Mungu akutie nguvu hata nami nakuombea. Wambie watu wa mungu ukweli huooo mungu akutie nguvu Kwa jina la yesu
@AidaKantara18 сағат бұрын
Tume barikiwa sana, na UBARIKIWE wewe mtumishi wa mungu
@TeclaCassianoTeodoro21 сағат бұрын
Ubarikiwe wewe no macho ya mungu duniani, nazidi kufuatilalia maubiri yako
@Mary-z8r7e16 сағат бұрын
Amen 🙏
@Jnw.190019 сағат бұрын
Amen
@margaretnekesa201922 сағат бұрын
Ameeen. .baba. yet. Umbarekwe. Sana
@Reginajohnson-19888 сағат бұрын
HALELUYA sifa na Utukufu ni kwa MUNGU alie juu .. YESU NI BWANA WA MABWANA Msofe yeye tuu Ufunuo 4 11 Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa. Haleluya amen
@TeclaEstevao25 минут бұрын
Ss
@WinfridaDeus15 сағат бұрын
Mchungaji samahan naomba mawasiliano yako
@shadrachkamyori99118 сағат бұрын
Pastor Katekela, Kwa nini haukuombea ukombozi wa nafsi ya msukule badala ya kumuua kwa vile inaonesha msukule alikuwa anaomba msaada? Au uligundua alikuja kukudhuru?
@ElizabethMuia-ro9yh21 сағат бұрын
I HOPE HIO KANISA NI NEW LIFE CHURCH MAVUENI MOMBASA, HAPO MOTO. WA YESU UNA WAKA KWELI KWELI