Very interesting interview kwa sisi wapambanaji be humble kwa kile kidogo unachokipata
@josephmihayo62365 ай бұрын
Very humble Guy. Hongera sana Mbwana Ally Samatta.Mungu aendelee kukulinda na kukubariki.
@protaspeter5371 Жыл бұрын
Mungu kweli fundi, hamjalii mtu kizembe, this is a right one, samata we ni genius
@sarahsalum2325 Жыл бұрын
Samatta na ally kiba walitakiwa kuwa ndugu jamn 😊vitu ving wanaendana hasa life style ALLAH AWAHIFADHI
@hadijamsati88134 ай бұрын
Acha kumfananisha samatta na vitu vya kijinga
@shabansumaiya47703 ай бұрын
Ameen
@johnbernad3990 Жыл бұрын
Hakuna kitu kizur kama kumshukuru Mungu God bless you 🙌mbwana samatta
@aaronswai309210 ай бұрын
Mungu akubariki sana Samatta! Una hekima kwa kuwa u mnyenyekevu! Mungu akuzidishie
@samuelkiama975 Жыл бұрын
Mtangazaji smart sana🎤
@muksinimbaruku1233 Жыл бұрын
Wanaopata mali za maagano ndio wanaosumbua watu kama hao wasanii wenu, ila mali halali unakuaga poa sana coz una jua kwamba only God
@ashaanab-sy4cq Жыл бұрын
Nawapenda Saana Samata Na Alikiba Big Up💪💪💪
@user-rl9us9jw4g6 ай бұрын
Kivipi yaani😅😅😮
@albertkamala6843 Жыл бұрын
Samaboy! Brilliant, very smart and humble!
@jumannemwakalinga258610 ай бұрын
Mbwana Samatta, hongera sana Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza, wewe huna makuu!
@alexkalonga5323 Жыл бұрын
Ata kuongea anaongea kama King Kiba huyu jamaa!
@dechardavid2555 Жыл бұрын
Sindioo
@abuushakiraddausiy866610 ай бұрын
Maashaallah ushaahijiii kaka baarakallah fiikum
@alluabdallah689310 ай бұрын
In fact, you have said something that the fear of God here has made me think too far. Thank you, brother. May God protect you and guide you in happiness.
@JamalJamal-bx2cd4 ай бұрын
😅😅y4x ģ❤
@jeffkonki8279 Жыл бұрын
Kuna tofauti kubwa kati ya samata na diamond ,Diamond kutw Kuonesh hela zake mtandaoni
@tumahamza8972 Жыл бұрын
Baarik Allahumma feekum. You're very smart and humble. Even the way you are answering the questions. May Allah protect you.
@ibrahjoseph4239 Жыл бұрын
Naombeni jina la huyu mtangazaji anajua sana maswali hayakeri ni tofauti na watangazaji wengine
@oscanyakunga Жыл бұрын
Point naomba Mungu utusaidie
@abdulmiyugi Жыл бұрын
Samata one❤ MY brother mtoto anabidi aoneshe mfano mzuri wa kutafuta pesa.nimeipenda iyo
@francismepukori9840 Жыл бұрын
U know brother. Contented🔥✅
@sangajaffar74195 ай бұрын
Well done dogo samata ,stay blessed
@tatually1366 Жыл бұрын
Masha Allah 🍀🍂. Mwenyezi mungu amejali 🙏👏❤️
@Juma-kb3mg3 ай бұрын
Brother allah akufanye uwe na hyo roho dah
@nathaniazori3697 Жыл бұрын
Big point bro ur bright umeongea vitu ambavyo ni sahihi🙏
@JummaSammata-ny5xf Жыл бұрын
ALLAH akufanyie WEPESI
@yusufunguruko8080 Жыл бұрын
Mtangazaji unajua, unajua, unajua saana kuuliza, Big up Samata !
@hoseamagawa9088 Жыл бұрын
Ayo maneno dawa sio mtoto aseme baba ana mali apambane kwa jasho lake nayeye big up
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Kuna kitu nimejifunza aise kupitilia huyu samata Asante sna bado zinachelewa kwa huu umri nilio nao Kwa sasa ubarikiwe mume wangu kwa kuniweka njia nzul nizid kuwa mke bora na sio bora mke kama WAkina furan maisha ya private Mazur sna
@muhidinponda1498 Жыл бұрын
Safi sana kwa muuliza maswali👏
@FILIMINIGWASMAY4 ай бұрын
Samatta you are the legendary uzidishiwe
@maonitalk8554 Жыл бұрын
Safi sana ubarikiwe
@paschaledward8670 Жыл бұрын
Sammata akili 🧠 kubwa. Big up bro.
@peterlujuo1640 Жыл бұрын
If humble was a person 🙌🙌
@efrahfarahahmed8960 Жыл бұрын
MashaAllah ALLAH akuzidishie
@user-zf2wx8rv4l10 ай бұрын
Mashaallah kijana mungu akuzidishia usiwe na majivuno
@shukranitv2971 Жыл бұрын
Yaaan samata Ni star mkbwa sna lakin hata ndoa yake tu aliifnya kimyakinya Ila ningekuwa mm duhhh
@constantinochalle856 Жыл бұрын
Huyu jamaa anatabia kama za ali kiba,,,,life zao ni password
@abedomar5183 Жыл бұрын
Yeah kweli kabisa yani same system with Ali Kiba
@omyjy4819 Жыл бұрын
Kama kiba
@ibrahimuselemani4076 Жыл бұрын
Sure kama Alikiba exactly
@ahmedysaidy9874 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣ally kiba ana nini labda sehemu zake za s.......... Ndio anazo show off kwa wanawake.
@princekarani7836 Жыл бұрын
@@ahmedysaidy9874eheee kumbe,yani unahisi hana kitu🤣🤣🤣
@_CyprianBC Жыл бұрын
Good and clean Brother
@lutatuzo739511 ай бұрын
Soo good 👍👍
@brunobalama6046 Жыл бұрын
wa kwanza nipen like zangu..
@papamukulu1045 Жыл бұрын
Humble man
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Mashaa Allah
@MarijanLooserboy-hw6gs Жыл бұрын
Huwez mfananisha smata na Ali kiba wala daimond samata himfananisha na staa wowote Tanzania anajielewa na Juan nini kitakiwa katika mfumo wa dunia na akhera yake big up samata
@vincentmbaire2666 Жыл бұрын
Humble guy
@nasrayahya288511 ай бұрын
Mungu akuzidishie uko vizuri simtu sifa
@geraldalfred1781 Жыл бұрын
Smart indeed
@msafirimfilinge8222 Жыл бұрын
Saluti bro viva sana kaka
@sekietetv7131 Жыл бұрын
Masikini wengi ndo tuna majigambo waliofanikiwa sana wapo humble sana , Huyu mtu ni bilionea ila see how he is
@chriskuboja423411 ай бұрын
Baadhi ya maskini wakipata ni kelele Sana Ila wachache Sana wakipata ndio wanaendelea kuwa wanyenyekevu
@ramadhanihudhaifani4376 Жыл бұрын
The truth has been spoken! Kudos sana,home boy. ✊💪🤝
@khamissons1206 Жыл бұрын
Mm n
@MajibuCredit Жыл бұрын
Safi sana Diego
@humphreymahenge6498 Жыл бұрын
Respect
@wilibrodiadrian8021 Жыл бұрын
Ana hheshma sana , Mungu azidi kumbariki.
@danieljoseph1610 Жыл бұрын
Yuko sawa kabisa, Atuache ambao bado tuna uhitaji kwa mungu tuendelee kumwomba! Ni kweli atupe nafasi nasi tupewe!
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Samata endelea kuwa wa kawaida itazidi kukusaidia
@julianaedward4190 Жыл бұрын
Kabisa jamani SI wengine wakipanda tu ndege wanaanza kuwakashifu walimu wao...sio vzr kabisa to be humble ni muhimu sana ktk maisha
@ibrahimnyanga8971 Жыл бұрын
Hahhh nimefurah saana sentensi aliyomalizia tunaambiwaga wengi saana maashaallah
@daudimungi13273 ай бұрын
So humble guy.. Mengi ya kujifunza.
@amanimangalila-pj8ik4 ай бұрын
Ukitaka Pesa Idumu Nawewe, Jifanye Huna Hata Kama Unazo. Na Ukijifanya Unazo Kabla Hujazipata Sahau Kuhusu Kukutana Nazo. (Pesa Ina Nidhamu Yake).
@user-zz8qr9gn1f5 ай бұрын
Uko vizuri kijana ubarikiwe
@saidbakari2408 Жыл бұрын
Nawakubali saana Alikiba na Samata maisha yao yana full password
@henrychaula11745 ай бұрын
Hongera sana Mbwana Samatta kwa majibu mazuri na mayo wako wa kutokuwa na tamaa ya vitu
@westchugagang5323 Жыл бұрын
SAMAKIBA FOUNDATION WAMEFANANA
@sebastianmathew8475 Жыл бұрын
Je salama tz nahodha nakuomba umiliki wa hospital kubwa kama muhimbili urudishe kwa jamii. Ubarikiwe
@benedictinelusambo069 Жыл бұрын
Alikiba na samatta tabia zao zinaendana sanaa
@happinessogisto29185 ай бұрын
Hongera sana Mungu awe na wewe ❤
@judithsalvatory28925 ай бұрын
Hongera kwa hekima zako.
@mbaruksaid57755 ай бұрын
Bwana samatta kaongea vizuri sana hongeraa
@kingfuture7147 Жыл бұрын
Angekuwa GOODLOVE 🤣🤣🤣🤣
@gumbagumbalaulent4797 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@blaizerballer4248 Жыл бұрын
Dah yule jamaa hana kityu kabisa na anajisifia sana yule chief godlove 😂
@mpajibinaisa72385 ай бұрын
Hahahaaaaa umetisha kaka
@Smartboy-wt1es11 ай бұрын
Good spetch
@fatmasayid8895 Жыл бұрын
Busara na nidhamu msingi wa maisha bora Big up
@HuliloDonard-gu9bp Жыл бұрын
Nimependa kauli ya ishi maisha yako
@emanuelatilio285310 ай бұрын
Nakubali sana broo
@eliahmoshi9811 Жыл бұрын
Fact
@user-hn9hd3og8u5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ umeongea sawa kaka
@sadruhsnow5637 Жыл бұрын
Ndio life safi
@user-mu2kb2lv3v5 ай бұрын
Hongera sanaaa mwamba mungu akupe wepesi❤❤❤❤
@user-ms6dc7ik2b5 ай бұрын
Salute
@emmanuelmashaka1229 Жыл бұрын
Akili mingi sana
@shukranitv2971 Жыл бұрын
Majibu mazuriiii sna wabongo hatuishiwi maneno
@leonardalfred9214 Жыл бұрын
Good
@manyuhawilson4201 Жыл бұрын
🙏🙏
@vickylyimo7483 Жыл бұрын
👌👌
@tatually1366 Жыл бұрын
Allah ❤️ tu
@reubenshaban6488 Жыл бұрын
Muwe munaangalia mazingira mazuri ya kufanyia interview sio mnahoji watu Inzi nao wanapitapita tu hovyo
@user-nn9ds7uf2r11 ай бұрын
Uko vzr sn mbwana kwl kuna watu wanauhitaji wa kitu kdg tu wanakosa we unaomba kununua ndege mungu akufanyie wepes mzee
@user-xr5tx6rc7t5 ай бұрын
Man Of The Peoplezzz
@mnamamnama2732 Жыл бұрын
Ana akili
@stevenemwakasimba-pt8er Жыл бұрын
Huyu dogo anajitambua sana mungu atanfikisha mbali
@swaumuugata41664 ай бұрын
Nawapenda sana wewe na mbwana samata na ally kiba mko na moyo Wangu walah💋🙏
@HAMII_DIGITAL.5 ай бұрын
Icon
@lusakobaraka9854 Жыл бұрын
Mtangazaji ningekua natuzo ningekupa umetisha hatar Yan 🔥
@LB-ls8yj Жыл бұрын
Wow Wow! 🙉
@evanestharold50792 ай бұрын
Mungu akubariki sanaaaa
@ashaanab-sy4cq Жыл бұрын
Ni Sawa Hivyo Unavyoishi Kakaa,Sio Kila Mtu Ni Mwema Kwako
@e.e56985 ай бұрын
Ameongea mengi mazuri lakini kuna kitu ambacho kakionesha ambacho sisi waafrika/watu weusi tunacho....Hatuwezi kutengeneza ajira za familia...Hatuwezi/Hatutaki kurithisha watoto wetu tulichonacho...Wenzetu wahindi na waarabu wanatengeneza ajira za familia...Sisi tunataka watoto wetu nao waanzie 0...nao wateseke kama sisi...nao wawe na vyao pekee yao...mwisho wa siku poverty cycle haiishi...
@ramadhanitokwete80695 ай бұрын
That's true
@mgonasipapune13835 ай бұрын
Very True
@ElikanaKikoti5 ай бұрын
Huwezi mlazimisha mtoto Aliso kipaji chako kipaji Mungu ndie anaekujaalia hivyo basi elewa kua mpila nikipaji alichopewa samata mwanae anaweza kua hana kipaji champila wala akili yadarasani bali anakuwa na akili yakufanya biashara vivyo sasa samata hapo inatakiwa atoe sapota yamtaji ili kijana wake naye aingie kwenye gemu ya biashara
@e.e56985 ай бұрын
@@ElikanaKikoti Sikuwa namaanisha kuhusu kucheza mpira...
@ElikanaKikoti5 ай бұрын
@@e.e5698 okay hapo sawa
@emmanuelkisusu24655 ай бұрын
Hofu ya Mungu kui control pesa, daah safi Sana, kijana yuko humble
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Nimependa unamshukuru Allah sana
@MAISHAYACROATIA Жыл бұрын
Wanae wanasoma IST Ada mil.70 na ushee huyu Jamaa kiboko na apo aliwapeleka alivyoenda genk tu