Kwa Hali hii kunaupande walijiandaa kimkakati mungu atuepushe na vurungu.
@deohaule982 ай бұрын
😂 huyu msimamizi wa uchaguzi hajui anacho sema.
@caashamacalini38872 ай бұрын
Hapo mshindi kishawekwa tayari kilichobaki no ubabaifu kwasababu wanaoteuwa ni wao kazi bure
@DANIELHAONGA-sr9ek2 ай бұрын
Mbona msimamizi kama anajuwa matokeo
@EmmanuellMunishi2 ай бұрын
Huyo msimamiz Hana sifa anaonekana ana hasira na nimtu wa fujo na ubabe
@festokemibala58322 ай бұрын
Walipeana mkakati huo nchi nzima na kuanzia jtatu walikutana kuufanyia kazi na hao wasaidizi wao. Wanalindwa na Mkurugenzi kawahakikishia kwamba hawatadhurika na huu upungufu wanaousababisha!! Ni mkakati mahsusi kuhakikisha wanaingiza mamluki wao. Mungu atajibu hiki.kilio
@patelokoh58282 ай бұрын
All the best my favorite country just be honest to each other's please
@nelsonnyamle2 ай бұрын
Umevaa kikifia chako cheupe kumbe umefundishwa wizi na hujuma
@josephnjellah2802 ай бұрын
Mme bandika maji na ya cabo n hAysomeki😊
@estambuya39012 ай бұрын
Ccm kuweni na aibu,hawa viongozi wenu mnaotuletea mitaani wasiokubalika ni tatizo kubwa.
@LazaroSalon2 ай бұрын
Uyo msimamizi ni msengetu amelipwa na ccm waibekura
@yapukahassan2 ай бұрын
Hili swala linaumiaza sana tunachaguliwa viongozi wasio kuwa na machungu na wananchi , watakacho kifanya ni kunyanyasa wananchi
@songombingo1082 ай бұрын
Mbogamboga kwisha kazi. Mmebaki kuvuruga tu
@Glr-ns4cl2 ай бұрын
Kazi kwelikweli
@GraceGegasa2 ай бұрын
Msimamizi ana matusi huyu sfai
@rasnchimbi2 ай бұрын
Huu uchafuzi ufutiliwe mbali,mfumo urekebishwe,vyote vikafanyike mwakani,inawezekana kabisa.✍️🏿
@mussakimaro55882 ай бұрын
Nchi ya amani na yenye asali nyingi na ndo watanzania wengi tulio na uvumilivu itakuja fika mwisho mdogo mdogo tutaelewana tu
Kwan alphabetical si just unakomand excel sekunde mbili tu majina yanakaa sawa
@MAGIDACHIMIJA2 ай бұрын
Upuuzi...
@simbarajabu41572 ай бұрын
Mm ushauri wangu zile Namba ,za pembeni no 1 mpka 100 mngekuwa mnatoa Namba zile kikaratasi Ili mtu ukifika unataja Namba 10 au 100 inakuwa nyepesi
@SophiaKamgunda2 ай бұрын
Bamba tena kama ninamba mgetupa kabla
@FotoBaraza2 ай бұрын
Msimamizi ni kama ana matokeo tayari 🤣
@JeradiMaulidi2 ай бұрын
Mbogayakijani imechoka
@sadocklundi52162 ай бұрын
Ukiandika kwenye karatasi ukabandika orodha halisi ya majina, hayo majina yatajipangaje kwa mtiririko wa herufi. Wabongo tunapenda kusoma vitu yenye muabato wa picha lakini maandishi matupu watu hawasomi
@stephenmsanzu98502 ай бұрын
Acha ulevi pls
@swalehemusa45462 ай бұрын
Africa ginga ata utaratibu wao wakupiga kura ni wakiginga kabisa
@williamsenkoro22102 ай бұрын
Hawa watu wa kiula nao sahani moja hata baada ya uchaguzi. Eao, wake xao au watoto wao
@nyabahailani31692 ай бұрын
Huono msimamizi alivyo anajiamini yaani hukuna uchaguzi mnapoteza mda kupigwa na jua bure wameshamchagu tayari
@SabihaibrahimRajabu2 ай бұрын
Ccm kiboko yao sijui kwa nini hawaweki mfumo wa chama kimoja
@rebekakulwa61592 ай бұрын
Fisiemu fisiemu fisiemu
@JonasNzemya2 ай бұрын
Sehemu zingine walikataa kutoa namba
@BungeyiSaiboku2 ай бұрын
Mbona kama anajiami
@husseinmbaya48552 ай бұрын
Huyo ana adabu watuwausalama wapo wapi
@RamadhanAthuman-d4c2 ай бұрын
Mie nimeamua nisiende kupiga kura maana napoteza muda tu mshindi wanamjua wao
@MasaweMasawe-r5b2 ай бұрын
Msimamizi Gani unashindwa kutatua KERO za wananchi wewe ni kibengo tuu eti msimamizi kamsimamie mkeo
@husseinmbaya48552 ай бұрын
Mzee huna ufaam
@ngotosilasi20992 ай бұрын
Washenzi sana hawa majina wameyagawanyisha hovyo hovyo nimeshangaa huku kwetu wazee wenye umri mkubwa wanatabika kweli mvua inanyesha wanarudi bila kupiga kura maana wamegawanyisha vituo nakuviweka sehamu mbalimbali
@japhetlinus38912 ай бұрын
HUU SASA NDIO UHUNI
@stephenmsanzu98502 ай бұрын
Sasa unaongea nn,coz story za Nyerere zatoka wapi hapo
@sharifanyumayo63142 ай бұрын
Kiufupi ni uhuni wanafanya na huyu msomamiz mbona adabu Hana? Ni Jeur! Watu wameacha Kaz zao kuja kupiga kula na no hawakutoa hata mie sijui no. Niloandikishwa. Wangepanga vzr ndo Iko hivyo
@EdnaLugano2 ай бұрын
Kwa nini hamkuweka majina kwa Alfabet .Huku kwetu wameandika kwa mkono halafu mwandishi wewe ulipewa namba Yako siku ya kujiandikisha.Acheni kusumbua watu,uchaguzi 2024 bado tunavuruga TU .Huyo kaka ameongea vizur I sana mambo kabla hatujapata uhuru Hadi Leo tunakwenda ovyoovyo TU Halafu.mtasema mmetumia mabilioni ya pesa.
@AgnessJohn-v8p2 ай бұрын
Ccm ovyotu
@hildandumbalo58272 ай бұрын
Mchape makofi huyo mmezidi upole watanganyika
@stephenmsanzu98502 ай бұрын
Sasa shida ni majina hakuna ama ni majina hakuna,wewe Wacha ujinga sana
@festokemibala58322 ай бұрын
Huyu anayejiita msimamizi wa uchaguzi ni kimeo!! Lini umeona majina yanaandikwa bila kufuata alphabet? Kusudio ni nini na kama siyo mkakati wa kuiba kura? Mungu ndiye kimbilio letu si muda ataahusha rungu kama ilivyokuwa huko sodoma na gomora
@paolo45842 ай бұрын
Watanganyika mmezidi upole na nyie. Ndio maana mnachezewa akili. Mtu kama huyo mnashindwa kuchapa makofi kweli?