UONGO MTUPU MIUJIZA EV PASCHAL CASSIN

  Рет қаралды 12,652

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

5 ай бұрын

#0766998994 #0788871769 #0688199370 #

Пікірлер: 216
@samwelmkilya9236
@samwelmkilya9236 5 ай бұрын
Ata wewe ni tapeli acha ngano imee na magugu mchambuzi ni mungu wewe mungu ndo amekutuma uwachambe hawa, tulia bhana mbona unaomba sadaka sasa fantastic kama paulo alihubir nakuomba chochote
@cecymwasija8061
@cecymwasija8061 5 ай бұрын
😢😢
@user-nm3bg7li9m
@user-nm3bg7li9m 5 ай бұрын
Kazi ya kuhukumu watu ni ya Mungu mwenyewe ..ujuhi Mungu amemuandaa muda gn mpka kusimama hivo ...so wewe ndio mkweli ....tafadhari muhubiri kristo ...ili watu tupone na twende mbinguni ... Kifupi Mungu akusahidie basi tusije tukakuso mbinguni
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 2 ай бұрын
UHERI WEWE Umwelimishaye huyo.BARIKIWA
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 5 ай бұрын
Wengi watakuja kwa jina langu, walisema, mimi ndimi kristo, watawadanganya wengi. Bibilia kasema. Ila tuwe macho tusidanganywe. Wingi wa watu na kutenda miujiza sio hoja, hata palipo wachache na kulitaja jina la Mungu kwa kweli na ukamilifu wa roho, Mungu yupo papo hapo.
@user-dd1ud1js4q
@user-dd1ud1js4q 5 ай бұрын
Nani Sasa ni mtumishi wa kweli
@evodiajohn7991
@evodiajohn7991 5 ай бұрын
Mtumishi hubir njili ya Yesu habar za watumishi wenzako zinakuhusu nini Mungu ndo anawajua walio wake nawe jaxa la kwako kanisa acha wivu
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 4 ай бұрын
Wewe achana na watumishi wa Mungu hubiri neno
@user-tc9xc4lp1k
@user-tc9xc4lp1k 5 ай бұрын
Mbona naona majungu na kuomba hera kwingi kuliko maombi tupe neno acha majungu
@aishaathuman6181
@aishaathuman6181 5 ай бұрын
Zungumzia habar zako acha kumzungumzia mtu.jaza na ww kabisa lako
@medsonsanga4813
@medsonsanga4813 5 ай бұрын
Masazo ya Mungu. Ya nyakati za mwisho 🔥🔥🔥🔥. Ukweli unauma ila injili inasongambele. Mungu awe upande wetu daima ⛪⛪
@wilbroadndunguru6825
@wilbroadndunguru6825 5 ай бұрын
Nikushauri mkuu, manabii wote unaowatuhumu wakikuachia waumini wao uwachunge utatosha? Nakushauri sana ndugu , acha vita na watumishi kama una uhakika... Kama miujiza yao ni feki Mungu akutumie wew ufanye org... Au hata org hailuhusiwi?
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 5 ай бұрын
Mtumishi,Mungu akussidie.Hiyo siyo kazi yako.Unamwingilia Mungu.Ww hubiri neno.na watu watapona.lakini hiyo njia unayoitumia unasukuma watu.masikio yanasikia ukakasi.Hats Yesu hakufanya hivyo.hata walipomwambia Luna watu wanatumia Nina lako.Tafuta hekima ya Bwana.kwa kuwa cnini ya jua wrote tumepotea.
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana mutumishi wenye wako na rohomutakatifu watalitambuwa hili nakumurudiriya Mungu🎉
@user-zk9rt5xg4f
@user-zk9rt5xg4f 5 ай бұрын
baba nashukulu sana sana kwakutupa huduma sikuzote mtumishi wakweli anaonekana mjinga nakuomba usikate tama baba please nakuomba mtumishi wamungu leo hii umewafumbua macho wengi lakin wenye kichwa kigumu matusi ukingia tuu unaona sms matusi alafu uku wanasema mimi mtumishi paschal cassian unakili lakin kunawengine tunaelewa ushuhuda wako mtumishi
@edisondiokeresy2306
@edisondiokeresy2306 5 ай бұрын
Wewe ulikua mwenye Imani kumbe wewe ni mpinga imani
@tagiubavu4770
@tagiubavu4770 5 ай бұрын
Tafazar tunaomba uachie nyimbo makanisa yakuzm naule wa kiapochadam
@davidmembedalamethepsalmis2885
@davidmembedalamethepsalmis2885 5 ай бұрын
Kumbe na wewe ukiwa na tv Tano utaweka namba za simu kwenye screen kama wengine TYUUU
@evodiajohn7991
@evodiajohn7991 5 ай бұрын
Hakuna mtu perfect hapa chini ya jua je wewe umekamilika? Acha kuhukumu watumishi wa Mungu waombeee tu na utabarkiwa sana.
@healingclinic698
@healingclinic698 5 ай бұрын
Kuna ugonjwa ambao unampata mtu anaumizwa kwenye mahusiano huu ugonjwa unatokana na stress za kuumizwa kisaikojia mtu anapuumizwa anaweza kupitia hali tatu za kuumwa 1. Kulipa kisasi juu ya maumivu kama alizini na wewe unakuwa mzinzi 2. Unaitwa kujidhuru kutokona na maumivu yaani unajitendea mabaya kwa kujidhuru kama sehemu ya kutafuta uhuru wa nafsi 3. Unahamisha yale maumivu kwa wengine hapo unaweza kuwa mkosoaji wa kila kitu kukataa kila kitu yaani furaha yako inakuwa ni kusema vibaya wengi huu kitaalamu unaitwa emotional Transformation psychiatric disorder sasa huyu jamaa anaumwa huuu ugonjwa
@norfenvgeraldo9493
@norfenvgeraldo9493 5 ай бұрын
Usitafute Kiki kupitia watumishi wengine chapa kazi yako wewe kama wewe , mdomo huo shauri yako ......
@blessedsuccess2462
@blessedsuccess2462 5 ай бұрын
Mimi anaitwa blessed anatoka madafu mungu akubariki sana pasachal .
@user-cy7mk3gt7r
@user-cy7mk3gt7r 5 ай бұрын
Injili ya kweli haihubir watu...neno ls Mungu ndo Linaokoa
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 5 ай бұрын
Chuki imekujaa
@user-cg5ks5nn5f
@user-cg5ks5nn5f 5 ай бұрын
Hubiri, chapa kazi ya Mungu ndugu cassian, achana na wale mashetani Tb joshua, mwaposa, jodevi na wengine
@fantasticbmp5587
@fantasticbmp5587 5 ай бұрын
Ifike hatua watumishi waambieni watu watubu kwa ,maana ufalme wa Mungu umekaribia ila mim nimeokoka ila sheria ni moja kama hujui na huna imani na mtumishi fulani kaa kimya maana hawakutumikii wewe bali aliyewatuma kwenye kupiga vita watumishi hapo Cassian sikuungi mkono acha kumtetea Mungu, Mungu asimame mwenyewe na ajitetee mwenyewe mihemko itaponza wengi. kama watu wanafuata miujiza ya uongo jitahidi ninyi wa kweli muwape hiyo miujiza wanataka kuponywa waponyeni acheni kupigana vita kanisa linapotoshwa na kuharibiwa na watumishi kwa sababu kila mmoja anajipalia yeye mmetoka kwenye injili mmeingia kwenye mtego wa shetani kugombana ninyi kwa ninyi
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 5 ай бұрын
FANTASTIC
@sammymelkion
@sammymelkion 5 ай бұрын
Acha kiki ww hubiri injili inatosha mambo ya utumishi wa mtu achana nayo
@victoriajohn3161
@victoriajohn3161 5 ай бұрын
Tusiwe watu wa kunyooshea vidole wengine nyakati hizi ni kuwahubiria watu habari za toba na kujitakasa muda uliopo ni mchache Yesu anarudi. Umehubiri sana habari za manabii wa uongo yatosha tumwachie Mungu ahukumu yeye. Hubiri habari za toba watu waache dhambi.
@HappyFireDragon-io4kn
@HappyFireDragon-io4kn 5 ай бұрын
Ubarikiwe Kwa kusema kweli.
@godloveelikana4241
@godloveelikana4241 5 ай бұрын
Tusiwe washabiki kwa mambo tusiyofahamu undani wake kama tulikuwepo yakitokea bila kuyapima kwenye mizani ambayo ni neno la Mungu.Tumwache Mungu ahukumu mwenyewe kwani sisi pia si wakamilifu ni neema ya Kristo inatubeba.Neno linatukataza tusifanye hivyo.Tusimamie maandiko.Tunakupenda Casian na kama unamtangaza Kristo wewe ni ndugu yetu. Ila Tutambue pia shetani yupo kazini pia.Tusijejikuta tunashambulia wa gizani na wa kwetu pia bila kujua.Tusimsulubishe Kristo mara ya pili bali tuujenge ufalme wake kwa kuwahubiri wenye dhambi wamrudie Kristo.Muda ni mchache sana.Tupime mambo na tujifunze na kuishi kwa mfano wa Yesu Kristo .Yaweza kuwa wameitwa na Mungu au laa.Sisi hatujui.Barikiwa sana.
@marygoshashy2220
@marygoshashy2220 5 ай бұрын
Broo...muhubiri MUNGU watu waokolewe...nadhani ukitoa mafundisho yanayofaa, utawavuta wengi sana
@ServantJoshua-ew8ng
@ServantJoshua-ew8ng 5 ай бұрын
Ni kwanini usifanye injili,,, tu ya kuwafanya watu wamjue MUNGU.... Unafanya injili ya kushambulia watu wa MUNGU.. sidhani kama unafanya vema.... HUBIRI NENO LA MUNGU,,
@Mwanaumewashoka
@Mwanaumewashoka 5 ай бұрын
Umeelewa Bwana mdogo ulie uliza swali
@florianakhweso5749
@florianakhweso5749 5 ай бұрын
We si tahira tu kwani hujijui😂😂😂😂😂
@SilviaRafael-mc5ki
@SilviaRafael-mc5ki 5 ай бұрын
Mbona huzungumzi neno la mungu unazungumzia watu
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 2 ай бұрын
Kwasabau ANAWAZA WATU TU ZAIDI
@davidmembedalamethepsalmis2885
@davidmembedalamethepsalmis2885 5 ай бұрын
MUNGU hayupo kwenye kusanyiko kama ishu ni kukusanya watu hata YESU KRISTO alikusanya watu Sana . Hata YESU KRISTO Kuna unabii aliutoa mpaka sasa haujatimia mfano unyakuo Kwa hiyo acha Akili ya kitoto ya kutaka kila unabii utimie Kwa mapenzi ya wakati wako.
@LuciaSimeo-yc7hc
@LuciaSimeo-yc7hc 5 ай бұрын
Pasco ninakuelewa, wapige ao manabii wa uwongo
@user-ud1ri9lr3k
@user-ud1ri9lr3k 5 ай бұрын
I love this pastors
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 5 ай бұрын
Aminaaa mtumishi wa Mungu! Ninachojua hata ktk mambo ya rohon Wewe ndiye nabiii wa kweli umeletwa na Mungu Hawa wengne Mashetan tuuu!! Mungu akubarki Sanaa Baba! ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@lucywilson5875
@lucywilson5875 5 ай бұрын
Sadaka nibarka, sadaka niulinzi, sadaka ni Imani, sadaka niutakatifu. mnaohoji kuhusu Sadaka Mungu awape macho ya rohoni na msome Biblia kuna mambo mengi mema mazuri wamefunuliwa kule. soma Biblia uwe Mwerevu
@Mike-yg7pb
@Mike-yg7pb 5 ай бұрын
Nakuombea Mtumishi wa Mungu, tutengeneze njia zetu kuliko kuwanyoshea vidole watumishi kama kuwataja kina TB Joshua. Naamini wewe ni mtumishi wa Mungu, ila kuna kuteleza ila kuna kuamka tena.
@Misheckkazilist-cv2hb
@Misheckkazilist-cv2hb 5 ай бұрын
Amina sana mtumishi 😢😢❤
@user-cy7mk3gt7r
@user-cy7mk3gt7r 5 ай бұрын
Mungu w a ngu tuokoe....sisemi chochote.. chochote kuhusu mtumishi we Mungu ......mt wenye matunda lazima upigwe mawe
@ellymwakyando1385
@ellymwakyando1385 5 ай бұрын
Usipotimia Unabii akumfanyi mtu kutokuwa Nabii, Ikiwa MUNGU Alimfanya Mtu kuwa Nabii, Yona alikuwa Nabii, Alisema NENO la BWANA kwa Ninawi na alitumwa na MUNGU lakini alikutimia, kwasababu walitubu, so Nabii Anaposema NENO la BWANA lisipotimia Amfanyi yule mtu Kutokuwa Nabii
@jacquelinesangu1521
@jacquelinesangu1521 5 ай бұрын
Ee we nawe! lete mafundisho sasa mbona unataka tutume Kwa namba hiyo mali ya tabu ?
@estermuganda9298
@estermuganda9298 5 ай бұрын
Kwani huyu anashida gani😂
@LidyaMichael-jd7hl
@LidyaMichael-jd7hl 5 ай бұрын
Bora nibaki nilipo injili imepotea
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 5 ай бұрын
Wewe cassian tatizo lako unampinga kila mtu halafu mbona mwakipesile.alitukana mpaka wakina mwakasege.ulimsifia hueleweki.watu.wanasoma maandiko kuwa manabii.wa.kweli.wapo wewe.unasema.hawapo hueleweki waache wahubiri.Tz.wahubiri kwanza yesu alisema viache vikuwe.pamoja hujapewa.kukagua.fanya.kazi.acha.ukaguzi.kwani.yesu.hayupo
@ferdaedward8373
@ferdaedward8373 5 ай бұрын
Wewe ndo mtumishi wamungu tu wengine sio mbona wewe ulivokua unatumika kuzimu hukua unasema neno tunafundishwa namanabii haohao unaowaponda fanya yako uliotumwa
@estonmnthali3719
@estonmnthali3719 5 ай бұрын
Bushiri ni mwenyeji wa Malawi siyo Nigeria
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 5 ай бұрын
HAJUI ANACHOSEMA
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 5 ай бұрын
Wewe unasubiri neno la Mungu au shetani 😂
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 5 ай бұрын
Mwomba sadaka bana ndo mana unapata wivu na wenzako walofanikiwa
@akwilinaNdijuye
@akwilinaNdijuye 5 ай бұрын
Unamhubiri kiristo, au unahubili habari za watu? Maana sikuelewi.
@Pendopasilika
@Pendopasilika 5 ай бұрын
Hawapon ila wanaongezwa pepo mwenye nguvu zaidi kuliko yule wa kwanza mwenye kuleta hiyo shida na yule mwenye kuleta hiyo shida akileta ukolofi yule mwenye nguvu atamtuliza ni kweli watasema umechanganyikiwa hata YESU walimsema ana pepo acha waseme we kaza mwendo mtumishi wa BWANA safari yetu imewadia
@cliffdenis144
@cliffdenis144 5 ай бұрын
Jamaa anapiga kelele alafu mtupu tusubiri na sisi tunakuja
@tujajackson8142
@tujajackson8142 5 ай бұрын
Kasiani bado kabisa anasema maneno hayana msingi kwa ni mtumishi wa Mungu si mwanadamu huyo kwani ni malaika. au Unataka kutuambia Petro ailpokosea si wa Mungu ama Daudi je alitenda yote mema. Acha utoto. Mtumishi wa Mungu anaweza pia kukosea. Wewe hukosei. Nina shaka nawe kabisa
@ManaseNassary
@ManaseNassary 5 ай бұрын
We ndo mtumishi washetan unapiga injili
@evodiajohn7991
@evodiajohn7991 5 ай бұрын
TB joshua huyo kamaliza safar yake nawe pambana na utumishi Mungu alioweka ndani yako. Shida yako ni kuwasema watumishi wa Mungu vibaya hubiri injili watu waokolewe acha kutafuta kikiiii.
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 2 ай бұрын
HAPO UMENENA NDUGU
@robinlaysonkuyava1407
@robinlaysonkuyava1407 5 ай бұрын
Upo kutaka Sadaka wewe acha ujinga nakuonya tena acha ujinga
@estermuganda9298
@estermuganda9298 5 ай бұрын
Na bulldoza anakushughulisha sana moyo inaonekana.ariseeeeee and shineee
@cecymwasija8061
@cecymwasija8061 5 ай бұрын
Mung akubark san mtumixh wa mungu
@user-pk7qq3eb5r
@user-pk7qq3eb5r 5 ай бұрын
Wow alafu nyoka wa Musa akammeza wa farao kuonesha mungu wa kweli ni yupi
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 4 ай бұрын
Kweli unapomsema ndio mtangaza zaidi endelea kumsaidia kujitangaza
@addydajaneth7259
@addydajaneth7259 5 ай бұрын
Ww tukuitaje maana hamna tofauti naww simtume piya ila mnatuchafua kweli nakuwa faida ya watuwasio wayesu kuonekanika yesu niwamchongo ila baadae ya maombezi namba zama okoto 😷africa hatuna mitume ila africa tuna mungu tu kabla ya ukoloni wazee wetu waliabudu na kujua mungu yupo nakazia africa hatuna nabii ila tuna mungu🙏🏾✝️
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 5 ай бұрын
Wewe hujitambui na cyo Kosa lako Mrudie Mungu addyja janeth
@lewisleonard9886
@lewisleonard9886 5 ай бұрын
Wapenndwa jiulizeni kazi anazofanya Mwampsa ni kazi za Mungu? Mapepo anayatoa kwajina la Yesu? je! mafuta anayotumia nisehem ya maandiko ktk bibilia kumbuka maandiko yanasema siku zamwisho watainuka manabii wa uongo watatenda miujiza watatoa mapepo kwa jina langu ndo hawa
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 5 ай бұрын
Amem Amen Amen Mchungaji Mungu Akutetee Na Kukutia Nguvu.
@musokedios8162
@musokedios8162 5 ай бұрын
Hunamashiko nimeanza kukudhalau, kwani kuwajua manabii wa uongo,wewe unakipimogani,wewe hubiri ulivyoitiwa,acha ngano na mahugu viote pamoja,mtoa hukumu ni Mungu,
@gabinusnkwera909
@gabinusnkwera909 2 ай бұрын
Tusimshambulie mwinjilisti. Chunguza maandiko ili upate kujua kama anachosema ni kweli au la! Kama Yesu angeliona haya kuwasema mafarisayo, wanafunzi wake wangeponaje..!!
@user-xe2qm4yt6w
@user-xe2qm4yt6w 5 ай бұрын
Amen
@PatrickYumba-cm5py
@PatrickYumba-cm5py 5 ай бұрын
Kwa huyu hapana uongea mengine hata Yesu wapo waliomsema vibaya,
@celinamboga581
@celinamboga581 5 ай бұрын
Waah true mtumishi 😢😢😢Mungu anisamehe mm umenifungua macho na maskio❤❤❤
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 5 ай бұрын
We njaa zinakusumbua alafu nahisi Huna elimu ya biblia unaropoka nadhan unahisi tuko bongo star na master j
@TulloMhombo
@TulloMhombo 5 ай бұрын
Kwani Mtumishi wewe umepewa na nani kazi ya kuwahukumu wengine? Hukumu ni kazi ya Mungu mwenyewe. Mtu anayeumwa ndiye ajuaye maumivu anayopata Kwa mtu huyu anatafuta atakapo ponea shida yake. MTUMISHI USIBEZE WATU WANAPOHANGAIKA KUMTAFUTS MPONYSJI YESU. NAOMBA UTUPATIE ORODHA YA WATUMISHI WA KWELI ILI TUWAFUTE
@Mwanaumewashoka
@Mwanaumewashoka 5 ай бұрын
Bushiri hayuko Nigeria wewe, Halafu hao sio level zako. Nenda ulale kiporo Cha ugali wewe, ushauri wangu kashindane na wachingaji wa vijijini hata ulivyo vaa umevaa kishamba cheki sharti Hilo la kishamba.
@AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy
@AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy 5 ай бұрын
Toka umeumwa sijaona uzima akilini, tafuta njia ya kuomba omba sadaka sio kutumia majina ya wengine, tumia majina ya ukoo wako wa kichawi, njaa mbaya sana
@josephgalandu128
@josephgalandu128 5 ай бұрын
Mimi sitaki lever za watu wenye watu wengi na mali nyingi,huku ni wachawi tuuu,pumbavu kabisa shetani😮
@mbwawafillingstation
@mbwawafillingstation 5 ай бұрын
Wivu wako tuu Baba Mimi nimeponea Boldozer kiboko MWAMPOSAA HUYU BABA NI MWISHO WA MATATIZO NJOO AKUFANYIE MAOMBI UPONE
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 5 ай бұрын
HIYO HABARI NJEMA
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 3 ай бұрын
Mwosho wa Matatizo uyo Baba Au Yesu uombe Rehema kwa Mungu ,maana imeandikwa alanine amtegemeae mwanadamu
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 3 ай бұрын
@@LucyKapinga-fg4dk LUCY UNAHITAJI TWISHENI ili UELEWANE NA NENO LA MUNGU AU KASOME LUKA 24:45 KISHA OMBA SANA. Imeandikwa " Ndipo akawafunulia akili zao ili waelewane na maandiko" YESU AKUFUNULIE AKILI ZAKO ILI UPATE KUELEWANA NA MAANDIKO.
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 3 ай бұрын
@YOSHUAMWAMPETA anavyo sema Mwisho wa matatizo Uyo BABA Ana maana Gani?Aseme YESU NDIYE MWISHO WA MATATIZO HIVI UMENIELEWA ,Na tambua atamimi unae bishana nami pole sija Anza huduma ya MUNGU ,ILA NASIWEZ KUWA ZUNGUMZIA WATUMISHI WENZANGU MUNGU ATASHUGURIKA NAO BUT PENYE KUKOSEQ TUNASAHIHISHANA KUWA MAKINI
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 3 ай бұрын
@@YOSHUAMWAMPETA neno Anae ni tafsiria Roho mtakatifu na sii twishen
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 5 ай бұрын
Huyu jamaa mabaya yatamkuta kwa kumsema vibaya TB joshua, time will telll
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 5 ай бұрын
MUNGU ANAMHESABIA
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 4 ай бұрын
Kina kingine
@LeonardLaban-zg1tw
@LeonardLaban-zg1tw 5 ай бұрын
Mtumishi mengine mwachie Mungu usihukumu hubiri watubu watu wamuone yesu mahubiri ya kushambuliana si mazuri kabisa
@comforthunyu1823
@comforthunyu1823 4 ай бұрын
Huyu bado ni agent
@josephgalandu128
@josephgalandu128 5 ай бұрын
That is Carts and oucotism
@laninjeje8290
@laninjeje8290 5 ай бұрын
Na wewe unajaza mavi eti eee😂😂 mbwa wewe hubiri neno la Mungu, acha kusema marehemu wewe
@afwililenisaidie9597
@afwililenisaidie9597 5 ай бұрын
Acha matusi
@stevepeter5733
@stevepeter5733 5 ай бұрын
Unatusi huyu mhubiri juu unaniimi uongo wa kina tb joshua, na nabii wengi kama hao, hata mimi nilikuwa kama wewe , mpka wakati mungu alinifungua macho nikajua ni nabii wa uongo, miujiza ya kisehetani
@jedielkareithi4966
@jedielkareithi4966 5 ай бұрын
Mungu akusaidie sana hujui unachosema
@jedielkareithi4966
@jedielkareithi4966 5 ай бұрын
​@@NiyogushimaAudace-jk7nv ndugu mtete Yesu tu huwezi mwamini mwanadamu mia kwa mia
@laninjeje8290
@laninjeje8290 5 ай бұрын
@@jedielkareithi4966 hakuna mtumishi wa Mungu hapo labda mungu wa herufi ndogo, Pascal Casian??? Kila kukicha mitandaoni kusema marehemu na stori za Freemason
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 5 ай бұрын
hata wewe mtumishi hutakapoanza kuwa na mavuno ya watu wengi utaitwa waibilisi
@robinlaysonkuyava1407
@robinlaysonkuyava1407 5 ай бұрын
Mim ckubalian na wewe hakika hulijui Neno la MUNGU TB JOSHUA NI MTUMISH WA MUNGU ILA WEWE NA WASIWASI AKILI YAKO UCIFURAHIE UKIDHAN UPO SAHIHI UTAKUFA VIBAYA ACHA KUMGUSA TB JOSHUA
@evodiajohn7991
@evodiajohn7991 5 ай бұрын
Hubir injili unapata wapi muda wa kuanza kusema ya wengine fanya kaxi ya wito wako
@LidyaMichael-jd7hl
@LidyaMichael-jd7hl 5 ай бұрын
Mimi unanichanganya sasa niamini lipi?
@Anza_tz
@Anza_tz 5 ай бұрын
Unaweza ukatumia fedha yako kunipa support kwenye huduma hii,,mahali unaponitazama na kunifuatilia katika bara la ulaya,,, unaweza usihubiri kama mimi lakini ukatumia fedha yako hahahaha kaka yaani unaanza kutangaza njaa kabla ya neno...kumbe na wewe fedha za watu unazitaka ndiyo sababu umegundua watu wengi wanapenda kusikia story za manabii wa uongo na wengi kutokana na njaa na shida wanapenda kusikia habari za kutia moyo shida zao ...kaka kua makini sana ndugu yangu nimegundua huna Roho wa Mungu unatumia zaidi akili yako na kusoma alama za nyakati.
@BeatriceMuhomi-cz9cr
@BeatriceMuhomi-cz9cr 5 ай бұрын
Lakini bila miujiza hakuna tofauti yoyote na watu wengine hata yesu wengi walimfuata kwa sababu waliona tofauti na dini walizokuwa nazo mimi nadhani huu ni wivu mbaya
@tinaanthony8472
@tinaanthony8472 5 ай бұрын
Je umemwomba mungu aliye Hai amekupa majibu kuwa kweli tb Joshua alifanya hayo ama unatumia akili akili zako uwe makini cassan
@user-gy5hu5fx8q
@user-gy5hu5fx8q 5 ай бұрын
plz Cassian plz TB Joshua is the true servant of God Kwa hapa mmmh ,Cassian embu fikiria Tena muulize roho mtakatifu Tena yamkini umekurupuka
@marygoshashy2220
@marygoshashy2220 5 ай бұрын
Yaani
@rachelmawole2828
@rachelmawole2828 3 ай бұрын
Hapo kwa Tb Joshua sasa nashindwa kumwelewa huyu ni mtumishi wa Mungu mbona anamsema tena,jamani inabidi awe makini aache kusema watumishi wa Mungu acha Mungu ashulike nao mwenyewe
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 3 ай бұрын
Msimlaumu maana Uyo ni sii mzoefu kii mani mpaka umtambue Tb joshua Ni Mtumishi wa Mungu Kweri IYO NI NEEMA KUBWA ELEWA NENO EMANUEL MUNGU NA WANADAMU .PASCAL APO USIINGIE KABISAA ACHAA ACHAA
@user-oe2vl4zm6m
@user-oe2vl4zm6m 5 ай бұрын
Amina mtumishi Mungu akutie nguvu
@israelimarco6465
@israelimarco6465 5 ай бұрын
nahisi kuwa Bado we ni ajent wa shetani usituambie umetoka freemason aaaaaaaa
@user-wj6nh6dq2v
@user-wj6nh6dq2v 5 ай бұрын
Wewe kila mtu sio nabii ..haya Nabii wa kweli twambie ni nani?
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 5 ай бұрын
HAPO UMEULIZA SWALI TAMU. Mtu akikwambia hiki kibaya aonyeshe kizuri vinginevyo anyamaze na mawazo yake.
@salha.d5060
@salha.d5060 5 ай бұрын
Ustuchoshe kila mtu ana njia yake we piga kelele ukimaliza kalale wote hatuwezi kua kama wewe au kama wao tafuta pesa brother ya dunia tuachie wenyewe na mungu wetu
@lukamwambalaswa4463
@lukamwambalaswa4463 5 ай бұрын
Brother acha kuhubiri watu, hubiri neno la Mungu Ili watu wafunguliwe wasiende Tena Kwa hao manabii.
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 5 ай бұрын
Mbwa ww acha kuhubiri watu ww ndio taperi kabisaaa
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 5 ай бұрын
UJOBHILE MWAMBALASWA
@TisaMkenda-oj5uj
@TisaMkenda-oj5uj 5 ай бұрын
Mpaka mseme,,,!!
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 4 ай бұрын
Achana na TBJoshua wewe
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 5 ай бұрын
wote ni wafuasi wa shetani pamoja na ww suluhisho ni kuingia kwenye uislamu nje na uislamu mkifa ni motoni
@Linah-pe5iw
@Linah-pe5iw 5 ай бұрын
Wewe ni muongo Bushiri sio wa Nigeria ni WA Malawi na kazi zake alikua akifanyia Zambia baadae South Africa na sasa tupo Malawi
@user-es4jv6pb8x
@user-es4jv6pb8x 5 ай бұрын
Poleee Mtumishi binadamu tumeharibika mnooo tunaipenda sana miujiza kwa sababu ya tamaa MUNGU atuponye
@jedielkareithi4966
@jedielkareithi4966 5 ай бұрын
Cassian mmh nko pamoja na ww hawajui wanachosema,kwani tb joshua nn hawezi kosea wakirsto tuache kubebwa na hawa manabii
@user-vy8tb2hq9w
@user-vy8tb2hq9w 5 ай бұрын
Binadam jiurize ? Maswari yanaendana na nyakati ya majibu ? Warikua wapi wasiseme wakati amiwa mzma ? Huo ni uo go ninjama tuu ya kudidimiza ukristor
@zakazakazi-fn6zy
@zakazakazi-fn6zy 5 ай бұрын
Mungu ndie ajuaye mioyoo si mwanadam ayajua matendo yetu ww hupaswi kuhukumu
CASSIAN AWAPA ONYO MKUU WAMKOA NA MWAMPOSA KUUNGANA KUPOTOSHA EV PAACHAL CASSIAN
1:13:37
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 733
JAMANI AMKENI TAYALI SIRI IPO WAZI  KIFO CHAJA KWETU EV PASCHAL CASIAN
1:25:54
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 18 М.
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 11 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
CASSIAN AMKEMEA PASTA TON KWA KUPOTOSHA   MAFUNDISHO POTOFU EV PASCHAL CASSIAN
1:26:11
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 28 М.
OGOPENI UMOJA HUU NI HATARI EV PASCHAL 🇹🇿 CASSIAN
38:41
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 10 М.
MKE WANGU ALIOLEWA NA MWANAUME MWINGINE KISA UMASIKINI WANGU EV PASCHAL CASSIAN
31:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 45 М.
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 26 М.
CASSIAN AMWINUKIA JODEVI KWAMARA NYINGINE  EV PASCHAL CASSINA
54:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 22 М.
EV. PASCHAL ARUDIA KUSEMA MWAMPOSA NA SUGUYA / USHIRIKINA KUTOKANA NA BIBILIA
22:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 64 М.
KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN
1:11:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 28 М.
HUU NDIO MSIMAMO WA KANISA LETU KUHUSU HUYU MWINJILISTI
3:56
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 3,2 М.
KISUMU MEGA MEETING NANI KAMA WEWE by Enock
10:40
BrotherEnock
Рет қаралды 729 М.
KUZIM YA TIKISA KANISA WAMETUMWA KUHARIBU UKRSTO EV PASCHAL CASSIAN
44:21
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 47 М.