No video

MPIRA NI HARAMU - SHEIKH OTHMAN KHAMIS

  Рет қаралды 15,848

Oasis TV

Oasis TV

Күн бұрын

Usisite Kuuliza Maswali Katika Kipengele Cha Comments Baada Ya Kusubscribe.
Fatilia Ufafanuzi Wa Masuala Ya Dini Ya Kiislam Ukitolewa Masheikh MbaliMbali Nchini.
Tembelea Kurasa Zetu Za Mitandao Ya Kijamii Kupata Khutba, Mihadhara, Nasaha Na Darsa Za Wanavyuoni MbaliMbali Nchini.
Instagram: ...
WhatsApp: chat.whatsapp....
Oa...
Jiunge Kwenye Kundi La Pamoja Ili Makala Zetu Zikufikie Kwa Haraka Zaidi.
OASISTV
Elimu Ni Uongovu

Пікірлер: 22
@husseinhassain8188
@husseinhassain8188 Жыл бұрын
Umenifurahisha Sheikh na ww ndo Sheikh wa kwanza Tanzania kukusikia umesema ukweli kuhusu uharamu wa mpiraa Allah akuhifadh na mimi najua kabisaaa mpira haram ila waalim wetu na masheikh wetu hawasemi sababu wao wanapenda mpiraa
@hamzaomari3148
@hamzaomari3148 Жыл бұрын
Allah akulipe mazur sheikh uthmaan
@faridawanawakehoyeeeeeeeee4785
@faridawanawakehoyeeeeeeeee4785 11 ай бұрын
Alhamdulillah
@medwho959
@medwho959 Жыл бұрын
Allah akustiri. Kweli kabisa!!
@amourali
@amourali Жыл бұрын
Asante sheikh kwa kutuzindua kiukweli tumepotea waislam wa leo
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
Ujumbe wako mzuri sheikh lkn mambo haya hayakuja kwa bahati mbaya hata kidogo bali hii ni vita ya kifikra dhidi ya imaan maana leo watu walivyoathilika wakilala mipira wakiamka mipira imefikia kipindi mpaka misikitini wanazungumza mpira imekuwa kuliko hata dini lkn pia hayo maredio, redioni masaa manne kipindi kinazungumzia mpira tu hivyo ni mambo yaliyokwenda kuigusa mioyo ya watu na kazi iko kweli kweli
@sayaribrand538
@sayaribrand538 Жыл бұрын
Sema shehe hamiss watu wanyooke
@user-fy4op1sw2f
@user-fy4op1sw2f Жыл бұрын
Swadakta sheikh
@sayaribrand538
@sayaribrand538 Жыл бұрын
Sisi tunapenda masheih km nyie mnaojitambua na sio kuwachekea chekea wahalibif tu
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 Жыл бұрын
mashaallah
@nasibuabasi4701
@nasibuabasi4701 Жыл бұрын
Mpira niharamu bila chenga
@zainabrashid385
@zainabrashid385 Жыл бұрын
Shekhe unaongea ukweli kwa sababu watu wanagombana Sana na kutukanana kwa ajili ya mpira
@user-gs3yt5tt2p
@user-gs3yt5tt2p Жыл бұрын
Swadakta
@joejoshua7791
@joejoshua7791 Жыл бұрын
Duu no comment
@mwanaidatkhamis5310
@mwanaidatkhamis5310 Жыл бұрын
Hn issue
@abdulijuma1769
@abdulijuma1769 Жыл бұрын
Issue anayo danga lako mbwa wewe
@osmaniidrisa6290
@osmaniidrisa6290 Жыл бұрын
Umeongea ukweli japo wewe ni muongo
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 Жыл бұрын
Sheikh uko sahihi misikiti mingi Leo inamigogolo ukifatilia historia wakifadhiri mbona misikiti iliyojengwa nawaumini haina tatizo tujiulize hawa wafadhili fadha alali au haramu machumo yao.
@oasistvtz
@oasistvtz Жыл бұрын
Shukran sana
@johnsulle4679
@johnsulle4679 Жыл бұрын
Mtasema ata kula ni haramu
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 11 ай бұрын
​@@johnsulle4679km hukubali bc
@Silay1034
@Silay1034 Ай бұрын
​@@johnsulle4679huu niuislam kama ww ni kafiri tulia uislam haukuhusu huu ndo uislam Kila kitu kipo kisheria
TUMEUMBWA KWA KUMPENDA ANAETUFANYIA WEMA // SHEIKH OTHMAN KHAMIS
28:14
KWA  VIPENGELE HIVI MPIRA NI HARAMU, SHK, MBWANA, #salafi #live #manhajsalafi #salafiyah #allah
18:15
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,4 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 52 МЛН
HAYA NDIO MAMBO AMBAYO SIO LAZIMA KATIKA SWALA :-SH.OTHMAN KHAMIS
14:22
Si kila ukweli ni wa kusema -Sheikh Othman Maalim
24:59
Kalamutz
Рет қаралды 130 М.
JAMBO LENYE KUMTOA MTU KWENYE REHMA ZA ALLAH (S.W.T) SHEIKH HASSAN AHMED
29:14
FATWA | Je! Kuimba Nasheed ni haram?
7:47
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
Рет қаралды 699
KIBRI NI KUIKATAA HAKI TAHAZAR MJA SHEIKH OTHMAN MAALIM
53:53
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН