Рет қаралды 1,126,780
Mchekeshaji Joti usiku wa kuamkia Jumapili hii katika ndoa yake iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es salaam, alicheza sebene la nguvu kwa kukatima mauno mbele ya wake zake. Ndoa yake hiyo ilihudhuriwa na ndugu, jamaa pamoja na marafiki.