No video

HAWA NI WATUMISHI LAKINI WANA UDHAIFU AWATETEA WAIMBAJI EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 8,433

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Жыл бұрын

#0766998994 #0788871769 #0788871769 #

Пікірлер: 79
@davidarsen2392
@davidarsen2392 11 ай бұрын
Amina mtumishi Ubarikiweee sana kwa huduma hii unatuponya wengi na wewe Mungu akupiganie na familiya yako na Mama yako apone katika Jina la YESU
@roserotich5957
@roserotich5957 11 ай бұрын
Ameen barikiwa hayo ni mafunzo mazuri Ashante sana 🙏
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 11 ай бұрын
I agree with you. Ndivyo nilivyodhani kuwa watumishi sio rahisi kukosana Hadi nilipojionea kwa macho. Sio kupenda ila wanalia ndani kwa ndani hatimaye yanawashinda. Ili kumtumikia Mungu, heri ujitenge na kizuizi. Shetani huvuruga sana ndoa za watumishi wa Mungu. Majaribu ni sehemu ya maisha, likikujia kabiliana nalo maana wanadamu wa leo mnakua marafiki kama huna tatizo. So, trust and believe in urself and all in all God shall help.
@phenymanga949
@phenymanga949 11 ай бұрын
Amen.mtumishi wa Mungu Mungu akubariki na akutie nguvu zaidi zakuvipiga vita adui hatakuweza kwa sababu unayaweza yote kwa Yesu akutiaye nguvu.wafilipi 4; 13.
@pastorjanekanini6204
@pastorjanekanini6204 11 ай бұрын
Leo umenibariki sana asante sana
@peterdani9740
@peterdani9740 11 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua mutumishi wa mungu
@user-mk7wn2oo2s
@user-mk7wn2oo2s 11 ай бұрын
Amen Amen 🙏 🙌 Mafichoni katika nyakati ngumu alitambua na kumkaribisha mtu yeyote anayetafuta msaada, bila kujali shida jinsi gani. Mungu ni mwema ata wakati maisha hajaendi sawa.... Yesu ni yule jana leo na milele habadiliki.... ubarikiwe kwa hujumbe huu mzuri..Mungu akutie nguvu zaidi mtumishi.... Endelea na kazi ya Mungu haijalishi lipi linalokukumba...❤
@user-mk7wn2oo2s
@user-mk7wn2oo2s 11 ай бұрын
​@@jeanvatistesony7407 "kimya" haimaanishi kwamba wanawake hawatakiwi kamwe kutamka neno wakati kanisa linapokusanyika kwa ajili ya ibada. Hili lingepingana kabisa na kile Paulo anasema kuhusu wanawake katika 1wakorintho 11, ambapo anawaambia wanawake jinsi ya kuomba na kutabiri kanisani. Diana yake ni kwamba wataomba na kutabiri inamaanisha watazungumza wakati wa ibada za kanisa . Tunaweza kutambua kwamba neno "kimya" katika mstari wa 2 wakati wakristo wanaamriwa kuomba" maisha ambayo hakuna mtu anayezungumza. Inalenga badala ya maisha " bila misukosuko" . Vivyo hivyo hapa" kimya kimya" haimaanishi ukimya kamili. Ina maana badala yake wanawake wanapaswa kuwa " bila misukosuko" . Neno hilo linahitaji wanawake kuwa na "tabia ya utulivu na roho ambayo ni ya amani badala ya mabishano. Pili wanawake wanapaswa kujifunza kwa unyenyekevu wote. Usemi huu unahusiana na usemi ambao Paulo anautumia katika Waefeso 5 katika kuwafundisha wake kujinyenyekeza kwa waume zao lakini katika 1 Timotheo hasemi kwa ufupi juu ya kunyenyekea kwa mume bali katika kushughulikia utiifu kwa mamlaka zinazofaa za kufundisha katika kanisa- wazee. Anawaagiza wanawake wasiwe na ugomvi na kunyakua nafasi ya wazee bali watii mamlaka yao. Kwa maana hii daraka la mkristo si tofauti na lile la wanaume na wanawake wote wameitwa kutii mamlaka ambayo Mungu ameweka katika kanisa. Waebrania 13:17 Kujitiisha kwa mamlaka ya wazee si kwa wanawake pekee. Kile ambacho ni cha kipekee kuhusu nafasi ya mwanamke ...... kimefafanuliwa mstari wa 12... Naomba roho akupe kuelewa na usielewe kimwili.
@raissamunezero6076
@raissamunezero6076 11 ай бұрын
Amen Baba, Mungu atusaidiye
@anasialauwo4922
@anasialauwo4922 11 ай бұрын
Ni kweli kabisa mtumishi wa MUNGU barikiwa sana sana sana imeniliza sana
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 11 ай бұрын
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu barikiwa sana ev. Cassian Mungu azidi kukutumia kama chombo chake
@eliyakiza9327
@eliyakiza9327 3 ай бұрын
Amina Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu,
@barakarazalo2801
@barakarazalo2801 11 ай бұрын
Amina 🙏 Amen 🙏 Amen God bless 🙏 Amen
@masterke536
@masterke536 11 ай бұрын
kweli pastor
@user-oc5xs1qq7c
@user-oc5xs1qq7c 11 ай бұрын
Mtumishi wa mungu, mungu ni mwema nyakata zote akutie nguvu katika maombi yako na mungu atatende yaliyo yake
@phenymanga949
@phenymanga949 11 ай бұрын
Nimesikitika Sana kwa huo ujmbe kuwa watu waliokuwa wanakufuatilia wamekinbia wkt huu ngumu natamani Sana kukusupport lkn kwa saa hii sina KAZI lkn naomba Mungu anisaidie nipate chochote nikutumiee mtu wa Mungu.bado napendelea kukufuatilia mama Miriam from monbasa
@medsonsanga4813
@medsonsanga4813 11 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi 🙏🙏
@florencekaingu5775
@florencekaingu5775 11 ай бұрын
Ufunuo 21: 27 inasemaje ? YESU atusaidie maana binadamu tunamapungufu mengi sana haki
@user-xd3pl7qm4b
@user-xd3pl7qm4b 11 ай бұрын
Mungu huwa anatesa mtu mwenye anapenda usiogope mungu anakupenda ..
@AngelaMunyiva
@AngelaMunyiva Ай бұрын
Amen hijili hisoge mbele
@user-ww9gd8pb7o
@user-ww9gd8pb7o 8 ай бұрын
Single - songa mbele na yesu. Your complete with Jesus. Not something else.
@user-xd3pl7qm4b
@user-xd3pl7qm4b 11 ай бұрын
Mchungaji mungu akupiganie vita
@jescamjarifu2381
@jescamjarifu2381 11 ай бұрын
mtumishi acha kuwatia moyo watu katika dhambi zao. sikatai kama hamna jaribu tena mazito, lakin hebu turudi kwenye biblia, biblia inasema wala msimpe ibilis nafasi, sasa hawa ndugu wote ukitazama injili yao asilimia kubwa ni ya kutia moyo watu paspo kuwaambia ile kweli ya mungu kuwa waache dhambi zao ili shetani asipate nafasi juu yao. pia wao wenyewe wamempa shetani nafasi kwa sababu ya mapambo ya kishetani yanayowapeleka wengi kuzimu kwa sababu wamebadili asili ya mungu na kumdhihaki mungu aliyewaumba kwa kujiongezea uzuri wa bandia. Niseme hivi acheni kuimba nyimbo zisizowahimiza watu kukaa katika utakatifu maana mmempa shetani nafasi ninyi wenyewe wala siyo mapenzi ya mungu.
@raissamunezero6076
@raissamunezero6076 11 ай бұрын
Una tumiya mahandiko gani kaka, katika maneno yako mana mana bibliya ina sema vita ambavyo tuna piga na navyo ni vya kiroho Je vipi wewe nimutakatifu?
@raissamunezero6076
@raissamunezero6076 11 ай бұрын
Shukuru Mungu sana kama jaribu iyo aija kupata na uwaombeye wanawo patikana kwenye iyo jaribu.
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 11 ай бұрын
Jaribu ni kama mlima hata hao watumishi ndo wanaotafutwa zaidi na shetani tusisahau hili na vita tulivyokuwa navyo ni vita vya kiroho hivyo tujitahidi kumshinda shetani maana silaha yetu ya kupigana na shetani kiroho ni maombi
@user-cv7pv8fp1j
@user-cv7pv8fp1j 11 ай бұрын
Walivyojichubua sasa! Hawaipendi rangi waliyopewa na Mungu kabisa, na huku wanawaimbia watu kua Mungu amewafanya wangare. Kumbe ni Carolight😢😢😢😢. Tutubu turudi msalaban kuitazama ile kazi aliyoifanya Bwana Yesu calvary
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 11 ай бұрын
Mmmh Mungu akusaidie 😢😢
@elizabethnzula6704
@elizabethnzula6704 11 ай бұрын
Mimi nasema wote wanapaka makeup mafundisho yao ni hovyo xo waambie wangeuke gospel sio busness. Na tena wape maonyo usiwatetee wenye dhambi and then kwa nini wanaimba na watu wa duniani? Hatariii.
@ELLYJ24
@ELLYJ24 11 ай бұрын
Halafu hapo juzi juzi rose muhando katoka kuimba na Guardian Angel kutoka kenya mkaka amesokota rasta eti kisa anaimba gospel ndo mtumishi wa mungu wakati ukimuweka yeye na johmakini hawana utofauti wowote hivyo inabidi tuseme ukweli ili wabadilike manake waimbaji wa kidunia hata kwenye gospel wameshaingia
@SimaoromaojoseSimaoromao
@SimaoromaojoseSimaoromao 3 ай бұрын
Amém
@shitsacontractors3688
@shitsacontractors3688 11 ай бұрын
Mutumishi tusemezane ukweli wa Neno la YESU Kristo je mambapo ni dhambi ama si dhambi,wacha kupaka mafuta kwa uchafu.1wakoritho 6:12-15,aliyeungwa na kahaba ni mwili moja naye,watoe vyombo vya uzuri kutoka 32:5.ili wafanyike mwili moja na Kristo.
@user-ij4te6nh6i
@user-ij4te6nh6i 11 ай бұрын
fact. umesema kweli japo wengi wanayapamba makaburi kumbe ndani ni mifupa. waondoe milango ya shetani kupitia mapambo
@adamjulius9782
@adamjulius9782 11 ай бұрын
Kwa uzaifu huu nirazima maadui wakutoboe macho
@benjaminwafula
@benjaminwafula 11 ай бұрын
Hata kama siijui bible vzr lkn Kwa Hili nakubaliana nalo usitazame muonekano wa nje tazama kilichoko ndani nje n vazi tu mtumishi wa mungu Sina chakukupa uishi mda mrefu na mungu akutumie zaidi ili ukaweze kuwakomboa watu wake kutoka kwenye Giza na pia mungu afanye jambo ili mama mzazi awe salama apone ili huduma izidi kupendeza mno unawagusa sana wengi nyoyo zao barimiwa
@trizafrances4304
@trizafrances4304 11 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@lungaitomodari8151
@lungaitomodari8151 11 ай бұрын
Amen
@BarazilLwezaula
@BarazilLwezaula 10 ай бұрын
Kaka mim ni much, lakini kwenye SoMo la Leo sijakuerewa vizuri Kwan una wakika Gani kuwa white wamehachika kwasababu ya utumishi uyaoni mawigi na kujipodoa kuwa ni tatizo
@anasialauwo4922
@anasialauwo4922 11 ай бұрын
Mtumishi wa MUNGU barikiwa
@elizabethlobe4353
@elizabethlobe4353 11 ай бұрын
Sasa Mungu niwamchanganyiko ?apana sio wamchanganyiko kwanini utawateteya wenye kuji remba ujiangalie mtumishi wabwana usivutwe nashetani shetani alali unapo ingia majaribuni uwe mwepesi wakuchunguza uanapigana nanani kwasababu unapigana nashetani kisha uteteye bitu bingine kuwa ange
@adamjulius9782
@adamjulius9782 11 ай бұрын
Mtumishi huyu Munda mwingine ni wa viboko
@diana56-lorient
@diana56-lorient 11 ай бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🔥🔥🔥🔥🔥
@ugufufucuc2309
@ugufufucuc2309 11 ай бұрын
Ameeen 🙏🙏🙏
@NellyRebiam-tu8uf
@NellyRebiam-tu8uf 11 ай бұрын
Kwakweli Bado sikuelewi.
@elizabethnzula6704
@elizabethnzula6704 11 ай бұрын
Uwakumbushe kabisa huyo mtume paulo alisema msije mkahubiri wengine alafu mwishoni wakabaki hukusikia alivyosema bukuku? Ni kweli lakini mionekano yao inakataa na mafundisho yao wangine hayaendani na neno wakanyee
@ELLYJ24
@ELLYJ24 11 ай бұрын
Eti bahati bukuku alisema yesu alimsamehe mwanamke kahaba kwa sbb ya urembo wa yule kahaba sasa je paschal hakuyasikia haya
@adamjulius9782
@adamjulius9782 11 ай бұрын
Shangaa na wewe
@jorambranchofmud6299
@jorambranchofmud6299 11 ай бұрын
Nafuatilia
@jorambranchofmud6299
@jorambranchofmud6299 11 ай бұрын
@@jeanvatistesony7407 Huyu ameanza kutetea uovu wa waimbaji
@user-xd3pl7qm4b
@user-xd3pl7qm4b 11 ай бұрын
Unapo pitia kwenye maji mengi hayatakuweza
@user-ro2mb5uc1y
@user-ro2mb5uc1y 11 ай бұрын
MUNGU endelea kulimlinda mtumishi yako
@user-xd3pl7qm4b
@user-xd3pl7qm4b 11 ай бұрын
Katika wokofu kuna majalibu mengi kuna milima namambonde , utakapo pita kwenye moto haitakuchoma
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 11 ай бұрын
Umewasema wenzako hawapo kwenye ndoa nawe sasa hupo singo, chunga sana kaka maana Daah 😮😮
@luciasteven3314
@luciasteven3314 11 ай бұрын
Umemsikiliza vzur au ndio umeskiliza tu kidogo,..skiliza hdi mwisho
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 11 ай бұрын
@@luciasteven3314 hajaanza leo, sikiliza mahubiri yake ya nyuma ndugu
@anasialauwo4922
@anasialauwo4922 11 ай бұрын
Sikiliza ushihuda wote kawasema wapi
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 11 ай бұрын
@@anasialauwo4922 Nmekwambia pitia video za zaman utanielewa
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
@stanleydavid6946
@stanleydavid6946 11 ай бұрын
Wewe umakamilika wapi au unatuzingua tu
@adamjulius9782
@adamjulius9782 11 ай бұрын
Ninakwambia, tena narudia NINAKWAMBIA usirudie kuimba nyimbo za maonyo, maana unajenga mwenyewe na unaboa kwani kwa hii clp watajifunza nn hao
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 11 ай бұрын
Ukweli.mwabie
@PeterShadrack-oy2fx
@PeterShadrack-oy2fx 11 ай бұрын
Bora ukaelewa kuliko kukosoa bila kuelewa vuta utulivu ndo ukosoe
@stanleydavid6946
@stanleydavid6946 11 ай бұрын
Unatupigia kelele lete injili sio kujaji wenzio
@adamjulius9782
@adamjulius9782 11 ай бұрын
Ukweli tunaujua na uongo tunaujua kama umeamua kujirudi kwa hao Rudi mwenyewe ila kwetu hawatufai. 2wathesilanike 3:14
@anasialauwo4922
@anasialauwo4922 11 ай бұрын
Ni kweli kabisa mtumishi wa MUNGU unajua ukweli wewe Baki na watakatifu wenzako ila sisi wenye dhambi na madhaifu mengi tuache tuendelee kumwomba MUNGU atushindie Kwa hiyo wewe Kaa na watakatifu wenzako
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 11 ай бұрын
Amen.mtumishi umempta kumbe
@raissamunezero6076
@raissamunezero6076 11 ай бұрын
Ajipange vivuri asivamiwe piya
@levidavid1156
@levidavid1156 11 ай бұрын
kuwateteaa watu. ambao wameachana kisa jaribu. imeandikwa. mjaribu yakupsa uishindeee mtumishi
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 11 ай бұрын
Hizo NDIZO fasili mbovu za BIBILIA au matumizi mabaya ya maandiko KUSHINDA kwajribu kwako kukoje? Unazani USHINDI nikukaa ama kutokukaa? KUSHINDA kwako nikukoje WWE? elewa zipo NJIA NYINGI ZA USHINDI KATIKA ROHO hivyo usiwe na matumizi mabaya ya NENO KUSHINDA jaribu KATIKA upeo WA kibinadam acha WATUMISHI watumike NDOA sio tiketi ya UTUMISHI au kutokuwa kwandoa hakubadilishi nguvu ya Mungu KWAO HAWA niwanajeshi WAPO UWANJA WA vita wana PIGANA na KATIKA KUPIGANA Kuna kujeruhiwa HAIMANISHI kujeruhiwa inamanisha wameshindwa vita au hawaitwi wanajeshi Tena hapana majeraha hayataweza kuwaondolea sifa ya KUITWA asikali WA BWANA. Paulo UDHAIFU wake haukumfanya asitumiwe na Bwana. Bali alisonga MBELE pamoja na UDHAIFU wake na ameshinda vita mpaka mauti AKIWA nidhaifu KIROHO na KIMWILI nahuo ndio ubinadam hao UNAO waona WOTE wasingekamilika kuitwa binadam bila hayo madhaifu Yao AMBAYO Leo wanadam wameyachukulia kama fimbo ya kuwagongea na unapo waona hapo hakuna AMBAE alitaka atoke kwenye NDOA Bali MUNGU aliruhusu naamini KWA SEHEM Yao walijitahid KUPIGANA ila mambo yaliharibika Sasa udhaifu WAO hauwafanyi wasitumiwe na Mungu IKIWA tu WATAKAA KATIKA MISINGI ya Mungu na wakiongozwa na NENO LAKE tuwe wapana KATIKA NENO
@levidavid1156
@levidavid1156 11 ай бұрын
sikia mtumishi zambi ya uzinzi inamchukiza Mungu sana. hivo unapofanya zambi. lazima uondolewe utukufu rejea kuhusu Adamu na Hawa baada dhambi. utukufu ulitoweka hivo naona umeanza kutetea watu kufanya uzinzi nakuachika kwenye ndoa zao. shetani anapiga ndoa zawatumishi ilikupima uimara wao kumbumbuka uzinzi unaondoa mafuta nautukufu elewa hilooo
@adamjulius9782
@adamjulius9782 11 ай бұрын
​Hamna lolote wewe ni jasili tu ila matendo hamnamo huoni hata haya unajenga mwenyewe na kuboa mwenyewe. Mtu wa mungu huwa amenyoka kama chuma Cha reli muangalie mbarikiwa hajawahi kutangua neno lolote alilowahi kuongea
@ELLYJ24
@ELLYJ24 11 ай бұрын
​@@paschalcassianoriginal9411 Angalia sana kaka yangu usije ukarudi kuwatetea wale uliowakemea kama vile geordavie na mwamposa na hali wako kinyume na mafundisho ya biblia
@fredrickmwanjwango9093
@fredrickmwanjwango9093 11 ай бұрын
Uwe unakumbuka unayosema ulikuwa unawasema leo wewe ndoa imekushinda unaanza kujifany kama uko pamoja nao
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 11 ай бұрын
Kabisa kumbe wamuelwa.mtumishi
@enocktuza1819
@enocktuza1819 11 ай бұрын
Mnaloliona ĺihukumuni msiloliona niachieni mimi asema Bwana.
CASSIAN AWAKA JUU YA MWAKIPESILE  KFUNGWA GEREZANI
29:59
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 14 М.
TAREHE NA SIKU YA KU UWAWA KWA CASSIAN  HADHALANI EV PASCHAL CASSIN
55:39
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 13 М.
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 46 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 36 МЛН
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 738 М.
UKWELI KUHUSU MAJI,MAFUTA YA #UPAKO HUU KAPA !!
17:19
Issack Mzava
Рет қаралды 1,3 М.
CASSIAN ATOA ONYO KUU KWA KILA KANISA WAJIAHAZALI NA ROHO HUYU
52:04
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 35 М.
USIJE KUFANYA KOSA HILI LINALO WALIZA MACHOZI WENGI DUNIANI EV PASCHAL CASSIAN
23:03
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 13 М.
MWANAMKE UKIMPENDA SANA NA AKAJUA UNAMPENDA SANA UTANYANYASIKA  "PASTOR MGOGO
36:53
WENGI HAWATAMBUI HATARI HII
55:48
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 12 М.
UONGO MTUPU MIUJIZA  EV PASCHAL CASSIN
26:01
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 13 М.
DUNIA KWA HERI MWINJILIST PASCHAL CASSIAN
13:11
PASCHAL CASSIAN CASSIAN
Рет қаралды 247 М.