Huyu izudin c mwamjuwa ni mvutaji bangi aisee.Anaitwa sheikh kula wao
@abbaspaziaog218823 күн бұрын
🔉🔉mpaka kueleweke 🔥 🔥 🔥
@darajanida23 күн бұрын
wewe ni jahil murakB
@famaufarmajo966522 күн бұрын
Allah Atuongoze Nakutupa thabat katika dini
@GHOST_bravo.07_TF14120 күн бұрын
tawheed na sunna ni neem kubwa sana
@IsmailMohamed-p7s22 күн бұрын
UJINGA NA MATAMANIO NI OUVU NA UPOTOFO NDIYO AKIPELEKA WATU KUANGAMIA KWA SHIRKI NA BIDAA. KUACHA TAWHID NA SUNNA NI KUANGAMIA. ALLAH MUSTAGHANI
@rushu123222 күн бұрын
Hii ni dhulma hali ya juu kufananisha ndugu zako waislamu na makafiri sababu ya ikhtilaf.
@bagalucha22 күн бұрын
Jee ni sawa kupitia jina la nabii Issa/yesu kwa jaha/wema wake,au kwa jaha zao,,kuomba kwa jina lake,kama mtume wa Mwenyenzi Mungu,jee hivi inafaa??na yametokea wapi,jee kuna wakati wowote mtume,alielekeza kuomba kwa hii,kupitia wafu.
@rushu123222 күн бұрын
@@bagalucha kwanza nabii Issa ni Mtume tena karika ulilazmi kisha kosa la watu fulani huwezi kuchanganya wote kuna baadhi ya masheikh zenu ni mafedhuli lakini huwezi sema wote ni mafedhuli.
@darajanida22 күн бұрын
@@bagaluchasoma kwanza ndio uoinge mambo
@nassor633322 күн бұрын
Mbona na sisi mnatufananisha na Mayahudi
@Dawah9921 күн бұрын
Tatito masufi hawafaham, hii tawassul wanayofanya ni ushirikina ambayo haina tofauti na wakristo, Allah ataka aombwe peke yake bila ushirika na bila ya kuwekwa mtu baina yake na dua. Ila masufi wanapotosha watu.
@SuleLeshi-t2m22 күн бұрын
Mtihani huyu sheh ndo waksklizwa kwel mashehe wamelewa dunia
@khamishaji950822 күн бұрын
Duuuh ndugu muombe msamaha sanna mungu kuwafananisha ndugu zako na makafiri😢😢
@islaminmyheart934822 күн бұрын
Je una ilimu yoyote ili ututolee? au ni maneno matupu tu? Tueleze kwa ilimu ikiwa wewe unasema kweli
@Hussein-Abu-Fathiyyah22 күн бұрын
Hawa mandugu zetu wetu wametoka draw na wakristo kwa hili
@khamishaji950822 күн бұрын
@@islaminmyheart9348 nakwambiaje hio ilio tumika hapo ni tawassuli na elim ya tawassuli nyie ndo mwaji fanya hamuitaki angalia uzuri katika kipande cha saidi anapo sema kutawassal mwenye channal karudia mara 2 kuonesha anakejelo tawassal kwa kufananisha na kuabudu , ,wakati hata ma imam wemgi wamekubaliana nalo hilo suala la kutawassal mpaka imam ahmad hakulipnga na mama imam tele na vitabu vimejaa kwa mapoloooo ,, nyinyi mupo na misimamo yenu na kupewa kasumba mbaya haya tulisha ya jibu mnoo ila munashikilia apo apo kweny itikadi yenu,, kubwa ni kutaka watu wafuate dini yenu nasio ya uislam ,, hichi alicho kifanya mwenye channel amefika mbali mnoo , sisi hatuiti wale tunao wafanyia tawwasuli hatusemi kua ni waungu bali ni aina ya ibda ambayo kisheria ipo na ina sababu nyingi sanna ,,
@khamishaji950822 күн бұрын
@@Hussein-Abu-Fathiyyah kwanza ukiristo unaitakidi kua yesu ni mtoto wa mungu je sie tuanitakidi hivo?? ,, pia yesu amekuja kukomboa dunia kwa imani za wale wenzetu??pia yesu kafa msalabani sie tunaitakidi hivo?? ,, ,,,, imma ukija upande wa tawassuli njoo upinge kwa dalili nasie tutakupa zetu,, ,, imma sie tunaitakidi tuanweza kutawassali hata na mitume na huo ndio msimamo wa imam ahmadii kutawassal hakuna shida ,, wewe ni mpotoshaji kiongozi rudi kwa mungu ,,
@Hussein-Abu-Fathiyyah22 күн бұрын
@@khamishaji9508 thibitisha kama itikadi yenyu kwa tawassal ni tafauti na ya wakristo
@bagalucha22 күн бұрын
Tena unajua kuwa hawa masufi wengi huishia wakawa waganga wa kienyeji.
@shariffali778022 күн бұрын
Maadui wa kiislamu wanajua mtu akiwa ni mtu wa tasawwuf hawamwezi, sasa wamewapata vibaraka vyao katika sisi kutaka kuchafua ilm ya tasawwuf!
@sabraham530822 күн бұрын
Mkuki kwa nguruwe,kwa binaadamu mchungu,huyu kaona mbali,jamani utukufu wa Allah ni mkubwa,ikiwa kama bahari iwe wino hautoshi ,kuandika şifa za Allah,hivyo viumbe vyake,mvifanye vishawishi vyake mnavishirikisha kwa lazima???,hamuoni kama mnapotoka???
@bagalucha14 күн бұрын
@@shariffali7780 Tasawwaf gani hiyo,ya kumshirikisha Allah,na makaburi,nani haswa alokuelekezeni hayo
@salimumbaruku291322 күн бұрын
Kijana ukiwa umeyazungumza hayo kwa kutania yaani mashara tu basi Sawa. Lakini ikiwa ni kwa kielimu basi bado nenda kasome na umuombe Allah akupe hekma na busara katika Maisha yako.
@MohamedMbaruku-yl6dg22 күн бұрын
Tofauti ni Laa ilaha illallahu Muhammadan Rasoulullah
@islaminmyheart934821 күн бұрын
@@MohamedMbaruku-yl6dg umepeleka mbali malisho ewe! Mohamed. Laa ilaha illa llahu ina vitenguzi vyake na Moja Kati ya hivyo ni "kujaalia baina yako na baina ya Allaah mtu wa kati kati ukawa unaomba huyo na unamtegemea akupelekee maombi yako kwa Allaah, haya ni ukafiri tena kwa makubaliano ya wanachuoni " rejea kitabu Cha vitenguzi vya uislam Cha Sheikh Al Mujaddid Muhammad bin Abdil wahhabi.
@khamishaji950822 күн бұрын
Na ikiwq una wa fananisha masufi na manasara kwa hakki basi mungu akulioe kheri na ikiwa hukutemda hakki mungu akurudishie mwenyewe ukafiri na watu washuhudie ,, 😢😢
@islaminmyheart934822 күн бұрын
Sawa
@nassor633322 күн бұрын
Mbona sisi mnatufananisha na Mayahudi
@AbdulIssa-o7e22 күн бұрын
Wallahy namshukuru Allah kunitowa katika uho usufi na kuifahamu dini sahihi na njia ya mtume muhammadi sala na salamu ziwe kwake, tulipotezwa sana na hawa watu wallahi allah haitoiacha dini yake idondoshwe na njia za kisheitwani atailinda mpk kiama, pamoja na kuingiza kwao batwili masufi, hakki allah ameinyanyua juu, saivi katika usufi wamebaki wazee wale washirikina shirikina na vijana mazezeta tuuh, wasoelewa dini yao na tunawqombea kwa Allah azidi kuiangaza hii nuru ya usalafi kwa watu walopotezwa waone mwanga mana wapo kizani bila kujijuwa
@khamishaji950822 күн бұрын
Wewe endelea kuwatetea hawa wajinga peke ako ,, vitabu vya masheik wakubwa ulimwenguni vinakubali kutawassuli kasome we panya
@abuuayoubayoub926022 күн бұрын
Maashaallaah kama umeongoka kwa kuwaacha masufi hongera kaa huko huko lakini siku ya qiyama tutajuana nani mushriki na ni nani Muslim wa kweli
@islaminmyheart934822 күн бұрын
@@abuuayoubayoub9260kwa hakika umepeleka mbali malisho! Vipi ukija kujua hiyo siku unayosema kuwa wewe ndo upo kwenye makosa, itakusaidia nini kujua kwako siku hiyo? Una nini ndugu yangu? Unahukumu vipi? Au unacho Kitabu ambacho mnasoma kuwa nyinyi mtayapata hayo mnayo yachagua? Basi wapi mnaelekea?. Kujua ni hapa duniani, hakikisha unachokijua na kukiamini Je! Kinaendana na Qur'an na Sunnah na kinaendana na maswahaba? Kama kina endana bainisha kwa hoja na Sisi tutakuamini na kukufata. Ama malalamishi na kulalamika hiyo siyo hoja. Na Allaah ndo wakuombwa msaada
@darajanida22 күн бұрын
@@abuuayoubayoub9260yani kutika kwenye usufi ukenda kwenye utatumtakatifu ndio kuokoka dah mawahabi bwana
@AbdulIssa-o7e22 күн бұрын
@abuuayoubayoub9260 Muslim wakweli waabudia maiti siooo hatarii xana mtu akipotea wakumuongoza ni Allah sijui siku utaongea maneno hayo wakati moto upo mbele yako utayakumbuka hayo maneno yako unayorahisha
@abumuadmahatmohamed23 күн бұрын
🔨 MPAKA KUELEWEKE
@أبومعاذ-ض6ع6ب23 күн бұрын
Mpaka kueleweke!Kwamba hii ni Sunna wajib kuifuata na hii ni Baadil ni wajib kuiacha!
@darajanida23 күн бұрын
@@أبومعاذ-ض6ع6بnyinyi mawahabi mnafuwata suna ipi.zaid ya.fitina.pembe ya shetwani kutoka najdi
kukiko nawhabi waliomgawa mungu kwenye utatu ntakatifu
@bagalucha21 күн бұрын
Mimi nimeyasema hayo hapo chini,unalolipinga wewe ni lipi?? Hiyo Ndo elimu,katafute matari upige,hiyo ndio elimu yenu kubwa, Kwa hayo niliyoyanukuu kutoka katika Quran na maneno ya mtume mwenyewe,ya kwamba hakutaka kaburi lake lijengewe,pinga hayo kielimu,reference zote nimekuwekea.kama mtupu Huna elimu,funga mdomo wako,katafute maulidi upige matari.
@emanuelkyomo377215 күн бұрын
@@darajanidaUtatu Mtakatifu ni Wawakristo kama mnaotaka kuleta kupitia video clip hiyo,,,, Vile ni Vigawanyo vya Tawhid sio Vigawanyo vya Mungu
@emanuelkyomo377215 күн бұрын
@@darajanidaTawhidu uruhuiya-Kwa Allah peke yake ndiye anayestahiki kuabudiwa Tawhidu rububiya- Kwa Allah peke yake ndiye muweza na mmiliki wa kila kitu mfano muumbaji, mtoa riziki, mkadiria mambo Tawhidu asmai wa swiffat- Kwa Allah anamajina mazuri mazuri na Yana sifa zakee Haya nitajie Kuna miungu gani wengine asiyekuwa Allah hapo
@darajanida14 күн бұрын
@@emanuelkyomo3772sasa ukisema tauhid uluhiya.tauhid rububiya ndio umesema nini wskat allah ns rabu ndio huyo huyo ukiamin uluhiya.ndio umeamin rububiu.na.ukismini rububiys.ndio.umeamin uluhiya na ukiponga moja tu katika hivo ndo umepinga vyote sasa hapo itagawika vipi tauhid
@ZainamavooMavoo22 күн бұрын
Nanyinyi hamna tofauti na nayahudi
@nassor633322 күн бұрын
Mshasema sana hivyo Wala Haina tabu.
@Sheba465122 күн бұрын
Watu wa maulid bhana Ah! Si kuomba maiti tu, huku kwetu mpaka wanasomea sanamu hitima...
@MussaYasini22 күн бұрын
😢
@darajanida22 күн бұрын
lete ushahid.wa hilo
@bagalucha22 күн бұрын
Allah na mtume wake wameyakataza haya,hawa masheikh wanaotapakaza uwongo,wameyapata wapi?? Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@AbdulIssa-o7e21 күн бұрын
@@darajanida wakaidi ninyi na itikadi zenu mbovu hizoo
@darajanida21 күн бұрын
@@AbdulIssa-o7e wakaod kivip kwahiyo mtu akisema kitu tuwamini tu bila ushahif halafu kama upo tayar tuwangalie uchafu uliomo kwenye vitabu vya kiwshabi na vitabu vya kisufi upo taar tuwaze mjadala
@nurdinmfamau349322 күн бұрын
Nivizuri Watu Wakasoma Kwa Watu Wenye. Nenda Kwenye QUR'AN Surat QAHF Nenda Kadoma Kisha Cha Asw'habu QAHAF
@hamidayoub138721 күн бұрын
Ukihisi kuwa wewe ni mwema bas jukumu lako ni kuwaombea wale waliowaovu kwa kwa mujibu wa mtazamo wako . Dharau allah ameharamisha , vip uwadharau waislaam wenzako ?
@abdisalat157923 күн бұрын
Kwanini upitie na usiombe direct
@swabrianwar102022 күн бұрын
sababu mtume kafundisha
@abdisalat157922 күн бұрын
@swabrianwar1020 mtume kafundishe kama dua kuombewa ni kwa alive hair si maiti
@darajanida22 күн бұрын
@@abdisalat1579kwani yule maiti ndio naeomba au mawahabi hawana ufahamu
@bagalucha22 күн бұрын
Allah kakataza kuomba wafu Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@bagalucha22 күн бұрын
Allah na mtume wake wameyakataza haya,hawa masheikh wanaotapakaza uwongo,wameyapata wapi?? Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@OmarAidarusHussein22 күн бұрын
Hili jamaa lenye hii channel lajifanya mtakatifu kweli kama kweli wapiga watu rudud na mambo ya dini ungefats mienendk ya Mtume wetu maana kwa ilmu niliyonayo hakuna hata siku moja alisimama kwa mimbar akapiga waislamu wenzake radhi In shaa Allah utakua Kuni katika kuni za motoni kwa kudanganya watu na kupoteza watu
@bagalucha22 күн бұрын
Allah na mtume wake wameyakataza haya,hawa masheikh wanaotapakaza uwongo,wameyapata wapi?? Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@farajichilumba511422 күн бұрын
Kwani mwenyewe kaongea
@khalifaahmed523223 күн бұрын
Mpk mtu kuamua kumuita mwenzako kafiri yatakiwa ujue kitu kimoja tuu ikiwa mbele ya Allah Hana ukafiri ujue ukafiri apo warudi kwako moja Kwa moja Na Allah ndio ajua zaidi Nani muislamu na Nani kafiri haya twendeni nalo tuu ivoivo lkn tuogopeni cku sote tutakapo kua mbele ya Allah
@bagalucha22 күн бұрын
Sasa uzito umezidi wapi,ukafiri?na kuufanyia tashtiti utukufu wa Allah Al Wahab,mnavuka na kulitengenezea upotoshaji ,kwa nini msitafute jengine,Hasbünallah waneema lwakil,baya zaidi mnazuwa na kulazimisha na kejeli vicheko,ati mawahabi,mkaongeza juu tena mayahudi,sasa nyinyi mwaka mzima fanyeni maulidi,na sisi mwaka mzima tutautukuza utukufu w Allah.
@bagalucha22 күн бұрын
Mkuki kwa nguruwe,kwa binaadamu mchungu,huyu kaona mbali,jamani utukufu wa Allah ni mkubwa,ikiwa kama bahari iwe wino hautoshi ,kuandika şifa za Allah,hivyo viumbe vyake,mvifanye vishawishi vyake???,hamuoni kama mnapotoka???
@sabraham530822 күн бұрын
Kwani mtu akiwa hai kukuombeeni haitoshi???mpaka wawe wafu,Ndo nyinyi mridhike??,masufi mnaudhalilisha uislamu,ati anajifahamu sheikh,a Naomba kwa jina la yesu??
@darajanida22 күн бұрын
@@sabraham5308soma kwanza ndio useme
@bagalucha22 күн бұрын
Allah na mtume wake wameyakataza haya,hawa masheikh wanaotapakaza uwongo,wameyapata wapi?? Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@NassorMuyugumbi-p9q20 күн бұрын
Masalafi hamjachoka Kiki, leo hi mumeamua Bora muwatoe wenzenu kwenye DINI waziwazi Alooo Hivi NINYI ninwakamilifu kiasi gani???? Mnajua kwamba sisi maamuma tunawachekecha alafu tushagundua kuwa huo upande wenu pia Kuna kupenda dunia kulikopitiliza ktk upande wenu, au Bado hamjitathmini namna mlivyobaki kuwa hamsumbui kabisa
@Daifar10019 күн бұрын
Hao masharufu ndio wapenda dunia ndio maana walipokuja wakoloni waliofyata kimya hawana mchango wowote..wapenda dunia wanadai mpaka usharifu wa uongo ili wapate pesa, wanasoma dua na albadiri kwa ajili ya matumbo...mashekhe ubwabwa
@NassorMuyugumbi-p9q18 күн бұрын
@Daifar100 umeamua kiwajibia siyo, Haya twende taratibu, Unasemaje kuhusu masalafj kwa masalafi kupigana RADDI NISAWA??? HILO MOJA; MBILI; USHAWAHI KUONA HAO MASHARIFU NA WAOIGA MADUFU WANA MAGOMVI YA KILA SIKU KAMA MASALAFI!!!??? TATU; KWA MUJIBU WA DINI MAWAIDHA/NASAHA NI KWA HEKIMA NA MANENO MAZURI, HUU UTARATIBU WA RADDI NI NINI MAANA YAKE, TENA MUDA MWINGINE HUINGIA HADI KWENYE MAISHA BINAFSI, HIYO INAKUWA NI NASAHA AU KUSENHENYANA!!!??? NNE: KWANI HADI SASA MASALAFI KUNDI LAO LINA MAPOTE MANGAPI, NA NINI MAANA YA KIGAWIKA KWAOO!!!?? TANO: INAKUWAJE UISLAM UWE KAMA DINI ILIYOMILIKIWA NA KUNDI FULANI, HII YOTE NI KUTAFUTA NINI KIAS KWAMBA WANAMUINGIZA NA KUMTOA WAMTAKAE, HAYA NDUGU KWA DHAMANA IPI NA IMETOKA WAPI HADI WAFANUE YOTE HAYO!!!??? TAFAKARI VYEMA NA CHUNGUZA KWA KUTULIA SIYO UNAJIJIBISHA JIBISHA KIRADDIRADDI DUNIA YA SASA SIYO YENYEWE.
@johancruyff140822 күн бұрын
💉 wape dose mpaka wanyooke
@rushu123222 күн бұрын
Kisha mwajiita masalafi ni usalafi gani munalazima kutowa watu katika dini kwani ni ya babayenu.
@nassor633322 күн бұрын
Mbona na nyinyi mnatutoa kwenye dini Tena mnatuita sisi ni Mayahudi. Mkuki Kwa nguruwe
@rushu123222 күн бұрын
@nassor6333 kwahivyo sisi sio waislamu na sio waislamu na mashia sio waislamu maibadhi sio waislamu kwahivyo ulimwengu mzima hakuna waislamu twatowana sisi kwa sisi.
@muhammadnassibu770620 күн бұрын
الله المستعان!! Yani salaf hawakuwa waongo kusema dhambi za shahwa ni afadhali kuliko bida'a,
@khamishaji950822 күн бұрын
We jamaa unachuki tu asaa kuenda makaburini ni kufanya ibada ,, tutaenda mbwa wewe usituchanganye na tukifika huko tutawasomea quran na tutafanya kheri ili ziwafikie wao na izo sumu zako hazitofika popote fala mmoja wewe
@zakiabdulrahman-w4y23 күн бұрын
makafiri hao
@darajanida22 күн бұрын
ukimuita mtu kafir kama.si kafir hee sijui itajuwaje soma hadithi yamtume utaoata hukumu ua jambo hilo
@KikwaleRashidi-e3y21 күн бұрын
Usalafi na ukristo Wana tauhidi Tatu ? Ukitaka Dalili zipo
@bagalucha22 күн бұрын
Mkuki kwa nguruwe,kwa binaadamu mchungu,huyu kaona mbali,jamani utukufu wa Allah ni mkubwa,ikiwa kama bahari iwe wino hautoshi ,kuandika şifa za Allah,hivyo viumbe vyake,mvifanye vishawishi vyake???,hamuoni kama mnapotoka???
@hassanmohamedabdalla410823 күн бұрын
nihiii ndio masufi kukataa tawhidi rububiah, mushrikina wa kikureishi wana kiri rububiah wakati wa kukabiliana na hali ngumu, lakini wakimbilia makaburini na kupitia miti
@darajanida22 күн бұрын
huna hufahamu wa jambo hilo waropoka tu
@hassanmohamedabdalla410822 күн бұрын
@darajanida soma vitabu za dini utaelewa zaidi
@darajanida22 күн бұрын
@@hassanmohamedabdalla4108 wewe naona huelewrki nimekuwambia.huna ufahamu wa jambo jhilo haya lete ushahid kuwa makafir wana tauhid rububuya karibu
@bagalucha22 күн бұрын
Allah na mtume wake wameyakataza haya,hawa masheikh wanaotapakaza uwongo,wameyapata wapi?? Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@bagalucha22 күн бұрын
Allah na mtume wake wameyakataza haya,hawa masheikh wanaotapakaza uwongo,wameyapata wapi?? Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@MohamedMbaruku-yl6dg22 күн бұрын
Nyie mashekh wasiku hizi mupo sana kimslahi ya kidunia inaulazima gan kuwasema waislamu wenzako ili iweje?Acheni mambo hayo wewe unauhakika gan kuwa yote unayoyafanya yapo sawa na Allah anayakubali mumefikia mahala munawafananisha waislamu wenzenu na makafiri.Sio vzur mujiangalie na munavyovipost.wewe ulieopost hii video je kutawasali hairuhusiwi katika dini? Acheni kuiga na kufuata mikumbo.Elimishen katika media na sio kupotosha
@Abuusaad-uy5cx23 күн бұрын
Wacha ujinga mwenye hii Chanel nenda ukasome
@OsmanMahamed-o5k23 күн бұрын
Wewe ndiyo uwache ushirikina wewe ndiyo una fa ukasome touwhid
@darajanida23 күн бұрын
@@OsmanMahamed-o5kelezea ushikina gani uliopo au ndio kirusi cha kiwahabi kisha kuwathir😮😮😮
@9119-r4t23 күн бұрын
مثل هذا المشرك مثلهم
@AbdulIssa-o7e23 күн бұрын
@@OsmanMahamed-o5kAhlu bidaa mnamatatizo unawaambia wenzio wakosome kumbe ww ndo jahli, inatakiwa usome ujue kutofautisha shirki na tahweed, hakki na batwil saw akhy pata ilmu utajuwa lasivyo utakuwa kibubusa
@HamisiKacheche23 күн бұрын
Masufi wanamumini Allah na mtume wake na yoote aliyo kuna nayo,,pia wanasoma quran na kuiyamini,,pia wanaitakid kuwa issa ni Mtume wa Allah wala si Mungu, lakini wakristo wao haya yote ni kinyume chake,,,utawezaje kuwafananisha waislamu na wakristo? Hivi masufi kesho kwa Allah wakilalamika kwa kuwaita wakristo nyie mtajiteteaje ? Yaani utatumia dalil gani ambayo imekuruhusu kuwaita wakristo? Embu muda mwengin tumchen Allah,,,juen Allah ni muadilifu na anamalaika wake wanaoandika kila kukicha kitu,,, tuacheni chuki bali uwadilifu ni kitu muhimu,,sina elimu kubwa wala si ng,aalim bali ni mawazo yangu finyu tu hayo