Рет қаралды 22,411
Crew mzima ya JUFE FILM PRODUCTION tumefanya safari ya kwenda Kisiwa Panza nyumbani kwa Kiswabi kujumuika pamoja na Familia,majirani na wanakijiji katika kufanikisha Harusi ya Kiswabi .Tumewasogezea karibu mujionee mwanzo mwisho. Asante.