOzil-wx1io
@JemsOzil-wx1io 2 ай бұрын
Daaah 😂😂😂
@jeshi9642
@jeshi9642 2 ай бұрын
@@JemsOzil-wx1io ama vipi
@jeshi9642
@jeshi9642 2 ай бұрын
Ndo maana ujaskia nikiimba ujinga Maana sijui ,sio kuongea kitu hujui
@MudJumaa-jg2cu
@MudJumaa-jg2cu 3 ай бұрын
Mbn yuk pic xsn harmonize
@AdamsonSembo
@AdamsonSembo 3 ай бұрын
Its worldwide interview not everyone understand swahili let him mix the language
@RajabJuma-pe9ml
@RajabJuma-pe9ml 3 ай бұрын
Hahahaa mmakonde nimzungu full hahaaaa ngeli mingi
@Vuma_live_tv
@Vuma_live_tv 3 ай бұрын
Kiingereza sasa 😂😂😂
@Kasika-hi6hf
@Kasika-hi6hf 3 ай бұрын
Mpk naskia aibu 😅😅
@AUGENSYLIVAND-rq7hz
@AUGENSYLIVAND-rq7hz 2 ай бұрын
Hayo ni yenu kwakweli
@BizeddOfficial
@BizeddOfficial 3 ай бұрын
Mtu akijua kingeleza tu ndo bas atatutesaaa tusojua utazan lugha ya taifa Ukiulizwa kiingereza jibu kingereza na ukiulizwa kiswahili jibu kiswahili sa anatuchanganyia michembe na chips
@Kasika-hi6hf
@Kasika-hi6hf 3 ай бұрын
Hakuna kiingereza hapo, ni aibu tupu
@BizeddOfficial
@BizeddOfficial 3 ай бұрын
@@Kasika-hi6hf hahahaa mbona intreview za nje hawatuonesh mana ndo kwao kiingereza ilahapa kwetu bongo chap tu katia kimombo
@Kasika-hi6hf
@Kasika-hi6hf 3 ай бұрын
@@BizeddOfficial kaka hapo hakuna kimombo ni kubananga maneno ya kiingereza tuu, Yani ni Ile linalokujia unataja tuu, wee c unaona ata kiswahili anavokosea kutamka r na l?
@ALFANIKANGE
@ALFANIKANGE 2 ай бұрын
Oya mmakonde
@randomtube3002
@randomtube3002 Ай бұрын
Aaaaaaiiiiiii Konde hiyo kidhugu na calmness umeitoa wapi aki speaking slang like Amercans 🙌😂😂😂😂😂
@randomtube3002
@randomtube3002 Ай бұрын
Aaaaaaiiiiiii Konde hiyo kidhugu na calmness umeitoa wapi aki speaking slang like Amercans 🙌😂😂😂😂😂
@kadalajr
@kadalajr 3 ай бұрын
Poor interviewing
@Dogolumatz
@Dogolumatz 3 ай бұрын
ila harmonize
@JeanLunda-nv5fd
@JeanLunda-nv5fd 3 ай бұрын
Jeshi tembo Conde boy
@bboyofficial6
@bboyofficial6 3 ай бұрын
Hawa waliiba hiyo Ngoma 😢😢😢
@MwilikwaNgongo
@MwilikwaNgongo Ай бұрын
Harminize hahujui kingereza na hunskifodi kuongeha kingerena kaa vyakwako sio kufati lia vyamwezako
@AlbanoHasani
@AlbanoHasani 3 ай бұрын
Konde ni mkali anajua
@jhashick8983
@jhashick8983 3 ай бұрын
Kichwa cha habari na content iliopo ni uongo tu 😂 etu baddest ni mdogo sana kuibiwa nyingo 😂🙌🏾😅
@XKathurima
@XKathurima 2 ай бұрын
Ambia huyo harmonize aoongee Kiswahili kizungu n ulaya
@MikeSharon-bi1ni
@MikeSharon-bi1ni 2 ай бұрын
😂😂😂you need strong English to interview harmonize 😅😅
@tonebrown7411
@tonebrown7411 2 ай бұрын
Harmo nakukubali saana chinga mwenzangu ila tatizo kaka lugha yetu ya taifa unaisahau saaana unachanganyu luga saaana kiswahili unajibu kiiinge kiingeleza unajibu kiswahili kueni makini na vitu munavyoulizwa nyny ni kiooo cha jamii tunawaiga nyinyi inchi yetu i a lugha ya taifa basi tuijali na kuisamin ila munapoenda nnche basi tumieni hiyo lugha ya dunia tusiwe kama keya tukawa watumwa wa lugha za wenzentu
@chrissmitindo5727
@chrissmitindo5727 3 ай бұрын
Mtangazaji anatetemeka Sana😅
@umojamedia4167
@umojamedia4167 3 ай бұрын
Uyo ni mzoefu sema ongea yake ndoivoivo
@kiatu
@kiatu 3 ай бұрын
Hayo mambo mdogo sana umesema wewe, Labda kama alisema off cam 😂
@Nyasamedia
@Nyasamedia 3 ай бұрын
Mwamba uyo
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 3 ай бұрын
Nyie midian mnazingua uyo alie ibiwa nyimbo ata ajulikani ata jina ana
@Godmaletz
@Godmaletz 3 ай бұрын
Baddest47
@tonebrown7411
@tonebrown7411 2 ай бұрын
Wewe ndio humjui na wewe itakua mkenya wewe uko busy na maaandamano😊
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
@@tonebrown7411 mkundu wa mama ako kwani mkenya cio mtu
@tonebrown7411
@tonebrown7411 2 ай бұрын
@@AllyBabu-kr6lg hujui kia nyny mbuz weusi kama udongo wa ruangwa
@tonebrown7411
@tonebrown7411 2 ай бұрын
@@AllyBabu-kr6lg jichungulie uko mapajan alafu uniambie kupoje ndivyo ulivyo huson
@damaserick
@damaserick 3 ай бұрын
alie ibiwa nyimbo ni nani huyo mbn sija wahi kuisikia akiimba au ana tafuta kik
@HumphreyNyiti
@HumphreyNyiti 3 ай бұрын
Tatizo huwa apendezagi akiongea kingereza,ongea kiswahili bhana
@samirmswahili
@samirmswahili 3 ай бұрын
Ukijifunza kitu pila sana pratica ili kukuza ulichojifunza
@rodriguekalubandika535
@rodriguekalubandika535 3 ай бұрын
Wapili naomba like zenu
@Nyamko-christmas
@Nyamko-christmas 3 ай бұрын
Wa36
@DIZZOBROWN
@DIZZOBROWN 2 ай бұрын
Jamaa kafanana na Angela msanii wake😂
@ChafuTatu-vs1jo
@ChafuTatu-vs1jo 3 ай бұрын
Usiteteme
@Hsmufalme
@Hsmufalme 3 ай бұрын
Kingereza kingi jama wewe je
@petermokami2273
@petermokami2273 2 ай бұрын
Jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@raphaelmwaura1648
@raphaelmwaura1648 3 ай бұрын
Lakini apa kwetu kenya sensema mimi sjawai iskia ila nyinyi kwenu tz mna ishifia saana
@geofreyj.1986
@geofreyj.1986 3 ай бұрын
si nyie mpo bize kwa maandamano
@tonebrown7411
@tonebrown7411 2 ай бұрын
Hahahahahahahahh kweli kaka inchi haina aman​@@geofreyj.1986
@JacobFredy
@JacobFredy 3 ай бұрын
Ila harmonaiz
@ahmedmatic3152
@ahmedmatic3152 3 ай бұрын
Ila badilisha kinyozi man alokunyoa kakuchonga vby izo square
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 3 ай бұрын
Mwanaume unaombaje like😡
@chui99
@chui99 3 ай бұрын
Ana kosa mmakonde
@KasimuMushi
@KasimuMushi 3 ай бұрын
Ongea kiswahili ww choko
@FranklinMartin-tp5ss
@FranklinMartin-tp5ss 3 ай бұрын
shaili kama hujalielewa basi hujaandikiwa ww vunga choko ww
@KasimuMushi
@KasimuMushi 3 ай бұрын
@@FranklinMartin-tp5ss ww choko na harmonize wako huyo
@KasimuMushi
@KasimuMushi 3 ай бұрын
@@FranklinMartin-tp5ss mond ndo huyo yupo france na chris anacheza ngoma za simbaa
@FranklinMartin-tp5ss
@FranklinMartin-tp5ss 3 ай бұрын
ndomaan mnaambiw wabongo mnapend kutrendsha vtu vya kijinga kwan yey altak ichezwe na wabong pekeake au yeye achezag nyimb za wat? achen mamb ya ktot halaf nend kaanglie sportfy huyo chris hat 10 bora hayupo na han hit yoyt miak 5 sasa
@FranklinMartin-tp5ss
@FranklinMartin-tp5ss 3 ай бұрын
halaf kwan paris si kaend kwa nauli yake au kaitwa
@bulletstunnerz4052
@bulletstunnerz4052 2 ай бұрын
frome kenya mkakonde anavimba sana nomaaaaa
@hollymore4904
@hollymore4904 3 ай бұрын
Broken English 💔
@rickierunyota3613
@rickierunyota3613 3 ай бұрын
Hata wazungu wanaongea kiswahili kibovu
@hollymore4904
@hollymore4904 3 ай бұрын
@@rickierunyota3613 ndo kila mtu aongee lugha yake Kama ya mwenzio huiwez kiufasaha.. inaleta maana tofaut
@richkaja3317
@richkaja3317 3 ай бұрын
Dogo afanye mziki acha kingereza rudi usafini acha ushambaa Boy harmonize
@jojokimikya1447
@jojokimikya1447 3 ай бұрын
Kwan ame fanya filamu ??? Then Kam hujuw kingereza wende ku learn instead of saying bullshit here
@FrankMmbaga-je2cl
@FrankMmbaga-je2cl 3 ай бұрын
Wewe hutaki ongee kingereza acha wivuu wewe
@rajabuSaid-hj7fm
@rajabuSaid-hj7fm 3 ай бұрын
Mwamba huyo
@JosephAntonia-pw5bz
@JosephAntonia-pw5bz 3 ай бұрын
Hamo ana jua kuimba ila tatzo lake anajiona xana et
@richardmkinga
@richardmkinga 2 ай бұрын
Fullu minyunyu
@mr_kajomba_og5719
@mr_kajomba_og5719 3 ай бұрын
Mmakonde anamwaga ngeli tu
@jmwa
@jmwa 3 ай бұрын
Duh 😂😂😂😂
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,6 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 12 МЛН
Harmonize - You Better Go (Lyrics Video)REACTION
9:44
Van isikaka
Рет қаралды 22 М.
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,6 МЛН