WATOTO 200+ WAFUNDISHWA YASIYO MAADILI BAGAMOYO, DC AIFUNGA MANGO KINDER “WAJERUMANI NDIO WAFADHILI"

  Рет қаралды 69,509

Millard Ayo

Millard Ayo

6 ай бұрын

Пікірлер: 648
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 5 ай бұрын
Hongera Sana DC kwa kazi nzuri,mungu akubariki sana
@selemanimmeswa3556
@selemanimmeswa3556 5 ай бұрын
Tafadhali ndugu zangu mimi ni mkongo fungeni hiyo haraka;mambo kama hayo ujeremani ayapo.
@user-ix8jb7oc4q
@user-ix8jb7oc4q 5 ай бұрын
Mama Mungu akulinde. Dc,Kazi iendelee. MUNGU IBARIKI TANZANIA
@hezronkilale3879
@hezronkilale3879 5 ай бұрын
Hivi sisi watanzania nani katuloga unampeleka mtoto sehemu ambayo hujafanya utafiti Kuna Nini hivi unazaa mtoto ili mtu mwingine akulishie ,Mungu afungue akili zetu tujue wajibu wetu Kama mzazi.Hii Dunia usimwamini mtu.
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 5 ай бұрын
Kazi nzuri DC wangu, endelea kufukua maovu
@PASTORELIYANGILANGWA
@PASTORELIYANGILANGWA 5 ай бұрын
Hongera Sana MH. DC Kwa KAZI NJEMA,kuna haja ya vyombo vinavyohusika KUTOA vibali kama HIVYO KUFUATILIA shughuli zinazofanywa na Jamii ya NGO'S KAMA HIZO..
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 5 ай бұрын
Hizi taasisi zenye ufadhili wa nchi za ulaya na Marekani, asilimia zaid ya 90 yanajihusisha na mafunzo ya ushoga na usagaji.
@sebastianmsilikale4683
@sebastianmsilikale4683 5 ай бұрын
Asante mkuu wa wilaya mungu akubariki. Mzungu hana chochote, hata madini wanakuja kuiba tu.
@user-gw4vv5uh9z
@user-gw4vv5uh9z 5 ай бұрын
Asante sana afugwe kamata wote uwezi kwenda ulaya na kfungua kituo kama icho kinafundishwa uchafu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 5 ай бұрын
Wazazi tuweni macho na WATOTO dunia imeharibika ASANTE DC 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@user-ts7hj5yp8w
@user-ts7hj5yp8w 5 ай бұрын
Kazi nzuri sana hii ya mkuu wa wilaya pamoja na timu yako yote. Honestly speaking, mkuu wa wilaya uko vizuri sanaa & nimependa ung'eng'e wakoo. {Mash'allah...., Mola wetu Mtukufu akujalie wepesi zaidi katika kazi zako, pamoja na timu yako yote & nakuombea kibali zaidi katika nafasi za juu zaidi kwenye ngazi za serikali kwa siku za usoni}.
@tunudachitalks6575
@tunudachitalks6575 5 ай бұрын
Ameen ❤
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 5 ай бұрын
Alivyovaa jamani Dada mkuu WA wilaya Mungu akutunze my dear
@onlinetraining86
@onlinetraining86 5 ай бұрын
Mkuu wa wilaya huyu anaakiri kubwa sana, Mungu amuongoze kwa busara kubwa aliyoifanya hapa, maswali yote aliyouliza hayajajibiwa na mmiliki, Serikali iwe macho hivi hivi. Binafsi naamini alichokifanya na kukiamua kiongozi huyu.
@kamrudinelias3922
@kamrudinelias3922 5 ай бұрын
Asante Mhe Halima Okash...alhamdullilah
@shaukhansogo8170
@shaukhansogo8170 5 ай бұрын
DC nimempenda kanyooka sana hana konakona kafanya maamuzi huku akiumia moyoni Kwa mda Gani watoto wetu wameharibiwa ALLAH SW ambariki pamoja na timu aliyokwenda nayo
@muna1165
@muna1165 5 ай бұрын
SAFI SANA DC KAMATA HAO NDIO WANAO WAFUNDISHA USHOGA KAMATA KABISA
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 5 ай бұрын
😢 Tatizo Watanzania Kinachotuponza Kuendekeza Njaa Kutokuweza kubalans Shobo
@dicksonmoses9330
@dicksonmoses9330 5 ай бұрын
Njaa mbaya sana
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 5 ай бұрын
Chanzo cha yote haya ni umasikini uliokithiri (abject poverty) kwa umma wa watanzania. Na huu ni ushahidi mwimgine wa kutosha wa jinsi serikali yetu imeyumba katika kuhudumia umma wake. Ebu tafadhali muyalinganishe haya na yale wanaharakati wanayopigia kelele kila siku. Mtapata majibu mwanana. Pili simuelewi DC vizuri anaposema watoto wanafundishwa mambo ya kijinsia. Mambo gani? Ilifaa afafanue kiasi fulani Mfano: tumegundua wanafundishwa ushoga, elimu ya balehe kabla ya umri stahiki, ndoa, na vitu kama hivyo. Tatu endapo uchunguzi wa kina na haki utaendeshwa yatagundulika yaliyojificha na mahakama ndo ya kutujuza nani mkosa, halmashauri mtoa vibali, wazazi au mfadhili.
@totonata5384
@totonata5384 5 ай бұрын
Wote watakua na makosa. Serikali lazima iwe makini katika utoaji wa vibali. Mtu mwingine hana haki ya kufundisha watoto wetu bila ya ruhusa. Kila mzazi ni wajibu kulinda na kuwalea watoto wao katika mila na desturi na imani zetu. Pia kama mtu huwezi kulea ana haja gani azae? Wazazi hutumia neno umaskini wakati wa uzembe wao. Huwezi kulea basi usizae
@EdwardHare-xb1qy
@EdwardHare-xb1qy 5 ай бұрын
Absolutely
@willygwaikana
@willygwaikana 5 ай бұрын
Ndg. chanzo sio umasikini ila upotofu maana hao wafadhili wa mambo hayo sio masikini. Nchi tajiri ndizo zinazosukuma hayo maovu duniani. Sasa wao waliyapataje, je waliyapata wakiwa masikini? Chanzo kikubwa sana cha upotofu ni kuimba wimbo wa maendeleo huku tukikiuka maagizo ya Mungu ili kupata haya maendeleo. Marekani imeendelea sana, lakini huko ndiko chanzo ya upotofu mwingi duniani na ndio wahamasishaji wa maovu duniani.
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 5 ай бұрын
Ndgu. Maana yangu kusema umasikini chanzo cha yote ni kwamba: ukiwa masikini mtu tajiri akikwambia nitakupa shs 100,000 (huku amekukuta una njaa wiki nzima na hauoni pa kutoea) nilambe miguu, utamlamba! Nipe mkeo, utampa! Nk. Na ndo maana leo umasikini unatuzalishia vibaka, makahaba, kukosa utulivu na tafakari, uchawa, nchi kuingia mikataba ya kifisadi nk. Sasa kwa hili la wazazi na watoto ni kwamba umasikini umezaa serikali ombaomba, hatuna taasisi imara za kukinga maovu toka nje na wazazi kwa vile nao wana njaa hawana muda wa kutafakari au kuchambua nini ampe mtoto wake. Si rahisi kuchambua jambo ukiwa na njaa kali na vivo hivyo kitaifa! Ili unielewevizuri namaanisha nini, naomba utembelea historia ya China ya Mao na China ilipo hivi sasa. Asante.
@willygwaikana
@willygwaikana 5 ай бұрын
@@stewartdyamvunye-wz6rn Ndg. umaskini ni kisingizio tu kinachosababisha mtu kupokea uovu kwa sababu ya kuahidiwa alichopungukiwa. Lakini chanzo kinatoka katika moyo. Moyo ukiwa wenye adili na safi hauwezi kurubuniwa na mali. Wengi ambao leo ni mafisadi sio watu maskini, ni matajiri, wenye mishahara mikubwa. Chanzo cha ushoga kimeanzia kwenye nchi ambazo ni matajiri. Swali, ni kwa nini mapotofu yameshamiri kwa hao ambao wameendelea? Wapi ambako ni rahisi kuupokea ushoga kati ya vijijini na mijini? Kwa nini watoto wa matajiri ndio ni rahisi kuupokea ushoga au umalaya au utovu wa adabu kuliko watoto wa maskini?. Kama ni tatizo ni umasikini, kwa nini wazungu hawaendi kwa masikini vijijini kuwarubuni ili wawe matajiri? Amini usiamini kwa kadri tunavyozidi kuelekea huko kunakoitwa maendeleo, ndipo ushoga utakuwa huru mitaani. Ndio maana hao wazungu wanahimiza sana maendeleo maana ndani yake kuna kupotoka kimaadili. Tamaa ndio hupelekea mtu kudanganywa na kurubuniwa kutenda uovu, lakini tamaa hiyo haitokani na umaskini bali inatokana na moyo usio na adili. Maadili hayategemei hali ya kipato cha mtu, bali moyo ulio mwema. Mtu mwadilifu hawezi kuiba, kuhongwa, kumuua mwezake ilia pate mali, kurubuniwa, kujiuza kwa ukahaba au kuuza utu wake kwa sababu ya mali au anasa. Kwani nchi za ulaya zilirubuniwa na umasikini wao ili waukubali ushoga, ukahaba na haki potofu za wanadamu?. Ni mioyo tu iliyopotoka. Ndio maana mafunzo mengi leo yanalenga kutuposha kimaadili moyoni ili hatimae uovu uonekane ni sawa. Ibilisi ana ajenda ya kusimika uovu duniani, lakini ataanza kwanza kwa kutupotosha kimaadili moyoni. Leo taasisi za fedha zina watumishi wengi wezi na wabadhilifu kuliko wale wa miaka ya nyuma ambao hawakuwa wezi japo walikuwa hawana hata baikeli. Hata wachungaji wa leo ni watafuta mali tu, si kwa sababu ya umasikini bali kwa sababu ya mioyo yao isiyotakaswa kwa neno la Mungu. Yesu alisema kikombe kikitakaswa ndani ndipo nje nako kunakuwa safi Mt 23:25. Kwa maana moyoni ndiko kwenye chanzo chote cha mabaya na tamaa, lakini vile vile moyoni ndiko hutoka mawazo mema na uadirifu. Na hapo haijalishi tajiri wala masikini, ila hazina ya moyoni ilivyo - Shida iko kwenye mioyo. Mt 7:18; 12:33-35; Luka 6:43-45
@stellakasian4532
@stellakasian4532 5 ай бұрын
Kazi nzuri DC hao ndo wanao tuharibia watoto wetu.
@kisinza6077
@kisinza6077 5 ай бұрын
Tunahitaji mrejesho wa hili jambo!
@kambamazig02024
@kambamazig02024 5 ай бұрын
DC asante sana, tuna kazi kubwa tusipoangalia watoto wetu tunawapelea kusiko faa kabisa. Hao wafadhili wa hii cente wana mipango yao wanaijua wao.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 5 ай бұрын
Hongera sana dada DC
@totonata5384
@totonata5384 5 ай бұрын
Kwanini wazazi wanawaruhusu watoto wao wakusanywe? Watanzania vyabure vitawaponza. Mimi nahasira na wazazi.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 5 ай бұрын
Eti jmn
@afropanorama4730
@afropanorama4730 5 ай бұрын
umasikini na kupenda bure
@jumaabdi3595
@jumaabdi3595 5 ай бұрын
Mheshimiwa hongera yako, umewekwa alama kwenye uongozi wako, utakumbukwa kwa hili na kila mzalendo wa Tanzania
@SuleymanSaid-ch1yh
@SuleymanSaid-ch1yh 5 ай бұрын
Our Allah be with you Madam DC
@VioletUrio-re7id
@VioletUrio-re7id 5 ай бұрын
Hii na Kazi Nzuri Mungu Akubariki Sanaa......
@khadijanurdin3163
@khadijanurdin3163 5 ай бұрын
Kuna ngo mpya huku usangi mwanga,wanajidai daycare na wanapita nyumba had nyumba na mzungu wao kuwalaghai watoto wawapeleke watoto wao na wazazi wanapeleka watoto wao wanaona ndo maendeleo. Wanaanzaga hvhv
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 ай бұрын
Toa taarifa mapema kwa polisi
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 2 ай бұрын
Dada Halima umenifurahisha sana Mungu azidi kukubariki,we need ladies like you mama,good job.
@hassanmashaka6320
@hassanmashaka6320 5 ай бұрын
Hongera mama hao hawatufai
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw 5 ай бұрын
Wazungu wamekusudia kuwaharibu watoto kama wanavyowaharibu katika Nchi zao.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 5 ай бұрын
mamaa watz hatupendani kwa njaa utu unatutoka humo kwenye chakiula huenda wanawatiliya mambo yao ya ushoga
@naturelle1097
@naturelle1097 5 ай бұрын
Watoto wenyewe wanafurahia mazingira hata mnawasikia kweli watakua wanawafundisha ujinga
@Simonirafael-wt4lc
@Simonirafael-wt4lc 5 ай бұрын
Haswaa
@bellasi349
@bellasi349 5 ай бұрын
Mi naona de iyo chakula ipelekwe mahabara ichunguzwe kuna nini
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
Hamna chochote ni majungu tu Na roho chafu za kichawi za kitanzania wameona bwana mdogo yuko vizuri kimaisha nyumba zuri mke mzungu Na mtoto ni majungu yameanza, ukute waliomba rushwa wakanyimwa na huyo mkuu wa mkoa hata haeleweki inaonekana anakurupuka! Tanzania 🇹🇿 ni nchi ya ovyo sana mkuu wa wilaya anataka kiki aonekana anafanya kazi
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
Mashoga wako kibao huko bagamoyo wanafirana miaka mingi tu Na wala sio wazungu waliwaleta usikurupuke
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 5 ай бұрын
Huyo hafai huyo. Mfungeni na mwenyewe anaharibu watoto wetu Dunia imeharibika Sana
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 5 ай бұрын
Huyu ni swahiba wangu. Amepambana kutoka maisha magumu. Amejitaidi kutoa msaada. Badala wa msaidie wanaharibu. Wewe Dc elimu yenu inasaidia nini
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e 5 ай бұрын
Sjui nikutukane tusi gani ,kenge wewe
@truthch1642
@truthch1642 5 ай бұрын
Swahiba for what? Yaani mtu anaharibu maadili ya Jamii afu unakazana swahiba mfyuuu
@queenlinda255
@queenlinda255 5 ай бұрын
@@user-jc8el6je5e yani mtukane matusi yote mbwa uyo anaweza akawa shoga huyu
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 5 ай бұрын
@@user-jc8el6je5e Roho yako chafu. Tukana utakacho wewe mwanadamu. Maisha unayqjua kupitia simu ya kupangusa
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 5 ай бұрын
@@truthch1642 Maadili gani, Tanzania kuna maadili gani. Wewe unatumia smartphone unaleta story za maadili.
@LinuslusianLinuslusian
@LinuslusianLinuslusian 15 күн бұрын
Kwani kwanini watanzania tunakuwa nyuma zaidi kwenye mahamuzi watu kama hao nyonga adharani watu wakiwa wanaona.
@mariozulu5743
@mariozulu5743 5 ай бұрын
Sio vizuri hiyo kufunga hio inaitwa children home serikali fanyeni uchungu wenu. Makosa ni kuwatowa tu Shule Kuja kusoma kabla ya mda. Lakini sioni kama kuna ubaya watoto kuendelelea kusoma
@TisaMkenda-oj5uj
@TisaMkenda-oj5uj 5 ай бұрын
Au na ww mi msambaza ushoga,?
@danielshauri6390
@danielshauri6390 5 ай бұрын
Watoto wanafundishwa ushoga , acheni ujinga nyinyi
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 5 ай бұрын
Wewe usituchanganye Yani jamaa anajikanyaga hivyo alafu unasema aachiwe funga yote
@danielshauri6390
@danielshauri6390 5 ай бұрын
Mariozulu5743 Huenda nawewe ni shoga
@johnsonsabanya5860
@johnsonsabanya5860 5 ай бұрын
Ungekuwa karibu ningekupiga bao wewe basi tyuu
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 5 ай бұрын
Safi Dc .....huyu Mzungu Swainiiii Sana na hivyo vyakula wanaweka nini ???!!!!
@khaijakadija2082
@khaijakadija2082 5 ай бұрын
Subhan Allah😢
@naimajuma647
@naimajuma647 5 ай бұрын
Yaani ata kujielezea awe mwonekano na the way anajielezea nikama hana elimu yoyote ile muhuni tu ndiyo maana katumiwa
@Keyjop
@Keyjop 5 ай бұрын
Huyu anastaili adhabu Kali Tena ya kunyongwa ...hivi kwann serikali mna wachekea hawa watu 😢 ... Mamaangu , mheshimiwa mama Samia suluhu hasan watt ndio taifa la Tanzania la kesho assume hata ww mama ulianaza kua mtt baada ya maadili mazuri ya Babu na bibi zetu then Leo hii sisi kama taifa Tanzania tuna nufahika na wewe ... Mungu akuongeze hekima katika Hili mama 🙏
@section8ight174
@section8ight174 5 ай бұрын
She’s part of it all, she’s a Mason
@ericdaniels2608
@ericdaniels2608 5 ай бұрын
Safi DC. Kazi nzuri. Tulinde watoto wetu
@alloycejames5285
@alloycejames5285 5 ай бұрын
Hongera mheshimiwa dc...
@yohanamorisi9027
@yohanamorisi9027 5 ай бұрын
Hongera kwa kuwafundisha mambo mbalimbali kama unavyosema DC
@mimihuyo8239
@mimihuyo8239 5 ай бұрын
Mngemtandika makofi kwanza,
@neemabright3635
@neemabright3635 5 ай бұрын
Dah kazi nzuri DC ila Kuna kitu hakikoclear kwenye hii serikali... Yenu watoto wameharibika sana tu mpaka kwenye hizo shule mnazotoa free education .... Sustainable Solution ni ipi ? Sababu mnawapa leseni wenyewe hamfanyi evaluation ya NGO mpo tu 😢😢😢😢
@charlesobinya
@charlesobinya 5 ай бұрын
Hongera Kwa hilo . Ushauri Kwa watoa vibali jaribuni ku trace mara kwa mara. Hili mjue na mjiridhishe zaidi na vinavyofanywa na hawa majamaa . Na hivyo vyakula vipimwe
@user-fh7kf5gs6t
@user-fh7kf5gs6t 5 ай бұрын
Mungu akubariki sana hakika hawana nia njema na ss wazazi tunapenda mno mserereko fatilia mtoto wako
@mchomvuelias64
@mchomvuelias64 5 ай бұрын
Good observation! Hongera DC, these people do the unacceptable in the name of Aids. Hatutaki
@SeraphineKamau-db9ty
@SeraphineKamau-db9ty 5 ай бұрын
Hongera sana Dc na sio hapo tu mama pita pita uone madudu mama
@CalmGlassRose-oy3qv
@CalmGlassRose-oy3qv 5 ай бұрын
Huyu kaka anaonekan n muhuni tu ongea yake hovyo, maelezo hayaelewek mala maembe mala mabegi eti bado sijaelewa😂 na zile nywele anaonekan kabisa hajui nini anafanya ila ni kama agent wa maovu tu
@gwantwajoseph5564
@gwantwajoseph5564 5 ай бұрын
Umekua kiongozi bora na mama bora
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 5 ай бұрын
Wachache mbapinga mamlaka za juu wenyewe huona kawaida tuu huyo kijana mwenyewe tayari kishaharibika hata uongeaji wake Mungu atunusuru na vizazi vyetu
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 5 ай бұрын
Hili jambo lifanyiwe uchunguzi inawezekana ni kweli au mkakati wa mtu au watu fulani
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
Ni majungu na fitina za kibongo wameona bwana mdogo ana maisha mazuri ana nyumba nzuri mke mzungu Na mtoto wameamua wamchome ila hamna chochote hapo !
@musamwashemele932
@musamwashemele932 5 ай бұрын
Mungu akubariki sanaa DC
@user-gp4wz5lt5r
@user-gp4wz5lt5r 5 ай бұрын
Hongera mama najua we pia unawatoto
@user-gy8jr3ww7w
@user-gy8jr3ww7w 5 ай бұрын
Safi sana we kiongozi ivyo ndivyo inavyotakiawa kamata wote awo wasieeneze ushoga awo ndio wanaturetea ushoga kwetu tena wapewe azabu inayostairi pumbavu awo 😱
@user-gp8cf3kp6u
@user-gp8cf3kp6u 5 ай бұрын
Nakupongeza dada yangu kwakazi yako nzuri mashetwani hao
@user-fu6qv4ug2v
@user-fu6qv4ug2v 5 ай бұрын
Kama Kuna kibaya waonyeshe nikipi kibaya mm sija ona kibaya onyesha hicho mlicho kiona mbona watu wengi tumetoboa kwakusoma mitahani
@AfricaQueen
@AfricaQueen 5 ай бұрын
🙌🙌🙌🤝
@skybatech7956
@skybatech7956 5 ай бұрын
Ww tumia akili kidogo tafakar tena unachokiongea
@truthch1642
@truthch1642 5 ай бұрын
Kuna vitu haviongelewi wazi ndugu... ukisikiliza unajiongeza wewe ni mtu mzima
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 5 ай бұрын
Ukiona ofisi nzima ya mkuu wa wilaya imeahamia hapo ujue wana taarifa ya kutoshaya kinachoendelea....wamechunguza na kurizia kwamba kuna tatizo hapo...........
@user-xb9wg2dg1e
@user-xb9wg2dg1e 5 ай бұрын
Kitu gani kisicho ongeleka!? Wivu tu
@f.a6043
@f.a6043 5 ай бұрын
DUNIA kwasasa imevamiwa kwa kiwango kikubwa na 👹👹👹👈🏿 na pia anamawakala wake kila mahali hapa Duniani na hao ni binadam wenzetu jambo ambalo ni hatari sana yaani niwasaliti wa hadhi ya ubinadamu wetu ktk kumcha MWENYEWEZI MUNGU jamani tufuatilie sana sana watoto wetu jamani hawa watu wanafanya kazi kwa niaba ya shetani 👹👹👈 Hongera sana Mh. DC
@nurasam5475
@nurasam5475 5 ай бұрын
Huyu DC sio ndugu yangu kwel huyu Yani nimempemda bureeeee Allah akulinde na akuhifadhi,,,hao wanaroho ngumu sana hao wanakitu wanafanya watoto wachunguzwe kwanza Kuna kitu wanaficha,wakiangalie na hicho chakula kwanza PENGINE Kuna dawa wanawawekea Allah awalinde watoto wetu jaman wawe salama maana mmmgh tunapoelekea sio kuzur Hawa watu hawajawah kutupenda kiukwel sisi black maana hata movie zao kama ameigiza na black basi ataanza kufanyuyo huyo black nyie 🤣🙌 wachunguzwe haswaaaa hatutaki ujinga wa hao wagen ASANTE SANA DC WE LOVE YOU ❤️
@user-un3hr5kh6z
@user-un3hr5kh6z 5 күн бұрын
Jamani hao ndio watu mnaowapenda na sio waarabu
@saudaumar3354
@saudaumar3354 5 ай бұрын
pongezi dada shukran.huku nchi za Ulaya wazee hawataki ushoga lakini sirikali inaruhusu na mtoto akonahaki kuliko mama au baba asemavyo mtoto Sawa.
@emmanuelrutaihwa6545
@emmanuelrutaihwa6545 5 ай бұрын
Nchi zetu hizi maskini tunateseka tunateseka kwa kuona kila mzungu ni mfadhili kumbe wengine wanautumia umaskini wetu kutudhalilisha. Mungu atulinde na serikali ifuatilie na sehemu nyinginezo
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 5 ай бұрын
Ndio maana maafa yameanza kutufikia kuna ujinga mwingi aki
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 5 ай бұрын
Tanzania bhana sasa watoto wanafurahi wakimaliza wanaenda kwao kwani wanaishi hapo hajawakusanya hakuna mkuu wa wilaya hapo,mbona hakuna mahojiano na watoto tusikie kama wanafundishwa jambo la tofauti tumezoea tabu Tanzania.
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 5 ай бұрын
Fukuza tia jela
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 5 ай бұрын
Ww jielewe Tz hatuki ubasha sie
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 5 ай бұрын
Angalia sana kupenda bure utaliwa mtaji wawo wenye wazungu wanamethali yao wakisema THERE IS NO FREE LUNCH.
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 5 ай бұрын
@@najmasalim-rg6ow ningeomba tujadiri hili kwa masilahi marefu na mapana ebu nifahamishe hao watoto wanakusanywa vipi kwa uelewa wangu mdogo,na je wanafatwa mashuleni wanatolewa wanaletwa hapo kulelewa au wakitoka Shule wanapitia hapo Kula na kujifunza masomo ya ziada kisha wanaondoka
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 5 ай бұрын
@@maftahmusa9513 Sikia nikwambie kitu kimoja ndugu yangu kwa swala la umasikini hawa wenzetu washaaga umasikini na pia ni watu wa kuguswa mioyoni lakini pia kuna baadhi yao Wana tabia za ovyo zisizofaa katika jamii wewe jiulize kwa Canada mtu mweusi anaonekana kama tractor lakini ukisimama kwenye shamba la uyoga masaa sita kila lisaa limoja unapokea Dola 25 ukiongeza masaa manne ya ziada wanakulipa Dola 35 kwa lisaa Ambapo masaa sita utapata Dola 150 ukiongeza masaa manne ya Dola 35 jumla unakuwa na Dola 140 na 150 ni 290 kwa siku inamaana unaingiza TSH 754,000/= ya Tanzania sasa mtu anaamua kulipa laki saba kwa siku ni mwenzako huyo Tanzania shamba zima ni elfu 50 kwa siku jembe na wewe wewe na jembe huku unapanda tu uyoga so akiamua kuja kama tanzania hashindwi kumpa mtu chakula,nguo na kila kitu mtu akipewa mnaanza ooh ushoga anataka kitu.
@geraldsimbeye4810
@geraldsimbeye4810 5 ай бұрын
Kwa ujumla,mkienda Mahali msiende na majibu mliyopata Mahali Fulani,chukueni muda,mtapata majibu mazuri zaidi,
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
Anakurupuka na mwisho wa siku atapoteza kazi
@lailafakhihaji
@lailafakhihaji 5 ай бұрын
Wazungu ni wakuwaangaliaa sana Wanataka kuharibu utamaduni wetu
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 5 ай бұрын
Wanataka kutumaliza Waafrica. Mungu anawaona!
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
Wazungu ndio uwa wanawafira mbona mnafirana wenyewe kwa wenyewe nyie huko , Na mko wanafiki sana pesa zao mnapokea serikali yenu bajeti yote wazungu wanawafadhili
@hamidahamdun3646
@hamidahamdun3646 5 ай бұрын
@@Kabwela776kaka mbona unawatetea sana wazungu? Ninawasiwasi na wewe😂
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
@@hamidahamdun3646 sababu najua jinsi gani wanavyowasaidia huko Tanzania 🇹🇿 ya Mavi kunuka tatizo lenu watanzania mko wanafiki sana mnajifanya kuwasema wazungu wakati hela zao mnachukua pumbavu zenu acheni unafiki baniani mbaya kiatu chake dawa ni unafiki mkubwa! Mkatae basi misaada ya wazungu kama mna jeuri kama hamjakufa kibudu Na ukimwi kila kitu wazungu wanawasaidia mbwa nyie
@twayasinilukokelwa625
@twayasinilukokelwa625 5 ай бұрын
Huo wali bila mboga wanashiba kweliiii
@mwanaherimatata8571
@mwanaherimatata8571 5 ай бұрын
Mm na uchungu sana viongozi wanasajir taasisi ambazo , inajaribu kuharibu maadili
@SayiRegina
@SayiRegina 26 күн бұрын
Duuh hatr mungu atusaidie tu
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 5 ай бұрын
Hongera Sana Kwa DC Bagamoyo kwani hawa wazungu wanatumia umasikini WETU kuwa mafanikio Yao Kwa kuwapiga picha watoto na kuonesha kuwa wanawafadhili Kwa chakula,Elimu na mavazi kisha wanatafuta wafadhili kisha wanawachangisha Fedha huko zinatumwa kwenye Akaunti zao.
@sabrinaibrahim1127
@sabrinaibrahim1127 5 ай бұрын
Ni kweli hii itakuwa inahusika na Fund rising wa
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
Wazungu wanawasaidia tu nyie masikini mzungu gani ajishughulishe Na kuwapiga picha watoto ili wapate pesa hivi unawajua wazungu au unaropoka huyu mjerumani hawawezi kufanya upumbavu huo wazungu wanajua ni masikini hadi serikalini yenu Na wanawasaidia tu !
@obaidothmanalbulushi9196
@obaidothmanalbulushi9196 5 ай бұрын
​@@Kabwela776usisahau kuendelea kwa mzungu ni raslimali za kwako muafrica bisha kama siyo kuibiwa basi wewe umeibiwa mpaka akili penda vy a kwako usipende kudandia
@hamidahamdun3646
@hamidahamdun3646 5 ай бұрын
@@Kabwela776😂😂😂😂 kakaaaaa
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
@@hamidahamdun3646 ni kweli bila ya wazungu hata dawa za ukimwi huko ndio wao wanalipia wakikata misaada mtavuliwa nguo ni wapuvukaji tu ila hamna mbele wala nyuma kama nchi hela kibao ni wazungu wanawasaidia Tanzania 🇹🇿 ya Mavi kunuka
@swedychando3682
@swedychando3682 5 ай бұрын
Mimi ningekua karibu kwanza angepata makofi kwanza hapo kuna ujingaa unafanyika kupita hao watoto
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
Hamna kitu ni majungu tu ya kitanzania ukifuatilia hamna kosa lolote amefanya ila ni fitina za kitanzania kama kawaida
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 5 ай бұрын
Mpeleke mtoto wako na yeye akafundishwe kufirana, full stop @@Kabwela776
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
Angemkugusa mzungu ndio ungejua serikali ya Ujerumani ikoje unafikiri raia wa nchi yeyote utawapiga tu makofi , angemgusa tu mzungu huyo Samia angemtumbua na cheo chake feki cha kuteuliwa
@hamidahamdun3646
@hamidahamdun3646 5 ай бұрын
@@Kabwela776😂😂😂 nawasiwasi na wewe kaka Mungu wangu namashaka sana na wewe
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
@@hamidahamdun3646 badala uwe Na wasiwasi na maisha yako na za ndugu zako ambao hamjui mtakula Nini kesho eti uwe na wasiwasi na mimi kichefu chefu kabisa endeleeni kuongozwa na kiongozi mpuuzi mpumbavu kama huyo dada malaya mtafuta Kiki
@user-fy3ni4yc5o
@user-fy3ni4yc5o 5 ай бұрын
Noma hii lana
@aisharamdan8358
@aisharamdan8358 5 ай бұрын
Mh mungu wangu tumekwisha wazazi
@willygwaikana
@willygwaikana 5 ай бұрын
Lakini pia hii haki ya mwanamke kuwatawala wanaume imetoka kwa wazungu, si katika neno la Mungu kwamba mwanamke kuwa kichwa juu ya mwanamume. Baadae ushoga tutakuja kuukubali tu maana wasukuma gurudumu ni wazungu walioendelea wenye kuendesha dunia hii watakavyo huku wakiwa wamepotoka.
@juliusngileki4418
@juliusngileki4418 5 ай бұрын
Hapana mbn wajasema ni mambo ya ushoga au maadili mabaya wanasema tu nikuwatoa watoto shuleni
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 5 ай бұрын
Watanzania tuna tabia ya kuripuka na viongozi wengi wa africa wanajua madudu wanayoyafanya so wazungu wakija wakianza kuwajenga watoto katika umri mdogo na kuwafanya wajitambue zaidi na watambue haki zao wanastuka wanaona watakosa wa kumbluza ndo kujifanya wanafunga funga
@amushemustafa
@amushemustafa 5 ай бұрын
Anaulizwa vingine anajubu vingine
@habibisimba5081
@habibisimba5081 3 ай бұрын
Mwenyeezi MUNGU awasimamie muwe na hofu yake muweze kutenda haki, maana hiyo taasisi Ina nguvu kubwa san. Msije kupewa sabuni ya roho mkakaa kimya tunaombeni muendelezo hadi mwisho.
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 4 ай бұрын
Hongera sana dada..maana angalau umetumiza majukum yako..swali ni jee wakubwa watalitia akilin hilo au watacheza michezi ya panya na kukutoa kwenye hiyo nafasi kulinda ugali wao..
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 5 ай бұрын
Wachunguzwe, inawezekana wanawafúndisha ushoga
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 5 ай бұрын
Ndo kazi yao kufundisha ushoga
@naturelle1097
@naturelle1097 5 ай бұрын
Acheni hizo kila kitu ushoga
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 5 ай бұрын
Safi sana
@Kaambale-ve5el
@Kaambale-ve5el 5 ай бұрын
Hicho chakula wanachopewa watoto kipimwe kwanza ,na km mkijiridhisha ndo mchukuwe hatua pili km serikali yangu pendwa uchunguzi ni mhimu saana kuliko kukulupuka ili tusije tukashindwa tena kesi kwasbbu ikibainika kuwa ni chuki za kidini basi,atafungua kesi dhidi yetu,na nilazima tutamlipa na kumsafisha yale tuliomsemea na kumhisi anayayafanya
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
Ni kukurupuka wameona bwana mdogo maisha ameyapatia nyumba nzuri tena mbili mke mzungu Na mtoto ni chuki tu za watanzania na uchawi
@kigahekigahe3872
@kigahekigahe3872 5 ай бұрын
Saiv ukiona msaa wowote unao sema Kwa ufadhili sijui wa malekan sijui urus sijui Canada pls run speed 100🙌
@IzackMakole-ul5tt
@IzackMakole-ul5tt 5 ай бұрын
Mungu tutie nguvu
@NzunzdeSparo
@NzunzdeSparo Ай бұрын
watanzania tuwe na msimamo na maadili yetu la sivyo Hadi 2030 taifa litakuwa pabaya hasa watoto wetu wa kiume
@user-zv9td4ni4n
@user-zv9td4ni4n 5 ай бұрын
Good,wakamatwe washenzi Hawa wanatuharibia watoto aisee bila huruma,daaah nimepata hasiraaaaa
@Ney-wu1wi
@Ney-wu1wi 5 ай бұрын
Utadhani katumwa na shetani . Anaudhi anavyojidai kusema hajaelewa hiyo ni jeuri tu mtu km huna subira anakula mabao yakutosha aamke huko aliko🤔🤔
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 5 ай бұрын
Serikali si muweke wafanyakazi wenu wasimamie. Kuliko kufungaaa
@bigdiscounttv4723
@bigdiscounttv4723 5 ай бұрын
point
@nassiryahya
@nassiryahya 5 ай бұрын
Ww mjinga sana Yan watoto wanafundishwa ushoga Kisha Hilo eneo yenyewe liko mbali na majiran Kwan walimu wangap wa kiserekali wamekamatwa wanawaharibu watoto jamii iamke kula kupewa mkoba si kitu mbele ya mtoto jaman
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 5 ай бұрын
​@@bigdiscounttv4723wadimamie ni mali Yako hio au unadhani wakisimamia serikali hio misaada kutoka ujerumani italetwa watanzania tunatakiwa kufikiria zaidi sio unafikiria pafupi tu eti pasifungwe Njaa itatumaliza maana tukiona ka msaada kidogo tu basi tunateteneka mpaka tunapoteza utu wetu
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 5 ай бұрын
​@@bigdiscounttv4723wadimamie ni mali Yako hio au unadhani wakisimamia serikali hio misaada kutoka ujerumani italetwa watanzania tunatakiwa kufikiria zaidi sio unafikiria pafupi tu eti pasifungwe Njaa itatumaliza maana tukiona ka msaada kidogo tu basi tunateteneka mpaka tunapoteza utu wetu
@naturelle1097
@naturelle1097 5 ай бұрын
​@@nassiryahyawewe tukuchunguze you must be worse. Ina maana wazazi waliridhia upuuzi huo ufanyike?? Stop being biased!
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 5 ай бұрын
Ndo maana Sisi wengine tumehama hiyo nchi yani Tanzania mambo ya ajabu ajabu hatuendelei hao Wana mahela kibao hayana kazi mkisaidiwa mnasema wanafundishwa mambo ya kijinsia haya yupo mke na mume kama ingekuwa mambo ya kijinsia si tungeona wanaume wawili wameoana nyie vipi.
@awazioga1823
@awazioga1823 5 ай бұрын
Wewe ni punga nini kwani wewe kuama tz ndio nn.muwafanye watoto wetu wawe mashoga
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 5 ай бұрын
@@awazioga1823 kwa bahati mbaya Mimi sio muumini wa matusi mara nyingi nyinyi watoto mlopatikana guest huwa hamna busara usihukumu kitabu upande mmoja ukitaka kumpima mtu anayejitambua ni kwenye utumiaji wa mdomo wake wakati jay z na Beyonce wanakusanya watu na kujenga visima vya msaada si zilikuwepo tuhuma kwamba watu wanaingizwa kwenye ushoga na freemason lakini mpaka Leo walojenga visima wapo na vinatumika acha fikra potofu chunguza kwanza ndipo uongee
@taseleli9181
@taseleli9181 5 ай бұрын
Duu Nina mashaka na wewe maana sio Kwa kuwapendelea hivyo wenye kituo DC hajakurupuka kuishi mume na mke wa jinsi tofauti haimaanishi kuwa hawezi kuwafundisha watoto tabia zinazokiuka maadili ya kwetu, kuhama kwako hakutuhusu
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 5 ай бұрын
Maadili ya kwetu ni yapi?​@@taseleli9181
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
Kwa hiyo umehama tanzania kwa tamaa zako we uko na walakini, na usitamani mali usiyoijua jasho lake hakuna vya bure
@daudifesto5592
@daudifesto5592 5 ай бұрын
Hahahahaha uwiiiiii itakuwa wanafundishwa kupelekeana moto midume kwa midume...... Shenzi sana hatua za kisheria zichukuliwe...
@tamylee1790
@tamylee1790 5 ай бұрын
YANI HUYO MWANAMKE PEPO WA KIZUNGU ANGEKUWA NDIO ANANIULIZA MIMI HUO UTOPOLO WAKE KWA KIBURI ANGEKOMA!!! SHENZI SANA HAWA!!
@loner_wolf
@loner_wolf 5 ай бұрын
Mrejesho tafadhali...au mkeshatulizwa ungese uendelee?
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 5 ай бұрын
Shida ya Bongo ndo hiyo kibali kibali Acha watoto wale shida nyingi fatilia Kwanza ujue kama Ni onyo apewe shida ya wanawake wakikalili kitu hawaoni mbele ovyo kabisa wew DC
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 5 ай бұрын
Ukiwa masikini utapatiwa kila elimu wakisem kua ndo elimu. Kumbe ndo utopia elimu.
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 5 ай бұрын
eti kuanzia saa 8 mchana hadi saa 12 jioni jamani wazazi wenzetu mnaawachia watoto hata hamjui kinachoendelea huko na hali tunajua jmn hali imeharibika ushoga na usagaji umetokea huko magharibi mnampa mbuzi majani
@user-tv7yx8nt5k
@user-tv7yx8nt5k 5 ай бұрын
Safi sana.
@santennko1195
@santennko1195 5 ай бұрын
Huyu jamaa angekuwa na mtu kama mim ningemuweka Sawa usajili uwe mzur, katiba, ustawi wa jamii muda na talents. Pesa wanao sponsors. HEKIMA hana.
@joejohn8115
@joejohn8115 5 ай бұрын
Millad hongera kwa kuripoti tukio hili. Lakini nitathamini sana endapo utaripoti na wale wanaowakusanya watoto kule Dodoma na kuwafundisha ugaidi wa Kiislam
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 5 ай бұрын
Mbwa koko wewe funga hiyo Choo yako Kwani hili tukio nidini mpuuz mshenz sana mjaa laana
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 5 ай бұрын
Wazazi Wazaz kweli pamoja na ugumu wa maisha hamuwez kuangalia madaftari yao,
@twayasinilukokelwa625
@twayasinilukokelwa625 5 ай бұрын
Wazaz wnaangalia maokoto tu...
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 5 ай бұрын
@@twayasinilukokelwa625 sasa hayo maokoto wanayotazama mbona yanawakost wakati watoto wanatendewa unyama utalaumu nani
@magorymara5515
@magorymara5515 5 ай бұрын
Hili swala la kutoa vibali wenyewe kisha taarifa mnazitaka kwa wananchi si sahihi ilibidi nyinyi mliotoa vibali ndo mfuatilie mwanzo mwisho kwahiyo kibali kikatolewa kujengwa porin kiwakusanye watoto mijini wakale lanchi huko porin alietoa kibali sijamsoma
@Auntrasta
@Auntrasta 5 ай бұрын
Nadhani Huyu hata sio Muhusika Mkuu Ukute Yeye Kazi yake Kuwaangalia tu watoto... Wahusika Wakuuu wako wapi..
@LinuslusianLinuslusian
@LinuslusianLinuslusian 15 күн бұрын
Mzungu yuko nyuma sana na maadili
@anathaliamwangamila3296
@anathaliamwangamila3296 5 ай бұрын
Siwapendi wazungu Mimi na sipendi watu wanaotembea na wazungu puuu
@bigdiscounttv4723
@bigdiscounttv4723 5 ай бұрын
hapa kuna walakini wekeni wazi wanafundishwa NNI ili hata sisi tujue nani tumlani
@anosiata8242
@anosiata8242 5 ай бұрын
Jamani hujanielewa DC alichokisema . Aliyesoma Cuba amemuelewa Njoo inbox .
Hoe zit dat? De kuddebeschermingshond VS de WOLF | RTV Utrecht
7:41
Vrouwen op de Spelen: ooit verboden, nu met velen
8:53
NOS op 3
Рет қаралды 38 М.
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 35 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 10 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 21 МЛН
LHMT aptaria orų prognozes bei audros padarinius | 2024-07-29
5:50
Lietuvos nacionalinis radijas ir televizija
Рет қаралды 741
VIJANA WAFUMWA NDANI WAKIFANYA MAPENZI YA JINSIA MOJA LINDI
9:05
Mashujaa TV
Рет қаралды 287 М.
Leiders Hamas en Hezbollah omgelegd
3:48
De Telegraaf
Рет қаралды 90 М.
Russische influencers sponsoren oorlog via Nederlands bedrijf
20:36
Bagamoyo Sugar || Kiwanda cha sukari cha Said Salim Bakhresa
18:31
Detta betyder Feds räntebesked - så påverkas presidentvalet
13:28
EFN Ekonomikanalen
Рет қаралды 3,9 М.
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 35 МЛН