Maashaallah sumaiya atafika mbali inshaallah ninacho shauri yakitokea mashindano mengine makubwa nje au ndani apelekwe tena kwani anao uwezo mkubwa wa kufanya vzur lakini pia itamzidishia comfides zaid
@maase20232 ай бұрын
Dah hii dini yetu imegeuzwa kuwa biashara dah mungu atuhifadhi
@kassimkifile11232 ай бұрын
Wanaosema kuwa dini imekuwa biashara mie mnanichanganya baada ya kusifu kilichofanyika mnakandia . Imesomwa qur'ani mashekh tuache kupinga kila jambo tuache ujuaji Dunia imetambua na quran imesikika Dunia nzima ,pongezi kwa waandaaji.
@nassirnassor86032 ай бұрын
huyu mshind wa mwanzo anastahili kuwa mshindi ako na konfidence anajuwa kuongea kwa mpangilio
@hashirabbas12212 ай бұрын
Nasaha zangu kwako mtangazaji jitahid sana kujifunza kiarabu ujue kutofautisha dhamiri za kike na kiume na matumizi yake wakati wa mazungumzo.
@muhamedsuleiman78432 ай бұрын
Jamn mbn kelel nying tambueni sio lugh mama pengine ni lgh ya 3 au 4
@IbnKhamis7452 ай бұрын
Mtangazaji hajuwi kiarabu ....... الله المستعان
@MariamudaudiMariamudaudi2 ай бұрын
Mtanzania kakosea wapi😅
@timebakar2 ай бұрын
Ilikuosolewa baadhi ya hiruf
@maase20232 ай бұрын
Leo quraan imekuwa ya kufanyiwa mashindano na kupatia pesa?? Kisha waislam wanashangilia??? Subhanallah