Tanzania hakuna amani ila wananchi wanaishi kwa hofu ila eleweni kuwa ipo siku watu watachoka na tutaadabishana inamaana sheria kwetu sisi tu ila kwenu nyinyi hazifanyi kazi ila tambueni utamburuza ila siyo siku zote
@ramadhanirashidi2342 ай бұрын
Hio ndio tz afungwa mwizi wa kuku aachiwa muuwaji
@Thekidsknowledger2 ай бұрын
Watu wangu wanguvu asanteni nawaelewa sana
@Muheramaneva2 ай бұрын
hakuna siki hapo naomba dada wabuza mungu amulinde wasimupate watamuuwa nabaiti wataiwaka kwenetindikaki tusione hata mufupa 😭😭😭😭
@KassimHanga-xr7rb2 ай бұрын
Hii ni mipango ya wakubwa sasa tujue Mungu ndiye Hakim wa kweli na atatukum hapa hapa duniani kabla hatujafa tufanye wema na haki
@MohamediKalanje2 ай бұрын
Hii moment ya sinia inanikumbusha siku moja wakat nko darasa la nne mtaani kwetu majengo mkoa mtwara tulikuwa tunapenda sana kalamu au hitima, sasa siku hyo hitima ilikuwa inaliwa saa 12 asubuh, sasa tulipofka eneo la tukio tukaskia waandazi wanaita watoto wa majengo wakae sehem moja dah tukakaa sehemu tukanawishwa maji aisee huwezi amini tulirudi bila kula😂😂 dah ndio ilikuwa mwanzo na mwisho kula hitima au kalamu
@EmmanuelNdahya-ud5nj2 ай бұрын
Wananifanya nipende wasafi maulidi wa kitenge eeeee Mungu akulinde sana tanakuhitaji sana mkuuu
@victormpiluka27382 ай бұрын
Hapo kazi ipo mtajua tuu
@RashidMchenya2 ай бұрын
Hapa hatuna nchi tanzania yakishezi sana
@AthanaseKiyoja2 ай бұрын
Tujitafari,uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwakani uchaguzi mkuu.Kama tuko makini ndoa yetu na ccm imefikia tamati.Hakimu anahamishwa,kesi inaahirishwa hadi mwezi mzima,utafikiri kesi ya Uhaini.Ccm mnayo mateso mbele yenu.
@verdianabanabi22052 ай бұрын
Tafakari
@omarkapula5882 ай бұрын
Yaani kesi ya ubakaji na uchaguzi wa mitaa hapo kuna uhusiano gani jamani
@@omarkapula588 Kuna namna serekali ya CCM haifanyi Sawa kwasababu ingekuwa. Wewe na video ipo kama ushaidi unahisi mpaka leo kesi ingezungushwa tu wweeeeweee ungekuwa tayari uko gerezani muda mrefu tu kwanini Wanapotezeapotezea???
@florianmasawe95202 ай бұрын
Tunataka haki itendekee maana sisi wote ni binadam na kwaninii kesi inasua sua na wakati kila kitu kipo wazi?? Sheria ni msemenoo!! Hakiiii itendekee waache kutuyumbisha na kesi iko wazi!!
@AzhadSaid-j1t2 ай бұрын
Dah kesi ishafirwa hiii hakuna liwalo apa
@cleartzboy2 ай бұрын
Daah hii moment ya sinia kuamishwa kama wew sio mtoto wa uswahilin uwezi kuelewa lakni daah inanikumbusha mbali muandaz kakosea sahani
@idrisalubwaza30282 ай бұрын
NJOOSHENI MAEREZO HAKIMU ARIKUWA ANA MRINDA AFANDE ACHA SHERIA IFUATE MKONDOWAKE
@Muheramaneva2 ай бұрын
dada waduza kazi uwalabuni upige miaka 8 arafu utaludi tz mudogo wangu
@EliaHiluka2 ай бұрын
Inawezekana kwamba kuna mazingira ya kuvuruga kesi
@EmmanuelSimion-d3e2 ай бұрын
Hvi kweli kwanni?? Ahamishwe hapo Kuna janja janja!
@McT-m1m2 ай бұрын
Ila hawa watu ni wakweli jamani tunaomba lifatilieni kwa kupaza Saudi
@semamainvestment8322 ай бұрын
MASIKINI NDIO WANAOFUNGWA
@RamadhaniKitala-gx6wc2 ай бұрын
Mbona huxo afande kama kweli alifika mahakani aliyemuona ni nani mbona wabakaji tumewaona kuna nini nyimba ys panzia kulindana kwingiiii
@JumaNgelekele2 ай бұрын
Angekupo amangufuri sasa kisha ireweka jamani
@GraceWogas2 ай бұрын
Hapo nami nisiye mwanasiasa ndipo ninapoanza kuona, umuhimu wa kuwa na katiba mpya jamani
@lumistarboy84992 ай бұрын
Hizi sarakasi Zina haribu na kupunguza Imani kwa viongozi wetu kila siku wanasema Sheria msumeno mbona hapa hatuoni
@IndalesioHenery2 ай бұрын
Mbona mnamficha sura mnawaonyesha
@AzhadSaid-j1t2 ай бұрын
Ila hatukubali hili tunalifatilia tutasubir hio tarehe 7 ila tutaona itakuaje tarehe saba mtakua nn
@HassanRubota2 ай бұрын
Unajua zile sison za Kihindi polici anakuja kuokoa majambazi wameshakimbia ndio hizi hii nayo sison ya kihindi
@saidkhadija75572 ай бұрын
🎉HAHAHA mwanangu umenifurahisha😂
@AzhadSaid-j1t2 ай бұрын
Haya ya afande rama yanajirejew
@Daniel-g2f6v2 ай бұрын
Rest in peace Mr President Magufuli
@farhannahkulishwaburekunam53602 ай бұрын
Mbona afande hajawekwa ndani mpaka sasa mtoto wa watu alawitiwa na watu wanna kweli hata wewe rais samia upo wapi kesi haiendi
@victormpiluka27382 ай бұрын
Kesi za wazito hizo mwishowe watakuwa hawana hatia
@vero572 ай бұрын
MATATIZO YANAZIDI KUENDELEA !!! R.I.P. MAGUFULI BABA
@wemaMichael-fr4th2 ай бұрын
kwani ni lazima kusoma magazet mpka ujifanye chizi daa
@cleartzboy2 ай бұрын
Nawakubali sana wanangu nlikua nasubili post yenu tuu
@farhannahkulishwaburekunam53602 ай бұрын
Kesi inaushahid aliofanyiwa biting pia yupo na ushahid mzima anao why kesi inachelewe inapelekwa muda mrefu yote hayo wanataka kesi kuirusha kuizima au kwa nini hakim ahamishwe ni kesi wanataka kuzima kesi na huyo msh8takiwa kw a nini afande hawekwi ndani mpaka sasa
@NewNew-ep5dq2 ай бұрын
Kesi ishaisha iyo sema wanatufany sisi mataira
@MYME-u5d2 ай бұрын
Hakimu kashapewa chake ila wakumbuke kuna kufa na kwa mumgu hakuna kulindana haki kwake haipotei
@MusaJastini-po8hm2 ай бұрын
Apa wanataka tusaau ili wafanye yao nchi yetu kivyetu vyetu
@msafiriomary8932 ай бұрын
Serikal ya rushwa
@chandeyusufu95702 ай бұрын
Sasa inaamaana kapata dhamana au yupo gerezani
@kwisa48992 ай бұрын
Hii case ni ngumu Hakimu kaamua kujitoa kukwepa lawama,kisheria ile case na ushahidi wa video kwa sheria zetu auna nguvu..
@humphreymwihambi43302 ай бұрын
Hauna nguvu kivipi? Fafanua
@ClassicUsed-jg6ri2 ай бұрын
KITENGE TUMPE UWAZIRI WA MCHINA
@Dockbrand2 ай бұрын
Hivi mama anajua kwamba mtoto wa buza kabakwa na kulawitiwa mbona yupo kimya