Hongera kiongozi kwa hatua hii ya kujikwamua , ila mie nina swali moja je kwanini uliamua kutumia mbegu ya shilingi elfu themanini wakati kunambegu za elfu nane, je hiyo ya elfu themanini ndio mbegu bora naomba maelekezo mie nipo kagera
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
Ahsante kwa swali zuri brother Samwel, inategemeana unataka kupanda mbegu kiasi gani maana mbegu za Tshs.80,000 ziko mbegu 1,000 kwenye pakiti lakini hizi mbegu ni zile za Hybrid. Kimsingi ni nzuri sana na mbegu ziko mpk za 240,000 inategemeana na idadi ya mbegu unazotaka kupanda.
@bestonmwasalemba69158 жыл бұрын
asante sana aisee, msisahau kutuwekea update maendeleo ya mimea shambani
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
Tunaweka maendeleo siku si nyingi. Endelea kutufuatilia ndugu.
@bestonmwasalemba69158 жыл бұрын
Asante sana mkuu @suleiman
@eliachilonwa50568 жыл бұрын
Hongera mkuu
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
Ahsante sana
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
Ahsante sana
@reyph17008 жыл бұрын
good kaka
@furahahitira68927 жыл бұрын
safi
@suleimanh.halletu75527 жыл бұрын
Hata seminis ni F1 tofauti ni makampuni tu. KUna sukari F1, king sugar F1 , seminis F1 n.k hizo ni mbegu zilizoboreshwa
@iddramadhani82063 жыл бұрын
Au Ndugu SULEIMAN KAMA UPO ACTIVE NISAIDIE NUMBER ZAKO PLEASE
@msafirikatopola87506 жыл бұрын
Ulilima shamba la ekari ngapi na ulitumia mtaji kiasi gani
@jacksonmtaswa28859 ай бұрын
Kk mbno ndg zako wengne tunaoitaji lima watukatisha tamaa kuona unaombwa no utoi na ss tunaitaji tufanye hyo inshu tunaitaji no zako utuelekeze vyema
@jacksonmtaswa28859 ай бұрын
Nisaidie hyo no mm mdg wako Niko mkoa wa mtwra nimeendaa baadh ya vitu nipe no kk prease
@adammakoye41986 жыл бұрын
nipe madhara ya kuifukia mbegu sana ww umesema sm 2.5 mm nkazidisha sm 5mpk 7
@sumaminga7518 жыл бұрын
i wsh nikutembelee shamban kwako nijionee kwa vitendo ...nami nipo tabora
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
Karibu sana ndg. Unaweza nipigia ukiwa tayari kuja kwa 0763 80 64 85
@sumaminga7518 жыл бұрын
Nashukuru sana ntakutafuta...and ths is my number 0763412402
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
ok
@iddramadhani82063 жыл бұрын
Habari za Jioni Kuna mtu mwenye number za huyu ndugu yetu SULEIMAN? TUPATE FAIDA KUTOKA KWAKE?
@herbertpeter30267 жыл бұрын
samahani kaka suleiman vipi kuhusu maji tikiti linahitaji maji kiasi gani? au linaweza kuhimili hata kwenye mvua za kawaida?
@bestonmwasalemba69158 жыл бұрын
Aisee vp mwezi umeisha, tupatie mrejesho tuone maendeleo ya project
@suleimanh.halletu75528 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/oHyQmpywZcyZZtE Unaweza angalia kwa link hiyo hapo juu utapata updates ya mwezi mmoja. Lakini pia suscribe ili uwe unapata kila video ninayoitupia humu.
@bestonmwasalemba69158 жыл бұрын
ok, asante sana
@stephanomulokizi20266 жыл бұрын
Nimefurahi kuona kijana anachukua hatua kulingana na mtaji alio nao safi