No video

HAYA NDIO MAMBO AMBAYO SIO LAZIMA KATIKA SWALA :-SH.OTHMAN KHAMIS

  Рет қаралды 13,078

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@farijalambaga9600
@farijalambaga9600 Жыл бұрын
Subhanallah, Allah akulipe ujira Mwema Ostadh
@AthumanMgaza-qu5hb
@AthumanMgaza-qu5hb 3 ай бұрын
Yaani nyiiii elim tosha alla akuhifadhi
@hp2623
@hp2623 Жыл бұрын
Wallah mimi shekh nimemulewa Sana Tena Sana kwa wengi tunaosahau katika swalat. Anatufunza kwamba ikitokea ukasahau jambo la sunna katika swala lisikutie wasiwasi maana Kuna wengine wakata swala mzima na kuanzia upwa Tena. Na hajakusudia kuwa tusi swali kwa taratibu za swala kama ilivyo lahasha. Ametufunza tutambue sunna na fadhara katika swala. Alhamdulilah
@husseindjumida6568
@husseindjumida6568 Жыл бұрын
ALLAHU AKBAR! Napenda viongozi kama hawaa katika jami.
@IssaJuma-rk5qb
@IssaJuma-rk5qb 3 ай бұрын
Asante kwa kutufunza
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 Жыл бұрын
Allah akulipe badala .Izo ndiyo elimu zinazotuhusu sisi.
@user-bo3dy7sj7q
@user-bo3dy7sj7q Ай бұрын
Mashalla
@hassansingano1150
@hassansingano1150 8 ай бұрын
Shekh rudia darasa, umetuacha njiani
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 11 ай бұрын
Nahiyi Alhamdulilah Kuna Hilineno Ihdinaswiratwalmustakiym Hiyi Niduwa Tunamoba Allah Itakuwa Marangapi Kwasiku Ukiswali Fardhi Na Sunna Ewe Allah Tujaaliye Siratwalmustaqiym..
@freegeezer4143
@freegeezer4143 Жыл бұрын
NI vyema angezungumzia kwamba kufunga mikono na kuitakidi NI lazima ni itikadi potovu na SI lazima wala si nguzo kwenye sala..
@HajiMkemea
@HajiMkemea 4 ай бұрын
Jamaa yoko izuri
@hemedibrahim2162
@hemedibrahim2162 Жыл бұрын
kazi safi
@ellyndaprincess3235
@ellyndaprincess3235 Жыл бұрын
Mhh 🤔🤔 Zakuambiwa changanya na zako she umekosea sanaa hili somo litawafanya watu kukosa unyenyekevu kwenye swala😢
@binbajoun7918
@binbajoun7918 Жыл бұрын
Ustadh umekosea sana
@sama-_8368
@sama-_8368 Жыл бұрын
Amekosea wapi ndugu?
@selasboy3966
@selasboy3966 Жыл бұрын
Sunnah inachukuliwa poa wakat Allah kasema wanaofungamana namtume wanafungamana na Allah
@sama-_8368
@sama-_8368 Жыл бұрын
Umeelewa kweli?
@fatmakitundu9454
@fatmakitundu9454 Жыл бұрын
Hajaelewa kabisaa!
@fatmakitundu9454
@fatmakitundu9454 Жыл бұрын
Hawa ndio wanaofanya swala inakuwa ngumu, mtu hajui hata Alif, unakumfundisha, ajue kwanza mambo ya lazima katika swala, halafu ndio aweke vipambo.
@ibrahss1174
@ibrahss1174 Жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@Wastara001
@Wastara001 Жыл бұрын
Tofauti yetu na maswahaba ni kuwa maswahaba walipojua jambo ni Sunnah walilikimbilia na kulikumbatia. Sisi tukijua ni Sunnah tunalipuuza. Shekhe weka mambo bayana
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
Uvivu
@hassansingano1150
@hassansingano1150 8 ай бұрын
Sasa, kuna tatizo apo, Swali langu kwako ~Niwakati gani MAAMUMA ktk swala anatakiwa kusoma sura tulfatiha ? Naomba majibu kwa anaye jua inshallah. Asante
@hassansingano1150
@hassansingano1150 8 ай бұрын
Ivi kusoma sura tulfatiha ktk swala ni lazima kwa IMAMU NA MAAMUMA? TUSAIDIE APO
@salehnkoma5180
@salehnkoma5180 Жыл бұрын
Mwalimu alicho fundisha ni kwa wale wanao ongopa kuswali kwasababu hawana ujuzi wa swala, waanze hivyo kisha waendelee kujielimisha, mbona sio waelewa ndugu
@Team-t6k
@Team-t6k Жыл бұрын
Nani aliyekwambiya kwamba uwislam niwa mkato anayetaka kuswali aswali mwenye hataki ache kila mtu na mzigo wake kwa sababu salat ni amri kwa kila Muislam na baina ya Muislam na kafiri ni salat akiacha basi alibeba ukafiri so kama mtu alifunza ivo powa na kama hajafunza ivo basi iko anapoteza watu.
@abubakariramadhani1372
@abubakariramadhani1372 Жыл бұрын
Hongera
@sontrillthereal8186
@sontrillthereal8186 8 ай бұрын
Kwa maana hiyo ikitokea bahati mbaya sijakaa attahiyatu ndogo kuna haja ya kufanya sijda ya kusahau mwisho wa swala au ndio imeisha hiyo?
@hassansingano1150
@hassansingano1150 8 ай бұрын
Kuna wakati ktk kuunga swala, mtu huwa muda wa kusoma sura tulfatiha haupo, je huyu MAAMUMA atakua rakaa kaipata?
@chiefalferous
@chiefalferous Жыл бұрын
Nimemsikia shekhe vizuri sana mambo manne muhim nataka kujuwa vipi Nia kabla ya swala nayo sio nguzo ? Na nikiswali bila Nia nini hatma
@khamisomar1130
@khamisomar1130 Жыл бұрын
kama hujamsikia kuzingumumzia jua kasahu
@chiefalferous
@chiefalferous Жыл бұрын
@@khamisomar1130 hapo ndio nilichomaanisha ni katika vile vitu muhim kasema ni vinne tu vinge ni sunna nilitaka kujuwa na nia pia Nisunna maana tunafundishwa jambo lolote linaenda kwa nia why nia isiwepo ktk mambo hayo 4 ? Vipi utasali dhuhuri au maghrib bila nia
@saidsam3053
@saidsam3053 Жыл бұрын
Nia sheikh ipo moyon kitendo cha kusimamisha gari t ukatia nia ngoj nikaswali ndo tayr nia iyo cha kusaidia nia ambayo mtume s.a.w kasikika wa saut ni alivonuia hija na umra lkn ibada nyengine hakusikika Wallah yaalam
@amirmape6474
@amirmape6474 Жыл бұрын
Nia ipo moyoni ukitoka kwako unaenda masjid kuswali hiyo ndiyo nia
@chiefalferous
@chiefalferous Жыл бұрын
Sawa mie naelewa nia ipo je nia yenyewe sio katika vitu muhim
@Team-t6k
@Team-t6k Жыл бұрын
Duh balaa ili ikiwa kuwa unanganganiya watu wafanye maulidi kisha unawafundisha watu swala ivi wallah ni mswiba😢inaskitisha saaana tena Mtume swallalahu alayhi wa salam anasema mswali jinsi nilivyo swali mimi kama Mtume swallalahu alayhi wa salam aliwafunza ivo kama unavyo wafunza sawa ila unapotaka kuwafunza watu swala wafunze A to Z na maneno yote na wala sio shortcut tukisema unanza kusikiya mawahabi hao😢 Waislam someni dini yenu plz fats dini yenu plz zama mbaya saana kila moja anakuja na style yake bila kujali plz tuisome dini qadri y uwezo
@khamisomar1130
@khamisomar1130 Жыл бұрын
shekh usjitie ujuaji katk maongez yake umesikia neno maulid anataja usirazimishe mtu ashike unayoyataka wew kama ww unaona upo sahih basi fanya wew nawatu wanaokufata usilazimishe mtu anaongerea jambo jingne we unaingiza maurd vip bhna
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline Жыл бұрын
Mtihani. Mtu lazima akomenti. Sheikh hajazungumza maulid. Katoa msaada hapo ila wengine lazima watabeza Kwa sababu sheikh hawampendi maana si Sheikh wao.
@Team-t6k
@Team-t6k Жыл бұрын
@@khamisomar1130 iyi ni dini ya kiislam wala si dini kama zile unazo zani pastor atakuja aseme bila dalili kisha watu wakaye kimya bila maswali je mimi nauliza weye swali njoo jinsi Mtume swallalahu alayhi wa salam alivyofundisha sala ao maswahaba ao nikwamatamaniyo ya nafsi yake na kuelewa kwake kufinyu ? Weye unajuwa salat sawa sawa ao vpi ? Laiti kuwa unajuwa salat nina imani ayo anayo yasema ungeyapinga kwa sababu amefundisha kinyume.
@Team-t6k
@Team-t6k Жыл бұрын
@@alhilaltvonline sio swala la maulidi mimi nimekupa mfano wa maulidi kwa sababu ni jambo si katika dini ila wanadai kuwa ni sunna nzuri ima kusema sio sheikh wangu sinaga sheikh na walas iwezi kuwa naye mimi ninachofata ni haqq mtu akija na dalili zenye ziko wazi nitamfata ila nashanga anafundisha watu salat za mkato na pako hadith chungu nzima zakuonesha jinsi gani mtu ataweza kuswali acheni kupoteza watu.
@omaryntagala3740
@omaryntagala3740 Жыл бұрын
Mimi mtu wa sunna hapo shekh yupo sawa,ila tukubali maneno ya kweli mtu akisema uzushi tutamuachia mwenyewe
@ellyndaprincess3235
@ellyndaprincess3235 Жыл бұрын
hii video futeni mara 1 chap
@NassirHassan-zm8cb
@NassirHassan-zm8cb Жыл бұрын
Sasa sheikh tunaomba utuelezee sunnah ni nini
@binbajoun7918
@binbajoun7918 Жыл бұрын
Ustadh sala ime jengwa na vitu 3 Faradh Wajibu Na sunna NaonA ww ume zungumzia faradh na sunna tu wajibu vp ambao ukisahau una leta sijidatulsahau
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
Hawa ndio Viongoizi wajinga watu walio jichukulia wakawaulizwa mas ala ya dini wakatoa fatwa pasi na elimu Wamepotea na wakapoteza wengine الله المستعان
@khamisomar1130
@khamisomar1130 Жыл бұрын
shekh atakama wew unaelim nyngi rakn khaur uliotumia kari sana wewe unaweza kua na elim nyng afu huna hekima nihasara
@sama-_8368
@sama-_8368 Жыл бұрын
Kaulize kwa sheikh wako ukiona amekosea
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
@@khamisomar1130 Kwanza hekma angeanza yeye kuzungumza ukweli kwa Dalili lkn sio kwa namna hii Ukizingatia watu karne hii ni wavivu wa kuisoma dini yao na Kila watakalo liona mitandaoni wanalibeba jumla jumla Alhamdhulilah kwa kiasi tuliosoma dini tunapo ona wanaongopea dhahiri hamna budi na sisi Kuelezea watu Kwa Dhahiri kua hapa kaongopea watu .
@Team-t6k
@Team-t6k Жыл бұрын
@@sama-_8368 shida sio sheikh wako acha kupelekwa kama kipofu hiyi dini sio dini ya ukristo kila moja kutowa kwa matamaniyo pasina dalili je mnaenda wapi?
@sama-_8368
@sama-_8368 Жыл бұрын
@@Team-t6kKAULIZE SHEIKH AMEKOSEA WAPI KWA WALIO KUZIDI ELIMU ACHA KUSHUPAZA SHINGO WAKATI HUJUI AU TAJA BASI KWA DALILI WEWE UNAYE PINGA NI MANENO GANI AMBAYO NI FARADHI KUTAMKA KATIKA SWALA AMBAYO SHEIKH HAPA HAJAYASEMA?????? ACHENI MIHEMUKO NYIE.
Usifanye Mambo Haya Mazishini Sio Kazi Yako  - Sheikh Othman Khamis
28:50
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 83 М.
MPIRA NI HARAMU - SHEIKH OTHMAN KHAMIS
18:04
Oasis TV
Рет қаралды 15 М.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 77 МЛН
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 30 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
Kusoma Sura Ndogo Katika Swala Za Usiku - Dr Islam Muhammad Salim
6:42
Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips
Рет қаралды 50 М.
WAKATI SAHIHI WA KULA DAKU//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
25:01
Fauz Production
Рет қаралды 24 М.
HANA SWALA MWENYE KUKOSA SHARTI HIZI SABA ...SHEKH OTHMAN KHAMIS
22:33
Saimu gwao Online tv
Рет қаралды 85 М.
ALICHO KUPANGIA ALLAH KINA KHERI KUBWA KWAKO
31:01
Sheikh Muhammad Bahero
Рет қаралды 39 М.
HII SALA YA MTUME USIIWACHE FUNGUA RIZIKI POA MARADHI BADILISHA MAISHA
1:06:37
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 61 М.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 77 МЛН