Hongereni kwa kazi ya Mungu!!!..... Mwenyez Mungu atafungua njia ya kupata kipato!!!
@pastoreliya6632 жыл бұрын
Mungu. Akubariki SANA mtumishi WA MUNGU sana
@lydiamichael55092 жыл бұрын
Bwana wetu Yesu kristo apewe sifa kwa kuwawezesha kuenda kwa kazi yake nakuwarudisha salama salmini Amina
@helenkimo10782 жыл бұрын
Ameeen mungu aeaongoze katika safari yenu
@anneokaka82132 жыл бұрын
Na utukufu wa mungu uzidi kuwa nawe mchungaji asante kwa kunipa ufunuo mungu akubariki.
@tabithaibrahim84932 жыл бұрын
Karibuni tena Tanzania amani ya Bwana iwe kwenu.Mungu awabariki kwa kazi njema.Amen.
@fadhiliedward77772 жыл бұрын
Ameen .Tunabarikiwa sana
@bihamasoantoinette802 жыл бұрын
Mungu akubariki na awafikishe salama
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Asante MUNGU kuwakumbuka watumishi kwa hii safari.
@moraarebecca36272 жыл бұрын
Sifa kwa YESU mwana wa MUNGU.DAMU Ya YESU ni NGUVU na NGAO yenu . Mbarikiwe sana
@skeetergodwins25762 жыл бұрын
Hallelujah, asante Yesu bado mko salama
@janetisaac10842 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu mmesafiri salama,Pia Mungu amewatunza sana jina lake litukuzwe,asante Bwana Yesu kwa kuwatunza watumishi hawa
@frolasospeter60002 жыл бұрын
BWANA ni mwema amewarudisha salama Mubarikiwe sana
@emmymatigula48702 жыл бұрын
Utukufu kwa MUNGU BABA ALIYEHAI🙏🏾🙏🏾❤
@annamulenda66522 жыл бұрын
Well come back home Pastor... God is great.. stay blessed.. soldier for Christ... In Christ Jesus.. march on !!!!
@standbygospelassemblysga67362 жыл бұрын
Mungu awabariki sana Watumishi wa Mungu wa mbinguni.Bwana atuguse watu Ili tuwasaidie Promover wanafanya kazi kubwa na ngumu sana.
@elizabethlusato73632 жыл бұрын
Ninamshuku Mungu kuwaona mpo safarini salama
@favourndila84742 жыл бұрын
Sifa na utukufu kwa Bwana wetu Yesu Kristo
@bitihaywajean35632 жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu wa mbinguni kuwalinda Hadi mumefika Tz,
@janethmwihumbo12892 жыл бұрын
Jina la bwana libarikiwe mungu awatetee hakika nguzo ya Moto iwe juu yenu
@helmashimba77612 жыл бұрын
Hallelujah
@millicentnaliaka2 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu kabbisa
@enickosanga49212 жыл бұрын
Mungu mkuu sana ila congo Dah kweli nishida
@salomekemunto13732 жыл бұрын
Ninamshukuru sana Mungu kwa kuwatunza na kuwalinda mpaka nimefika salama. Jina la Yesu Kristo lipewe sifa AMINA .
@gambonmgaya12862 жыл бұрын
Poleni na misukosuko watu wa Bwana.
@melisakatu86682 жыл бұрын
AMINA AMINA AMINAAAA WATUMISHI WA MUNGU SAFARI NJEMAAA
@godisable20982 жыл бұрын
God is good am very happy for what God is doing for you.
@sarahchristoph50622 жыл бұрын
Kazi yenu ni njema mungu awabariki sana
@elizabethlusato73632 жыл бұрын
Mungu aendelee kuwalinda watumishi wa Mungu..mnapata sana upinzani wa shetani lakini Mungu wetu mkuu ndio mtetezi wetu sote
@abigailphillip36882 жыл бұрын
Hakika Mungu yu mwema 👏👏
@agnesmuthara34812 жыл бұрын
Glory to God may he always bless you for spreading the good news
@jesusfirstchurch41622 жыл бұрын
Mungu wetu ni mkuu...hakuna hata unywele wenu mmoja utakaopotea Amina.
@jescamdanga13092 жыл бұрын
Nawatakia Safar njema, Mungu awatangulie katika Safar yenu, hamtakufa bali mtaishi na kusimulia matendo makuu ya Bwana.AMEN.
@pericykiko61982 жыл бұрын
God bless you
@melisakatu86682 жыл бұрын
Mungu amtangulie kwa safari
@bebebebe92692 жыл бұрын
My GOD bless you all 🙏🙏🙏
@monicamafenyi83582 жыл бұрын
Poleni kwa kwa mapito lakini Mwenyezi Mungu hajawaaja Yu pamoja nanyi ,sifa na utukfu umridie yeye,neno la lake la sema Mungu huwa hatupi walio wake
@magdalenapeter61062 жыл бұрын
AMINA HAKIKA MUNGU WETU NI MWAMINIFU SANA JINA LAKE LITUKUZWE MILELE
@nkabo5072 жыл бұрын
Jina la Bwana libarikiwe kwa kuwalinda na kurudisha salama
@joelowano86812 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu sana aliadi ya kwamba atakulinda,na atakaa na wewe siku sote na hata mwisho
@mauwashomari81602 жыл бұрын
Sifa na utukufu zimurudiliye Mungu
@josephmutemi74942 жыл бұрын
Ameeeeeen
@sundayherrieth94602 жыл бұрын
Mungu ni mwema,azidikuwatia nguvu
@helenkimo10782 жыл бұрын
Kujeni kenya
@selegioelias90762 жыл бұрын
Mungu awalinde njiani
@florencemueni11832 жыл бұрын
Bwana hawabariki sna
@angelanikalenga47572 жыл бұрын
safari jema wapedwa katika Kristu bwanawetu amena
@marykilila87862 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe kuwa mumerudi salama .Mungu anamweshimu anaye muheshimu . Kwa hiyo mwenyewe watu atawashurukia katika mambo yote ikiwa munaendelea kumtumainia Mungu. Musisahau kama Mali na vyote ni vyake
@gracelauzi97462 жыл бұрын
KARIBUNI KARIBUNI TZ MUNGU NI MWEMA AMINA
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Kaka Jactan bado unakumbuka Kenya karibuni tena Kenya 🇰🇪
@rozyderose2 жыл бұрын
Kweli. Waje tena
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Asante tutakuja tena
@standbygospelassemblysga67362 жыл бұрын
Usafiri mgumu sana jamani inasikitisha sana Watumishi Hawa kuwa hivi Jamani tuwasaidie Ili wasichoke na kukwama kupeleka Injili ya kweli maeneo mengine.
@helenkimo10782 жыл бұрын
Tuko na raisi mupya karibu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tena ameokoka naona zote 🇰🇪tutaokoka
@GeophreyMsomba2 ай бұрын
❤🙏
@salomezakaria2 жыл бұрын
Mungu mkubwa
@kersirukangika24402 жыл бұрын
Waeslam hawana wokovu wewe ime andikwa kwamba njia ni moja ya kutufikisha mbinguni ni kwa Yesu tu peke yake kwawengine ume poteya •
@annkim26902 жыл бұрын
Nilipo sikia ule ushuhuda wa mara yakwanza magumu yalio wakuta Kwa maji nilienda kusoma zaburi 107-23 hao huziona kazi za Bwana
@florencemueni11832 жыл бұрын
Mkona no ya mpesa mnipee tafathali op hkuna matapeli hpa