No video

Hatari nyingine hii hapa !!! Askofu Gwajima aelezea madhara ya kwenda kwa waganga wa kienyeji

  Рет қаралды 28,022

Josephat Gwajima RudishaTv

Josephat Gwajima RudishaTv

Күн бұрын

‪@JosephatGwajimaRudishaTv‬ ‪@tanzanewsdigital‬

Пікірлер: 40
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 3 жыл бұрын
*mm nimuislam pure Tena nikiongozi ktk uislam huwaga cnaga kawaida yakuwafuatilia WACHUNGAJI lakini wee GWAJIMA wallah umenisababisha nikufuatilie Sana Tena Sana unajuwa speaaaaach hongera Sana*
@lizlovedbyGod
@lizlovedbyGod 3 жыл бұрын
Gwajima niombee... Mungu wa Gwajima nirehemu.
@eliakulondwarachidfondatio3634
@eliakulondwarachidfondatio3634 3 жыл бұрын
Jambo mchungaji mimi naku fuatiliya kutoka Congo drc Bukavu nataka Siku moja nikutane nawewe
@sharondivine8994
@sharondivine8994 3 жыл бұрын
I really appreciate God for you Bishop, the teaching is owesome!
@johnshija2271
@johnshija2271 3 жыл бұрын
Barikiwa mtu wa Mungu
@loycep7785
@loycep7785 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi yaani nimecheka sana lngawa unasema kweli tupu Mungu atusaidie inahuzunisha ssna Mungu atufunguo macho ya Rohoni😀😀😀😀😀🙏🙏
@pandelababaofficial5056
@pandelababaofficial5056 3 жыл бұрын
Ahahahaaaaaaa !!!!!!! Askofu wangu beans asifiweeee dah!! Nakupenda sana babangu
@sesiliamwakalinga2239
@sesiliamwakalinga2239 3 жыл бұрын
Kwa kweli unanifundisha haswa nafunguka mno. Asante baba
@sebastianmwita9149
@sebastianmwita9149 3 жыл бұрын
Baba preach, I follow you for long time
@butaguthomas3273
@butaguthomas3273 3 жыл бұрын
Waaaaa amen baba nakpenda sana
@gisubizoteddy3388
@gisubizoteddy3388 2 жыл бұрын
Baba yangu nakupenda sana
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 3 жыл бұрын
Very true daddy Gwajima
@marrymussa4244
@marrymussa4244 3 жыл бұрын
Mery mussa .kwa maarifa hayo baba niende WAP babaangu. Nakupenda sana. Sina baba mwingine ila wewe.
@mosespeter9185
@mosespeter9185 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Baba
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 3 жыл бұрын
Wao wavaa sura ya shetani. Namimi nimevaa sura ya Mungu zinapigwa humu humu. Kwa Jina la Yesu
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 2 жыл бұрын
Yesu tuokoe
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 3 жыл бұрын
Gwajima umeongea kuhusu mtoto wa kupatikana kupitia mganga kuwa sio vitoto halisi ni vishetani, ujumbe wako huu utasababisha wazazi wawatupe au kuwaua watoto wao, hii statement yako sio nzuri Mwingine anaweza kwenda kwa mganga kisha akapata mimba natural halafu atafikiri katoto haka ni ka mganga sasa anaweza kumdhuru mtoto, mtoto akibihave vibaya basi mzazi ataona ni kashetani.
@bernardmalima3185
@bernardmalima3185 3 жыл бұрын
Hahahahahaha😀😀😀😀🤗🤗
@mgasathedon1579
@mgasathedon1579 2 жыл бұрын
Utakua una mtoto wa dawa
@nancyisoyi8164
@nancyisoyi8164 11 ай бұрын
Pipi Za USIKU😂😂😂
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥👍👍
@thehopetv6299
@thehopetv6299 3 жыл бұрын
😂😂😂 mama waliiiiii, pipiiiii, kakuzimu hakoooo
@stellaelias8174
@stellaelias8174 2 жыл бұрын
Kweli Baba mashetani mifumo ya wanadamu yapo tunaishi nao mitaani
@solangesoso3100
@solangesoso3100 3 жыл бұрын
Umenifurahisho mno🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗🤗🥰🙏
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 3 жыл бұрын
Chuma katika wakati wake
@sideonedeone8893
@sideonedeone8893 3 жыл бұрын
Hiyo hatari
@alimambabazi3666
@alimambabazi3666 3 жыл бұрын
PREACH 🇺🇸😂🤣🤣
@jordanfromyt2861
@jordanfromyt2861 3 жыл бұрын
Utazadhan masiara but in real life yana tokea hivo hivo
@bonifasiemanueli2708
@bonifasiemanueli2708 3 жыл бұрын
Ks
@munuoisaack418
@munuoisaack418 3 жыл бұрын
Tangu uwe mbunge sasa Bishop tai kubwa
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 3 жыл бұрын
Mtoto anamtoa Mungu binaadamu awezi kuumba mtu akamuweka tumboni ila Mungu pekee ndio awezae hilo
@josephatjoseph1755
@josephatjoseph1755 3 жыл бұрын
una mtoto wa dawa nn heheh
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 3 жыл бұрын
Sawa ila Nafsi yake inategemea imetoka wapi kama Unapenda Waganga was Kienyeji Huwezi zaa Malaika Utazaa Mapepo
@mtewatina9471
@mtewatina9471 3 жыл бұрын
Kwani wewe hujui Kama shetani aliishi mbinguni Tena nimsaidizi Wa Mungu? Hivo alitupwa duniani na ujuzi wote. Hivo usidanganyike achana na Hao waganga
@francismangula2715
@francismangula2715 3 жыл бұрын
Kama una katoto ulikatoa huko n katoto kadawa hako usijifariji
@gibsonntihana6175
@gibsonntihana6175 3 жыл бұрын
Mungu pekee ndie mchambuzi wa yote mana hakuna mtu awezae kujua kujua kuwa uyu moja kwa moja ni kwa jehenamu akifa ila imeandikwa mbinguni watu wataingia kwa neema!!!hivyo msihukumiane jmn before hamjafika mbinguni
@raimundozacariasjonas7426
@raimundozacariasjonas7426 3 жыл бұрын
Hee aya maono hatari..Apigwe mtoto wa dawa
@alimambabazi3666
@alimambabazi3666 3 жыл бұрын
🤣😂😂😂😂🤣🤣🙏
@monicanelisha1299
@monicanelisha1299 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
Askofu Gwajima afichua njama ovu za wachawi kwenye mkutano live bila chenga!
8:46
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 18 М.
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 30 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
BISHOP GWAJIMA - KUVUNJA LAANA YA WACHAWI Part 1/5 - Bonyeza SUBSCRIBE
35:32
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 9 М.
ASKOFU GWAJIMA AFUNGUKA MAZITO BUNGENI ISHU YA CHANJO YA CORONA
10:20
ASKOFU GWAJIMA AFUNGUKA NAMNA YA KUTOKA KWENYE TATIZO LOLOTE KUBWA LINALOWEZA KUKUPATA
14:37
MAKRISTO WA UONGO NA MANABII WA UONGO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
25:13
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 8 М.
ZITAMBUE KANUNI ZA KUPIGANA VITA | ASKOFU GWAJIMA
7:13
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 16 М.
MITIMINGI # 1062 UTENDAJI WA KARAMA HAUTEGEMEI UNA UMRI GANI
20:44
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 1,2 М.