Nampenda sana hamorapa hakatii tamàa,luv from Kenya mombasa
@chamillairakoze64652 жыл бұрын
Good harmo u look good Na hongera🥰🥰
@jacksonjamesndyabawe4713 жыл бұрын
Keep it up Armo Rapa.. One day watakuhelewa tu
@sikukuuchuo30933 жыл бұрын
Kumbe harmo ni mzuri akapendeza Mashallah
@ephesongailo85643 жыл бұрын
Tanzania nchi nzuri Sana, sema Tozo tuuu ndoo kerooo......
@yusuphmbowe95283 жыл бұрын
Leo umependeza harmorapa
@ericknyiti71613 жыл бұрын
Dah huyu jamaa kumbe hensam et😎
@khadijahali48373 жыл бұрын
😊😊
@mdzainb37223 жыл бұрын
Tatizo pesa😅😅😅
@wisperfect53203 жыл бұрын
Ndio umejua leo😂
@idrissatuppa39973 жыл бұрын
Dada Kauzu zaidi ya Dagaa.
@mohamedkissima48933 жыл бұрын
Ukiweza kucheza na kiki za matukio hapa Tz mke unapata kirahisi sana. Big up sana Harmo Rapa
@michaeljohn90703 жыл бұрын
Sahihi kabisaaa kaka,, tena unaweza pata mpaka mwanamke wa kiarabu kabisaa
@thefashoonkiller72253 жыл бұрын
Safi Sana harmo nakubari umekuwa sasa
@helderman20003 жыл бұрын
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na mpenzi anayekusapoti na kukuinua ukiwa chini
@thomasboso30813 жыл бұрын
Oui!
@simbawateranga70203 жыл бұрын
Nawewe unaamini🤣🤣
@thomasboso30813 жыл бұрын
@@simbawateranga7020 dacord!!
@ahz69073 жыл бұрын
Ni adimu sana hususani zama hizi.watu hawana imani na uvumilivu.
@dfinalpatrick85553 жыл бұрын
Hao washakubaliana kiki bas waendelee kupeta mjini
@khadijahali48373 жыл бұрын
Kmb ukivaa nguo nzuri nawe waonekana mzuri
@omarnzaro313 жыл бұрын
Eti kumbe watu wanapenda kulingana na majira eeeh. Hamo Kawa serious jamani kabadilika maongezi muonekano heee kukomoto
@eunicewambui46453 жыл бұрын
Dah napenda sauti yako sana Ayo from kenya
@jamilasalimvilog67523 жыл бұрын
Kabadilika pakubwa sana hongera ziota kwa kumtunza
@edgarnandonde483 жыл бұрын
harmorapa safi sana umeongea kimchezo kabisa 👏👏👏👏
@robertjunior99163 жыл бұрын
Harmorapa 😎
@mussaagrey56793 жыл бұрын
Nenda katumie hizo pesa mzee Rapa wanawake wa kibongo unyoosha sana mtu ukiwa mbwiga Kwenye mitonyo, ongera ila kuwa makini kwenye pesa na makahaba, nakukubali sana unapambana sana we mjeshi
@gazeomar82733 жыл бұрын
Amorapa nakubali brother
@ramlanassir15593 жыл бұрын
hongera harmo lakin isiwe kiki kama mwanzo
@issachipeta45273 жыл бұрын
Kijana.umetisha.sana.ongela
@rashidsaad79483 жыл бұрын
Mashallaaa💚💛💜❤💙💪🔥
@alkaullahmediaTz3 жыл бұрын
sema harmo rapper atakuja awe star knm
@mosesjames36273 жыл бұрын
Mkali wenu. Pale nyuma Na jezi LA wananchi
@ephraimmahambo85163 жыл бұрын
Dada Safi Sana msapoti hivyo hivyo na endelea kumpenda
@happynesskasanda72753 жыл бұрын
Umependeza bana
@ousmanjuma33963 жыл бұрын
Harmorapa ndio mshindi banaaaa
@rasymb61903 жыл бұрын
Waooo nakubari Sana
@ambakisyemwanjemba57873 жыл бұрын
Hamorapa na Grand p Mambo yao yanafanana
@francopiusi64113 жыл бұрын
😂😂
@erastonicholas55893 жыл бұрын
Kigari gani hicho wakati wigi lako lenyewe linapepea umechka mafuta