Vizuri lakini hao wapo wengi Sana Serikali ijipange Sana maana ni Mtandao Kubwa Huu Allah Awasaidie sana Katika kuwaokoa Vijana wa Kizanzibar maana wengi wameshaathirika Na Madawa ya kulevya
@shaviercharvinho189 ай бұрын
Wao kwa wao washageukana saivi mmoja wameamuwa kumkamata unga unatoka nnje ya zanzibar haukamatwi ukakamatwe chukwani ndani
@al-mamarial-mamari54579 ай бұрын
Kazi nzri sana . Watafuteni wote muwaeke ndani maisha. Na hizo mali zilizotaifishwa wasaidie ktk hospitali ili wananchi wapate kufaidika nazo.
@HoodAnu9 ай бұрын
kazi mzuri Sana afande hakuna Kulala watokomezeni wahalifu.
@shaviercharvinho189 ай бұрын
Ndio unaqmini au
@feisalomar-hr3hq9 ай бұрын
Safi kamanda wauweni tu wanaliangamiza sana taifa
@princesaha32629 ай бұрын
Asema tuu. Hao watarudishiwa mali zao na hilo jambo litaisha kiaina tuu.
@karafuunanazi17019 ай бұрын
Jambo jema sana na walaaniwe wanaofanya biashara hii ya kuua watu kwa tamaa zao za kimaisha
@pythagorasgibson33059 ай бұрын
very sad😢😢
@h77-f8m9 ай бұрын
Kata Shingo zao wauwaji hao
@afropanorama47309 ай бұрын
Vizuri
@hajiabdalla57729 ай бұрын
Na pombe pia na mabangi mana ndio chanzo kwa mabaru baru kuanza kutumia hivyo na baadae wanangia kuvuta unga
@princesaha32629 ай бұрын
Na vitendo vya wizi na unyanyasaji kijinsia kutokana na uuzwaji wa tembo,na bangi na madawa ya kulevya.
@omarswaleh60829 ай бұрын
Piga wao risasi hata dini inakubali hao ni wauwaji
@MrKhatibu8 ай бұрын
Tuekeeni bei ya hio hummer tujipime
@AliAbdullah-oy6yo9 ай бұрын
Hapa kuna namna sijawahi kuwaamini Sirikali ya CCM direct hadi nijiridhishe.
@HashimSalim-qj7zn9 ай бұрын
WAKAMATWE WOTE WENYE BIASHARA HII HATA KAMI NI MAWAZIRI. ZANZIBAR BILA YA MADAWA YA KULEVYA INAWWZEKANA.
@VumiliaMtenda9 ай бұрын
Kuna kipindi walikamatwa hawa mume na mke wote na wakaja wakaachiwa na wakaondoka huku bara wakaenda huko zanzibar
@khamisali99079 ай бұрын
Ao ndo wote au
@MengiMeng-fd7sq2 ай бұрын
Muwakamate na mafisadi wa selikalini kama inavyosema Shelia ni msumeno
@mohdshebe56409 ай бұрын
Sasa 15 million au billion 15 au ckusikia vzr
@MahmoudDouchi9 ай бұрын
Kaka ni billion 15 sio milioni 15 hatariiiii sana Hawa jamaa mazungu ya Unga dah
@salmahalfani63079 ай бұрын
Billion 15.
@jakobongwara30389 ай бұрын
Haaa wanahalamm
@RAMADHANIMTEMI9 ай бұрын
I'll watu hao wapatikane wekeni mabango ya picha zao ili tuwafahamu
@salimali-rf9er9 ай бұрын
Hii I'II, maana yake nini?
@mossassaid26839 ай бұрын
Mtu akikuita ccm pigana mpaka ufee sasa hao kama ni watuhumiwa inakuwaje uwataje majina na mli uite zime taifishwa kwa sheria ipi ya kesi yao na wewe mpuuzi umekuwa ndiyo maharaja au jaji naona ulijiita mamlakaaa yaani mmm kidumu chama chenu bado matunda ya mapinduzi yanaendeya
@murattywamuratty97789 ай бұрын
Sasa zikitaifiswa izoo mali zinauzwa au zinatumiwa na watumishi wa serikali kwa mfano nyumba, na gari izoo, na swali jengine ayoo madawa yakipatikanwa mbona hatuoni yakitelekezwa kama kuchomwa motor au kufurugwa kuharibiwa kama vile wanavyo tuonesha vinywaji na mipodozi yanavyo telekezwa kwa moto?
@shaviercharvinho189 ай бұрын
Washageukana hao unga unatoka nnje ya nchi ya Tanzania na zanzibar wewe jiulize uko umepitaje mpaka kufika hapa ety ndio waukamate
@UsambaraMombo9 ай бұрын
Watu mamekula mipesa mingi ya serikali hakuna hata waliotaifisha mali zao mnawaonea tu hao
@TunauzaSimu-fn2ff5 ай бұрын
Mnasema kuna pombe halali na pombe haramu. Bac na hayo madawa wapeni kibali yahalalishwe 2..kwani wtt wetu wanaouza mkononi huwa wanapewa na wenye uwexo wa kuxleta