TOP 15: BINADAMU WA AJABU ZAIDI DUNIANI, MWANAMKE MWENYE NDEVU NYINGI, MWANAUME MBAYA.. | BRAIN FOOD

  Рет қаралды 273,253

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

TOP 15: BINADAMU WA AJABU ZAIDI DUNIANI, MWANAMKE MWENYE NDEVU NYINGI, MWANAUME MBAYA.. | BRAIN FOOD
HII ni Top 15 ya binadamu wa ajabu zaidi duniani, ambao maisha yao yanafurahisha, kusikitisha na kufundisha sana.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 74
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
Global App ni ya kwanza kwa BREAKING NEWS🗞, MICHEZO⚽ na BURUDANI🎷 *DOWNLOAD sasa👍
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 Жыл бұрын
Senegal 🇸🇳 kwa weusi ni balaa kuna dada alirudishwa ofisini ni msenegal madam alisema watoto wanamuogopa mie nilimuona aisee ni mweusi akicheka meno meupe hatari she so beautiful lakini gulf hawaelewi ni mweusi nyie
@johnrichard6461
@johnrichard6461 2 жыл бұрын
Kwa upande wa matiti mmezingua hukukwetu kuna bb anaitwa bi shujaa ni shida akisimama yanagusa chini njooni mumuone
@airinsumeno2490
@airinsumeno2490 2 жыл бұрын
Eeeh Mungu wewe n mkuu Sana na matendo yako n makuu mno sifa na utukufu n vyako
@bakaryCMD
@bakaryCMD 2 жыл бұрын
Ametukuka Mwenyezi Mungu Mzuri wakuumba/
@azizahassan5724
@azizahassan5724 Жыл бұрын
Mungu ni mkubwa hakuna wa kumshinda
@dorcasseruhere6875
@dorcasseruhere6875 2 жыл бұрын
Mwacheni MUNGU after Mungu.jinsi ulivyo siamini hata kama umezaliea mzima ukipata ulemavu na ajali jiamini tu Mungu yupo
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 2 жыл бұрын
Mbna kigoma wapo familia Wana nyelebmwili mzima
@evertheobald1811
@evertheobald1811 14 сағат бұрын
Mmmmmmmmmmm uunbaji wa Mungu ni wakushangaza
@KhadijaJuma-pb6fw
@KhadijaJuma-pb6fw
Huyu wa 2 vip jmn naona tafran tu
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn
Sasa kukosa mafuta mwilini jamani Daa hakika Mungu ni Mkuu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 14 күн бұрын
Nywele napenda ila za huyu mzee hapana aisee😂
@ummySheikh72
@ummySheikh72 Жыл бұрын
Subhannallah! Kapata bahati kumpata mtu anaempenda kwa dhati, kwakiwa yuko huko majuu. Ingekuwa Bongo mmm! Ungetafuta kaburi uingie🤣🤣
@romanilyimo8876
@romanilyimo8876 Жыл бұрын
Akika Mungu ni mkuu. Amina
@frejascompany6094
@frejascompany6094 Жыл бұрын
You are right ndugu yangu
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 2 жыл бұрын
Asante ni sana
@JanetNalianya
@JanetNalianya
Waja mungu aitwe mungu
@ceciliahizza2423
@ceciliahizza2423 2 жыл бұрын
Kazi nzur hajji kassim
@user-rz1pc1be7x
@user-rz1pc1be7x Жыл бұрын
Na ninmzuri Masha Allah
@imanibakili8028
@imanibakili8028 Жыл бұрын
Huyo dada mwenye kucha ndefu hajitawazi ama
SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
17:01
Global TV Online
Рет қаралды 822 М.
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 6 МЛН
SNAKE BOY | ep 31 | SEASON TWO
36:36
CLAM VEVO
Рет қаралды 577 М.
Mtu Mrefu Zaidi Duniani |WATU WA AJABU ULIMWENGUNI
8:02
Afrimax Swahili
Рет қаралды 186 М.
AFRICAN DRAMA!!: GOOD FRIEND
16:36
Flaqo Raz
Рет қаралды 884 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН