Mashaallah, Ahmedi ally upo vzr kwakweli hata matamshi yako na usomaji wako ni fasaha sana kwakweli
@JasbaKipingu4 ай бұрын
Hakika huu ndo uzuri wa kuyathamini maneno matukufu ya Allah mwenyezimungu awape mwisho mwema inshaallah
@BimkubwaOthman4 ай бұрын
Tena mnaijua qur ani vzr wallahi Allah awazaidishie mashallah mashallah mashallah
@mumking89854 ай бұрын
Maashaallah inaleta raha ndani ya moyo kwa kweli uislam raha sana
@hafidhbakari65294 ай бұрын
Hongereni Kwa kushajihisha mashindano ya Quraan
@aishahasan77224 ай бұрын
Maashaa Allah nafrah sn kuona mmehifadh vtu kichwa😍❤️🤲🏻 Manara kajishusha thaman kwaujinga anaoupost akiwa namkewe nakumpost uch mkewe bila kujistri kajishusha sn thamn manara jahir😂😂😂
@sakinahassani14554 ай бұрын
MashaAllah
@mkulamasanja49694 ай бұрын
Kazi nzuri vijana
@darkrobinhood3314 ай бұрын
Wallahi ni faraja kubwa kuona sehemu ya chini ya ummah huu( maamuma / waislamu wakawaida) haswa vijana, kuunganika na shina au sehemu ya juu kabisa ya umma huu/ nyota ziangazayo dhidi ya kiza cha upotevu (Ulamaa/ Amaaimu). Natumai hata Rasulillahi (s.a.w) huko alipo uso wake unabubujika nuru kwa kufurahika kwa hili.
@UmaruMugaga4 ай бұрын
Nimefurahi sana. Uislam ni furaha sana
@MohammedSaid-tf5qc4 ай бұрын
Hakika
@MansourKabuhaya4 ай бұрын
Ni furaha gani? Ya kudhihaki Aya za Allah hivo? Kutosoma kazi sana
@KhadijaKayumbu4 ай бұрын
Uislamu Rahaa tupu
@omaryjumbe14v84 ай бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah 🎉🎉🎉
@KhamisAli-pi6wr4 ай бұрын
Allah tusamehe
@jimjam-xg7rv4 ай бұрын
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚
@travellertraveller45054 ай бұрын
Maashaallaah
@OmaryMadodo-wo7gs4 ай бұрын
Nyee wataalam sana ahsantum
@RajabAdam-p4s4 ай бұрын
Ibwe uko vzr
@Kuminamoja19954 ай бұрын
Masha'allah
@RehemaJuma-x1q4 ай бұрын
Raha sana jmni utani kidogo
@abdallasaid30674 ай бұрын
ALHAMDULLILLAH KWELI DINI YA KIISLAM NI RAHA TUPU HATA MUWE NA TAFAUTY GANI MKIKUTANA KTK DINI YA KIISLAM MNAKUA NA MAHABA NA MAPENZI KTK UISLAM "TAQBIR"
@MarymJuma-j6q4 ай бұрын
Kuwa muislam raha jamaniiiii mapenzi na mengi c mnaonaaaa
@jamilarajab46104 ай бұрын
Qur-an tam sana
@SHARIFF-N5W4 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢Dumua machozi yanitiririka ndani ya moyo wangu .amal hakika hizi rama tuliambiwa zitafika .munaona haya ni mazuri .hatari hizi ya Qaumu .watu wanazihakia aya za Qur'an na hao wanaojiita mashekh wakubwa wanacheka .Aya ya Qur'an munazihakia katikatika yake subhanallah. Astaghfirullah.hizi zama za kutisha amkeni.tena eti kuna mufti huyo eti ni mwanachuoni Hatari hizi .mwenyezimungu atusamehe kwa hii siku ya leo watu kuzihaki katikati ya Aya za Qur'an. Tafakarini nyote
@SHARIFF-N5W4 ай бұрын
Majini walinyamza kuzisikiza mashekh zetu waliopita wakizizungumzia kwa adabu na umma upo kimya leo hii aya za Qur'an zinatiwa zihaka na watu wanacheka kwa furaha .HATARI SANA TUMEJISAHAU SANA TENA SANA.BAB DEO TAFAKARI NA HIZI KAZI ZAKO.SIKUSEMA SEHEMU ZINGINE ILA KWAKO WW NIMESHINDWA .ANGEKUA HUSSEIN BADAWY ANGECHEKA MTU HAPO.HATUNA MASHEKH TENA WAMEKWISHA HAKUNA IMAN .TAQ WAH AIBU HAKUNA HAKUNA ZAMA ZA HATARI HIZI
@mrkisela45214 ай бұрын
Wapo kwa kuhamasisha watu wakajae uwanjani hata msikitin mashekhe wanachekeshaga em tuache sisi tufrahi wewe
@ZainabIssa-v5u4 ай бұрын
Lazima zifike ili lengo kuuu la kiama na kuhukumiwa litimie kwa iyo jitaarishe na hisabu ipo kareebu
@jabirkasunzu68414 ай бұрын
Mzaha tupu.
@AbdallahHamisi-s4w4 ай бұрын
Kama unakuwa hauna elmu ya dini bora ukae kimya hapo kosa lao lipo wapi
@aliabdalla92974 ай бұрын
Quran munaifanyia mchezo
@hamadsuleiman51774 ай бұрын
Kiukweli hata kama ni comedian ila nadhani wangekua serious kama alivo Ibwe wakaongea mambo ya dini sana....Mashallah uislamu Tanzania ni mkubwa sana na pia wasokua waislamu ni watu waxuri tu kwa sababu tunaishi nao na hawana shida nasisi pia...La muhimu ni kuwaelekeza kwa ustaarabu nini uislamu na sio kutukanana.
@AwessAbbass4 ай бұрын
Cjui kama makafiri hawaumii wasemaj wa timu kubwa wote ni waislamu
@JosMatty-bq9ii4 ай бұрын
hapo amna lolote allah atusamehe
@laustadizzo62114 ай бұрын
Uislamu Raha sana raha mnoo ila masihara yamekuwa mengi hadi mtu anaposoma quran badala ya kutulia kusikiliza anaongea
@muridundhikri4 ай бұрын
Mashehe wa bara mnafeli kualika watu wa mpira na panki zao kisa matangazo
@zuhuraPatrick4 ай бұрын
ILA Ahmed Ally 😂😂
@KhamisOmar-kt4kz4 ай бұрын
Mnaharibu sasa kwenye Quran mnachanganya na ujinga baada ya kupata thawabu sasa mnakoelekea sio kuzur
@Mungumwema-g9p4 ай бұрын
Mnamtesa ally kamwe jamn mke ataoa tu
@hamadsuleiman51774 ай бұрын
Ahmed Ali na Hashim Ibwe wamesoma sana tu wanavoeneoana maana wanazitafuna aya mashallah. Nakupongezeni sana kwa kweli maana nna hakika ni waumini safi tu..Allah atujaalie pamoja na ujana wetu tubakie kwny uislamu na tufe kwny uislamu
@mohdkhatib2234 ай бұрын
Acheni kuwapa sifa hao ni vipenzi vya shetani huo mkato aliokata Hashim ni mikato iliyolaaniwa
@khamisomar56594 ай бұрын
Wakumbuke tu swala ni tano per day
@anuarymzee98984 ай бұрын
😂😂😂 Ahmmed umetisha
@mohdkhatib2234 ай бұрын
Hamna kitu
@alakhy94484 ай бұрын
VIJANA WANA UTANI MWINGI ,AKIOMGEA MWENZAO HAWAMSIKILIZI,HAIKUKAA SAWA
@mohdkhatib2234 ай бұрын
Ni mazaha tu unaofanyika
@Mungumwema-g9p4 ай бұрын
Hivi nyie mnaokosoa kosoa mnaweza nini yaan wenzenu hata wafanye nini hamthamini