Mtihani, Allah ampe nguvu aweze kufanya kazi zake kwa ufasaha,
@rajabkheir89985 жыл бұрын
Daktar mmoja vituo viwili....bado anaonekana sio mzalendo....baba sheni tuanze wilaya mbili dc mmoja.....alafu no usafiri twende sawa
@burhanisaidi98115 жыл бұрын
Siasa na udocta ni vitu viwili tofauti! Kama mkuu wa wilaya una imani na wananchi bas umuajiri daktari mwwngine sio kuleta siasa.
@aishaomar43185 жыл бұрын
Kabisa kaka 👍
@hamudseif5 жыл бұрын
Yan hiyo ndio athar ya kuwapa uongoz wanawake na watu wajinga
@omarjumanne44715 жыл бұрын
Uajiri wa kiujomba ujomba hill pia tatizo kwa Zanzibar
@khadijambarouk29835 жыл бұрын
Tatizo sio madaktari Bali serikali ajira hawatoi Kuna watu kibao wamemaliza kusoma hawawapi ajira mpk uwe na kadi ya CCM utasema hicho Chama ndio kilichokusomesha
@RashidHaroun-c2jКүн бұрын
Jamani wasomi wetu mna shida sana hali mushaiona live ao waloajiriwa si wazalendo hawafanyi weledi na kutimiza wajibu wao wakazi apo wamejengewa nyumba hawakai halafu bado mnasema tatizo hakuna ajira
@samsungjsevenprime57175 жыл бұрын
Ktv tz online hakika hii ni Fahari yetu 👍
@SA-xj8hc5 жыл бұрын
Kazi nzuri bi Hamida Kamishna , lakini serikali iwape pembejeo wafanyakazi kama usafiri nk. Pia wafanyakazi tubadilike “service to man means service to god”
@mainaabuu89315 жыл бұрын
Mungu awape taufiq wawexe kutekeleza majukumu yao ipasavo
@w40583 жыл бұрын
Bora hata nisikomet chochote mshenzi tuu huyu mku wa nini sijui
@aliissa66325 жыл бұрын
Haiwezakani kabisa wakati yuko na familia yake huwezi kumwambia mtu lala sehemu fulani wakati kuna shifti basi hakuna kosa
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
MashaaAllah mana mm namuangalia huyo bibi kiongozi alivyokua mnene. Yy mwenyewe hata anaeza kufanya kazi au anamsisitiza mwenziwe kuacha kazi tu?
@shamsahaji62025 жыл бұрын
Hahaha umeona ee anahitaji kujiangalia mwenyewe kwanza
@omarjumanne44715 жыл бұрын
Gari wanapewa wanasiasa wataalamu. Hawasaminiwi
@hajiabdalla57725 жыл бұрын
Nyote washenz . Huyo jimama yeye mwenyewe hafanyi kazi . Na kama kaowa au kaolewa .itakuwaje . Wapeni nyumba waje wakae pamoja na familia yao
@omarjumanne44715 жыл бұрын
Mkuu wa wilaya. Una gari mtaalam hana gari maajabu hayo siasa mbere
@RashidHaroun-c2jКүн бұрын
Mtaalamu amejengewa nyumba aishi kituoni pake mkuu wa wilaya ni mtu wa ku zunguka wilaya nzima ivi bado hujaona tofauti kuwa na gari ni sheria nyengine za utumishi na mtumishi wa aina gani ndo anatakiwa awe na gari sasa daktari gari yee aitumie kwenye nini hebu zingatieni bana msituumize kichwa
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
SHUKRAN KTV TZ online hakika hii ni FAHARI yetu
@aishaomar43185 жыл бұрын
Na daktari m1 spitali 2 halafu alale apoapo akirokea mgonjwa usiku amuhudumie jamani na nyinyi mumfikirie
@MohamedMohamed-fz5qh5 жыл бұрын
Hawa wanasiasa akili zao wanazijua wenyewe
@BESTTV1LIVE5 жыл бұрын
Mumepa usafiri wa kutoka huko porini kwenda sehemu nyingine?
@mohdjuma70315 жыл бұрын
Wanafunzi WA Zanzibar school of health nakuoneni muhajir,MKUBWa na wengineo
@sharifabdul60855 жыл бұрын
Safi sana mkuu,ni mtihani kweli kuona mtu anatetea uzembe wa namna hii,hapa tunazungumzia afya ambayo ni maisha ya watu,lazima watu wawajibike,maana ktk kiapo ulikubali sasa kama huwezi ni bora kuacha sio kusema hufanyi then unapewa mshahara
@iqbalmuhamed44205 жыл бұрын
Musimlaumu daktari kwasababu daktari mmoja mnampangia sehemu mbili wakati kutoa ajira mnashindwa na daktari wapo wengi tu ss mtu gani anakae fanya kazi spitali mbili na apate mda gani wa kukaa na familia yake
@hebbyommy93555 жыл бұрын
True,,
@omarjumanne44715 жыл бұрын
Zanzibar siasa nyingi Hanna kitu
@AliAli-xi3hu5 жыл бұрын
Asiende mazikoni wala asiwe karibu na familia yake? Wekeni madaktari watatu wawe wanapumzishana Lkn Daktari mmoja vituo viwili hii Sio haki
@adillhabib20065 жыл бұрын
Kwa mshahara gan
@ibrahimame98058 ай бұрын
Hapa siasa 2 sio utendaji ccm oyee
@tanitani33875 жыл бұрын
KTV online hakika hii ni fahari yetu.
@familylove54175 жыл бұрын
Mmh wallah wazungu wanaweza kwenda peponi wote
@salehhamadi60705 жыл бұрын
Why
@hajiharoub81255 жыл бұрын
Hizo hisia zako zinakudanganya
@ahmeidyoung24105 жыл бұрын
Safi sana mkuu wa mkoa
@salmajadi92245 жыл бұрын
Na hawafanyi kazi kwaupendo daktar anatakiwa awe na upendo wakufanya kazi
@ashuashu38435 жыл бұрын
Ndio mambo ya dunia(dunia duara Jambo la muhimu ni busara na uvumilivu na ushirikiano.
@mohdiddi77925 жыл бұрын
Uzalendo ni kufanya kazi kwenye mazingira magumu mbona nyinyi wanasiasa hamufanyi kazi kwenye mazingira magumu muna magari ya bei mishahara mizuri marupurupu tele
@MohamedMohamed-fz5qh5 жыл бұрын
Hawa akili zao wanazijua wenyewe
@RashidAli-rn3ro5 жыл бұрын
Hamna jipya hvi madaktari hawapo wakaajiriwa mpka dokta mmoja vituo 10? Lkn pia maslah ya smz ni mabovu wafanyakazi hawapewi motisha lazima watoke iman na nchi yao bana
@omarymbaraj80726 күн бұрын
Mnawakwangia huko hata mimi sikai Ukongoroni, Charawe Subutu! Pia Vituo havina Walinzi!
@makamemufadhil6275 жыл бұрын
Musituzingue Zanzibar kuna jaa uozaa eti hospitali kama huna mwenyeji huduma hupati ipasavyoo
@mohammedmnyimbi3688 Жыл бұрын
Viongozi lazima watambue Sheria za kazi.ili kituo kiwe Cha masaa 24 na idadi ya wafanyakazi Ni miongoni mwa sifa ,mfanyakazi kwa siku anatakiwa afanye kazi kw masaa nane na nusu na apate siku mbili za off km unataka ake kituoni masaa 24 huo Ni muda wa ziada haumlazimu km hataki. Km viongozi mnahisi Kuna umuhimu mlipeni over time.msiwanyanyase.
@jumailyass93085 жыл бұрын
Uzalendo hauji na njaa
@magibomwita81345 жыл бұрын
Dah hatari sana kwa nchi zetu maana daktari mmoja awezi kuhudum sehemu mbili
@suleimankhamis82983 жыл бұрын
dah
@hajiabdalla57725 жыл бұрын
Hata wao serekali wote wanaofanya kaz ni wavivu
@aminattai26768 ай бұрын
Yaani zanzibar usingizi ni mwingi sana,kiongozi ata kuongea hajui,mungu tusaidie usingizi zanzibar kiutendaji uondoke na pia viongozi wa zanzibar muache kuvaa vi suti vyenu vinavofana,kila mtu akishaitwa muheshimiwa basi vile visuti kama mesenja,haijuilakani dereva nani haijuilikani usalama nani haijuilikani waziri au muwakilishi au mbunge kutoka zanzibar ni nani,badilikeni kwenye mavazi.
@iqbalmuhamed44205 жыл бұрын
Sheria na huruma musijifanye wakuu kisha mkaongea tu
@syedsaad84493 жыл бұрын
Wameonewa wapo huru Umuhimu ni kazi nzuri tu daktari hafukuzwi??
@abubakarmohammed59945 жыл бұрын
Huyo mkuu wa Wilaya yeye mwenyewe mgonjwa angalia hivo alivyo tumbo,ziwa, tako yote yamekaliana sehemu 1 hata hawezi kumaintain mwili wake...Ovyooooo
@hadijaismail3619Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@imamnassor30385 жыл бұрын
endeleeni tu hao ni ccm mbele kwa mbele
@saidmohd50905 жыл бұрын
Tuuzieni hizo nyunba cc tunazitaka
@aishaomar43185 жыл бұрын
Muajiri madaktari wengi lkn sio daktari m1.wapo kibao wamemaliza kusomea waajirini na wengine zaidi
@awatifalghanim1106Ай бұрын
Kama ziko Hospitals lakini hakuna Madaktari hiyo ni balaa kubwa. Basi bora leteni Companies za njee waje kufanya kazi.. Zanzibar haina maendeleo kabisa.
@captain_kharus47845 жыл бұрын
Madactar wangapi wapo majumbani bila ya ajira
@shankalimauno57865 жыл бұрын
duuuu. kweli hapo si unakufa unajiona
@omarkhamis63355 жыл бұрын
siasa mbele mama usiwe nanyodo kiasihicho
@awatifalghanim1106Ай бұрын
Nyumba ya Daktari imejaa mavi ya mbuzi. 😂😂😂😂Zanzibar hakuna nidhamu kwa walopewa majukumu Wananchi wako kwenye mateso makubwa.
@EshaHamd-ed9yv8 ай бұрын
Kwanza hawa Madaktari umewaandalia Maandalizi ya makazi au ni kutaka sifa Kwa watu Sasa hao Madaktari hata usafiri hawana mumewakusudia Nini Kituo kipo lakini Kwa kutoa huduma itakuwa ngumu wapeni usafiri wa uhakika ili wawahi kazini mapema la sihivyo mutapepeya miku tu
@adillhabib20065 жыл бұрын
Ajirini watu na ww mkuu wa wilaya acha kaz
@mohamed.hassani99175 жыл бұрын
Wapeni usafiri wa magari ,magari yote mnaendesha nyinyi wanasiasa ,Udaktari ni kujitolea boresheni huduma vile vile wajihisi kama wako town.
@thaniyasuleimansimai54864 жыл бұрын
Kufa.nya kazi kwa mazoea ndio sababu inayopelekea haya.ukijumlisha na dharau kama mnazi mmoja anofunguwa chumba cha ultrasound ni mtu mmoja tu na funguo anaondoka nayo usiku likitokezea tatizo anasema mie siji saivi uko.... yani 😢 mtihani kwa kweli Na wakati kapangiwa zamu yake awepo mda ule lakini ikisha hachukuliwi hatua yoyote. Wewe unaenda zikwa yamekwisha.
@ameeranassor16195 жыл бұрын
Mmewapa usafiri? Eti daktari anapanda daladala au boda boda😂😂😂😂😂 Motû kishasoma miaka zaidi mitano Tena Mara nyingi huwa nje ya nihilism halafu muwaweke kwenye mabanda ya mbuzi,Kituo cha kutoa huduma masa 24 kilo wapi wakati umeme unazimwa Kama unavyozimwa kutwa.Hakuna cha uzalendo mnatakiwa muwajali wafanyakazi wenu ikiwa daktari aache maisha hake ahamie eneo la kazi basi wawekeeni mazingira rafiki
@alyhamad46875 жыл бұрын
serikali iengeze wafanyakazi wenye uzalendo
@adillhabib20065 жыл бұрын
Hamnalolote mshaishiwa
@ismailmashimba34705 жыл бұрын
Viongozi wa Zanzibar hawawezi kutumbua majitu
@ibnually74285 жыл бұрын
Nyumba ziko vizuri lakin zinaonekana hazikaliwi na mtu Pia zinahitaji maboresho kidogo
@samsungjsevenprime57175 жыл бұрын
Ni vzr wakiwepo madoctar kuanzia 4 waweze kuingia kwa kupishana asiwepo mmoja itakuwa usumbufu kwa wagonjwa na kwa huyo Doctar
@nassornasser37335 жыл бұрын
Serikali yenyewe ya kizalimu washanzi nyii
@sulymansalymaly38595 жыл бұрын
Nyinyi kazi zenu siasa chafu tu rekebisheni sana hao madaktar uchwara na wauguzi wenu uchwara wana dharau sana hawajui wajibu wao unakuta mtu anasomea unesi au udaktari halaf hatak kuwahudumia sasa kma huwez kuhudu kasomee mambo mengine kwann ujitie huko pumbavu zao aanzeni hosptl kubwa nazo ujinga mtupu
@saidmohd50905 жыл бұрын
Kinacho takiwa kifanyike hizo nyumba Kama madocta hawazitaki kukaa zipijwe mnada cc tunazitaka
@hebbyommy93555 жыл бұрын
Ha ha ha haaaaaaaa
@kibojewee27105 жыл бұрын
Hata mimi nazitaka🤣🤣🤣
@amnemkubwa73535 жыл бұрын
😁😁😁😁😀
@EshaHamd-ed9yv8 ай бұрын
Hawa tatizo wanaajiri watoto wenu vyeti hawana huna lolote wewe Mkuu wa Wilaya Wewe mwenyewe hufanyi uadilifu
@khamisijuma48425 жыл бұрын
Tatizo wazanzibari tunafanya mabo kwa muhali maana ktk hospital yetu kuuu unapo kwenda usiku Mara unaambiwa daktari ametoka
@salummbaruok94085 жыл бұрын
Humo kwenye nyumba huduma muhimu zipo lkn? Isijekuwa choo kibovu, maji hamna, n.k
@fifo2625 жыл бұрын
Muongeze kuwaajiri watu wapooo
@shamsahaji62025 жыл бұрын
👀
@kibojewee27105 жыл бұрын
Niuzieni mimi hiyo hospitali
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
Naomba uniajili naahadi nitakua 💪
@jumamwadhini60665 жыл бұрын
kwani dokta wahicho kitengo yupo peke yake
@ibrahimmpemba87795 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 viongozi wetu hawa eeeeh. Sasa masaa ya kazi ya daktari yakoje? Mkuu wa Wilaya au mkuu wa vilaza?
@hamudseif5 жыл бұрын
Siasa nyingi, ajir madaktari ww wachen siasa
@ismailjuma36925 жыл бұрын
Ajirini wengine basiii
@مريمسالم-ب2ج5 жыл бұрын
Muda wa kura umefika sheria na huruma kwan serekali imeaji daktar mmoja tu musiwe wachoyo wa fadhila kosa dogo tu habar mitandaon
@adillhabib20065 жыл бұрын
Msiyatumie madaraka kimabavu
@riphatmuhene96155 жыл бұрын
Ovyoooo
@ibrahimame98058 ай бұрын
Daftari l a Kudumu twalinunua mamilion daktari mahospitalin i hamna miaka 60 mapinduziiiiii hahahaaa
@salumal-shaib59805 жыл бұрын
Mwambie tu huna kazi kuanzia Leo na sio aandike barua
@MohamedMohamed-fz5qh5 жыл бұрын
Hawezi kumwambia kwa sababu anajua huwezi kumpanga mfanyakazi mmoja katika vituo viwili (kisheria).
@nureyna6295 жыл бұрын
Apo cha kufanyika ni kuweka mazingira Sawa hapo anapoishi Daktari atakaa tu, lkn km mazingira hayo binafc sikai, chwaka huko heeeeh,
@umiy19715 жыл бұрын
kila anaeongelea uzalendo hapa basi aujue na maana , nyie mshawahi kuuguliwa na familia ikawa huna muuguzi karibu ? au kwa kuwa hayajawafika ? ushawahi kupoteza mpendwa wako kwa uzembe wa dakitari kutokuwa kazini ? ukipewa jukumu aidha likatae kuwa huliwezi au litekeleze ipasavyo , mna maana gani mkisema ana familia yake atalalaje mbali ?? kwani wale alopangiwa kuwahudumia sio binaadamu ?? si analipwa ? na kama kulikuwa na malalamiko si ayapeleke kunako husika ??
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
Hospital manug'uniko police na hao popo bawa viringo majini wabakaji manug'uniko kilakitu👎😠👉😂😂😂😂yatatibiwa mavi ya mbuzi.Watumbue majipu yaki toka damu usaha alimradi yasha tumbuliwa👌
@adillhabib20065 жыл бұрын
Munaachisha kaz wasomi
@bindawood9785 жыл бұрын
Ugatuzi,changamoto na majensi kiswahili chei chei.
Sasa uzalendo wa kufanya kazi vituo. Viwili. Dotka Hana makosa. Muajiri watu. Wawe dota
@mariamdjae98255 жыл бұрын
Huwo ni unyanyasaji kwa raiya, halafu wasingiziw serikali na imewaajiri na wanalipwa mshahara kamili kwa mujibu kwa mujibu wanavyotakikana wafanye kazi, ukichunguza muhishimiwa wanafanya kazi kwenye private. Sasa serikali ichukue hatua kwenye private hospital lazima wajue list za madakrari na nursy wanofanya kazi dipo mtapowapata wote wanao dhalilisha wagonjwa, pia hospital wizara ya afya lazima wawawekee madaktari kusayni time shift kwa kila kituo anacho ingia na kutoka sio wakilipwa pesa za bure na hawatoi huduma kwa raiya. Serikali haitoshindwa kuwekwa computer kwa kila kituo kwa ajili ya hao madakrari na wafanyakazi kusayni wananapoingia na kutoka.
@MohamedMohamed-fz5qh5 жыл бұрын
Wewe huyajui, wanafunzi tu wanaotakiwa kufundishwa kwa hizo computer basi unapita skuli hamna hata computer moja.
@mtumwasamaki69115 жыл бұрын
Ali Issa nyumba zipo kwani wamekatazwa kuishi na familia zao ? Kama hawakukatazwa muhimu walale kwa kuhudumia wananchi
@princeganji27795 жыл бұрын
Wagonjwa kweli nyie
@jumailyass93085 жыл бұрын
Ongezeni maslah na sio kuwadhalilisha mtu mmoja hawezi kufanya kazi 24hrs,ktk dunia hiii hakuna inchi inafanya hivyo mnatudhalilisha kwa kuwa hatuna pakwenda, kirahisi tu tuache kazi sidhani Kama Dr shein kawaagiza kufanya hivyo
@khamisbakar76375 жыл бұрын
umempiga chura teke kwa mshahara gani si bora ukauze dagaa hupangiwi mda
@ahmadashaury67825 жыл бұрын
Xx kimtizamo doctor yupo sehemu 2 jmn uyo mtu atafany nn jmn
@ahmadrashid8155 жыл бұрын
Wanasiasa huu wanaoufanya kwa watoa tiba wetu ni uhuni kabisa huwez kumpa daktar vituo viwili halaf unataka apige kazi masaa 24 Tuache siasa kwenye taaluma tusizozijua Tuache wenye taaluma wafanye kazi kwa taaluma zai na sio kwa matashi ya wanasiasa
@ahmadrashid8155 жыл бұрын
Mkuu on call unaijua kwel au unatamka tuu 🤤🤤🤤 nyumba tupu haikai mtu 🤤🤤🤤🤤 On call mnawalipa allowance zao ????
@hbomy9745 жыл бұрын
Langu jicho to
@rasanxavi68995 жыл бұрын
Ujinga tuu, hizo zinazoongelewa zote ni Pumba tuu.... Wamekaa kama hawana akilj