HATIMAYE MREMBO ALIYEKATWA MIGUU YOTE APATA MTOTO, LAMATA AMUITA KWENYE JUAKALI, ASIMULIA KWA HISIA!

  Рет қаралды 39,955

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

HATIMAYE MREMBO ALIYEKATWA MIGUU YOTE APATA MTOTO, LAMATA AMUITA KWENYE JUAKALI, ASIMULIA KWA HISIA!
Global TV imefanya mahojiano na mrembo Jackline Nyaso ambaye alipata ulemavu baada ya kukatwa miguu yake kutokana na kuugua ugonjwa wa gangrene, ambapo ameeleza mengi kuhusu maisha yake ya sasa baada ya kupata mtoto.
#nyansotz #nyasso #nyansotz #nyasso #nyansotz #nyasso #nyansotz #nyasso #nyansotz #nyasso
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 69
@globaltv_online
@globaltv_online 2 жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA:👉🏾 bit.ly/3MraYdQ
@annemoureen6676
@annemoureen6676 2 жыл бұрын
Huyu dada yuko unique sana,umenfundisha jambo kwamba hutakiwi kumkufuru Mungu kwa hali yoyote unayopitia.
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa nguvu Furaha na maisha mema mwanangu hongera kwa kujikubali Mungu wetu halali Wala hachoki.
@rachelmukazayire8293
@rachelmukazayire8293 2 жыл бұрын
Jmn tujifunze kushukuru mungu kwa uhai 🙏🏽 super woman ❤️🔥✌🏾
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 2 жыл бұрын
Hongera sana kipenzi Mungu atakuongoza mumy
@aminamsimbe4034
@aminamsimbe4034 2 жыл бұрын
Hongera zake huyo kijana Ana mapenzi ya kweli mungu awape kuishi pamoja mumlee mtoto wenu
@janegeogre3234
@janegeogre3234 2 жыл бұрын
nyaso pole na hongera kwa kujiamini kipenz.Mungu azid kukutia ujssiri na uwe na maisha marefu
@ambiagoodluck4349
@ambiagoodluck4349 2 жыл бұрын
Hongera sana Kwa kazi Nzuri👏👏. Mungu amuonekanie siku zote🙏
@kilogreek4050
@kilogreek4050 2 жыл бұрын
Mungu Akubariki wewe na famiy yako nyaso🇹🇿🇬🇷
@sophialemmpalasu4133
@sophialemmpalasu4133 2 жыл бұрын
Hongera sana mdogo wangu mungu akupe maisha marefu kama namba ya nida
@neemaneema9969
@neemaneema9969 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lubuvahussein5556
@lubuvahussein5556 2 жыл бұрын
Kila Mja Ana Mtihan Wake Kutoka Kwa Allah...Allah Akupe Subra Uvumilivu Nguvu pia Ktk Maisha Yako...Insha'Allah
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 2 жыл бұрын
Sister. Nyasoo mungu. Akusaidie. Zaiidii
@bakariluhala7332
@bakariluhala7332 2 жыл бұрын
Never give up Mungu ni wetu sote
@lucykapinga369
@lucykapinga369 2 жыл бұрын
Mungu Akutangulie kwa Kila hatua
@Doreen_ONLINE
@Doreen_ONLINE 2 жыл бұрын
nmefikilia vtu vingi sana ila mungu akusimamie dada angu mungu akupe nguvu zaidi
@biabumwarua2444
@biabumwarua2444 2 жыл бұрын
Mashallah,,mungetuonesha uyo mtoto basi
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 2 жыл бұрын
Mrembo mashallah 😍
@dennymkumbala5748
@dennymkumbala5748 2 жыл бұрын
Hongera sana jackrin na mumeo nampongeza San iyo ndo maana ya mwanaume wa shoka hongera bro
@robertabel6984
@robertabel6984 2 жыл бұрын
Mwanaume wa panga ni yupi?
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
Hongera mpendwa, kumpata ndugu na rafiki yako wa kweli. Mungu ni mwema sana na upendo wake ni wa milele.
@clementgabriel1708
@clementgabriel1708 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema endelea kumutumainia Mungu muumba wa mbingu na aridhi
@yassintaibrahim3541
@yassintaibrahim3541 2 жыл бұрын
Tumwache MUNGU Aitwe MUNGU 🙏🙏🙏
@lydiakirahi2907
@lydiakirahi2907 Жыл бұрын
She is very humble ❤
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
Hongera sana.. Atukuzwe Mungu.
@silasmichael602
@silasmichael602 2 жыл бұрын
serikali inatakiwa isaidie sana watanzania kama hawa wanaopata ajali kama hzi daa jamani mungu atakusaidie sana dadaangu
@sabinajoseph6733
@sabinajoseph6733 2 жыл бұрын
Hongra mdg wangu na polee sanaa mabint tuige hapa tafadhali
@upendolema9809
@upendolema9809 2 жыл бұрын
Hongera sana❤️
@mdl6463
@mdl6463 2 жыл бұрын
Huyu dada mzr
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 2 жыл бұрын
Ni. Kweli. Huyo. Dada. Ni. Mrremboo. Hasaa. Hata. Ssuti. Yakee. Ni. Ya. Kirembo
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Tunataka kumuona uyo mtoto please, hongera sana kwakujaliwa kupata mtoto.
@joharishabani2893
@joharishabani2893 2 жыл бұрын
Ana mtoto mzur my huyu dada
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 2 жыл бұрын
Anamtt mzur Sana wa kiume Yan acha tu
@aminamsimbe4034
@aminamsimbe4034 2 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa tumshukuru kwa kila jambo
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
wanaotupa watoto wana ulemavu wa akili sio viungo 🥰🥰🥰🥰🥰🥰haswa dogo
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Imerda🥰nyaso jin la kinyatur
@athumankilango6218
@athumankilango6218 2 жыл бұрын
Mungu akutunze na kukulinda
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 жыл бұрын
Kanda ya kaskazini jamanii sio Hosiptali ni Hospitali
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 жыл бұрын
Maskini🙏🙏🙏
@husnasalim9614
@husnasalim9614 2 жыл бұрын
Allah azidi kukupa nguvu Dada
@HalimaSaid-d2s
@HalimaSaid-d2s 24 күн бұрын
Mimi mwenyewe niko hivo na nina watoto wawili na ninapambana
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
Funika nanguo nahiyo sehem iliyo ishia miguu yako Allah Akubariki naAkulinde sitaramuhim haina hajaYakuonyesha
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 2 жыл бұрын
Polee. Sannaa. Dada
@loner_wolf
@loner_wolf 6 ай бұрын
Pole jmn
@LucasRuben-x1t
@LucasRuben-x1t 2 күн бұрын
Wanaume hatuna ubaguz yeye kapata mtoto ila mwanaume akiwa hivyoo na hana mtoto ingekuwa kaz kupata wanabagua sana hawa dada
@godcompeter9844
@godcompeter9844 2 жыл бұрын
Kirikuu on fire
@zikenims6167
@zikenims6167 2 жыл бұрын
Hongera my
@landlord440illuminate8
@landlord440illuminate8 2 жыл бұрын
Angekuwa mwanamme asingepata mtoto. Wanawake wanabahati.
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Mi mwenyewe nimeshangaa hp km una mtt
@alicefesto3713
@alicefesto3713 2 жыл бұрын
MUNGU awatunze na MUNGU alikupa mume shoo jaman hi mbuni nyingine zingekuacha
@trisherumbu287
@trisherumbu287 2 жыл бұрын
Nimejifunza kushukuru kwa yote
@fatimamohammed3207
@fatimamohammed3207 2 жыл бұрын
MOLA. Mkubwa
@vmtz9989
@vmtz9989 2 жыл бұрын
Pongezi kwenu MUNGU awajalie mumlee mwanenu kwa upendo
@isaacmollel345
@isaacmollel345 2 жыл бұрын
Kweli kabla hujafa hujaumbika
@tudziwenemmelo4967
@tudziwenemmelo4967 2 жыл бұрын
Kaliiii
@angelkimario5862
@angelkimario5862 2 жыл бұрын
Nakupenda sana Jacklin
@angelkimario5862
@angelkimario5862 2 жыл бұрын
Najisikia kujioji Mi ninani ? Hata siimshkru MUNGU kama kauli yako unavyoongea.......... 🥰😍😘😘
@juliennenzeyimana3274
@juliennenzeyimana3274 2 жыл бұрын
Iyo habari niyasiku nyingi naona huna habari dada
@sailicekomba8075
@sailicekomba8075 2 жыл бұрын
Si utulie na wewe hujui watu wamejifunza kitu ambao hawakuona
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
We uliyeiona pita tu Acha sisi tuiangalie.
@aminanyembo6540
@aminanyembo6540 2 жыл бұрын
Huyu dada mtangazaji anaipenda sana hiyo gauni😂😂
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 2 жыл бұрын
Wew Amina n mbea khaaa😂😂😂
@petriciajohn1245
@petriciajohn1245 2 жыл бұрын
🙈 👁
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 2 жыл бұрын
Yaani🤣🤣🤣
@ciarmnyone738
@ciarmnyone738 2 жыл бұрын
Sasa c saree ya kz
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 2 жыл бұрын
We mbea 🤣🤣
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
HOW TO PROTECT OUR FAMILIES FROM EVIL | Ustadh Muhammad Tim Humble
1:20:54
Old Hill Masjid
Рет қаралды 2,3 М.
ALIYEMPA MAMA WAWILI GOROFA AISHI HUYU HAPA AONGEA MAZITO KUMKABIDHI JUMBA
15:35
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН